JIFUNZE KIJERUMAN KWA KISWAHILI SOMO LA NNE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 48

  • @aisharose5077
    @aisharose5077 5 месяцев назад +1

    Ma shaa Allah unafundisha vizuri niko ujeremani.

  • @adamnsengiyumva8833
    @adamnsengiyumva8833 3 месяца назад

    Sehr gut. Spitze!!!

  • @KiloxSalum
    @KiloxSalum 10 месяцев назад +1

    Fantastish

  • @MarthaMatei
    @MarthaMatei 9 месяцев назад +1

    Vielen Dank Rashman

  • @warkoczykisabrina496
    @warkoczykisabrina496 10 месяцев назад +1

    Danke

  • @SaudaHassan-bk4wy
    @SaudaHassan-bk4wy Год назад

    Es ist gut

  • @shaymaahmed8746
    @shaymaahmed8746 4 года назад +3

    MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH nime penda sana hili somo mungu akubariki,naomba niwe mwanafunzi wako tafadhali

  • @hassanabdallah1304
    @hassanabdallah1304 6 лет назад +1

    Alla tabaaraka wataala akulinde hongerasana

  • @binbaya923
    @binbaya923 Год назад

    Shukran Mwal.

    • @JohnMwakulima
      @JohnMwakulima 9 месяцев назад

      mwalimu habari ya uzima mimi kwajina naitwa john mwakulima nahitaji darasa lako naweza kukupaje naili nianze darasa nahitajika nini na nini

  • @DankeShaa
    @DankeShaa Год назад

    Asante

  • @UmuBaha-xm3cd
    @UmuBaha-xm3cd Год назад

    Asante kaka mm ni mwanafunz chuo najifunz kijeruman

  • @kheirtourguide9480
    @kheirtourguide9480 6 лет назад +1

    njia hii ni rahisi sana na nzuri sana,endelea na njia hii hii mkuu

  • @rasucentreofexellence4592
    @rasucentreofexellence4592 6 лет назад +1

    Hongera sana

  • @muslihiabubakar-sb2ml
    @muslihiabubakar-sb2ml Год назад

    Mambo vipi kaka

  • @ghaosalsalum
    @ghaosalsalum 4 месяца назад

    Ya

  • @amissislywachako1772
    @amissislywachako1772 2 года назад

    Allahu akbr , Allah akuzididhie elim Mwalim naomba namba kuingia kwenye GROUP LAko Mwim ,mi mwanafunzi Mpya.

  • @muslihiabubakar-sb2ml
    @muslihiabubakar-sb2ml Год назад

    Mambo

  • @philipshay8010
    @philipshay8010 4 года назад

    I like

  • @kheirtourguide9480
    @kheirtourguide9480 6 лет назад +1

    Nice video mkuu,unanikumbusha yote nilosoma nyuma.napata mengi kwenye hii class.
    Thank you sana

  • @annamussa185
    @annamussa185 2 года назад

    Najaribu kujiunga kwenye group la Whatsapp lakini nimeshindwa

  • @jamesbondjr9389
    @jamesbondjr9389 6 лет назад +1

    👍

  • @carenhilary8067
    @carenhilary8067 2 года назад

    Vizuri sir, yeye anajibu vipi

  • @sulekato2688
    @sulekato2688 6 лет назад +1

    sehr gut unser lehrer

    • @saydskuz8506
      @saydskuz8506 5 лет назад

      Kaka kiukweli mi kwa upande wangu ni nakushukuru sn tna sn kwa DARASA hili zuuuriii na taam mnoo kwangu mm mbumbumbu kujifunza LUGHA hii maana naipenda mnoo halaf nilikuwa cjui ntajifunzia wapi MUNGU akupe Uhai mrefu na afya njema tuendelee kuelimika kupitia kwako mi cjutii kabsaa kutumia MB zangu kwa kupitia masomo yako

    • @hashimothman9297
      @hashimothman9297 4 года назад

      Na mm nataka kuungwa kwenye group la kijerumani namba +255777276482

    • @maalimjuma2881
      @maalimjuma2881 4 года назад

      tatizo teacher hiyo sheet unayo tumia kuandika baadhi ya hati hazionekani vizur hasa hapo kwenye mifano, istoshe naona whatsap hiyo Iink uIotoa awaIi ime revokiwa, na hujatoa m-badaIa wake, by the way, ni wengi tunafaidika na Elimu yako Mungu akubarik uzid kuendeIea na kutuboreshea. In- shall AIIah..

  • @abdullabakar2939
    @abdullabakar2939 5 лет назад

    Asalam alaykoum. Asant mwalimu napenda jinsi unavyofundisha lakini ningependa pia utoe maana ya maneno unayotufundisha ili kujenga ufahamu zaidi.

  • @selinalukwembe7363
    @selinalukwembe7363 3 года назад

    Mm naomba namba tu ya sm wasapu tuoge zaidi

  • @JosephAragero-on8gu
    @JosephAragero-on8gu Год назад

    Nitumie namba ya whatspp

  • @mukihaji9097
    @mukihaji9097 3 года назад

    Hi i

  • @frankmangofrankmango5702
    @frankmangofrankmango5702 5 лет назад

    Schön zu lang deutsch, wiel ich es mag
    ✌️👍

  • @mahanur4468
    @mahanur4468 5 лет назад

    Nakukubli sana kaka

  • @godlistensaria3746
    @godlistensaria3746 4 года назад

    Link was revoked

  • @bwiganeuswege2366
    @bwiganeuswege2366 5 лет назад

    Guten tag

  • @aishangao9487
    @aishangao9487 Год назад

    Spart English

  • @dramachatta3851
    @dramachatta3851 5 лет назад

    Kaka ww kiboko nimekukubali kinoma

  • @suleshkombo430
    @suleshkombo430 4 года назад +1

    Good niunge kwenye grp tafadhali 0628876413

  • @dazzoabdull3679
    @dazzoabdull3679 3 года назад

    Habar yko kaka naomba niunge kwenye proup 0717304471

  • @rasucentreofexellence4592
    @rasucentreofexellence4592 6 лет назад

    Iink cjaiona

  • @boazyisraeltv4099
    @boazyisraeltv4099 Год назад

    Mbona sionii link ya whatsap sir?
    I real need that your such a nice teach ever seen by m

  • @deodathkamasho4798
    @deodathkamasho4798 5 лет назад +1

    bro tafadhali link ipo wap au niunge kwa group 0758035331

  • @maggynowak3555
    @maggynowak3555 Год назад

    Hongera sana