MAUAJI YA KUTISHA DSM! MUME AMUUA MKEWE KWA KISU/PESA NDIYO CHANZO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 292

  • @gililwise
    @gililwise 2 года назад +12

    Mwenyekiti hongera sana.washindwe hao ndugu na walegee kwa jina la Yesu.mnakimbilia mali ni yenu?

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 года назад +9

    Mama ulokuwa unatetea hao watoto,Mungu akuweke sana,una busara,Embu Mungu akakupe kacheo cha utetezi.

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 2 года назад +8

    Yaani mume kaua mke kachukua pesa yake halafu ndugu wa mume wanawahi kuchukua vyombo halafu watoto wabakie bila kitu chochote yaani bongo ubinamu umekwisha yaani mtu kaua kwa laki sita tu na watoto wamebaki yatima nawaonea huruma hao watoto maana wataanza maisha mapya bila wazazi

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 2 года назад +6

    Pole sana mdogo wangu baraka wazazi wasio jielewa ni tatizo kubwa

    • @sazanahussen6715
      @sazanahussen6715 2 года назад

      Kbsaaa yanii wanaleta uchungu kwa watoto sijui itakuwaje jmn 💔

  • @asnathmasegenya9890
    @asnathmasegenya9890 2 года назад +1

    Asante mwk wa mtaa hao ndugu mazuzu sana bila kuwaza msiba wanawaza vitu wanataka hao watoto wataishije

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 года назад +10

    Mmmh jamani wanaume tuwaogope haki

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 2 года назад +1

    Biiiiiig up mwenyekiti.hao ndg wana tamaa ya mali tu. Hata hawaoni uchungu na uhai wa mtu aliyepotea kikatili. Tena na wao mngewakamata wawekwe ndani. Nimeipenda sana mama aliyekuwa anawatetea watoto. Hii dunia kweli inahitaji maombi.

  • @dianarobert3989
    @dianarobert3989 2 года назад +21

    Hii hali inayo endlea kwa sasa siyo ya kawaida shetani amesha mwaga miroho michafu watu wanauana ovyo tuombe sana🙏

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 2 года назад +9

    😭😭😭kila ck Joyce kiria anayasema jmn kwenye mahusiano ukiona unapigwa ujue hpo sipo kuna baadhi ya watu wanampiga hy sasa mauwaji kila kukicha mume kuuwa mke mke kuuwa mume 😭😭😭mungu atufanyie wepesi inshallah

  • @omaryally1532
    @omaryally1532 2 года назад +8

    Bunge linacha kuongelea mambo kama haya ya kikatili wanamaliza ya kupiga sarakasi bungeni na kuimba nyimbo ya mama amina

    • @clementiddi5708
      @clementiddi5708 2 года назад +1

      Kweli. Ni uozo toka juu mpaka chini. Serikali hovyo sana hii

    • @annakadamanja2196
      @annakadamanja2196 2 года назад

      😔😔😔😔

    • @khadijakdj8640
      @khadijakdj8640 2 года назад

      Yaani naona Serekali ndo inasababisha haya matukio kwanini wasichukue uwamuzi wa nae uwa auwawe

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 2 года назад +9

    Huyo sio mwanaume ila khanithi barazuli mjinga mshenzi hajitambui yaani mwanamme mzima anamuua mke wake kwa pesa tena pesa katafuta mke!!!

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 года назад +4

    Hujazikwa watu washakuja kubeba kila kitu chako😭😭

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 2 года назад +7

    Poleni sana.
    Mheshimiwa waziri anayeshughulikia matatizo ya wanawake na jamii ,nakuomba utafute ufumbuzi wa tatizo la mauaji ya wanawake kila siku nchini Tanzania.

  • @janemhangomhango5841
    @janemhangomhango5841 2 года назад +5

    Mwenyekiti Yuko sahihi kwanini wanawahi kuchukua mizigo

  • @thadeiandrea877
    @thadeiandrea877 Год назад

    Ewe mwenyezi ilaze roho ya malehemu amina

  • @jacklinejacklinejonh6530
    @jacklinejacklinejonh6530 2 года назад +3

    Mama asante sana unaongea ukweli wengine wanaona mteremko

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 года назад

      ndugu wa mme wanataka vyombo 🙄🙄🙄🙄

  • @aminakunja277
    @aminakunja277 2 года назад +13

    Dua zinaitajika kwa sana Tanzania yetu viongozi wa dini wakae wapitishe dua Maana hali inatisha

    • @birayan6823
      @birayan6823 2 года назад

      ]

    • @ynyynyyny
      @ynyynyyny 2 года назад

      DDC Mlimani park, mnanionyesha njia yakwetu

    • @rechokb1972
      @rechokb1972 2 года назад

      Jmn mauwaji ni meng sana ckuhz

    • @gulfomanbb2119
      @gulfomanbb2119 2 года назад

      Sana m mmoja naogopa ata kuolewa au kuwa na mausiano kwa ss ngj nisubili kdg

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 2 года назад

    Yaani nikiskia hizi habari zawanaume kuuwa wakezao hapa bongo nachoka kwanini mutudhulumu sisi wanawake ambao sisi pia ndio mamawawatotowenu 😭😭😭naumia kilakukicha lkn kaa ukijua mbiza sakafuni uishia ukingoni labda wende marekani lkn hapa bongo utapatikanatu tena wanafaa wapewe kifungo chakazi ngumu maisha jela maanakunyongwa itakuwa ajapitia maumivu mamamzazi wamke anapitia

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 года назад +4

    Inalillahi wainailahi rajuun poleni watoto Allah atawakuza lnshaallah 😭😭inauma lakini hakuna jinsi.

  • @sumayafissoo2192
    @sumayafissoo2192 2 года назад +2

    Inalillah wainnaillah rajion maskini watt watateseka baba atafungwa maisha mama yao hayupo Tena duniani

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 2 года назад +4

    Mtakuja kuelewa tu kuwa nchi hii saizi iko chini ya shetani! Ila kwa vile hatuna macho ya kiroho tuendelee! Viongozi waliopo hawana baraka za Mungu!

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 2 года назад +9

    Mngenyonga wachache wa mfano na watu wakaona, basi hayo manunda yangejifikiria kabla ya kuua binaadamu mwenzao.

  • @nyamwinukankwera3749
    @nyamwinukankwera3749 2 года назад +7

    Polenì sana 😭

  • @rhobywerema6996
    @rhobywerema6996 2 года назад +5

    Tumuombe sana mungu shetani yupo kazini

  • @halimachambuso9985
    @halimachambuso9985 2 года назад

    Mwenyekiti hngera sana

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 2 года назад +14

    Innahlillah wainnah illah rajiun Allah amrehemu poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 года назад +12

    Pesa yake imemtoa uhai, Hilo janaume si lingeenda kuuza vidole vyake apate pesa, poleni watoto na ndugu za marehemu.

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 года назад

      😭😭😭😭

    • @hamisimohamedhamisi3241
      @hamisimohamedhamisi3241 2 года назад

      Wez hao waupande wa mwanaume

    • @prosmacharius7074
      @prosmacharius7074 2 года назад

      Wanaume jamani.yaan wake tutafte ela mzitake.tukae tu eti tunajza choo.sa tuwafanyeje nyie viumbe

    • @neemamaiko1342
      @neemamaiko1342 2 года назад

      Umeonaaa wenzie wanauzaa hata vodoree wapate pesaa Sasa yeye anamuua mkeee kisaa raki sitaaa mjinga kabisaaa huyoooo

  • @joycewanjiru4160
    @joycewanjiru4160 2 года назад

    Mungu abariki hawa wamama ..hizo vitu singeenda hivo..Mungu uwalinde watoto wa marehemu🙏

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 2 года назад +4

    Jamn na cc wanawake hebu tujiongezage jaman yaan unapigwaa maalama,upo tuu ona Sasa unakufa unaacha watoto wako,Kama angejiongeza mapema mwanamke mwenzetu si ajabu yasingemkuta hayaa,ewe mwanamke ukiona jitu halisomeki sepaaa mapemaaaaa

  • @tunsumemwajumba7149
    @tunsumemwajumba7149 2 года назад

    Mwenyekiti yupo sawa

  • @rajabumasanja5049
    @rajabumasanja5049 2 года назад

    Mwenyeki safi sana 👍

  • @mwanahamisi-yu6dv
    @mwanahamisi-yu6dv 7 месяцев назад

    Inalilah waina Lilah la juun mungu amlaze Mahalia pena Pepon Amin

  • @danielmanase7735
    @danielmanase7735 2 года назад +17

    Maandiko Matakatifu yanasema siku za Mwisho mtu ataomba akutane na Simba lakini sio Binadamu, maana watakuwa wabaya zaidi kuliko wanyama. Ndicho tunachoshudia leo. Taifa liingie kwenye Toba, Mungu atuondolee laana hii inayoendelea. Mungu atusamehe.

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 2 года назад +1

    😭😭😭😭😭Ee Mungu tuonekanie taifa la Tanzania Baba

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 2 года назад +3

    Hongera mwenyekiti kwa kuwasaidia hao watoto wapate haki Yao vikienda kwa hao ndugu wenye tamaa watoto hawatapata

  • @neemamaiko1342
    @neemamaiko1342 2 года назад

    Daaa poren sanaa watoto kuondokewa na mamaaa

  • @EnessiSosten-i8x
    @EnessiSosten-i8x 9 месяцев назад

    Wanwake tunakutana na mengi sana na mbaya baazi ya jamiii azituamini wanaamini wanawake waongea sana awana eshima bila kujua mungu atusiaide wanawake sana jamani tunapitia mengi sana mungu wangu mungu atusaidie sana jamani uwiiii

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 2 года назад

    Kaka zangu mlio oa kwani mnaferi wapi kuua wake zenu bila huruma inaniumiza mno hasa nikifikilia awo watoto 😭😭

    • @hamzamahanyu5794
      @hamzamahanyu5794 2 года назад

      Ndugu wa mume wanajua nini kuhusu mauaji hayo mbona wanawahiya vyombo vya marehemu? Waisaidie polisi kupatikana muuwaji ambae ni ndugu yao sivinginevo

  • @sarahkapange252
    @sarahkapange252 2 года назад

    poleni sana yaani watoto wapelekwe upande wa mama yake marehemu

  • @zawadihassan2324
    @zawadihassan2324 2 года назад +3

    Hao ndugu wa mume waliokuwa wanaamisha vyombo nao wangekamatwa watoe ushirikiano itakuwa ndugu yao alipo wanapajua na ndio maana kuwatuma waamishe vyombo

  • @zamzamhassan8643
    @zamzamhassan8643 2 года назад

    Loooh
    Pesa zake zimemua😭😭😭mume Mario huyo atafutwe afungwe
    Mtoto nae anaonekana mkavuu sijui ndio hana uchungu

  • @rayanamrsshariff5777
    @rayanamrsshariff5777 2 года назад

    Asante wasafi kwa habari hii ingekua Wana pesa au wanajulikana zingekua zimesambaa lkn maskini huoni poleni watoto wa marehem Allah ndio tegemeo lenu si ndugu 😭😭😭

  • @saleemass9690
    @saleemass9690 2 года назад

    Mwenyekiti uko vizuri ao wanataka kumficha ndugu yao

  • @aishasaidaishasaidaishasai2319
    @aishasaidaishasaidaishasai2319 2 года назад

    Innahlillahy wainnah elehy rajiuun Sasa wanaume umezaa n mke watt wakubwa Tena wamuuwa mkeo ... SubhanaAllah. Waume mbona mwakosa ihsan

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 года назад +2

    Wanaume tufanye kazi, tusipende kitonga.. wanaume wengi siku hz wanahudumiwa badala ya kuhudumia familia.

    • @gulfomanbb2119
      @gulfomanbb2119 2 года назад

      Kumbe munalijua ilo ndio maana muna2uwa

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 года назад

      @@gulfomanbb2119 pesa na mali zote za mwanaume...piga kazi,lete hesabu yote mezani, matumizi napanga mimi,pamoja na kuhudumia mchepuko

    • @gulfomanbb2119
      @gulfomanbb2119 2 года назад

      @@josephlorri431 subu2

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 года назад

      @@gulfomanbb2119 hahaa huogopi gunia la moto

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 месяца назад

    Dah hao watoto Ndio wanapelekwa kıjijini maisha Yao yameshabadilika tena kisa pombe

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 2 года назад +1

    Nimeumia sana 600000 inaoia roho ya mama ambaye watoto wake bado wanamuhitaji kwa malezi eee Mungu tusaidie sijui tunakwenda wapi

  • @khayratmhina3735
    @khayratmhina3735 2 года назад

    Mwenyekiti safi sana

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 2 года назад

    Naogopa kuolewa sasa mie jamani 😭😭😭😭 maana hii hali imekuwa tete mh mwenyezi mungu tusaidie sis waja wako🤲🤲

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 2 года назад

      Muombe Mungu atakupa Mume mwema

    • @laymashabani832
      @laymashabani832 2 года назад

      @@mamachris6811 Amiin 🙏

    • @EnessiSosten-i8x
      @EnessiSosten-i8x 9 месяцев назад

      Endelea kuomba mamy kwa maana mie nilipata mlokole haswa lakini nilikua mapigwa mpk nachanganyikiwa

  • @zainabissa7986
    @zainabissa7986 2 года назад

    Safi kabisa mwenyekiti

  • @AgnesEphraim-jw6dv
    @AgnesEphraim-jw6dv 2 месяца назад

    Wanaume tafuteni pesa acheni kugombania pesa za wanawake kwasababu mama alikuwa anafanya biashara baba inamaana alikuwa anamtegemea mama kwanza wamtafute nayeye auwawe .bora watoto wabaki yatima Mungu atawasaidia

  • @bujimuluhanga1804
    @bujimuluhanga1804 2 года назад +6

    Ndugu wanafikria mali tu badala ya kufikria watoto ambao hawajui hatima yao Mungu wape nguvu ktk kipindi hichi kijana komaa na mdogo wako usiruhusu ndugu wamchukue kama una mashaka nao

    • @lucymwalisu5160
      @lucymwalisu5160 2 года назад

      Poleni sana watoto wa marehemu Mungu akawakumbuke wanangu

    • @nguyatito8121
      @nguyatito8121 2 года назад

      Pole xana na mungu awaxaidie

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 2 года назад +2

    Mmm hatar kila kikicha mauaji

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 2 года назад +5

    Duuh hawa wanaume imekuwa too much sasa!! Shuwain wahed

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 года назад +2

    Mbona wanaume tunakuwa makatili namna hii , ehee mungu atuepushie haya maahsira sisi wanaume

  • @mentionedU
    @mentionedU 2 года назад

    Watu wazima akili ndogo Kama ya mtoto 😓😢,watoto wameathirika vibaya sana ,wanahitaji watu kuwaliwaza,sio kuanza huo UPUZI WA kuhamisha vyombo🤔😓😢, Doo,wanadamu kweli hamna roho za huruma,WATANZANIA mlio mahali hapo pa mkasa,mmenishangaza SANA,kwa roho zisizo na huruma,kwa akili zisizofikiria, wallahi MWENYEZI MUNGU hajafurahishwa na mnayoyafanya,maamuzi yenu yamenisikitisha sana😢😢😢(WATCHING FROM KENYA)

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 2 года назад

    Mmmmh jmn mbona wametoa vituu fasta jmn

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 года назад +4

    Nikweliii wasivipeleke nihaki ya watoto

    • @jovanafidelis2802
      @jovanafidelis2802 2 года назад +1

      Watu Wana roho ngumu khaa,mtu hata hajazikwa wameanza kuhamisha vitu? Mmhh

  • @Chapesamedia
    @Chapesamedia 2 года назад +4

    Ambona tangu magufuli atangulie mauwaji mengi sana raisi na vyombo salama inabidi wawe makini sana nchi inachafuka msifurahie mabarabara na mijengo mkajuwa ndio maendeleo

  • @ayshabirali5335
    @ayshabirali5335 2 года назад

    Innalillah wainnalillah lajiun aseee wanawake cc tujtahd kujua mabaya namazur ukiona mwanaume ulonae n cmba mkali jmn tuwe tunajham kukmbia mapema kulko kujfanya tunamioyo yakuvmlia mateso tuvmilie shda zamaisha c vpgo manyanyaso

  • @irenewile
    @irenewile 2 года назад

    Hiyo Familia ya Mme wanaroho mbaya Sana,,,yaani waue alafu wachukue vitu

  • @linamacha7686
    @linamacha7686 2 года назад

    Jamani watoto wasaidiwe na ustawi wa jamii kwa sababu naona hali siyo nzuri ndugu mara hii wanataka vyombo hata uchungu kwa watoto hakuna hii ni hatar sana kwa kweli

  • @angeljoakim6583
    @angeljoakim6583 2 года назад

    Mungu atusaidie sana laki sita inaua mtu!

  • @mamaahmad8615
    @mamaahmad8615 2 года назад

    daaah😭😭😭😭poleni wanangu hili liuwaji lilishindwa kutafuta hela zake kwa jasho lake ona sasa umeuwa mkeo umekimbia utaishi maisha mabaya sana bora na ww ujinyonge mkono wa sheria utakupata tu mshenzi mkubwa unaroho ngumu ww muuwaji poleni

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 2 года назад +1

    Pesa yenyewe laki 6 mtihani kwakweli

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 года назад

    Uko sahihi mama na wewe kaka uko sahihi viandikwe..my poleni sana wafiwa..innalillah wainna ilaih rajiun

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 2 года назад +3

    I still don't understand why women entertain their abusive relationships

  • @hamzamahanyu5794
    @hamzamahanyu5794 2 года назад

    Daaaa tuache kuchukua maamuzi mikonone Hali hii nimbaya Sana kwa wanawake ulishindwa a na mkeo ondoka kaanzishe Maisha sehemu nyingine huo ndio ushauri wangu

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 2 года назад +2

    Watanzania wenzangu huyu akikamatwa ahukumiwe kwa kunyongwa live hii mbona imekuwa Kama mazoea.

  • @likimaro6
    @likimaro6 2 года назад +1

    Hao washenzi wanaoanza kuonyesha tamaa za mali inakuwaje?

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 года назад

    Hivi wanaume nyinyi mnajielewa kweli wakati mnaua wake zenu huwa mnafikiria watakaoteseka ni watoto kwa sababu huyo kashakufa

  • @halimarahma7450
    @halimarahma7450 2 года назад +2

    Na hiyofamilia ni waroho wa Mali wanajuaje kama Mali za ndugu yao

  • @helgahussein1413
    @helgahussein1413 2 года назад +2

    Alikuwa anafanya kazi gani

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 2 года назад

    Mhm😭😭😭

  • @najmaaa6548
    @najmaaa6548 2 года назад

    Mbona watanzania mwauwana ivo astaghafiruuu hivi samia yuko wp jmani ama muute mashekhe mfanye baraza la kiislam 🤔🤔🤔

  • @atukuzwelameck4869
    @atukuzwelameck4869 2 года назад +1

    😅😅Tumechoka sasa

  • @joyce55727
    @joyce55727 2 года назад +1

    Kipind nimeolewa nilipingwa kofi moja nilitoka adi leo ni miaka 8 niliona nisije kuumia

  • @priscaphedrick5970
    @priscaphedrick5970 2 года назад

    Mwanamke mwenzangu ukiisha ona mmepishana kauli halafu tabia ya mumeo unaijua anza kuondoka

  • @pendolazaro4686
    @pendolazaro4686 2 года назад

    Eeh Mungu

  • @ashurayasini7085
    @ashurayasini7085 2 года назад +4

    Wakinamama oyeeee ,,,,majirani oyeeeee

  • @peterjames4669
    @peterjames4669 2 года назад

    Duh ninja imeisha poleni sana

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 2 года назад +4

    Hawa ndugu wa mume hawana hata haya. Rohooo

  • @josephinenyakato8372
    @josephinenyakato8372 2 года назад

    Ninaomba mawasiliyano ya hao
    Watoto ili niweze kutoa pole
    Nichangie kidogo Poleni sana
    Watoto

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 2 года назад +1

    Wabunge wako wapi

    • @edwinmaruchu5566
      @edwinmaruchu5566 2 года назад

      Sheria ya kunyongwa itekelezwe. Acheni kufumba macho tutaisha.

  • @omnsultan383
    @omnsultan383 2 года назад +1

    Mwenyekiti apewe ulinzi

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 2 года назад

    Wanaume wanaume Mungu anawaona. Mtapata laana kwakutowa roho za watoto wawatu.

  • @AgnesEphraim-jw6dv
    @AgnesEphraim-jw6dv 2 месяца назад

    Kwanza hivyo vitu siajabu kanunua mwanamke alafu ndugu wa mme wanakuja kujibebea tu bac waseme ndugu yao alipo kwa sasa

  • @sabahiali6021
    @sabahiali6021 2 года назад

    Hao ndugu wa mwanamme ivo vitu vyao kwani

  • @jamilayahya9723
    @jamilayahya9723 Год назад

    Da mtihani jamani

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 2 года назад

    Inalilah. 😭mtangazaji sauti kma ya zamaradi mketema❤

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 2 года назад +15

    Hao ndugu wa mume hawana hata haya lo!! Hawana uchungu kabisa na watoto utazani wanafurahia ndugu yao kutoa roho ya mama wa watu! Mijitu sijui ikoje sikuizi daah

  • @magrethjohn4929
    @magrethjohn4929 2 года назад +1

    Sasa tuseme nn eeeh mana yamezid inafika kipind huruma zinatuishia na tunapoelekea haya mauaji tutaona jambo la kawaida sana,, viongozi husika fanyeni kazi kulingana na muongo wa kaz unavyosema na cyo mpaka muambiwe na kiongozi mkuu wa nchi. Mungu akurehemu 🙏🙏🙏

  • @christsndushondi51
    @christsndushondi51 2 года назад

    Joyce kiria kila siku anasema

  • @salehrashidshekidele1039
    @salehrashidshekidele1039 2 года назад +3

    Naliomba jeshi la polisi Tanzania liangalie hii hali iliopo Kwa ss mauaji ya mezid na piah Bunge liongelee haya mambo bungen sio mnaongelea kuhusu kosata tu

  • @twaibagubwe9668
    @twaibagubwe9668 2 года назад

    laki sita unatoa uhai wa mtu😢😢😢

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 2 года назад

    Sasa Kwanini hamjawapigia simu polisi

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 2 года назад

    Ndugu wa mwanaume kiboko ata mtu ajazikwa na taratibu lkni ndugu wa mwanaume wamewai vitu kuliko mwenye mari kwanza kumstiri jamani tuwe na huruma tunasamini mali kuliko utu ata sibu awaoni ata majonzi kiboko

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 года назад

    Hyo family ni shida wana tamaa ya vitu sana ndio mana walimrith marehemu ili kudhibit mali asa wangekua matajiri sijui ingekuaje daah dunia hii

  • @SilobdanMwenda
    @SilobdanMwenda 10 месяцев назад

    Daa

  • @khubeybjandal7435
    @khubeybjandal7435 2 года назад

    Watanganyika, hatar kwa pesa, sioi bongo noma laki sita ameua mkewe noma