Mimi nalima na ninauza miche yake. Ila mimi niko ngara kagera. Hili zao unaweza oteshea hata kwenye mti mkavu/chuma/nguzo ya simenti. Ila sasa itakuhitaji uhudumie zaidi maji ili chini pasikauke moja kwa moja. Uzur wa kutumia jatropha au hiyo gliricidia sepium ni kwamba miti hiyo ina maji ambayo vanilla inaweza kupata maji pale inapokujiapo mizizi yake kujishikiza.
Mwaka huj beo imeshuka sana inasemekana niniutokana na kuwepo kwa ugonjwa wa Corona kwahyo apo badae inaweza kurud kwenye bei yake ya kawaida ambapo ilikua ishafika hadi Tsh 100,000 (laki moja) kwa kilo vanilla mbichi ila mwaka huu imeshuka mpaka Tsh 20,000 (elfu ishirin) kwa kilo
Upumbavu tu private crop buyers wanatupiga sana world market per KG ni kuanzia 250$ zaidi ya laki tano Ila East Africa Hawa jamaa wamedonate kila kona na kuweka bei sawa isiopishana Sana kacheki Madagascar price imewekwa na serikali mwisho ni 250$ per kilo Ila hii fursa viongozi wetu hawajaitilia mkazo, in real sense huwez vuna zao LA miaka miwili na nusu uliuze kwa bei hyo, ndo yale² ya HASI overcado tunazalisha sisi mkenya anayapa thamani anapeleka sokoni kwa bei kubwa Mara nne yetu serikali yetu iwekeze nguvu pia Huku sio kwenye viwanda tu maana Bila shamba kuna viwanda vingi havitasonga shamba kila mtu anaweza anzisha kuliko kiwanda japokua sipingi viwanda ila shamba lipewe uthamani zaidi
We acha tu ndugu yangu vannila bei yake kwenye soko LA dunia ni zaidi ya laki tano kwa kilo Ila bongo serikali haijatia nguvu wanunuzi ni wapigaji tu kilo moja elfu90
Asante ITV kwa darasa zuri kutoka shambani .
Napenda kupata kitabu Cha masomo juu ya shamba la vamila
Semeni tu Wazanzibari ni WAVIVU , tuna “secret formula “ ya vilimo vilimo vya spice, spice tour, nk.
Information is power. Asante media; ITV
Tunaomba namba ya simu ya mkulima bw Mohammed
Nakipenda hicho kilimo, je kilimo hicho naweza kulima mkoani Morogoro?
Asanten
Inapendeza zaidi
Camera man next time get a bit close tuweze kuona mkulima akipanda kwa Ukaribu zaidi
Asante kwa somo zuri la vanila.kama huna shamba la kukata mbegu unafanyaje.huwezi kusia mbegu zake?
Zina patikana bukoba
the vanilla plant is very fertile.
Indeed it looks good. it isn't easy to manage it to that level.job well done
Vanilla nizao zur
Asante sana kwa kutuelimisha
Huku bara kilimo hicho kinaweza limwa?
Kinalimwa kwa wahaya bukoba
Kinakubali sehemu za baridi ilimradi kuwe na kivuli
Mimi nalima na ninauza miche yake. Ila mimi niko ngara kagera. Hili zao unaweza oteshea hata kwenye mti mkavu/chuma/nguzo ya simenti. Ila sasa itakuhitaji uhudumie zaidi maji ili chini pasikauke moja kwa moja. Uzur wa kutumia jatropha au hiyo gliricidia sepium ni kwamba miti hiyo ina maji ambayo vanilla inaweza kupata maji pale inapokujiapo mizizi yake kujishikiza.
Jovian Geogrey naomba mawasiliana yako tafadhali
@@fatmakichawele150 0746021539
Prisca Mallya sioni comment yako Ila namba yangu ni 0746021539
Honger ITV kunionesha nyumbani.
Wa ngara tuwasiliane niporunzewe nipe namba nije nikutembelee
Huyo simon mkondya, mwizi tu, kama anabisha, tukutane nami jactan makeups wa njombe, nimpe ukweli na wengine mjue wizi na utapeli wake!
Nitakuja mpemba ndio nisomeshwe
Vanilla sh ngap sokon kwa sasa?
Mwaka huj beo imeshuka sana inasemekana niniutokana na kuwepo kwa ugonjwa wa Corona kwahyo apo badae inaweza kurud kwenye bei yake ya kawaida ambapo ilikua ishafika hadi Tsh 100,000 (laki moja) kwa kilo vanilla mbichi ila mwaka huu imeshuka mpaka Tsh 20,000 (elfu ishirin) kwa kilo
Upumbavu tu private crop buyers wanatupiga sana world market per KG ni kuanzia 250$ zaidi ya laki tano Ila East Africa Hawa jamaa wamedonate kila kona na kuweka bei sawa isiopishana Sana kacheki Madagascar price imewekwa na serikali mwisho ni 250$ per kilo Ila hii fursa viongozi wetu hawajaitilia mkazo, in real sense huwez vuna zao LA miaka miwili na nusu uliuze kwa bei hyo, ndo yale² ya HASI overcado tunazalisha sisi mkenya anayapa thamani anapeleka sokoni kwa bei kubwa Mara nne yetu serikali yetu iwekeze nguvu pia Huku sio kwenye viwanda tu maana Bila shamba kuna viwanda vingi havitasonga shamba kila mtu anaweza anzisha kuliko kiwanda japokua sipingi viwanda ila shamba lipewe uthamani zaidi
Amesema klo anauza laki 9
Nimepandikiza Miche ya vanilla je soko lake likoje hapo Zanzibar na zikikomaa nikavuna zinatunzwa vipi ?
We acha tu ndugu yangu vannila bei yake kwenye soko LA dunia ni zaidi ya laki tano kwa kilo Ila bongo serikali haijatia nguvu wanunuzi ni wapigaji tu kilo moja elfu90
Aise nchi yetu ipo nyuma kwenye kutubeba wakulima, kilo ni dola 400 hapa naona 90 elf, Bora kuuzia kenya aise
Kilo ni laki 8