Hello, Suszy long time waaaah you have beautiful daughter more happyness tu God is always good all the time . Suszy wacha huyo King,ori ahako league yako Suszy
Wewe Suzzie chapa huyo King’ori kofi moja na autamwona akirudi kwako tena. Lakini vile uwa unamwongolesha ni kama uwa uko na tu feelings naye. Mkiachana achaneni hama ni kutafuta content😃
Beautiful girl suu umebarikiwa na msichana mrembo sana❤
Beautiful daughter. We want part 2. Congrats suzzie.
Suzy msichana wako anaongea ukweli na ameongea kama watu kumi ❤
Part 2
Kabisa Suzzie ukiwa na masikio usikie what your daughter has spoken
Wooow kwani Uko na mschana mkubwa hivyo
Well said babygirl. Thank you for being true n honest to your mum
Huyu dem ni mrembo saana.congratulations
Aki mummy siuna msichana mrembo Sana 💞💞💞
Ni kawaida my dear usijali utapata mwenye mungu amekupangia ataimi six years aboy and be a girl but nimeend up single same age si rahisi
Mother and daughter they look beautiful uwenzi jua ni mum na mtoi they are sisters 🥰🥰🥰🥰🥰
Waaaaaaao, suzzy Ana watoto wakubwa ivo, anaonekana mdogo bado
🥰 suzzy uko aje usipoteagee ivoo
Wow suzy uko na msichana mrembo sana may God bless her for u dear
Nakupendaga suzzy ❤️🤞uyo nimtoi wako wow aki mtu awenzi hamini aki anakaa siz yako
Beautiful daughter ❤ 💕. Anakaa ur siz
Lovely dota
Nakwambia sauti ni same na Yako suzzy
Munanichekesha kwani niko natungapi😂😂😂😂
Eeh kwani suzzy ukona msichana mkubwa ivo na maggy ako wapi
Tunned for part two ❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥💯💯💯
Na umezip mama kindly ucikwe unapotea Ivo bt much love 🥰😘
Hello zuzzy 🔥
Like mother like daughter,beauty is in your lineage Sussie😍🤩🥰
Waoh mko wacute sana mom and daughter
Waooo she is very beautiful but Suzy achana na huyo mjinga kengori akae na Maggie wake coz ata heshima hana
Waiting for part 2,,,nawapenda sana suzzie n your dota
We love you big up
Suzie, ur daughter is very beautiful ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Guys mnakaa sisters wow❤️
Watu wa umbea tunataka part 2
Wa kwanza representing team gulf aky mipe like tuuh na mpitie kwangu pia
🙏🙏
@@queensuzzieofficial3215 suuw mtu anaezaje Pata namba zako naeza taka kuongea n wewe pllllz
@@queensuzzieofficial3215 ssa huyo kijana asikie sasa
Iko kwa video nyingi but ill pin
Ulizoesha kingori pesa so anamis but ujue Suzi nothing like mother s love
Much love momma ❤❤ati Kwani Niko natungapi??😂😂😂
Wow!wish ningekuwa na kijana mkubwa,nikiuliza,ako na mtu 😂😂😂😂,asking for my brother 😂
Suzzie very good advice, what a caring girl
Pretty girl
She is so cute may God continue to bless u Sussy and ur family
You have a lovely daughter suzzy ,,,
Suzzy we want part 2
Wow like mother like daughter very Zuzzie you have a beautiful daughter.
Much love Suzy
Hello, Suszy long time waaaah you have beautiful daughter more happyness tu God is always good all the time . Suszy wacha huyo King,ori ahako league yako Suszy
Mnafanana suzzie n mrembo sana
Walahii, sauti zenu ni same aki.
kingo,ri kingori nimekuita mara nimekuita mara ngapi ,,,,utafwinywa sawasawa wachana na zusse kabisa au sasa tukuonyeshe cha moto
Adorable ❤ copyright ad she is speaking the right thing bt Suzzie aliachana na kingori aki
sauti ni kama ya sussy... wah...
So pretty like mother like daughter 😘😘
Waiting part 2 kumbe she is my age mate
Wow cute 😍daughter 😍
Wow
Part 2 please
Aki mnafanana 💞💞💞💞💞
Suzzie uko Na msichana msupu waoh kingori asikie
Vry beautiful lady
Beautiful daughter lije mother much ❤
Akh sauti yenu inafanana and you have a beautiful daughter much love to her
Sue ineed agood weave,❤️❤️💖😝 daughter 🙏
Wow cute
Mbona unaingilia ndoa ya mama yako waki rudiana na Kingori wewe ndio utakwa mbaya
Atanlikuwa nataka kusema suzzy n kamzee,aai kumbe
Na fei n mtoto wa nani sue?
Yea thank you for good question
My niece
Mko wa cutie
Wao, beautiful family
Wueh suzz uko na wajukuu
Eeh mshow huyu suzzy ndio asikie
Suzzie you have a beautiful daughter
Suzzy siuko na msichana mrembo
cute daughter ❤❤❤❤❤💋💋
am left wondering kwani suzzie ni mzee aje.... weeee
🤣🙈sana
Did you say your daughter,weh ...I thought mko masisters.
Suzzy msichana anasema ukweli kabisa good girl ♥️
Cute girl
Content Ni Kingori
Wow nice daughter of sussy
Khai suuw uko na watu wakubwa ivi weeeh
Mtu wa kupiga mke nayo hapana.
Beautiful daughter ❤️ love you guys
Hey dear
Hello
She is funny and beautiful 💋
Mlete kindly
Kongori hananga adabu wakimwacha awachike
Suzzy nimekumiss weee
Thanks 🙏
Muko warembo.aki
Sasa nani nyundo king oria alichia
Love you two
Beatiful daughter but I thought anaitwa faith
Faith is my niece
Aiii huyu niwako kweli munatoshana kwani uliza ukiwa how old
I think ni mwili hata ukiona wangu waeza dhani ni dadagu cz tunatoshana
😂😂
You have your mom's voice...
Kabsa,,at first i thought ni her mothy
Kwani King’ori anatumia Kamotee???😂😂😂😂😂😂😂
We never know 🤷
cute baby gal ❤❤
Suzzy you sound the same voice with your dota
Kwani huyu ni mtoto wake kabisa
@@maryandesh151 yeah,,ni second born wake
@@conceptaikwara what‽??unawezadhani ni sister yake..wow
@@maryandesh151 kuzaa mapema ni rahaa
@@conceptaikwara tena sana
So cute
Bless you two🙏🏿
Wewe Suzzie chapa huyo King’ori kofi moja na autamwona akirudi kwako tena. Lakini vile uwa unamwongolesha ni kama uwa uko na tu feelings naye. Mkiachana achaneni hama ni kutafuta content😃
Waaaaa 🤣🤣
Sussie si niwe son in law😂
🤣🤣
Inbox me her number haki
Wah beautiful girl 😍😍
Mother and daughter you re very beautiful girl's 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
She is beautiful 🥰🥰🥰
❤❤❤❤❤
❤😅😂😂