BAKARI SHINGO NA JERRY SILAHA WALIVYO KUTANA LEO KWENYE UTATA WA ARDHI YA BAKARI SHINGO💔NA💔SERIKAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 33

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 Год назад +1

    Kazi nzuri waziri wetu. Naomba ufanye hivyohivyo tanzania nzima ili tupate pesa halmashauri.

  • @AbdulmalikFedrick-ct7nb
    @AbdulmalikFedrick-ct7nb Год назад +1

    Alha akufanyieni wepesi inshallah
    Kwenye uongozi wako

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 6 месяцев назад

    Kwer nimeamini shule nayo hinasaidia mana shingo hana lopoka tu maskini😅😅hata hanaloliongea hamna

  • @AbdulmalikFedrick-ct7nb
    @AbdulmalikFedrick-ct7nb Год назад +1

    Mueshimiwa Silaa na kupenda sana
    Mueshimiwa Raisi Samia suluu
    Amechagua jembe

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Год назад +1

    Huyu ni Bwege anajiamini nini si Mkamtie Isanga Dodoma akachezee Kifungo...Bwege tu

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 9 месяцев назад +1

    Helimu nikitu muhim yaani huyu jamaa anaropoka tu kama mwenye haki kweli huyu ndo shingo ngumu mwenyewe

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 6 месяцев назад

      Hana akili timamu mdomana

  • @libeberu
    @libeberu 7 месяцев назад

    Kwenye hapa Mwanasheria Jerry Slaa, alinyooshwa na bwana shingo

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 Год назад +1

    Huyo jamaa jeuri sana😅

  • @kwzjkwz3532
    @kwzjkwz3532 7 месяцев назад +1

    Huyu jamaa ni jamba ziìiì

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 Год назад

    Much know

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Год назад

    Waziri Slaa njoo Mikocheni B barabara watu wanajenga na kuziba wanawekea alama ya kubomoa wanafuta na kupaka rangi tunapita na gari hata moja kwa shida ndivyo walivyo na k
    Viburi hawa wanaotoa hongo. Njoo Mikocheni B Ushindi street kuliko na kanida la wasabato.

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 Год назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂 Mzee huyoooo ni tapel ndo maana maneno mengiiiiiiii n ujuaji mwigiiiiii sukuma ndani huyo mtu

  • @amaniashery7762
    @amaniashery7762 Год назад +1

    Tapeli jeuri

  • @absalomnamoyo7176
    @absalomnamoyo7176 Год назад +1

    Alafu anaongea bila heshima na adabu

  • @upendokibuga1434
    @upendokibuga1434 Год назад

    MH.WAZIRI PITA TENA MAPINGA UTAPELI NA MATAPELI WA ARDHI NI MKUBWA

  • @Benzo_Mkemia
    @Benzo_Mkemia Год назад +1

    Huyu mzee hazimtoshi aki😂😂😅

  • @chogaissa1619
    @chogaissa1619 Год назад +1

    Kwani kumwita kunagharimu shingapi! Hapo Kuna kitu ndo maana wafanyabiashara wenxie wanampigia makofi mnalazinisha nnn

    • @kitomondo
      @kitomondo Год назад

      😂😂 Hamna kitu hapo. Umiliki wa ardhi siyo siri. Umiliki wa ardhi ni public record.

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 Год назад

      Hao siyo wafanyaBiashara wenzie hao ni Kikundi chake alichokiandaa kinamsaidia kupiga Pesa..Mambo mengine muwe mnayang'amua on time

    • @SUPERMEALSCOOLBLUE
      @SUPERMEALSCOOLBLUE 6 месяцев назад

      Sema jamaa ata Kam ana haki ila anaongea sana

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb Год назад

    Huyu jama nihatari sana kama mtu wakawaida anakuuwa

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 9 месяцев назад

    FIDDA HUSSEIN NI FISADI PAPA WA NYUMBA ZA WATU

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Год назад

    Hqwa wakisha toa rushwa kwa wruhusa ya kufanya biashara isivyo halali . Ndiyo sababu wanakuwa jeuri kiasi hicho.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Год назад

    Hao ni wengi hapa Dar wengine wanauza nyumba mara hata kumi. Na bado wanakuwa wababe na kwa kwa sababu tu wanauwezo wa pesa za kuwaonga kokote sasa ununuwe nyumba kukabidhi inakuwa matatizo kama hayo mikokononi mwa wajanja wa Dar.

  • @gabynation5406
    @gabynation5406 Год назад +1

    Tatzo lake anaongea sana

    • @nyiqatonyiqa7114
      @nyiqatonyiqa7114 6 месяцев назад

      Hata wee umekerwa kaa mie hapa 😢😢😢

  • @amalykibondei1644
    @amalykibondei1644 Год назад

    Mbona hili jambo si kubwa la wazir kuacha kazi za msingi hili no jambo la kumwita ofisin then mwisho kutoa uamuzi

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 Год назад

    Mheshimiwa uko makini, huyo ni MTOTO WA MJINI TAPELI MZOEFU anaongea kama chiriku ondoka naye Tapeli huyu

    • @EdnaMbowe
      @EdnaMbowe 6 месяцев назад

      Hana adabu anaongea na Waziri kama vile anaongea na muhuni mwenzake