ANZIA HAPA UONE KWAMBA UME QUOART EGW OUT OF CONTEXT In a vision of the night I was shown distinctly that these sentiments have been looked upon by some as the grand truths that are to be brought in and made prominent at the present time. I was shown a platform, braced by solid timbers-the truths of the Word of God. Someone high in responsibility in the medical work was directing this man and that man to loosen the timbers supporting this platform. Then I heard a voice saying, "Where are the watchmen that ought to be standing on the walls of Zion? Are they asleep? This foundation was built by the Master Worker, and will stand storm and tempest. Will they permit this man to present doctrines that deny the past experience of the people of God? The time has come to take decided action." 1SM 204.1
@@PTLPMTVUpange Mjadala w Nini? yaani unitumie mimi kupata views kwenye Channel yako? siku hizi mnafanya Biashara ya kutukana Kanisa Ili mpate viewers na kulipwa na RUclips.
EGW HAPO ANAONGEA JUU YA DOCTRINAL ERRORS AMBAZO ZILIKUWA ZINALETWA NDANI YA KANISA KAMA PANTHEISM ETC. FUATA MFRURIZO WA MANENO YAKE UONE HIYO NEW ORGANIZATION ANAYOSEMA HAPO HAIMAANISHI SDA-GC. Nidyo maana nika SEMA Wewe Umetumwa na Shetani kabisa Na wewe ndiye Ahabu unayetaabisha Israeli
Worthy listening to. God bless you abundantly brother
God bless you mtumishi
Mungu akubariki, mtumishi.
Ubarikiwe, pr. Frank
Amen ubarikiwe mtumishi.
God bless you so much leave those people alone
Amina
Barikiwa mlizi ukutani mwa nyumba ya BWANA
Kumbe Ulifundisha Ambaye ni mubaya sana kabisa.... labda Ungejuwa Usingelifanya hivo
Kazi nzuri mtumishi onyango
Kizieza kumtaja ndacha ameonyesha kuwa ako na chuki nanyi 😢 ndacha hajakuwa kwa mjadala lakini amemuingilia
Ukweli uwekwe wazi mwalimu.Mungu akubariki🙏
Akuna ukweli apo
Mungu akubariki mwalimu Frank
Bibilia inaoana na roho ya unabii onyango anatumia vzuri sana
Onyango barikiwa sana mtumishi unafundisha vizuri Sana lakini hawatakusikia HAO maana hii ni system
Huyo muombee tu kwa Mungu tangu nilipomwona kwa mara ya Kwanza mkifanya nae mjadala na akakimbia niliona hayuko sawa
Sure
Aaanikwe
Kisieza hauna hoja shidwa
Hakika mwalimu frank, leo MANENO yako yakaribiya kuniliza kabisa mtumishi, hakika mnapitiya changamoto nyingi sana kabisa mwalimu wangu..
Huyo hana jipya achana nae mtumishi songa mbele wana matengenezo tuko wengi sio Kenya tu,tupo Dunia nzima
Huyu ako na fitina 😂😂😂😂😂
Kiseiza hoja zako ni dhaifu
Mwalimu kisiesa BC hajui kweli
Uko sure sijui
ANZIA HAPA UONE KWAMBA UME QUOART EGW OUT OF CONTEXT
In a vision of the night I was shown distinctly that these sentiments have been looked upon by some as the grand truths that are to be brought in and made prominent at the present time. I was shown a platform, braced by solid timbers-the truths of the Word of God. Someone high in responsibility in the medical work was directing this man and that man to loosen the timbers supporting this platform. Then I heard a voice saying, "Where are the watchmen that ought to be standing on the walls of Zion? Are they asleep? This foundation was built by the Master Worker, and will stand storm and tempest. Will they permit this man to present doctrines that deny the past experience of the people of God? The time has come to take decided action." 1SM 204.1
Leta number yako ya simu tupange Mjadala na wewe tuelewane kama ni kweli
@@PTLPMTVUpange Mjadala w Nini? yaani unitumie mimi kupata views kwenye Channel yako? siku hizi mnafanya Biashara ya kutukana Kanisa Ili mpate viewers na kulipwa na RUclips.
Soon tunaingia kujibu mafundisho ya frank kila hoja tutajibu sai mikutano imekua mingi naona vile Frank anachanganya ukweli na error
Tuko standby wewe jiandae ujibu. Nitafuatia nyuma yako. Wewe ndio utachoka
Wewe Umetumwa na Shetani, Hii ni Kwa Mujibu ea Roho ya Unabii Ulitabiriwa kuwa utatokea wewe
Kweli kabisa....nabii wa uogo
Huyu jameni machungu ya nini
Kisieza amejichanyanya maana anapiga ukweli kwani ataki watu wafanane na bwana wao Yesu maana biblia ndio kipimo weww kiseiza wacha uongo
Akuna siku yenye nitajichanganya ndugu yangu fungua macho soon you will see
Rekebisha tabia zako kwanza wewe kisieza kabla hata ya kuwaubiria wengine. Tutakuanika uwezi sumbua watumishi ila ali tibia zako ni mbovu
EGW HAPO ANAONGEA JUU YA DOCTRINAL ERRORS AMBAZO ZILIKUWA ZINALETWA NDANI YA KANISA KAMA PANTHEISM ETC.
FUATA MFRURIZO WA MANENO YAKE UONE HIYO NEW ORGANIZATION ANAYOSEMA HAPO HAIMAANISHI SDA-GC.
Nidyo maana nika SEMA Wewe Umetumwa na Shetani kabisa Na wewe ndiye Ahabu unayetaabisha Israeli
Amen