MAMA ADAIWA KUMTOA UHAI MWANAYE MCHANGA - KISA UGUMU MAISHA - WILAYA ya MOSHI - KILIMANJARO....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 20

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  11 дней назад

    ​​JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 10 дней назад +1

    Ugum wa maisha anyonge mtt ni bora angemuacha hata kwa jiran mungu wangu subkhan llah

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 10 дней назад +1

    Poleni sana.
    Akapimwe akili.

  • @JosephinaMsagala-m1l
    @JosephinaMsagala-m1l 10 дней назад +2

    Kama anaona Hali ngumu ya maisha,mbona haja jiua yeye,kwann amuue mtoto mdogo ambaye hawez kula ata robo ya unga akamaliza,uyo mama anatakiwa na yeye anyongwe mpka kufa,mshanzi kabisa alafu analia ndo anaona mtoto anaumwa kuliko ugumu wa maisha,sasa ataenda kudanga magereza

  • @RahelUrio
    @RahelUrio 11 дней назад +1

    Ee mungu Tuhurumiee Jamanii😢

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 10 дней назад

    Daahh angempa hata wema tuu

  • @Kuruthum-v8j
    @Kuruthum-v8j 10 дней назад

    💔😭

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 11 дней назад +2

    Ana ugonjwa wa AKILI KAMPIMENIII

  • @mariamsaid6334
    @mariamsaid6334 10 дней назад

    Xaxa kwann asingemuacha hospital tu masikini

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 10 дней назад

    He Dunia sasa naona imefika mwisho

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 10 дней назад

    Kryuuu si angempeleka vituo vya kulelea watoto jamani😢😢

  • @LucyMulenga-wu4yt
    @LucyMulenga-wu4yt 10 дней назад

    Mpelekeni kongo😢

  • @HellenNkwera
    @HellenNkwera 11 дней назад

    😢😢

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 10 дней назад

    Akamatwe

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p 10 дней назад

    Akamatwe afungwe mshenzi huyo

  • @paulinewangila-cs6ys
    @paulinewangila-cs6ys 10 дней назад

    MAISHA TZ NI RAHISI MNO MAZIWA NA ASALI VYAKULA NI VINGI MPAKA ZINAUZWA NCHI JIRANI

  • @Nicetha-p2n
    @Nicetha-p2n 10 дней назад +1

    Ugonjwa wa akili

    • @TheresiafaustineMeela
      @TheresiafaustineMeela 10 дней назад

      Peuperial psychosis

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de 9 дней назад

      Hana ugonjwa wa akili Wala kichwa achen kutetea wajinga wakat yy kasema ugum wa maisha " Hana uchz wwt umalaya tu upo kwenye dam na lenyewe likanyongwe

  • @naomipius-dk6xh
    @naomipius-dk6xh 10 дней назад

    Jamani binadam tumekuwa wakatiri sana! Si angeniletea mimi?