SIRI IMEFICHUKA BINTI ALIESEMA AMELAWITIWA NA MKUU WA MKOA | MATUKIO YAKE NI BALAA ZITO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 июн 2024
  • Kwa niaba ya kamati yetu tumefanikiwa kupata barua alioandika binti anaedaiwa kulawitiwa na Mkuu wa Mkoa jirani na Mkoa wa Mwanza kuondoa shauri la kesi hiyo kwenye ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Mwanza kesi ilipofinguliwa kwani Mkuu huyo wa mkoa alitoka kwenye Mkoa wake jirani na kują kufanyia tukio hilo Mkoani Mwanza ndani ya gari private lenye usajiri T 496 BND Toyota Crown .
    Kamati yetu imeshangaa kwanini Mtuhumiwa hajachukuliwa hatua, je ? Tunajuaje huyu binti kama kweli ameandika barua hii kwa hiari yake au kalazimishwa???
    Je? Angekuwa ni Raia wa kawaida Angeachwa??
    Kwa niaba ya kamati yetu, tunatoa rai na Ombi kwenye Ofisi ya Makamo wa Rais na Ofisi ya Waziri Mkuu kuingilia hili kwani ni aibu kwa kiongozi wa serikali kuhusishwa na vitendo vya kikatili na vyenye taswira mbaya ndani ya Taifa letu.
    MWISHO kitendo cha huyu Mkuu wa Mkoa kutokamatwa mpaka muda huu kinaleta picha mbaya kwa WATANZANIA Yaani ni kama ulawiti ukifanywa na Viongozi ni ngumu kuwajibishwa ila ukifanywa na WATANZANIA Asubuh mapema JELA INAWAHUSU👌
    Kwa niaba ya Kamati yetu hatutochoka kupigia kelele hili ikibidi tukiona kimya kimezidi Basi tutapost picha na majina kamili ya wahusika.
    #mkuuwamkoawasimiyu #ulawiti #simiyu

Комментарии • 85

  • @MamaBambala
    @MamaBambala 3 дня назад +1

    Kigogo Mungu akubariki sana ilifaa hata kwenye chaguzi za vyama wakupe kazi ili uwafichue vigogo wanaomwambia Mkt Ccm Taifa uongo huku wakimpelekea jina la aliye wahonga pesa kuwa mbunge.Mungu akupe afya. njema
    mwanangu.Lkn shetani amemfedhehesha mkuu huyo.Mungu ailinde afya yako.

  • @kulwanyerere7501
    @kulwanyerere7501 10 дней назад +4

    Siasa za Tanzania ni hatari na hasa ukiwa mchapakazi na unasimamia ukweli utaundiwa mambo nakutangazwa kwenye vyombo vya habari mpaka utashangaa kwa mizengwe hii tunarudisha sana nyuma juhudi za watu wenye nia njema na Taifa hili kwani tunawachafua pasipo sababu

  • @AmosKayega
    @AmosKayega 13 дней назад +3

    Huyo Binti mungu atamlipa Tena nimnafiki mkubwa kamponza mtoto wamwanamkem mwenziye

  • @yahayaramadhani6418
    @yahayaramadhani6418 13 дней назад +14

    Huyu binti huenda kutumiwa amchafue Mkuu wa Mkoa hata kwa kufikiri tu haingii akilini kabisa jamani jamani hii ni dhambi sana kwa kumdharirisha binadamu mwenzio hivi, mhmm!

    • @Official83640
      @Official83640 13 дней назад

      Kwahy katumwa kafanyiwa kitendo au hakufanyiwa na je CCTV zilizoonyesha sio za kweli nazo au walitengeneza makusudi aende kwenye hilo eneo na kumfanyia hiko kitendo hapo ndy tunataka tujue maana vichwa vyetu havielewi

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 13 дней назад

      Kwanini Mkuu wa Mkoa awe na tabia za kimalaya?kama hizo na kwanini aingie kwenye mitego ya kiuni?Kama anashindwa kuwa salama Yeye,Je Mkoa wake utakuwa salaama?

    • @ndolepeter2770
      @ndolepeter2770 13 дней назад

      Pia mazingira ya alie tegwa akategeka.

    • @JeremiaMnanka
      @JeremiaMnanka 11 дней назад

      Mkumbukeni adamu aricho fanyiwa na hawa

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 11 дней назад

      @@JeremiaMnanka Hawa alikuwa ni mke halali wa ADAMU hakuwa kimada,kwahiyo husilinganishe zinaa za hao na mambo ya Mtume mtukufu ADAMU!Wake zetu wa ndoa wanaweza kututoa kwenye mstari tusipo kuwa makini,tumeelekezwa tuishi nao kwa akili!

  • @elizageorge2414
    @elizageorge2414 5 дней назад +1

    Bint mwanga kwa kipi alichonacho. Cha ajabu. Ila atalaamiwa

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 13 дней назад +3

    Yule mkuu wa mkoa alikuwa anapamba na mafisadi huko simiyu,inaonekana binti akitengenezwa kumchafua mkuu wa mkoa!!

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 13 дней назад +4

    Mm pia siwez kuunga mkono kuwa nawanda amefanya Jambo Hilo hiyo ni siasa tu kwa wale wezi wanaopigwa spana na Nawanda

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 16 часов назад

    Mheshimiwa hawezi kutembea na takataka kama hii. Ila ni kesi tu wamemtengenezea kumchafua mh mkuu wa mkoa.

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 12 дней назад

    Mungu Anajua zaidi

  • @stevensteve7519
    @stevensteve7519 13 дней назад +4

    Huyu binti nimuongo. Kayataka mwenyewe kilichomfanya aende kwenye gari mafichoni na akavua nguo zake mwenyewe na kwamba simtoto mdogo ana umri wa miaka ya mtu mzima. Asipoteze muda wa mapolisi wetu kuchunguza umalaya wake.

    • @stylishgenius9886
      @stylishgenius9886 13 дней назад

      Nimalaya kiufupi

    • @fredysiwale5413
      @fredysiwale5413 13 дней назад +1

      Kwanza dakika 30 hazitoshi kuweza kumwingilia kinguvu matakoni labda kama yeye alihitaji kuingiliwa matakoni aka akajiaiandaa kabisa Kulahisha kamchezo

  • @HidayaBomani
    @HidayaBomani 13 дней назад +2

    Awajibishwe huyu bint liwe fundisho kwa wanaotumiwa kuchafua heshima za watu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 13 дней назад +3

    Yafaaa kuandikiwa dhambi Sababu ya kuamini na kueneza fitna

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 13 дней назад

    Mambo ni machafu. Tumemsahau mungu. Na kujiona basi. Mungu utuhurumie.

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 13 дней назад +1

    Huyu binti ni mrembo kwakweli😋❤️

  • @JumaHeri-hn2bw
    @JumaHeri-hn2bw 14 дней назад +3

    Kama mbunge wa babati Mwisho wa siku anaendelea na majukumu yake ila fanya ww dunia isimame

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 13 дней назад +1

    Huyo binti ni Malaya kama malaya wengine. ila Mungu anamuona.

  • @dottomabula7253
    @dottomabula7253 13 дней назад +2

    Hiyo binti Uvivu wa kuenda shambani
    Taifa halina vijana no productivity

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 13 дней назад +3

    Atakuwa anatumika huho binti

  • @AshaMbaraka-cb5ix
    @AshaMbaraka-cb5ix 13 дней назад +1

    Jamani serikali ifanye uchunguz, kama amepangwa basi kwa walipangwa wachukuliwe hatua Kali za kisheria, imeniuma sana, Binti ni michezo yake fanyeni uchunguzi

  • @geraldmminza6494
    @geraldmminza6494 4 дня назад

    Mungu wetu ongoza watu wote wanaochunguza jambo hili waweke ukweli hadharani maana limeumiza watu wengi

  • @user-wl8ns6hh8l
    @user-wl8ns6hh8l 3 дня назад

    Jamani wacheni kuteyeA UJINGA NA kumsakama huyu bint siyo hayA mambo yapo nayafanywa na wTu wenye heshimA zao huwezi kuamini kunabaadhi ya wanaume ni wazhenzi msiwO e wMeva suti zao wanatia aibu kwenye familia zAo 0:00

  • @owenwaane5285
    @owenwaane5285 5 дней назад

    😊

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 13 дней назад +1

    Huyo mwanamke katumika kumchafua huyo mkuu wa mkoa,huyo baba hajafanya kitu Kama hicho yaan wameamua kumchafua tu,Hama kweli Siasa mchezo mchafu

  • @francisletara4316
    @francisletara4316 10 дней назад

    Mm siamini suala hili.

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 2 дня назад

    Wapowengi hawa ilatumuombe mhe Rais alione hili na mungu amfanyie wepesi kwahili amuone tena kuwa ni ameonewa !!! Ampe nafasi tena kijana huyu kama nihaya tuyaonayo!!! Huyu apanaa😂

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 13 дней назад

    Kalawitiii..mbona katajwa yeye

  • @jrsaid4270
    @jrsaid4270 13 дней назад +1

    Huyo binti mwenyew sasa anasuraxkama Tako la nguruwe pori

  • @kuntaalkinte5415
    @kuntaalkinte5415 13 дней назад

    Huo kama mshiko wa bangi na c sigara😂

  • @elipidhugotesha1909
    @elipidhugotesha1909 13 дней назад

    😂😂hiyo sigara bint kawekewa mdomon na editor maji yakimwajika hayazoleki

  • @user-cv7vm1mx9d
    @user-cv7vm1mx9d 13 дней назад

    Duh basi huyo jamaa wa mpanda achiliwe

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 13 дней назад +6

    Binafsi moyo wangu umekataa kuamin hiki kitu kama anasingiziwa jaman Mungu atuhurumie.

  • @Omi-oh7lk
    @Omi-oh7lk 11 дней назад

    Tuiachie serekari rakini ikigundiurika mkuu wa mkoa kasingiziwa inahuma Sanaa ilaa mungu atakulipa.

  • @aloujouasumwisye553
    @aloujouasumwisye553 13 дней назад

    Ikiwa kila mtu atakuwa na hofu ya Mungu upuzi kama huo hautatokea ila kwa sababu shetan yuko kazini akiwatumia wanadamu basi hayo hutokea

  • @barakamwangama9109
    @barakamwangama9109 11 дней назад

    Kama ndo michezo yake atakufa vibaya huyo

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 13 дней назад

    Dunia ina Mambo mengi

  • @thadeosanga7757
    @thadeosanga7757 10 дней назад

    Kamela za cctv zinasema ukweri

  • @asteriabarnabashindima3296
    @asteriabarnabashindima3296 11 дней назад

    Na yeye rock city mall kilimpeleka nn tena usiku akiwa anajitambua yy ni mwanafunzi hadi aingie kwenye gari sio mwanafunzi huyo ni mtafuta wanaume huyo

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 13 дней назад

    Hamna kitu hapa, mwana siasa wa ccm hafanywi kitu ni watu wa sayari nyingine. Wiki ijayo hutasikia chochote.

  • @SophiaAthumani-ri4lu
    @SophiaAthumani-ri4lu 13 дней назад

    Huyu mwanamke achunguzwe na ikijulikana ana hatia afungwe iwe fundisho kwa wengine.

  • @robbywingle3323
    @robbywingle3323 13 дней назад

    Uyo demu wakuua kama yule demu ya geita GGm

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 7 дней назад

    Hata kama alifanyiwa hicho kitendo ni Kwa ridhaa yake. Iweje kuwa alifanyiwa hivyo hivyo kabla hakuripoti wiki zinapita anafanyiwa tena ndio anaripoti. Huyo Binti ni tapeli ana black mail watu.

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 13 дней назад

    Hao wanaodai wamelawitiwa wawe wana kaa jela mpaka kesi iishe kwa Usalama wao.Pià ikijulikana ni uongo wahukusiwe jela za watoto uone kama ujinga ujinga utakua unatokea.

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 13 дней назад

    Hamna binti hapo

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 11 дней назад

    Akamatwe ahojiwe awataje walomtuma jamani wezi wa pesa za serikali wana mbonu nyingi saana

  • @monikamasasi7582
    @monikamasasi7582 14 дней назад

    Serikali ifuatilie kwa makini suala hili,

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 13 дней назад

    Nyie watu ndio mnazingua kila mtu akisema amebakwa tu mnakuja juu mbona wanawake wanatoa mimba na mnakaa kimya hivi kubaka na kutoa mimba lipi ni kosa kubwa

  • @user-oz4gz8kq9e
    @user-oz4gz8kq9e 13 дней назад

    Hivi mkuu wa mkoa atatokana wapi na huyo malaya kakosa wanawake au mke huyu malaya katumika kumchafua mkuu wa mkoa huyo malaya achunguzwe ikionekana ni jambo la kupanga achukuliwe hatua kali za kisheria.

  • @user-id1gu7pr3t
    @user-id1gu7pr3t 13 дней назад

    Mbona apo anaonekana anavuta sigara???

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 13 дней назад

    Uyu binti ni malaya anatumiwa na wanasiasa nama fisadi mkuu wa wawilaya alikuw anapambana na mafusadi sana

  • @user-xm6je1jw9v
    @user-xm6je1jw9v 6 дней назад

    Na wasiwasi na huyo binti.anafanya biashara chafu.safari hii njama zake zitafichuliwa

  • @SalminTenga-fx6wi
    @SalminTenga-fx6wi 13 дней назад

    Uyo bnt ni mjinga iv kwa nn .akubali alafu pia uyo bnt yupo kibiashara .na pia katumiwa na watu kumchafuwa

  • @emmanueljoel8581
    @emmanueljoel8581 13 дней назад

    Yote mawili yanawezekana

  • @johnmusenje
    @johnmusenje 11 дней назад

    Binti mshenzi

  • @user-uo1zx4yu1z
    @user-uo1zx4yu1z 10 дней назад

    Bint itabidi aongee ukweli katumwa na nani mbana kazi nyepesi

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 13 дней назад

    Mimi sikubaliana nayo kweli huyu Mkuu wa Mkoa anaweza kufanya hivyo wanawake wote hawa wanatafuta wanaume hiyo ni kumharibiq kazi tu Kiongozi

  • @elizageorge2414
    @elizageorge2414 5 дней назад

    Bint mchawi na alaniwe

  • @musakatwale1959
    @musakatwale1959 9 дней назад

    SEMA KWELI HAPO KUNA JIWE KTK LAMI.HAINASIKI VILE ETI????

  • @msafirimhagama6445
    @msafirimhagama6445 13 дней назад

    Nasikitika bw madora tv umeedit picha na kutuaminisha hii story yaani shenzi kabisa k... A

  • @user-tb8zb4rv6h
    @user-tb8zb4rv6h 13 дней назад

    Huyu dada hata kwa maerezo yake nimuongo

  • @owenwaane5285
    @owenwaane5285 5 дней назад

    P
    😏P😊

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 13 дней назад

    Huyu bint alishawahi kumfunga mtu miaka 30 hivyo hivyo

  • @ghulamhaji7856
    @ghulamhaji7856 13 дней назад

    Binti wa chuo tena degree ndugu zetu na dada zetu mnajitoa thamani wenyewe

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 13 дней назад

    Siasa mchezo mchafu.

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 13 дней назад

    Huu ni uongo na dhuruma na ni zambi kubwa sana

  • @modestmukuti4640
    @modestmukuti4640 13 дней назад

    Binafsi nawashangaa wanaotoa hukumu!! Tuache vyombo vya uchunguzi vifanye kazi yao na matokeo yake yatajulikana.

  • @abdirazakmadhar2000
    @abdirazakmadhar2000 13 дней назад

    HII KESI IMEPANGWA.
    1.KUMCHAFUA MKUU KWA MANUFAA YA UPANDE FULANI.
    2 UCHUNGUZI UFANYIKE ILA WATAKAO HUSIKA
    3 WACHUKULIWE HATUA KALI IWE FUNDISHO
    4 AMEFANYA KAZI NZURI MKUU NDIO SABABU KUTOKEA HII
    5 HUYU DADA AMETUNGA AU KESI IMEPIKWA ICHUNGUZWE
    6 DD MWINGI SASA HATA MAJANI YUPO?

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 13 дней назад

    Sasa mh Rais Samia awe makini sana wateule wake wengi watawasngizia mambo mzito ya aibu. Makonda, jer slaa ,chalamila, kihongos, mchengerwa , mtaka, hao ni viongozi wachache. Ninao wajua hawapendwi kabisa na mafisadi mh Rais awalinde kwa kila njia ili watimize ndoto zake

    • @SophiaAthumani-ri4lu
      @SophiaAthumani-ri4lu 13 дней назад

      Kweli kabisa mtu analipwa pesa kumchafua kiongozi inaumiza sana .

  • @AbelMwakabenga
    @AbelMwakabenga 11 дней назад

    Màmbo ya kisiasa Kuna watu wenye hira wanao wachafua wezao bira sababu vipimo vya dactal vinasemaje? Naomba jesi la polis kama likagundua Binti huyo ni mwongo limchukulie hatua ya kisheria ya kumpeleka mahakamani,

  • @user-vp1zu3fb5w
    @user-vp1zu3fb5w 13 дней назад

    YEYE HUYU MKUU WA MIKOA KAMA ALIMLAWITI HATA KAMA NI MALAYA HUONI KWAMBA AMEFANYA KITENDO AMBACHO KILIKUA HAKISTAILI KAMA KIONGOZI?HAFAI KUA KIONGOZI KAMA IMEFIKA MAHALI MKUU WA MIKOA ANA MLAWITI MALAYA KWENYE GARI😂, HUYO AMEHARIBU HESHIMA KABISAAA HAFAI KUA HATA BALOZI WA NYUMBA KUMI,

    • @fredysiwale5413
      @fredysiwale5413 13 дней назад

      Huyo binti katumiwa na wabaya wa Mkuu wa mkoa . Dakika 30.hazitoshi kumlazimisha hadi afanikishe ulawiti. Kama kweli alifanikiwa aliingia na kumaliza basi huyo ndio tabia yake asituzingue kwa mparange hakuingiliki bira maandalizi ya mda mrefu. Serkali na hasa mh Rais awe macho wateule wake hasa wachapakazi wanawindwa kweli ili waondolewe. Wabaki wavivu tu.

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 11 дней назад

    Kuna shida huo ni mchezo tu Wiki mbiliumelawitiwa umenyamaza hadi leo Huyu binti anapíga hela na ni mchezo wake

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 13 дней назад

    Mtu kasema ukweli mnakataaa