Jifunzeni kumtegemea Mungu na wala si mwanadamu. Bwana Yesu ndiye Mchungaji Mwema. Na alipokufa pazia la hekalu lilipasuka ili kila mmoja aliyempokea aweze kwa Damu yake inenayo Mema Wakati Wote kuingia Patakatifu pa Patakatifu.
@@dausonphjeremiah Wote Tuko na Roho Mtakatifu anaye ishi ndani yetu. Huo ndio msingi. Tusibadilishe kutegemezwa kuwa kutegemewa. Spiritual Maturity ndio lengo. Waefeso 4:13 usiwafanye wengine kuwa tegemzezi. Kwamba wewe ndio unashambuliwa kwa ajili/niaba yao.
Ahsante kwa mafundisho haya makini Apostle.
Amen Apostle nimekuelewa vema
Amen , napokeya nguvu ya ku sapoti kazi njema ya Bwana wetu Yesu Kristu ❤❤
Asante Sana Apostle kwa mafundisho haya. Mimi binafsi nimejifunza na nimeelewa vyema.
Best teacher❤❤
asante Apostle kwa ujumbe huu nimesikiliza vyema na nimejifunza kitu kikubwa sana
Amen chief
🔥🔥🔥
Amina
Fire man of God
Mungu nisaidie nisipungukiwe na nizidi kuifanya kwa bidii katika ufalme wako ktk kuinua mikono ya watumishi wako.
Amen chife
Niombe niaje maangaiko
Jifunzeni kumtegemea Mungu na wala si mwanadamu. Bwana Yesu ndiye Mchungaji Mwema. Na alipokufa pazia la hekalu lilipasuka ili kila mmoja aliyempokea aweze kwa Damu yake inenayo Mema Wakati Wote kuingia Patakatifu pa Patakatifu.
Efeso 4:11
@@dausonphjeremiah
Wote Tuko na Roho Mtakatifu anaye ishi ndani yetu. Huo ndio msingi. Tusibadilishe kutegemezwa kuwa kutegemewa. Spiritual Maturity ndio lengo. Waefeso 4:13 usiwafanye wengine kuwa tegemzezi. Kwamba wewe ndio unashambuliwa kwa ajili/niaba yao.
Napokea ushindi kwa jina la Yesu
Amen
AMEN CHIEF 🙏🏼
MUNGU nisaidie kutekeleza haya mafundisho in Jesus name.
Kila roho inayotawanya uchumi wangu kwa njia yoyote ile iniachie leo kwa Jina la Yesu
🙏🙏🙏⚠️Tegemezaa, Mtumishi wa Mungu
Amen
Amen
Amen