Asaĺam Alaykum warahama wabarakatuh ! MASHA ALLAH DINI YA HAKI INSHA ALLAH LAZIMA YENDE MBELE AMIN AMIN,HONGERA MASHEKHE WETU TUKO NYUMA YENU POPOTE PALE AMIN AMIN
رُّبَمَا يَوَدُّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ لَوْ كَانُوا۟ مُسْلِمِينَ Perhaps those who disbelieve will wish they were Muslims. Quran:Al-Hijr(15:2) ذَرْهُمْ يَأْكُلُوا۟ وَيَتَمَتَّعُوا۟ وَيُلْهِهِمُ ٱلْأَمَلُ ۖ فَسَوْفَ يَعْلَمُونَ Leave them to eat, and enjoy themselves, and be lulled by hope. They will know. Quran:Al-Hijr(15:3)
Mariana, wewe ni mtoto nenda ukasome. Yohana 17:3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. Kulingana na hii andiko, kuna Mungu na kuna Yesu.
@@nurdinadan1140 kwa hiyo sasa kwa nini usimuamini YESU KRISTO aliyetumwa na Mungu,?ndio ujui Mungu aliyeupande wa YESU KRISTO ndio Mungu wa kweli.kwa nn unamuamini Mohammad asiyetumwa na Mungu wa kweli na kumdharau YESU KRISTO?
Pole sana Soma ijili vizuri upate kuelewa! DINI YA HAKI NI usilamu! Mungu moja hakuza wala hakuzaliwa, MASHEKHE WETU hawalipui kueneza DINI! Ila wanataka kuwatowa Gizani!
@@StraightPathDawah huyo mnayemdharau YESU KRISTO Ndio Mungu wa kweli ,na huyo mnayemuabudu allah mnadhani kuwa ndio Mungu wa kweli sio Mungu wa kweli ni shetani mkubwa audanganye ulimwengu wote na kuwapeleka watu jehanamu, Kuna siku inakuja mtatamani mumjue YESU KRISTO lkn mtakuwa mmesha chelewa tubu kabla hamjachelewa, shetani ni muongo sana ndugu zangu, YESU KRISTO ndio njia ya kweli na uzima,
@@wamugimohammed3848 ni nikwambie hakuna hata dini moja itakayokwenda mbinguni isipokuwa wale tu watakao mwamini YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na ndio Mungu wa kweli,na huyo mnayemdharau YESU KRISTO ndio Mungu wa kweli na huyo allah mnayemuabudu sio Mungu wa kweli ni shetani mkubwa audanganye ulimwengu wote na kuwapeleka watu jehanamu, zinduka na tubu kabla haujachelewa
MASHALLAH MASHALLAH habari wanayo sio kwa mykhtasari Bali kamili kamili JAZZAHKALLAH
Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
MashaAllah Tabarak Llah Ma'Sheikh kazi safi. Allah awabarik nyote Ameen Ameen.
Mashallah ALLAH BARIIKum always my brothers kwa haki munaongea.
Mashallah masheikh wetu kwa kazi mzuri kwa kuwafikishia ujumbe wakiristo kwamba yesu c mwana wa mungu,Allah awaongoze waache kufuru zao
Pigaaa kazi sheikh ramadhan Allah atakuzidishia achana na maneno ya watu
Shukran, jazak Allahu kheiran
Asaĺam Alaykum! KWELI kkngu !! Ibirisi ni watu BILA IMAN YA HALI YAJUU UTAANGUKA MTIHANI! ALLAH AZIDINI KUTUZIDISHIE IMAN SOTE UMATI MOHAMAD AMIN AMIN
@@wamugimohammed3848
Wa-alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Aameen
Masha Allah
MashaAllah
Asaĺam Alaykum warahama wabarakatuh ! MASHA ALLAH DINI YA HAKI INSHA ALLAH LAZIMA YENDE MBELE AMIN AMIN,HONGERA MASHEKHE WETU TUKO NYUMA YENU POPOTE PALE AMIN AMIN
Ustaz Yusuf ...napenda sauti yako ya kazi babangu😄😄😄
Wallai kazi zenu pia zataka Subra kwa lugha wanayo itumia hao makafiri
Sana sana
mashaAllah may Allah protect you and make you strong and firm to spread Islam ☝🏽
رُّبَمَا يَوَدُّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ لَوْ كَانُوا۟ مُسْلِمِينَ
Perhaps those who disbelieve will wish they were Muslims.
Quran:Al-Hijr(15:2)
ذَرْهُمْ يَأْكُلُوا۟ وَيَتَمَتَّعُوا۟ وَيُلْهِهِمُ ٱلْأَمَلُ ۖ فَسَوْفَ يَعْلَمُونَ
Leave them to eat, and enjoy themselves, and be lulled by hope. They will know.
Quran:Al-Hijr(15:3)
Masha Allah, kazi nzuri, Allah awazidishie elmu na umri mrefu, rizki, subra na amani majumbani mwetu Amiin Thumma Amiin
Hapo patakiwa ujengwe msikiti In sha a Allah
Sheikh Yusuf na raamdan hamuez kutuekea live
inshaAllah tutajaribu
😇😇😇 ALLAHU AKIBAR KWELI NOMA MSAFARA WA WENDA WAPI?
وَمَا يَنۢبَغِى لِلرَّحْمَٰنِ أَن يَتَّخِذَ وَلَدًا
It is not fitting for the Most Gracious to have a child.
Quran:Maryam(19:92)
Mungu ni wagapi???
Hii video haina viwango tafuteni mafundi wazuri
Shukran
YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine tubuni kabla hamjachelewa,
Mariana, wewe ni mtoto nenda ukasome. Yohana 17:3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. Kulingana na hii andiko, kuna Mungu na kuna Yesu.
Mt 22:29 Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.
@@nurdinadan1140 Sasa nyie ndio hamjui maandiko mnatafrisi biblia kama udaku
@@nurdinadan1140 kwa hiyo sasa kwa nini usimuamini YESU KRISTO aliyetumwa na Mungu,?ndio ujui Mungu aliyeupande wa YESU KRISTO ndio Mungu wa kweli.kwa nn unamuamini Mohammad asiyetumwa na Mungu wa kweli na kumdharau YESU KRISTO?
@@nurdinadan1140 nyie ndio mmepotea kabisa kwa sababu mnatafrisi biblia kama udaku
Tena YESU KRISTO ni MUNGU wa kweli
Hatari sana
Vipi Mungu akawa binadamu?
Tena vipi Mungu awe na ukooo?
Pole sana Soma ijili vizuri upate kuelewa! DINI YA HAKI NI usilamu! Mungu moja hakuza wala hakuzaliwa, MASHEKHE WETU hawalipui kueneza DINI! Ila wanataka kuwatowa Gizani!
@@StraightPathDawah huyo mnayemdharau YESU KRISTO Ndio Mungu wa kweli ,na huyo mnayemuabudu allah mnadhani kuwa ndio Mungu wa kweli sio Mungu wa kweli ni shetani mkubwa audanganye ulimwengu wote na kuwapeleka watu jehanamu, Kuna siku inakuja mtatamani mumjue YESU KRISTO lkn mtakuwa mmesha chelewa tubu kabla hamjachelewa, shetani ni muongo sana ndugu zangu, YESU KRISTO ndio njia ya kweli na uzima,
@@wamugimohammed3848 ni nikwambie hakuna hata dini moja itakayokwenda mbinguni isipokuwa wale tu watakao mwamini YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na ndio Mungu wa kweli,na huyo mnayemdharau YESU KRISTO ndio Mungu wa kweli na huyo allah mnayemuabudu sio Mungu wa kweli ni shetani mkubwa audanganye ulimwengu wote na kuwapeleka watu jehanamu, zinduka na tubu kabla haujachelewa
Masha Allah
وَمَا يَنۢبَغِى لِلرَّحْمَٰنِ أَن يَتَّخِذَ وَلَدًا
It is not fitting for the Most Gracious to have a child.
Quran:Maryam(19:92)
Masha Allah
Masha Allah
Jazak Allahu kheiran