HAWA HAPA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA MTOTO ALBINO ASIMWE MAHAKAMANI,HAKIMU AAHIRISHA KESI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 22

  • @MukarusineEsperance
    @MukarusineEsperance 6 месяцев назад +2

    Masikini asimwe .mungu akuraze mahari pema peponi.

  • @AnnoyedBooks-kn5pm
    @AnnoyedBooks-kn5pm 4 месяца назад

    Siku hizi hakuna kumwamini mtu unasema huyu ni mtumishi w mungu kumbe ndie shetani . asimwe mungu akupokee mtoto wangu

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 6 месяцев назад +3

    Wanyongwe hao wote
    Mimi sioni maana ya hii kesi

  • @JACKSONNAJEMA
    @JACKSONNAJEMA 6 месяцев назад

    Daaah

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm 6 месяцев назад +1

    Umeaibisha dini

  • @FridahFlorence
    @FridahFlorence 5 месяцев назад

    Mm naomba nitoe ushaur kwann serikar isitafte chanzo cha mauwaji ayo sidhan uyo mtuumiwa namba moja km Jana watu nyuma yake naomba serikar ichimbue tatzo ili kwa kina ijurikane uyo mtoto alikuwa anaepelekwa wap na ninan aliemtuma

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 3 месяца назад

    Nakosa la kusema zaidi ya kuliombea taifa letu, pia wauaji ni vijana wadogo lakini hakuna shida waache wakaozee jela

  • @othmanshahib1115
    @othmanshahib1115 2 месяца назад

    Yapigeni risasi yote hayo hayafai kuishi na binadamu

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 5 месяцев назад

    Yani baba ndo WA kumgadi mtt wake Leo hi ndo mwanzo watowa ramani wafungwe Maisha shenzi hawa

  • @GaudenciaMawallo-mm4gi
    @GaudenciaMawallo-mm4gi 6 месяцев назад

    Mmh

  • @FredricktheonestShayo
    @FredricktheonestShayo 6 месяцев назад

    Wewe ripota sema aliyekua padri kwasasa jimbo halimtambui tena

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in 6 месяцев назад

    Mbona wanacheleweshwa kunyongwa jamaani du

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm 6 месяцев назад +1

    Baba wakiroo kwer aibu kubwa

    • @syliviakente9460
      @syliviakente9460 6 месяцев назад

      Hana lolote kwao watakuwa wachawi kubwa zima ovyo Keep Resting in Peace Angel Asimwe

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 6 месяцев назад

    Laana tu LLAH,Hivi vitendo vya Uuwaji ni kwa waso nahatia? Baba unamtoa mtoto wako kwa Tamaaa ya pesa,Hiyo pesa utakapo nayo miaka mingapi?

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 6 месяцев назад

    Wanyongwe awo wamemtesa Mtoto Mafara kabisa.

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 4 месяца назад

    Sasa huuo padri ni vipi ni aibu kwa ujumla

  • @GoodluckTarimo-u3j
    @GoodluckTarimo-u3j 6 месяцев назад +1

    Hapo vigogo wakowapi

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 6 месяцев назад +1

    Wapigwe MAKOFI KILA SIKU hao

  • @StevenAlphonce-p8d
    @StevenAlphonce-p8d 5 месяцев назад

    Waraniwe

  • @ZaituniSaningo-ez1sd
    @ZaituniSaningo-ez1sd 6 месяцев назад

    Wajinga hawa