Yan nyimbo akiwaga king kiba lazima hata wew vankaka unakuwaga na Aman sanaaaaaa kuanzia so hot, mediocre, nibakishie, Nakupenda, proud of you, na hii in love..... Duuuu ❤️❤️king atabaki kuwa king msije mkafananisha na vitu vya ajabu👑 yebabaaa
King kiba akuna mwengine kabisa,,, wengine wanaimba nyimbo za kitoto,,king ukimsikia na sauti yake Kuna utamu flani unakuja,,na kumbukumbu zinakujia ,,,io ni collaboration Bora ya mwaka
Natoa maoni naweka bembeni King kiba 🇹🇿 sikuzote anafanyaga maunyama lkn hii ngoma maunyama super Sana kuzidi Sana kiufupi Kama kashindikana acha niendele kumuita2 mufaume
Wakati tunaifurahia hii In Love, tuvute subira tutaenjoy tena mziki mzuri kutoka kwa Alikina unao kwenda kwa njina la #Infédèle hii ni baada ya NAKUPENDA, PROUD OF YOU, InLove Ya Otile sasa itafuata zam ya mfalme Infédèle soon, tukae kwa kutulia.
I always find myself going back to these odd reactions za Vanni, bonge la reaction! Napenda tu njia zenye Vanni hupita akifanya reaction, well done my guy. Whats popping!!!! 😅😅
Poleni kwa Usumbufu, Bado naumwa siwezi ku breath vizuri ,pia mafua yamenishika na homa , in short siko na energy, Ila In Love imesaidiaaa
Usijar tunakuombea mana Reaction zako ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
bidii
i was here
Get Well soon bra! we also in love with u
Pole nakuumwa ila usinge ongeleya is inge nonga bro Mungu atakushindiya
Yan nyimbo akiwaga king kiba lazima hata wew vankaka unakuwaga na Aman sanaaaaaa kuanzia so hot, mediocre, nibakishie, Nakupenda, proud of you, na hii in love..... Duuuu ❤️❤️king atabaki kuwa king msije mkafananisha na vitu vya ajabu👑 yebabaaa
Mob love from +254..wapi likes za otile brown na king kiba
Ukimshirikisha kingkiba ngoma lazima ngoma iwe kaliii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ukimshilikisha kiba jipange kwanza.sio mtu mzuri
King n mmoja tuu mpaka afe yee baba king kiba nice king 🇹🇿🇰🇪🔥🔥🔥🤴🙌
Hii nyimbo na hicho kinanda kwa mbali unaweza kufuta nyimbo zote zlizopo ktk cm yako Dadeq🔥🔥⚡⚡⚡
King kiba akuna mwengine kabisa,,, wengine wanaimba nyimbo za kitoto,,king ukimsikia na sauti yake Kuna utamu flani unakuja,,na kumbukumbu zinakujia ,,,io ni collaboration Bora ya mwaka
Nimekua wa kwanza kucomment leo umetisha sana U KNOW WHAT......
Baraka da prince.
Shettah.
Jux.
King kiba.
OB never disappoints 255🇹🇿 X 254🇰🇪...mad love.🔥🔥🔥 Unyamweeeeeeezii mwingi..twende wote
Yoooh yebaba otil brown and king Kiba ni mofaya tujuwane wa kenya Tanzania na Congo my people
Uko na shida ya kupumua bro 🤔🤔, pole sana utapona, tunakupenda ❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bro I got a question ;”mbona kama nime skia una hema hema bro is everything okay team kiba in the building 🤴
Ni kweli bro, naumwa bro , pole kwa usumbufu bro🙏🙏
Kiba na otile mnawachoma sindano zamacho majirani zenu 💥💥💥💥💥💥💪💪
Natoa maoni naweka bembeni King kiba 🇹🇿 sikuzote anafanyaga maunyama lkn hii ngoma maunyama super Sana kuzidi Sana kiufupi Kama kashindikana acha niendele kumuita2 mufaume
Uko right kaka
Broo Ali fundi sanaa anaimba kwa feelings sana 😍
Kabisa
Zaabu haijifichi ata ukiwa kwenye mchanga
Mama wwwwwweee kiba ni moto' van usijar utakuwa poa soon 2..Bonge la ngoma
No one does reaction to good music like you do Vaniskaka ,big respect bro.
Hujaona "That fire LA" kwanza Gengetone utatii the guy is just ok na beat bro mtafute then anapenda OG sanaaa
@@dikembeombutu4239 that guy doesn't vibe like Van
Polee Sana bro kwa hio Homa
Na kuhusu hio nyimbo Sina lakusema akiwa ypo king king ndani utabidi turilax otile brown na king king salut 💓💛💯💣💥👌💪
Wakati tunaifurahia hii In Love, tuvute subira tutaenjoy tena mziki mzuri kutoka kwa Alikina unao kwenda kwa njina la #Infédèle hii ni baada ya NAKUPENDA, PROUD OF YOU, InLove Ya Otile sasa itafuata zam ya mfalme Infédèle soon, tukae kwa kutulia.
King atatuuua saiv jaman😂
Nasema ivi kiba akipata colabo za marekani Kama CHRISBRIZ au AUGUST daaaaaaaaah watamtafuta wenyewe
Kweli Kabisa.... Jamaa kipaji Kikubwa sana
Combination of melodies
Kings music for life🔥🔥🔥❤❤❤❤
YEEEEBABA
Pacha uko vizuri Sana🥰😂🤣
Kenyan music is on another big level *this is now music* 🤐🤐apana anachukua anaweka waaah
Ngoma Kali sana Kabisa 🔥 Ebane hawa jamaa wanajuwa sana 💛🔥 Enjoy In love King's music for life 👑👑 mnajuwa
Am in Love...... Am in loooooove with this song.. hii ni kali sana. Itatikisa huu mwaka wote. Love u king kiba all the way from kenya💯💯💯
Jamaaa wee fala Sana😂😂😂😂😂😂😂😂,hii Ngoma iko Mo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥, hawa ndo madaktari wa good music💖🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
You know what this is 🔥 🇹🇿 🇰🇪
Safi sana toka 🇨🇩🇨🇩Congo na penda sana alikiba
Yani watu wanaimba wametulia kabisaaaaa
nooooomaaaaaaaaa ..you know whaaaaaatttttttt. nakkubali mzee Van
Kings music foe life
Yeiyei yeiiiii..., Van iskaka....Yeahh..., wanangu wa kingkiba mpoo!??
Shabiki namba moja kutoka Mozambique 🇲🇿 mfalume king kiba ajawahi niangusha ata siku moja love you king kiba
Lik sangu
254 and 255 best music ever ye baba KING KIBA and OBizee❤️❤️❤️❤️❤️❤️RESPECT DOPEST
In ♥️❤️with the 🎹🎹🎶🎵🎹🎶
Kama unajua....unajua tu.... 2 kings
Hatareeee sana kiba njia zake ni za sayari nyingine kabisaaaaaaaaaa
Noma sanaa
KINGS4LIFE 🎼🔥2021 ni mwaka wetu wa kuvimba mtahani
2ko p1 king
Kweli kk🔥🔥🔥🔥🇰🇪✔️
Kinghimself🔥🔥🤴❤️❤️
In ❤❤❤stolen heart baby king kiba ft little brother otile brown 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kinyamwez sana mpaka inapenya kwa ngoma za masikio
Yaaaaap kingkiba Inlove 💥💥💥👍
Reaction noma sana 🇰🇪+🇹🇿🗯🗯🗯🗯
OB never disappoint
Man you disappoint,, you even make the song more sweet 💪
You never disappoint **
If you dont know english you should shut up uandike kipare
aaaah hawa watyuu mbaya snaaa🔥🔥🔥
Am in love with the reaction too @von isikaka
King kauwa mazee
Mi king atabaki my favorite +OB Naona nikioa mtu na hii song
This one is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇹🇿
Good song king anaweza bhn ile mbaya 🎸🎵🎶🎤🎧🎼🎹💝💗💞💖🥀🔥🎧🎤🎶
Jamani nipo USA 🇺🇸 vip nimechelewa au ndio ni mewai
Noma Sana Motooo
Like king kiba 🔥🔥🔥🔥🔥
Dhhhaaa watu wana sauti kama nini jamani??? Gonga like kama una kubali vanboy
wawawawa...hii song ni moto kaka
Noma na nusuuuuuu
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Team SAT B we love you Van
Na verdade eu rendo de ti e Alikiba, o jovem é professor na música. 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Unyaaaamwezi mwingi sana Van... Uko juu tu sana.. Unyaaaamwezi..
Huyu kiba watasubili Sana waseme watakavyosema(๏_๏)(๏_๏)(๏_๏)
Kibaaaa salute
Eti mamaaaaa yani vanboy nakukubali sana
Hii ngoma ukiskiza unajikunja kwa kona iingie vizuri
Atareeee
Nyimbo kali sana video tamu sana reaction ya kizazi
King 👑 Kweli ni king 🤴 im in love with song
Its all about reaction ❤
U mek me love the song mnyamwezi...so poa #Van Isikaka
Ni wakali
Ngoma kali kinoma ama kwer Kiba kaamua 🤝
Wameuwaa
King kiba haana wakufananisha nae. king is king
❤❤❤
My first time Watching this channel loving the way u react to see song making me to love the song more n more
Ali kiba #kingkiba for real 🙌🙌🙌
Otile hajakosea kuchagua king
Kaka van umeongea point, reaction moja aitoshi kwa uyu wimbo, rudia Mara tena na tena, maana ni mazishi🤴🔥🔥🔥🔥🔥
Hawa watu wabaya sana aseee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
VaniS we ni munomaa bro🔥🔥#King👑
Nice
I love your reviews yani! Unaunyamwezi pia kaka💯
Man Lt dem mushaup it up & crash it respect
👑👑kiba
😆😆😆😆😆😆ngoma kali anyway its hoootttttt........
Izo njia atariii sana daah ila kiba uyo jini
Sana mwanangu ali ni kisanga
😂😂😂
King Kiba 🔥🔥🔥🇲🇿 🇲🇿🇲🇿
Yebaba
I always find myself going back to these odd reactions za Vanni, bonge la reaction! Napenda tu njia zenye Vanni hupita akifanya reaction, well done my guy. Whats popping!!!! 😅😅
Kiba ni dhahabu tulio balikiwa Tz 👑🔥🔥🔥
Kabixaaaaaa
Good music from the king 👑🔥🔥🔥
Feel good music, feel good interpretation
Nakukubali
Njia za king lazima zipenye kwa mtima hahahha "coz you are beautiful"
Super
Moto
Kimba anajuwaaaaa 🙏🙏🙏🙏🎸🎸🎸🎸
Enyewe ni b0nge ya tracki😎 KING KIBA😎