DAH brother vany sikaka!!.. DOH ili ni bonge moja la track kwenye album ya king 👑 kiba..Kaja kuumiza zaidi sasa ili chupa Noma snaaaaa Mzee wangu... oyaweeeeee 👑king kiba utawauwa!!..mamaaaaaaa🙆imeisha iyooooo🙅
The video was shot at Horombo Huts in Kilimanjaro, located in Kilimanjaro Mountain (3700m above the Sea Level),Lake Duluti in Arusha City and Fun Retreat Resort...the video shows the beauty of Tanzania!!!
I guess this is the East African King. The video so beautiful, amazing sound and the vocals can take you away to the seventeen heavens. You'll have to teach me swahili guys. Love from 🇱🇷
Naomba like za wa congomani 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Good video 👍
Vanny unampenda mno huyu #mwamba cio kwa misifa hiyo
#Kingkiba to the world
King mwenyewe mtulivu, wimbo umetuliya, video nayo ya utu na utulivu🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙌
Team Kiba skuiz tunavimba tuu jaman!
King anajua kutufurahishaaa🔥👑💙
Asante VaniSikaka kwa reaction ya kinyamwezii🙌🔥💙
#Utu
#VaniSikaka
#OnlyOneKing
Au cyo 🤣🤣
On king kiba
Team kiba from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kiba tunakupenda sana kaka unajuwa Allah akubaliki
DAH brother vany sikaka!!.. DOH ili ni bonge moja la track kwenye album ya king 👑 kiba..Kaja kuumiza zaidi sasa ili chupa Noma snaaaaa Mzee wangu... oyaweeeeee 👑king kiba utawauwa!!..mamaaaaaaa🙆imeisha iyooooo🙅
Mflame n mmoja alafu mkongwe wa game ya bongo flavour jamani #AlikibaOnlyOneKing🏋️🤸😂🕺🎊🎈🎈🎈❣️✔️
Huyu jamaa mshabiki wa king good man
Van Iskaka My guy isay mwanangu wewe Kwa reaction uko vizuri kaka, 💯 ila sema King 👑 kiba sio mchezo nakwambia Jana yupo vizuri Sanaa 💯
Naaam team kiba for life
Team kiba kutoka Mozambique 🇲🇿
kiba kama kiba 🔥🔥🔥🔥
Hope I'm the next
Can't wait to see your reaction on my amazing work
I love the song +the video 🔥🔥🔥🔥 CLASSIC!!!
Yooooooo 😂😂😂😂🏌🏼♀️🤸🏾♀️🏌🏼♀️🏌🏾♀️🏌🏼♀️🤸🏾♀️jimbo lako la mwaka van♥️♥️♥️♥️♥️
King will always be a king. Big up king Kiba. I salute you.
Teamkiba on this one
Song of the year, video of the year Utu ina utu wake mzee baba
Unyamwezi mwingi sana Van 💥💥💥🇰🇪. Alikiba is the only King 👑#onlyoneking#alikiba#utu🌹💕
Van bana nacheka tu hapa, unavituko sana, kwahiyo ilo ndio shati la UTU🔥🔥🔥. King km king
KING kiba nomaaa from 🇲🇿
🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘
Nyimbo yangu valentines day ♥ wasipoipiga Namaua kilakitu natoka nikajifuraishe home
Location ni mtaa flani unaitwa Horombo Kilimanjaro na like Duluti Arusha king Nona Sana🔥🔥🔥🔥🔥
Nimependa vibe lako kwenye kipande cha mapegani😁😂 hukutegemea, inapidi twende live review
Ehee mambo ndo haya ss🔥😂😂
Ali kiba ni Legend 💯🔥🔥🔥🔥 Love from 254 Kenya🇰🇪🇰🇪❤️❤️
King of reactions... Isaka🔥🔥🔥
Kiba usiche ukadondoka!!!! 😅😅
Uniqueness king kiba mr utu
Man...I like this shit van does so hilarious it's passionate to his work..🔥🔥🔥😂
Kiba Yeeeebaba utu ni 🔥🔥🔥🔥wakuoteya bali ndungu zangu video kali sana aichokeshi kumtizama
Kibaaaaaa forever king 👑👑
Nice reaction
King Kiba mfalme wa wafalme big up king
King Van Isikaka your video reactions are Unique.....
Love from Burundi 🇧🇮
😂😂yoooooooh 4real 4life💪💪👌
Big one, unconditional love by arrow bwoy is out g
Only one King on top...kutoka 288
Unajuwa maana ya utu msikileze vaniskaka akueleze utu ni nini KING hazeeki na akizeeka na mziki unazeeka yebaba
KING KWANGU BIG UP BROOO , van kaka nakupata nikia saudia arabia jeddah broo big up bro
vanisikaka nakupenda bule pia endelea kumpenda king kiba usichoke
Yaan hapo mayai yamekaliwa pwaa!🤣🤣 vansikaka you know what! i like this men ❤❤
Only one king ❤❤❤❤💪
It is 🔥 utu
It's me king bendera all the way from Bombay India +91,,,no one fan of king kiba,,,,u made my day van
hahahahahah we jamaa siku ukiacha kufanya reaction na mm nauza simu yanguu asee siyoo kwa unyawezi huooo 😁😁😁🔥🔥nakubalii respect you bro
Duhh hili dude noma van bonge la ngom video kali 💪💪💪👏👏
Ulikuwa wapi kaka nilikuwa naisubria sanaaaaa❤❤❤😂😂😂😂
What I was waiting
Kiba Kashindika Jamani🖐️✋🖐️✋💪💥🔥🔥🔥🔥
I love how you review songs, you are a fan of good music 🎶.. Kiba is the best
The BËst
Walai nikweli
Pull up for reaction my brother van Kings music for life
Kibaaaaaaaaa 💕💓💕
Akuna kama kiba king
Unajuwa nilikuwa nakusubiria sana
Najua ya kua kizuri kinajiuza wenyewe ndo album yetu hii ambayo hadi sasa inatusua vipau mbele team kiba yoooo yeeh baabaaa.
Baddest
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Umechelewa Reaction bro, toka asubui nakusubili. Lakini imeleweka
Ameua video kali na nusu location kali❤️💖🥰
Video kali snaaa nic King 🤴
The video was shot at Horombo Huts in Kilimanjaro, located in Kilimanjaro Mountain (3700m above the Sea Level),Lake Duluti in Arusha City and Fun Retreat Resort...the video shows the beauty of Tanzania!!!
hahaha upite uwachekinyesi hahaha u have made ma day
Team kiba
You know what 🇹🇿 🇹🇿 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥vani isikaka Ngoma ntamu saana brow utu
So good 🔥🔥🔥🔥🔥
Kinyamwezi hiyo vocals 👌 ikojuuu🔥🔥🔥
You know what king kiba🔥🔥🔥🔥🔥🎤
King km king
Only one king 🤴
Unyama🔥🔥🔥
Nice broh u're so talented
Kiba👌👌👌💥💥💥💥🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Ilo shati lautu nimelielewa only King forever
Romantic kabisa
Van utaniuwa kiufup nim Enjoy kinoma 🤣😂😍😘👊👏👏👐Makofi kwako tafadhali
🥰🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nakubal sana my brother video wameshuti moshi na arusha kaka sawa
Salute🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kwakwer utu ina Unyamwez mwing sanaa!🤣🤣 you know whaaat!
Unyama mkalii big up broo tukaenjoy 👏👏🇹🇿
Mwamba Katisha hiii location ina soma horombo hut ndani ya mlima Kilimanjaro ukijumlisha na ziwa diluti arusha burudani tosha uishi miaka mingi kiba
Ahsante
Showcasing Tanzanian landscape. Beautiful
unyamaaa ni mwingii #kingkiba
#vaniShaka💥
King kiba 🔥🔥,,,location kilimanjaro
Ni kweli video imefanyika mlima kilimajaro
We mjomba noma
Umechelewa saana van
🔥🔥🔥🔥
Van 💪💪💪🇲🇿✔️🎧
Thanks 😘
kawapiga na kitu kizitoo kwa kwelii noma sanaa
Real reaction
I guess this is the East African King. The video so beautiful, amazing sound and the vocals can take you away to the seventeen heavens. You'll have to teach me swahili guys. Love from 🇱🇷
Alikiba noma
Kiba katsha sana
Worry out
just make friends who speak it
Fundiiii kama Fundiiii King kiba nice King 🤴 👏 👏👏👏👏
King himself, 🤑🤑🤑🤣🤣🤣🥶🥶