Hii video mwishoni inaliza sana inaacha funzo kubwa sana.. Leo hii masheikh wengi ni maarafu lakini wanakosa neema ya kupendwa na watu kwa Mahaba makubwa ya aina hii. Wajifunze masheikh Asaalibid-daaawa na waifany kaz kw ikhlas la sivyo HILI PENGO ATALOLIACHA SHEIKH KISHKI HALITOLIZIBIKA ABADAN...
Hakuna anayeweza kuizima nuru ya Allah... Endelea kutuangaza sheikh nuruddin.. endelea kutufunza nini maana ya daawa.✍️✍️✍️ Allah akuhifadh sheikh letu, tutakuwa mashahidi mbele ya Allah kwa kaz hii ulofanya😢😢
Mashaal alaah akulipe kilaheri apaduniya nakesho ahera
Hii video mwishoni inaliza sana inaacha funzo kubwa sana.. Leo hii masheikh wengi ni maarafu lakini wanakosa neema ya kupendwa na watu kwa Mahaba makubwa ya aina hii. Wajifunze masheikh Asaalibid-daaawa na waifany kaz kw ikhlas la sivyo HILI PENGO ATALOLIACHA SHEIKH KISHKI HALITOLIZIBIKA ABADAN...
Hakuna anayeweza kuizima nuru ya Allah...
Endelea kutuangaza sheikh nuruddin.. endelea kutufunza nini maana ya daawa.✍️✍️✍️
Allah akuhifadh sheikh letu, tutakuwa mashahidi mbele ya Allah kwa kaz hii ulofanya😢😢
Allahumma Swali Alaa Habibi Muhammad SALALLAHU ALAIHI WASALAM ❤❤❤❤❤❤