Banaa eeh uyu jamaa ananikumbusha mbali sana, mm nimezaliwa Moshi Mawenzi Hosp apo apo, izi club zote anazoziongea ndo ujana wangu nimeishia humo, natoroka Old Moshi, club yetu kubwa by then ni Pub Albero ya Chris's burger, Malindi tulipigwa puni kwenda maana ilikuwa bar ina machangudoa kibao...Ikaja Laliga bana ina litaa likubwa usiku...Nkiwa chuo Muccobs tunatoka hostel tunasema "we follow the light" kanikumbusha mbali sanaaa
Ally B ni Noma sana nimepata kumshuhudia Cask Mwanza mara nyingi sana enzi amapiano ndio inaingia 2019 - 2020 mwanzoni hiyo. Nilikuwa napenda sana style yake ya kupiga mbinja huku tunasikilizia mangoma. Aendelee kukaza.
Nilisema nisikilize story kidogo ila nimejikuta nimemaliza story nzima😁😁, hongera kaka kwa story yenye mafunzo kwa vijana, kifupi there is no shortcut kwenye mafanikio
weka matumaini kwa MUNGU thn uweke bidii kwa kile unacho kitafuta na usitafuti bila kuwa na moyo wa ku jishusha kwa kila mutu mukubwa mudogo wote jishushe na heshima uweke thn utakuja utobowe soon
Very interesting, kweli usimuone mtu leo anashine hujui the number of thorns he stepped into. Natamani utengeneze segment specific tu to this kind of content. Going around succesful people and share their side of story
jamaa nmependa anaongea ukwl na uhalisia na haji-act yan anaongea km human...I really love this story na ally B alivo tofaut na mastar wengne kiukwel..hana mbwembwe🫡
Jamaa ni mtu mzuri sana aseeee,Suala la kuwapa fedha wazazi wako ni wazi kuwa haitoshi kuelezea upendo wako kwao ila wakifurahi basi BARAKA ZAKO UTAZITAFTIA CHOMBO CHA KUBEBEA NA UTAKOSA
Umeona eeeh! Ukiwa Mwizi ndio umeharibu Mwelekeo wote wa Maisha, usiibee, utajiwekea, Mikosi na Migundu katika Maisha yako yoote, weee pambana tu Mungu anakuona unavyopambana basi kwa juhudi yako anakukea wepesi
imekuaje ulipewa laki tatu halafu usipange geto lako? maana umesema ulivyotoka mwanza ulienda ukapiga cku ya kwanza ukapewa laki 3 halafu ukakubal kulala nje mzee kwa side?
Kwangu hiimoja ya interview bora Asante kwa hii elimuu imenisaidiaa kweri Thaks
Nampenda kiukwel vile alivyo mcheshi 😍♥️♥️♥️
Interview inakua nzuli mpaka tunai download daaaah!!!hongera saana brother
Nimeipenda sana hii interview jamaa anatoa elimu ya maisha sana
Jamaa anaongea mambo kma umekuwa moshi familia duni unarelate kila kitu..keep it up G
Jamaa ni msimuliaji hadithi mzuri sana, Big up sana kijana....naiona spirit yako itakufikisha mbali zaidi.
Banaa eeh uyu jamaa ananikumbusha mbali sana, mm nimezaliwa Moshi Mawenzi Hosp apo apo, izi club zote anazoziongea ndo ujana wangu nimeishia humo, natoroka Old Moshi, club yetu kubwa by then ni Pub Albero ya Chris's burger, Malindi tulipigwa puni kwenda maana ilikuwa bar ina machangudoa kibao...Ikaja Laliga bana ina litaa likubwa usiku...Nkiwa chuo Muccobs tunatoka hostel tunasema "we follow the light" kanikumbusha mbali sanaaa
Profesor wa ukweli huyu waat kanishawishi pakubwa 🇰🇪🔥🔥🔥🙏🙏
Aise bro Ume ni inspire sana Kwa interview nzuri
daaa inauma inafunza inatia moyo thanks broo
Brother sky introductioni umetisha sana
This gentleman has really inspired me. Indeed nothing comes easy, you have to work for it.
Impact ya mzazi ni kubwa sana katika maisha ya mtoto
I really like his vibes, he is a really hustler.
jamaa muungwana sana dj alyb tuko mkoan unatufurahisha sana
Moja ya interview kali kuwahi kuisikiliza na unatamani isiishe
We are proud of you Professor, aka Ally Masamaki.
Basi mungu atujaliye tujifunze kwa hii story yake
Ally B ni Noma sana nimepata kumshuhudia Cask Mwanza mara nyingi sana enzi amapiano ndio inaingia 2019 - 2020 mwanzoni hiyo. Nilikuwa napenda sana style yake ya kupiga mbinja huku tunasikilizia mangoma. Aendelee kukaza.
Cask
Nilisema nisikilize story kidogo ila nimejikuta nimemaliza story nzima😁😁, hongera kaka kwa story yenye mafunzo kwa vijana, kifupi there is no shortcut kwenye mafanikio
Good things happens to those who hustle. All the best brother
True
Poaa
😃😃😃😃
@@halimamis4236 😃😃😃😃😃
Well said
Ally b umenitoa machozi bro...familia za kimaskin tumepitia mbanga nyingi sana inatouch sana aisee...sisi wengine hatujatoboa but one day
Mungu yupo na Sisi tutatobowa
Mungu azidi kukuinua mzeee wa naseeemajeeeee
Maisha yana Siri sana usiamin kinywa Cha Alie fanikiwa
Kamwe uwezi pata majibu ya kutoka ulipo kwenda alipo 🙈
Gonga like kama umenielewa
Umesema kweli ndugu yangu
Sns Ina maono Sana, mbwembwe za jamaa Leo ndio imenifanya nirudi kuitazama hii interview
Me nimetoka kuangalia kwa milird na now nimekuja kutizama uku sms
Creativity kubwa sana ya hich kipindi big up bro sky
One hour interview passed just like 10 min that's wooow
Morally xan mzee babaa.. unatisha 💥💥💥✌️🇰🇪
Hongera kuwa na baba alokuwa pamoja na familia yake
Noted down something from you. May God bless you! 🙏🙏🙏
Mungu Ni mwema daaah 🥺 story yako inatia nguvuu
Hakuna kinachokua Bora bila bidii na kujituma na kuomba Mungu kila wakati lolote linawezekana
Hapo mwanza kitangiri kitambo sana nakumbuka Nilinunuaga na COMPUTER YAKE aisee
Baba hyo kazi ya kukata miwa naijua ni noma sijawahi kujaribu kuna watu wanaitwa wasafa noma sana hao.
Hukuna marafiki wakinaa Kama wa dar mm kuna mwamba mmoja alikaa kwangu tukiwa chuga lkn nilivyokuja dar hajaja nipokea mpaka leo
This is Huge, content!🙌!to the street youth keep going 💪
Nimefurahi hapo redio ninyny wenyewe Dah maisha yetu hao jamani aambiwa sasahiv tumesahau kweli Mungu ni mwema
Huyu jamaa Kama stori yake ndo yangu ingawa bado cjatoboa but one day 🕞🕞 will tell
Keep Goin Man. You Can Do It. ✊🏼🔥
@@alliymohamedalliy6524 one day yeeees 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👉
Never give up.
weka matumaini kwa MUNGU thn uweke bidii kwa kile unacho kitafuta na usitafuti bila kuwa na moyo wa ku jishusha kwa kila mutu mukubwa mudogo wote jishushe na heshima uweke thn utakuja utobowe soon
Very interesting, kweli usimuone mtu leo anashine hujui the number of thorns he stepped into. Natamani utengeneze segment specific tu to this kind of content. Going around succesful people and share their side of story
Hongera Sana wewe ni Mwamba
Kwa tunaoishi Kahama wadau wa The Magic 101 tunamkubali huyu mwamba
Dah the best one .
Naipenda sana saut yako..........
jamaa nmependa anaongea ukwl na uhalisia na haji-act yan anaongea km human...I really love this story na ally B alivo tofaut na mastar wengne kiukwel..hana mbwembwe🫡
kuna kitu kuhus watu wa moshi na arusha yan, unique
Marufuku kukata tamaa wanangu tupigie Kaz aijalishi Kaz Gani piga pambana sna
FOR REAL FOR REAL.....
Nakuelewa sana
Ndo maisha hiyo brother ila inabidi ku pambana sana
nikweli aseee ata mimi imenifanyaaa nilid kuitazamaaa motooo sanaaa
Nishaapia kwa mungu nani lazima anisaidie kwakulitaja jina lake kupitia hii stori hii
God is Good always
Jamaa ni mtu mzuri sana aseeee,Suala la kuwapa fedha wazazi wako ni wazi kuwa haitoshi kuelezea upendo wako kwao ila wakifurahi basi BARAKA ZAKO UTAZITAFTIA CHOMBO CHA KUBEBEA NA UTAKOSA
Interview kali sana so inspirations ✊🏾
Huyu mwanaa kanifunza kituu kabisa haya maisha bhanaa atari sana
Sisi watoto wakimasikini tunapitiya chagamoto nyigi sana ila ipo siku tutatobowa 😭😭😭
Profesa💪💪💪
Hapa ni miluzi ya instagram ndo imenileta😂
😁😁😁😁ata mimi ila napendaga vibe lake 😂😂 kuna moja ile aliweka december 1 alikua anasikiliza wimbo wa asake ile joha lilikua vibe la kwenda 😁😁
Interesting Vibes #SaluteDjAllyB
Mshikaji kaongea point sana nimempenda napenda namm niwe DJ chuo chake kiko wapi
Brouh......we ndo una n in spire kwenye game nakukubl sana nimeamin hakuna kinacho shindikan ni juhudi tuuh
Umeona eeeh! Ukiwa Mwizi ndio umeharibu Mwelekeo wote wa Maisha, usiibee, utajiwekea, Mikosi na Migundu katika Maisha yako yoote, weee pambana tu Mungu anakuona unavyopambana basi kwa juhudi yako anakukea wepesi
Kipind kizur sana. Bless Ally and Sky
Huyu mymi kabisa story yake yangu kabisa
Klcho nleta kukucklza ni ile mizuka yako ya miruz 😂😂😂
Sky we ni mnoma
Nakubaaal
UBinadamu kazi,na mtu yoyote mwenye roho mbaya awezi endelea kimaisha
Habari
Unajidanganya mwenyewe
bro i salute yu even i feel to cry chief,
Ooo0
Story yake ni kama yangu kabisaaa, nikirudi bongo nitakuchek
Hi Dayana, Bado hajarudi? Tunasubiri story tujifunze
Hi dayana bado hujarudi
uyu jamaa n kama mm cz m mzaramu lkn nimezaliwa moshi na najihs n mchaga full maana sina itikad zakizaramu 😁 sema kilichobaki n kutoboa tu kimaisha
😁😁😁
Daaaaah safi san
Maisha mapito ni wakati wake wa kula bata
Daaaaah
kwanza kabisa mwamba ulipata baba mzuri sana jivunie
Sana…
Maisha 🙌🙌🙌🙌😢
Started from the bottom now....
Da nimemuelew San huy mwamba
Daah tpc mzee hom niwapi
hahahaaa ulikua unakata gogo pale shoppers hahaha
Bonge la interview yani hizi ndo zenyewe bab
Daah imenigusa na nimejifunza kitu kupitia Wewe
imekuaje ulipewa laki tatu halafu usipange geto lako? maana umesema ulivyotoka mwanza ulienda ukapiga cku ya kwanza ukapewa laki 3 halafu ukakubal kulala nje mzee kwa side?
Unahaki ya kufurahia Jasho lako Kila Weekend
Sasa ww si unajitaftia shari kweli 🤣
Home boy ..
Nakumbuka haikuwa rahisi mzee ..!!
Tuoshe vyombo mwanangu tukaendeshe vyatu vya matairi...!! 😄🤣
Maisha nisafari yakupasa kijana kutokata tamaaa
Asumaaaaaniiii
Nasikiliza simulizi hadi machozi yananitoka
Tabia za kike
Mwanaume kumsaidia mwanaume mwenzio ni jukumu lako
SNS mnaupiga mwingi ....
Nime penda uja zarau wazazi
Moja ya interview mbaya mnoooo
kafungue chaneli yako urushe interview nzuri
roho mbaya watu wote wamekubali ww tu ndo useme mbaya
Akiliyako iko Sawa kweli
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Broh uko country gani kaka