ALLY KAMWE NDANI YA ULINZI MKALI PEMBA/SIMBA WAJIFUNZE KWETIU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 66

  • @mrok284
    @mrok284 Месяц назад +2

    Allah atuongoze, huu ni mtihani mzito. Watu Wana kata viuno kuikatia yanga na Ali kamwe. Watu tumuogopeni Allah.

  • @MaryamAbbas-o1c
    @MaryamAbbas-o1c Месяц назад

    Subhanallah sijui tunaeleaka wapi mtt wakike katikati ya wanaume na wanawake kujidhalilisha kukata viuno hadhara Allah atuongoze waja wake pemba tuwekisha hadhi yetu haipo

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 Месяц назад +7

    Kweli Yanga timu ya WANANCHI 💛💚💛💚

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz Месяц назад +2

    Mwenyekit wa wasemaji. Umetisha sana

  • @NeemaKelvin-k8c
    @NeemaKelvin-k8c Месяц назад +6

    huyu ally kamwe mbunifu sana aisee,aprwe mauwa yake,

  • @BimamuosmanOsman
    @BimamuosmanOsman Месяц назад +2

    Ali kamwe mashaallah Mashaallah kaka nakubali kweli Yanga ni team ya wanachi kweli kabisa.Allah ibarik yanga kwa mafanikio mema inshaallah yarabi

  • @HamidJuma-h8w
    @HamidJuma-h8w Месяц назад +5

    Dah nyumbani pemba nimekutamani Sanaa haswaa nikiona hilo shangwe la beni

    • @salhanassor5201
      @salhanassor5201 Месяц назад

      Bora ubakie huko uliko maana sie tulioko huku twatafuta pakwenda ndo ivo hatunapo tu..kilo ya pembe 1500 nazi 1600 .. utaweza kurudi huku😅

    • @petro8010
      @petro8010 Месяц назад

      Ndo bei zenu hixp​@@salhanassor5201

    • @AllyAthuman-z9b
      @AllyAthuman-z9b Месяц назад

      Uyu mtoto Ally kwamwe ndie anaunganisha muungano kupitia timu ya yanga kazi ambao wanasiasa wengi wamekwama

  • @hafia.056
    @hafia.056 Месяц назад

    That's the continent the biggest team in Africans. Please you can come and joining too aswell please 🙏 and I'm sure you will be very happy ata homa homa ya malaria atakuondoka ukijiunga na team .yanga Africans oyeee oyeee hayaa Twendeee kazi all Twendeee kazi none stops ✋️

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 Месяц назад

    Mashaallah Alhamndulilah kwa kufika salama viongozi na majeshi yetu Allah akuzidishiieni Kheir Inshaallah

  • @jonasichimosa9033
    @jonasichimosa9033 Месяц назад +3

    Pemba ni kuzindua matàwi ya yanga kwer yanga munajua baada y mika 3 itakuwa kama baserona

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES Месяц назад +2

    Ahamedy ally ni kunguru2 ulinganishe na kichwa Cha ally kamwe

  • @hafia.056
    @hafia.056 Месяц назад

    Wannaaanhi oyeee oyeee yes yes oyeee hayaa tena naTenaa

  • @NasamMzee
    @NasamMzee Месяц назад

    Nimekubli ynga iko juuuuuu

  • @SaidHassan-ot3un
    @SaidHassan-ot3un Месяц назад

    Kwakweli tumetengenezewa jamii yakijinga sana

  • @AshaKhatibu-r8h
    @AshaKhatibu-r8h Месяц назад +1

    Jamaaa hawa.wamealikwa ilikuwa wakafunge skrin lao kisonge wakapewa nafasi kulifunga pemba leo pemba kina mechi kubwa ya ndondo

  • @AliymkubwaAliymkubwa
    @AliymkubwaAliymkubwa Месяц назад

    Wapemba sitabia yetu mwatutia aibu sn sn😊

  • @salomemahenge7935
    @salomemahenge7935 Месяц назад +2

    Yanga tam

  • @moiseszacariasmoisesmoises
    @moiseszacariasmoisesmoises Месяц назад +2

    yanga awana jambo ndogo😊😊

  • @arafakhamis3336
    @arafakhamis3336 Месяц назад

    Tam sana

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud Месяц назад +1

    Akili kubwa Ally kamwe

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm Месяц назад

    Safii sanaaa 🏆🏆💪💪🇹🇿⚽⚽⚽

  • @MariamZanzibari
    @MariamZanzibari Месяц назад +1

    Aliy kamwe apiga dufu akumbuka madrasah

  • @BakariMakame-j5f
    @BakariMakame-j5f Месяц назад +1

    Ali kamwe umeuwona ushauri wangu kwenda tembea Pemba cdb watajuta leo 5

  • @hafia.056
    @hafia.056 Месяц назад

    Mimi Abdulla Hafidh nnnasema hili club sio club yakuichezea chezea it's The biggest football club in Africans yes it's. Halafu tunasema Youngs Africans oyeee let's saying all yanga Africans oyeee eee

  • @ahmmadaaly5112
    @ahmmadaaly5112 Месяц назад

    Wapemba wenzangu hawajielewi hao wanamuona km raisi huyo ali kamwe aise dah

  • @SmartTz-y5z
    @SmartTz-y5z Месяц назад +1

    Hatari

  • @saimonntani6831
    @saimonntani6831 Месяц назад

    Msemaji ni mmoja tuu hii nchi ni Ahmed aly pekeyake.nyumbu zingine zinatafuta shibe tuu kwenye timuzao.

    • @RahmaShona
      @RahmaShona Месяц назад +1

      We Ahmed Aly Kama unaniona wamana we peke ako yekenge Kama kenge wengine wivu tu unakusumbua ngoja kesho mukandwe murudi kinyanya bongo nyau nyie

    • @ErastoChilanza
      @ErastoChilanza Месяц назад +1

      Huyo mpiga kelele ndo useme msemaji huoni ubunifu wa ally kamwe kweli ukiwa kolo akili zinapotea

    • @FloraChami-o7s
      @FloraChami-o7s Месяц назад

      Ni kimashine Cha kikoboa na kusaga bila maji .

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 Месяц назад

    Simba wajifunze kwa lipi hapo 😅😅😅and

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 Месяц назад

    Mnatia aibu kweli nyie wanawake wa kiislamu

  • @FatmaKombo-y8e
    @FatmaKombo-y8e Месяц назад

    Hao yanga mujue wagangawao wako huku Pemba

  • @JndeedahNdeedah
    @JndeedahNdeedah Месяц назад

    Yanga bingwa,dufu zinapigwa hatarii

  • @carlosmasai197
    @carlosmasai197 Месяц назад

    Leo ethiopia mvua itaanza baada ya mechi kuisha au haitonyesha kabisa

  • @EricsonJoseph-d8w
    @EricsonJoseph-d8w Месяц назад

    😂😂😂😂😂 msi mfananishe hemed ally na iyo mbuzi

  • @flavianajohn5250
    @flavianajohn5250 Месяц назад

    Mpaka police🤗🤗🤗🌝🌝🌝🌝

    • @BimamuosmanOsman
      @BimamuosmanOsman Месяц назад

      Eeeh ulizi mkali huwo sisi diyo Yanga .nyi hamuogopi

  • @GhaniaSaid-u5k
    @GhaniaSaid-u5k Месяц назад

    Wach kumtaja allah kweny maasiya muwe na limit haya yote ni mambo ya kisheitani

  • @KudraEliasa
    @KudraEliasa Месяц назад

    Hadi laha San jmn

  • @AshirafuMjungu
    @AshirafuMjungu Месяц назад

    Huyo dawa yake ni haji manara

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 Месяц назад

    Dufu 🎉🎉🎉🎉

  • @ErickJeremiah-ry4pw
    @ErickJeremiah-ry4pw Месяц назад

    Ngonjeeni CBE leo awashenyentee mtulize kilanga 😅

  • @BinshakbuHemed-gb2zi
    @BinshakbuHemed-gb2zi Месяц назад

    Mie. Mlijuatu. Mkutano. Wao. CCM

  • @BobanRamz
    @BobanRamz Месяц назад

    hiyo inamanisha nini sijaelew au yanga wanacheza pemba

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 Месяц назад

    Huyo ni msemaji wa yanga je ikija timu itakuwaje?yana kweli timu ya wananchi

  • @AbuuKhardal
    @AbuuKhardal 20 дней назад

    Huu ni ugonjwa

  • @RaphaeliAdamu
    @RaphaeliAdamu Месяц назад

    Wanaichiiiiii

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 Месяц назад

    Apa si wetee wadau

  • @FatmaKombo-y8e
    @FatmaKombo-y8e Месяц назад

    Wapumbavu kweli nyie mnatembea kwa miguu eti munamsherehekea mtu Baki yy yuko kwenye gari nyie mnapiga mguu

    • @magrethyeremia2279
      @magrethyeremia2279 Месяц назад

      Inakuhusu Nini wew?????jinyonge na bazoka bac

    • @magrethyeremia2279
      @magrethyeremia2279 Месяц назад

      Wivu WA Nini sasa,pili pili usiyoila inakuwashia nin🙄🙄🙄🙄🙄🙄

    • @FatmaKombo-y8e
      @FatmaKombo-y8e Месяц назад

      @@magrethyeremia2279 ukweli unauma kumbeeeeeeee eeeeeeeh

    • @magrethyeremia2279
      @magrethyeremia2279 Месяц назад

      @@FatmaKombo-y8e unaumia ukiwa wapi???huo ni ushabiki kindaki ndakiiii

  • @AdamKombo-jt4xy
    @AdamKombo-jt4xy Месяц назад

    Maskin wa pemba

  • @yusuphally6420
    @yusuphally6420 Месяц назад

    Pemba jezi hakuna kabisa

    • @salhanassor5201
      @salhanassor5201 Месяц назад +1

      Jezi tuzipate wapi ndugu yangu na maisha haya magumu tulionayo

  • @JonathanMgaiwa
    @JonathanMgaiwa Месяц назад

    Ameenda kulipa fadhila kwa magagula wao