MPINGA AUNGURUMA BUNGENI MBELE YA MAWAZIRI/ MPINGONGEZA TRUMP HADHARANI 'NIMEANDAA KURASA 105'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 15

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 5 часов назад +5

    Mbunge mmoja huyu ni sawa na majimbo mangapi ya wabunge wasiokuwa na hoja japo wanatafuna pesa za.walipa kodi

  • @TobagaMakalo
    @TobagaMakalo 35 минут назад

    Uko vizuri sana kiongozi

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 5 часов назад +3

    Bado kuna shida kubwa sana kwenye kodi za Mizigo. Kuna udanganyifu mukubwa sana bandarini. Wanyonge wana lipa zaidi. Matajiri na wa ya ma Mulak a mizigo yawo inapita kwa kodi ndogo. Hii ndiyo maana wanamuchukia Mpina. Serikali hii inakula na mafisadi. Wamemuziba mama macho na masikio kumutupia sifa. Mambo hayako sawa kwa wanyonge. Ukichunguza hiyo kampuni ya mizigo kuna mufanya biashara yuko karibu na serikali. Anawatumia wanyonge kujitajirisha. Jambo hili ni la maana sana kwa wafanya biashara wadogo. Badała ya speaker kumwachia Mpina amalizie anamukata. Serikali hii ni ya watu ama ya matajiri?

  • @kuntimartin
    @kuntimartin 5 часов назад +1

    Mungu ni mwema

  • @EdwardKwiyanga
    @EdwardKwiyanga 4 часа назад +1

    Sawa tunajua kengele ndo Sheria lkn mbn wabunge wengne wakiwa kengele ikilia wakiwa Bado wanaimalzia hoja mnawoongeza mda

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 4 часа назад +1

    Tungekuwa Tanganyika huyu tungempa uwaziri mkuu

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 5 часов назад +2

    Baba wa bunge anaongea wasikutishe

  • @section8ight174
    @section8ight174 4 часа назад

    Mbona sasa wanamkatia 🎤 wakati ameanza kuwachokonoa mafisadi???

  • @tobiasisanga3757
    @tobiasisanga3757 5 часов назад

    Wewe ulie andika abari hii umeishia kidato gani mana mwanzo umechoma na ata mwishoni umechoma pia kwaiyo iyo taaluma uliyo pewa ulingiziwa tu dilishani

  • @bakarimkwizu4335
    @bakarimkwizu4335 4 часа назад

    Mbona mnaandika ujinga

  • @LeahMkwabi
    @LeahMkwabi 4 часа назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @JosephatMsukuma
    @JosephatMsukuma 5 часов назад +1

    Halafu mnasema tunamtaka ibrahim traore huyu muoneni huyu!

    • @Mima-cl2im
      @Mima-cl2im 5 часов назад

      JosephMusukuma, inahusu nini ulichoandika. Wewe huna kisomo cha kutosha. Hata kuwa mbunge, unapoteza nafasi. Huna sifa za kuwawakilisha watu. Kazi yako ni kupiga meza tu. Una sifa za kuchunga ng’ombe na kujipendekeza. Waachie wenye elimu ya kuelewa

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 5 часов назад

    🎉🎉🎉🎉