@@annannieofficial Kuna mwaka fulani ulikuja hapa Jijini Dar es Salaam, *BCIC MBEZI BEACH* Ukaimba wimbo fulani ulikuwa mzuri sana. Je, video ya wimbo huo ipo hapa RUclips? *Naomba link*
Habakuki 3:18-19 (KJV) Walakini nitamfurahia Bwana Nitamshangilia Mungu wa wokovu wangu. YEHOVA, aliye Bwana, ni nguvu zangu, Yeye huifanya miguu yangu kuwa kama ya kulungu, Naye ataniendesha katika mahali pangu palipoinuka. ruclips.net/video/4TkPN8fhnRg/видео.html
Mwamba kwako Nipo salama . Uko poa sna. Cc
Mama africa njema san hiii
Mwamba n Yesu hongera dada
Woow.. very good Sister. keep up the good work.
Hongera saana Mtumishi wimbo mzuri saaana hata Mimi Niko salama
Hahaaaa namm nashare baraka hapa nipo salama
Mwamba wenye NGUVU 🙌
Hongera sana mtumishi 👏👏MWAMBA💪💪
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kazi nzuri sana
I never stop loving you since I was 8 now I'm 28 ,,,how Ia I gonna get chance to meet this beautiful soul. ,???? Stay blessed ccy anne
Wa kwanza kuview... 🙌🙌🙌🙌🙌🙏🏻🙏🏻
Vocha ina kuhusuuu
@@annannieofficial woyooooo
Barikiwa mnoo Mtumishi wa MUNGU 👏👏👏👏👏👏
Soft song
Mwamba mwamba, kwako Niko salama . Barikiwa Sana my lovely sister love you much much much
Mungu aendelee kukupandisha zaidi na zaidi dada
Amen mwambaniyesu razimatuwesalama ubarikiwe sana
Barikiwa mnoo shujaa
Mama MUNGU azidi kukuinua sana napendezwa na huduma yako sana
Tunalindwaa na Mwamba my favorite song😊❤️😊🎻🇹🇿
Barkiwa mno mamaa masauti🙏🙏
Hongera ssta kwa Kaz nzuri.....keep pushing mamaaa
Mwamba WETU Bado tukosalamaaa 😘😘😘😘🎶🎻
Keep the spirit dear
Thank you dear
Barikiwa kwa huduma mpendwa
🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏😘Neema ya Mungu ikufunikeeee
My favorite song melody safi big up ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Amen
Waoooooo Ann Annie ubarikiwe sanaaaaaaa kazi njemaaaa samaaaaa
Barikiwaaaaaaaa sanaaaa my Dada 🙏❤️❤️❤️❤️❤️ amazing
Barikiwa mtumishi
Huu wimbo jamani,,,kwa hakika yeye ni Mwamba wetu
Achaniimbeeee Mwamba ni kwako niko Salama
Hakika Yeye ni mwamba salama kabisa 🥰💕
Mungu mwemaaa akulindeee zaidiii ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Amen...beautiful song
Hallelujah 🙏🙏
Ubarikiwe saana mtumishi wa MUNGU
Mwamba wangu Yesu,
Bado niko salamaaaaaaa!
Yes! Niko salama ndani ya mwamba💕💕
Kwa yesu tupo salama
Barikiwa sana Mtumishi kazi hii ni ya kiwango sana
Be very blessed my dear sister may God continue to lift you up
Jamn Ann Annie barikiwaa Sanaa best 😘😘😘😘
Nice melody God bless you my friend 😘😘😘😘😘🙏🙏🙏
Barikiwaa 🙏🙏🤗🤗
Oooh Haleluyahhhhhhhhh
❤️❣️
Nabarikiwa sana nauimbaji wako
Kazi zuri sana..... Hongera sana sister
Wawooo dada nakupenda xn
Mungu akulindee dear good song melody safi
Ann you are so blessed. May God's grace ,favour always be upon you .Napenda miziki yako 😊
Thank you dear
"Mwamba"This is great and powerful song,,May God exalt you more sister
Nakupenda jamanj
Asante nakupenda pia
Mwamba Wangu 🙏
Saf Sana dada
Uko vizuri madame!, karibu mkoa mpya wa songwe uje utumike huku
Thank you
@@annannieofficial tuli pooka inkaani
Great be blessed
So precious this is,He really is our Rock,we are safe and secure.
Thank you Ann
Thank you Pastor
Good ,, stay blessed
Asante sana
Bado niko salama, mwamba wa uokovu wangu
Ameen
You're a blessing dear sister........... May good God continue lifting you
Ameen,
Praise to God
🎉🎉🎉🎉
👏👏
Nimefika mahali hapa, *Mwamba*
Asante sana nashukuru
@@annannieofficial Kuna mwaka fulani ulikuja hapa Jijini Dar es Salaam, *BCIC MBEZI BEACH* Ukaimba wimbo fulani ulikuwa mzuri sana. Je, video ya wimbo huo ipo hapa RUclips? *Naomba link*
@@KYFjamii zipo RUclips zote nyimbo zangu Bcic mbona kitambo sana
@@KYFjamii ruclips.net/video/YzkGC9R5NNg/видео.html
ruclips.net/video/YzkGC9R5NNg/видео.html
Habakuki 3:18-19 (KJV) Walakini nitamfurahia Bwana Nitamshangilia Mungu wa wokovu wangu.
YEHOVA, aliye Bwana, ni nguvu zangu, Yeye huifanya miguu yangu kuwa kama ya kulungu, Naye ataniendesha katika mahali pangu palipoinuka.
ruclips.net/video/4TkPN8fhnRg/видео.html
Original
Your always best Gospel singer
Hallelujah 🙏