MWANAFUNZI WA AJABU Full episode 12

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 262

  • @BabaJoani
    @BabaJoani  Месяц назад +85

    JAMANI HII NDIO EPISODE YA MWISHO KWA MWANAFUNZI WA AJABU,LAKINI NAWALETEA NYENGINE NZURI NAOMBA MUIPOKEE WATU WANGU,BAKI KWENYE CHANNEL YAKO PENDWA HII YA BABAJOAN.
    ASANTENI🙏🙏🙏🙏

  • @romanabarua9545
    @romanabarua9545 Месяц назад +22

    Hatimaye tamati..... nimefuatilia mwanzo mwisho na mm naomben like hata 5 tuuu

  • @SaidahMohammed-ju9qd
    @SaidahMohammed-ju9qd Месяц назад +19

    Much love to you guys from Kenya ,,
    Kama we mkenya piga like❤❤❤

  • @user-ec6ow2cx7c
    @user-ec6ow2cx7c Месяц назад +4

    Kazi nzuri sanaaaa wapendwa ila mmetuacha anging cz mlopoteza sauti pande zingine alafu atujui vile kulienda baba Joan pia mwisho haukutoa sauti much love from Kenya watching from lebanon ❤❤

  • @user-vo7yb6wp1m
    @user-vo7yb6wp1m Месяц назад +3

    Sio kila MTU anapewa msaada baba Joan anyways congratulation Kwa kazi nzuri🎉🎉❤

  • @user-xm9if4lf7n
    @user-xm9if4lf7n Месяц назад +3

    woow nimefika kwa wakati baba johan like yako sasa

  • @JosephSululu-jk3jl
    @JosephSululu-jk3jl Месяц назад +1

    nimeipenda sana hii movie akujarie MUNGU uwe mzm na uzidi kutuletea mazurii ♥️♥️♥️♥️♥️

  • @stephenmukwata1737
    @stephenmukwata1737 Месяц назад +1

    Hii bro umemaliza vizuri, na imekuwa tamu kama maembe ya huku kwetu Kenya. Love from Kenya

  • @user-dz4pi6np8i
    @user-dz4pi6np8i Месяц назад +2

    Wow 😲 twakupenda pia❤❤❤🎉🎉🎉

  • @user-kq7xg6rh7r
    @user-kq7xg6rh7r Месяц назад +6

    Mlianza vizuri lakn dah hapo mlipomalizia mme2acha njia panda kwa kweli

  • @janethmshahara4048
    @janethmshahara4048 Месяц назад +15

    Mi wakwanza nmetishaaaa, like kwa baba Joan sio kwangu

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 Месяц назад +2

    Asante sana bba Joan kazi nzuri maichallah ❤❤❤❤

  • @user-yi6ub2uq2i
    @user-yi6ub2uq2i Месяц назад +1

    Kazi nzuri xna baba Joan tunakupenda xna pamoja na mama watoto

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 Месяц назад +2

    Kazi nzuri from Oman brother

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt Месяц назад +2

    Inshallah ❤️ tuko pamoja baba joan

  • @MeshackMusee-ff2ur
    @MeshackMusee-ff2ur Месяц назад +1

    Wa Kwanza jameni fro kenya

  • @kondebouy1308
    @kondebouy1308 Месяц назад +2

    Sema kungoja sana karibu bundle zangu ziishe,,, 🤔

  • @WinifredSyombua
    @WinifredSyombua Месяц назад +2

    Imekuwa mzuri hila mmemaliza vibaya mmetuchaganya

  • @thadeusminja1071
    @thadeusminja1071 Месяц назад +2

    Kongole kwako baba Joan, usichelewe kuachia nyingine tusiwe wapweke, ila movie mpya usimuache mama kanchuda🤣🤣

  • @user-wj7vo5kv4n
    @user-wj7vo5kv4n Месяц назад +1

    Wa mwisho naomba like

  • @DorkaOpiyo
    @DorkaOpiyo 12 дней назад

    Nmefuatilia mwanzo mwisho kazi nzuri sana Babajoan

  • @maimunamselemo8427
    @maimunamselemo8427 15 дней назад

    Hatimae tamati nimefuatilia mfululizo mwanzo mwisho nimeipenda sana thank you so much mtuzi na washirki wote ❤

  • @madymag6926
    @madymag6926 Месяц назад +1

    Kazi nzuri ssna baba joan hila hapo mwisho himenichanganya sana nawakubali sana nyote ❤❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @husnahusna1544
    @husnahusna1544 Месяц назад +1

    Move nzuri sana nimefatilia mwanzo mwisho nimeipenda
    Usimwamini kila mtu kuwa msaada nimejifunza kitu shukran Kwa muvi nzuri

  • @user-xd8qy1cx2b
    @user-xd8qy1cx2b Месяц назад +1

    Mwisho mzuri kazi nzuri sana baba joan😂😂

  • @fammamourchy2164
    @fammamourchy2164 Месяц назад

    Asantéeee
    Kazi nzuri
    Courage
    Nawa ❤

  • @esthermk432
    @esthermk432 11 дней назад

    wow nimefutikia tha video and it very nice story 👏👏👏👏👏

  • @user-fu1db6bt3v
    @user-fu1db6bt3v Месяц назад

    🎉🎉❤❤❤ kazi nzuri nawa penda sana

  • @asanatiniyonkuru7593
    @asanatiniyonkuru7593 Месяц назад

    ❤❤❤ woooo🎉🎉🎉 nime yipenda kinyama kazi nzuli

  • @LovelyDragonflies-qu2zo
    @LovelyDragonflies-qu2zo Месяц назад

    Uko vizuri sana baba joani ila boresha mwishoni❤️❤️❤️

  • @valinemkanamkuverammbone-ci9ou
    @valinemkanamkuverammbone-ci9ou Месяц назад +1

    Kazi nzuri watching from Kenya 🇰🇪

  • @user-nz7kl1to2y
    @user-nz7kl1to2y Месяц назад +1

    Hii movie haijaisha vzri ..haikueleweka kabisaa...

  • @rachelndaki5642
    @rachelndaki5642 Месяц назад

    Hongereni sana mov nzuri 👏👏

  • @ShamsaAbasi
    @ShamsaAbasi Месяц назад

    Tunakupenda pia kk muvi nzuri

  • @user-wv3du7ld2p
    @user-wv3du7ld2p Месяц назад

    Wauuuuu Santi sanaa Baba Joan love you content so much

  • @EliyaJeijei
    @EliyaJeijei 9 дней назад

    Baba joan umetisha sana ❤ hogera

  • @user-tw8jn9fw2b
    @user-tw8jn9fw2b Месяц назад

    Hii ilikuwa movie poa baba Joan keep up good work ♥️♥️

  • @Faith-pl3ie
    @Faith-pl3ie Месяц назад +1

    Kwani ilikuwa story pongezi kwa kazi Zuri unafanya ❤❤❤

  • @DianaKerubo-jy7pz
    @DianaKerubo-jy7pz Месяц назад +1

    Mm WA nane huku nipate likes za mamake Joan

  • @BrightnessPatrick
    @BrightnessPatrick Месяц назад

    Asantee sana Kwa mov nzur sana nimejifunza vingi san kupitia hii mov love so much baba Joan♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @user-bm1oe9lh1m
    @user-bm1oe9lh1m Месяц назад

    Kazi nzuri san❤❤🎉

  • @mahirmahir2407
    @mahirmahir2407 Месяц назад

    ❤❤❤❤ nimeipenda kwakweli mwanafunzi wa ajabu

  • @EmmanuelMartine-sd8vq
    @EmmanuelMartine-sd8vq Месяц назад +2

    Kaz mnajua tatizo lenu hamjui kumalizia movie yan mwisho haueleweki

  • @mukamanaesperancesrhope4357
    @mukamanaesperancesrhope4357 24 дня назад

    Hongera sana kwa mchezo ambao nisomo kwa watu

  • @TheDc-dishon
    @TheDc-dishon Месяц назад

    Naipenda Sana ❤️ from Nairobi Kenya

  • @rasoal1471
    @rasoal1471 Месяц назад

    Kazi Nzuri Sana Baba Joan na Team yko

  • @finegatwiri2597
    @finegatwiri2597 Месяц назад

    Wooow imeisha visuri sana mbarikiwe sana tunagoja mpia inshallah 💝😊😊😊❤

  • @user-ic8mc3bd8l
    @user-ic8mc3bd8l Месяц назад

    Hongerani saana guys mungu azidi kukuza vipaji vyenu mungu awabari nyote❤❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏

  • @josehkan
    @josehkan Месяц назад

    Hatimaye tumefika tamati,filamu imekuwa ya kupendeza tunaigoja inayofuatilia❤

  • @user-dc5he7ss6f
    @user-dc5he7ss6f Месяц назад

    Waaah asante sana mungu awape nguvu mtoe movie nzur nzur twasubr ss

  • @ViraBabwiriza
    @ViraBabwiriza Месяц назад

    Congratulations 👏 nawa kubali washikaji wangu wili kundi

  • @GiftMkinga
    @GiftMkinga Месяц назад

    Kazi nzuri sana baba joani

  • @tasianagwaku
    @tasianagwaku Месяц назад

    mungu akutie nguvu baba joan nimependa san movie yak

  • @GHgh-hq3zj
    @GHgh-hq3zj Месяц назад

    Kazi nzuri kbs

  • @jeanwilletmazomena1840
    @jeanwilletmazomena1840 Месяц назад

    Mimi hapa kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o Месяц назад

    Baba Joan movie ni nzuri ila mmemaliza vibaya

  • @user-rz9uf2xx1x
    @user-rz9uf2xx1x Месяц назад

    Jamani hio sauti n ya baba John kweli 😂😂😂😂😂😂😂

  • @EnjoyJohn-fo3ox
    @EnjoyJohn-fo3ox Месяц назад

    Kaz nzur xna et 2po Na wew nega kwa bega Baba joan

  • @peterpatrick528
    @peterpatrick528 Месяц назад +1

    Baba Joan umemaliza tofauti sana umejisahau kama movie zako tunaangalia wakumbwa pia siyo watoto tu nakuomba tu ujitahid kumodify kidogo ili zivutie zaidi movie hii imeisha kitotototo sana. But nakukubali sana big up tunasubiri nyingine

    • @BabaJoani
      @BabaJoani  Месяц назад +1

      Hapana sio tofauti ndugu,jitahidi kuelewa final hiyo

  • @jeffommy1032
    @jeffommy1032 Месяц назад

    Hapa wa bongo ndio tunapokoseaga watu mpo kwenye hatari lakini upo na viatu mkononi huoni km vinakutia uzito dada angu 😂😂😂😂

  • @user-cw6py3mw5l
    @user-cw6py3mw5l Месяц назад

    Asantii kwa Kazi njema baba joan❤

  • @rukcabby2572
    @rukcabby2572 Месяц назад

    Wauuu nice baba Joan ❤

  • @RizikiMgeni
    @RizikiMgeni 16 дней назад

    Hii filam nineifatilia mwanzo mwisho baba Joan nakukubal

  • @UNETimothe
    @UNETimothe 7 дней назад

    Nime fata zote ni visuri sana,i love you to

  • @user-rl4ii9xj5n
    @user-rl4ii9xj5n Месяц назад

    Much love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇿🇦

  • @fidesvenancemshanga5492
    @fidesvenancemshanga5492 Месяц назад

    Ooh!! Very Nice❤❤❤❤❤

  • @EstherBarasa-es3tn
    @EstherBarasa-es3tn Месяц назад

    Wow baba Joana God bless you

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 Месяц назад

    Ahsante sana baba Joan ❤❤❤❤

  • @user-tw8jn9fw2b
    @user-tw8jn9fw2b Месяц назад

    Congratulations mwanafunzi Wa ajabu ❤❤

  • @user-yg3hi4zz1t
    @user-yg3hi4zz1t Месяц назад +3

    Wakwanza from kenya❤❤

  • @user-ge3tn7zs8r
    @user-ge3tn7zs8r Месяц назад

    Ongereni baba Joan 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Месяц назад

    Always u a the best baba Joan ❤❤❤❤

  • @user-fr3hf5un9w
    @user-fr3hf5un9w Месяц назад

    Nakupenda sana baba joan

  • @SalomonMugenyi
    @SalomonMugenyi Месяц назад

    Mi kwanza toka Congo déc🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @user-zb2wx8ws6g
    @user-zb2wx8ws6g Месяц назад +1

    Wow ❤❤❤

  • @kibaniotv
    @kibaniotv Месяц назад

    Kazi zuri kikubwa dua

  • @DannyMutai
    @DannyMutai Месяц назад

    Watching live from kenya 🇰🇪

  • @AaronKabunda-ge4oc
    @AaronKabunda-ge4oc 15 дней назад

    Me félicitations à vous pour cette bonne fin

  • @justintusali4038
    @justintusali4038 Месяц назад

    Hatukuona viziri kwenye baba jony ameenda na hao wa dada waajabu ile n'a kitabu hatujuwi bilikuaje hamumaloze vizuri kabisa

  • @user-nl1vy8sh1j
    @user-nl1vy8sh1j Месяц назад

    𝐊𝐚𝐥𝐢 𝐒𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐢𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 sana❤❤❤

  • @user-pt5we2gu4l
    @user-pt5we2gu4l Месяц назад

    Kazizuli kaka❤❤❤

  • @user-rk3hl7lo4g
    @user-rk3hl7lo4g Месяц назад

    Kaz nzuri

  • @UNETimothe
    @UNETimothe 7 дней назад

    Film nzuri sana

  • @ASHERIJMLENGO-rj8ed
    @ASHERIJMLENGO-rj8ed Месяц назад

    Pamoja sana baba joani 🎉🎉

  • @faithcherop7592
    @faithcherop7592 Месяц назад

    This is so amazing ❤❤

  • @millicentrabera
    @millicentrabera Месяц назад

    Karibu sn bro

  • @user-kt3er8th9l
    @user-kt3er8th9l Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 baba Joan

  • @salomejames9639
    @salomejames9639 Месяц назад

    😂😂😂mmetupiga na kitu kizito aisee

  • @OgandaSak-vv8ok
    @OgandaSak-vv8ok Месяц назад

    Imekua nzuri asenteni ni nyie

  • @user-nm2zu3bs6m
    @user-nm2zu3bs6m Месяц назад

    Wow so nice ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JasinthaAngelo
    @JasinthaAngelo Месяц назад

    Asante baba Joan nakukubali

  • @tabihaauko9146
    @tabihaauko9146 Месяц назад

    So amazing ❤❤thank

  • @user-yu9qn4oi3g
    @user-yu9qn4oi3g Месяц назад

    ❤❤❤ good job 👍

  • @sharonbhoke-hk2my
    @sharonbhoke-hk2my Месяц назад

    Good job baba joan❤❤❤❤❤❤

  • @SakinaSeif-tt6hf
    @SakinaSeif-tt6hf Месяц назад

    Hongera sana

  • @SeleIddi-gj9fu
    @SeleIddi-gj9fu Месяц назад

    Super Baba Joan

  • @jackiekhajiji3889
    @jackiekhajiji3889 Месяц назад

    Good job my pipo

  • @user-km7rs7pe5d
    @user-km7rs7pe5d Месяц назад

    Ninzuri saana ila weka vipande virefu virefu

  • @user-fh1sv1tq5g
    @user-fh1sv1tq5g Месяц назад

    Mmetisha sanaa,

  • @RehemaElendela
    @RehemaElendela Месяц назад

    Nawapenda sana❤❤❤