Maneno Ya Mwalimu Dimoso Yalivyomliza Sh Othman Michael Kwa Kicheko Na Waumini Lushoto Tanga

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 39

  • @SaidaAlly-m6l
    @SaidaAlly-m6l 7 дней назад +1

    Shukran shekhe mungu akujalie kwa mafundisho mazuri nakupenda sana kwaajili ya allaah ❤❤❤❤❤

  • @JdjJjd-f4g
    @JdjJjd-f4g 17 дней назад +6

    Mungu akulipe kher kweli sheikh dimos tunajifunza na tunelmika mungu atujalie tule wenye kuzingatia

  • @rahmaihucha8577
    @rahmaihucha8577 10 дней назад

    Mashaa Allah ,,Mola tujaalie tuwe niwenye kuyafanyia kazi haya mawaidha pia Yarrabi wape afya njema Mashekh wetu kama hawa waendelee kupeleka ukumbusho kote duniani Inshaa Allah

  • @ZamhaHappi
    @ZamhaHappi 6 дней назад

    Allah akulinde

  • @MussageAiuba-k2b
    @MussageAiuba-k2b 16 дней назад +4

    ❤❤❤jamii wanapenda dunia kuliko kaburi linatusubili

  • @UessoSalimo-cd3mw
    @UessoSalimo-cd3mw 8 дней назад

    Mashallah from Moçambique

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 10 дней назад

    Napendaga sana mawaidha yako shekh ❤

  • @halimandyakowaa7736
    @halimandyakowaa7736 11 дней назад

    Nakupemda sana kwa ajiri ya.mwenyenzi mungu

  • @RaziaGamba
    @RaziaGamba 11 дней назад

    Shukran

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 16 дней назад +2

    Masha Allah sheikhs 🙏🙏🙏

  • @malikihusseinmbaga
    @malikihusseinmbaga 17 дней назад +8

    ivi shekh upo wapi nikupe mkono wakheri .duuuh kwakwelinaskiya umenifurahushasana Tena sana ...Allaah Akulipe ....nilikuwa na stressing siku ya Leo..walahi bila unafki umeifanya nafsi yangu kuwa nafuraha .Allaah humma baaaarik..you

  • @ahmadnoorsheikh
    @ahmadnoorsheikh 14 дней назад +1

    Maa shaa Allah Sheikh umesema ukweli Allah akulipe kheyr❤🎉

  • @MwaliSuleih
    @MwaliSuleih 13 дней назад

    Masha'Allah 😢😢😢😢 Subhaana'Allah Allahu Akbar laailaha illa'Allah Muhammad saruulullah, tabaarakarrahmaan ta'alaa 💕🥰💕🥰💕🥰

  • @jabirinyoni823
    @jabirinyoni823 14 дней назад

    Allahu Akbar mwalimu wangu , Allah akuzidishie kila lakher

  • @JdjJjd-f4g
    @JdjJjd-f4g 17 дней назад +2

    Mashallah tabaraka Allah

  • @ukhty_hafsa
    @ukhty_hafsa 9 дней назад

    for sure... love you for d sake of Allah

  • @SumiTanzania-y5o
    @SumiTanzania-y5o 16 дней назад +2

    MashaAllah

  • @mudiameir8693
    @mudiameir8693 16 дней назад +3

    Ni sadakta unachoongea❤❤

  • @ashaomari7465
    @ashaomari7465 17 дней назад +2

    Mashaalah

  • @mwanajaa-v5x
    @mwanajaa-v5x 16 дней назад

    Masha Allah umeongea maneno mzito kwa mwenye na akili kujijua yuashi vipi

  • @ZainabWashali
    @ZainabWashali 11 дней назад

    Hakika. Allah. Anapenda. Mukweli. Namuomba. Akupe. Jaana. Ishallah

  • @SaliminSwalehe
    @SaliminSwalehe 17 дней назад +2

    ❤❤❤safi

  • @IssaMkoko-k6l
    @IssaMkoko-k6l 16 дней назад

    Daaah😂😂 ewe mwenyezi mungu tujaalieh

  • @kondomrisho8776
    @kondomrisho8776 11 дней назад

    ❤ukweli mtupu shekhe

  • @UmmuMariam-gq3qs
    @UmmuMariam-gq3qs 16 дней назад +2

    Kweli kabisa

  • @jumamnyema6263
    @jumamnyema6263 14 дней назад

    kweri kabisa shee up saw kabisa dimoso

  • @ShukranAlly-r5t
    @ShukranAlly-r5t 17 дней назад +2

    Asalam Alaikum kweli iyooo

    • @IssahNkana
      @IssahNkana 17 дней назад

      Manshaallah uko vizuri mwalimu Mungu akubariki

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 4 дня назад

    Maneno kuntuu hatuna raha na waume kwa mpira ile haki anasamehe mbele ya mpira mitihani

  • @ShomiKalunde-zb8gx
    @ShomiKalunde-zb8gx 16 дней назад

    Allah akbar

  • @IddiAli-b6n
    @IddiAli-b6n 14 дней назад

    Watu wanacheka ila hayo maneno niyakuyafikiria

  • @Haji-yr9db
    @Haji-yr9db 14 дней назад

    😂😂😂😂😂sheikh umeni furahisha

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 14 дней назад

    Sheikh yuko sawa lakini manake si kwa vituko hivyo😂😂😂

  • @SaidiMnola
    @SaidiMnola 16 дней назад

    Dimosso boy.

  • @SalihaMwezingo
    @SalihaMwezingo 16 дней назад +1

    Hahahaha

  • @FatimaRamadan-s4f
    @FatimaRamadan-s4f 12 дней назад

    Mashallah tabaraka Allah