Naitwa Makoba Charles kutoka Newstart Life Limited bagamoyo Pwani. Kila wakati nimekuwa nikisema kwaya Tanzania zingebakia nne tu, Temeke, na Kurasini kwa Dar, na Kanda ya ziwa kamunyonge na Kirumba. Huu ndiyo uimbaji mtakatifu kwa wazee waheshima kuimba sauti za maana na ubunifu wa hali ya juu. Nawakubali sana na wadada na wamama wa aina yake na sauti zao.wimbo mtamu sana
Asante sana Ndg Makoba, Tunanyenyekezwa sana na maneno na ushauri wako zaidi tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uwezo na nguvu kutenda hiki tulichofanya. Endelea kubarikiwa
Uimbaji flani hivi amazing mpaka mtu unajihisi upo angani,yaani ni kama mashahidi SDA na magomeni na kirumba uuuuwiiiii nabarikiwa mimi hadi najiogopa ❤❤❤❤❤
Waooh mbarikiwe🙏 sana wimbo mzuri sana . Niliusikia wimbo huu ukiimbwa ki Ghana na kwaya ya kisabato ya huko kilugha Chao. Mmeutafasiri vizuri sana Hongereni kwa uimbaji mzuri
Blessings brethren. I am from Zambia, l am asking for Lyrics and if possible notations to the song. Your music is so uplifting. May God Protect all of you. More grace to the directors !!
Alooooooooooooo 🔥🔥🙌 Watu Wa Mungu Mmefanya Jioni Iende Poa sana Si ni leo nilipatapo ka bando nikasema wacha nichungulie vitu kipande hiii .... You made it......✊❤️❤️
A very strong and spiritual amazing song, congratulations to all, God blessing you.
🙏🙏🙏🙏
Amen kwaya ya temeke SDA Mungu azidi kuwabariki sana
🙏🙏🙏
Naitwa Makoba Charles kutoka Newstart Life Limited bagamoyo Pwani. Kila wakati nimekuwa nikisema kwaya Tanzania zingebakia nne tu, Temeke, na Kurasini kwa Dar, na Kanda ya ziwa kamunyonge na Kirumba. Huu ndiyo uimbaji mtakatifu kwa wazee waheshima kuimba sauti za maana na ubunifu wa hali ya juu. Nawakubali sana na wadada na wamama wa aina yake na sauti zao.wimbo mtamu sana
Asante sana. Utukufu ni kwa Mungu wetu wa mbinguni
Nawapenda temeke sana, ila kwa hiyo list hayo ni maoni yako, zipo kwaya nyingi tu nzuri Tanzania temeke ni mojawapo utukufu kwa Mungu
Asante sana Ndg Makoba, Tunanyenyekezwa sana na maneno na ushauri wako zaidi tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uwezo na nguvu kutenda hiki tulichofanya. Endelea kubarikiwa
Uimbaji flani hivi amazing mpaka mtu unajihisi upo angani,yaani ni kama mashahidi SDA na magomeni na kirumba uuuuwiiiii nabarikiwa mimi hadi najiogopa ❤❤❤❤❤
Temeke Mnafanya wimbaji Mzuri Sana kucheza maxabahuni siviziri Mm ni .kkkt
🙏🙏🙏🙏 barikiwa sana
Amina sana MUNGU AWABARIKI na kwaya nyingine ziige mfano huu wa uimbaji unabariki sana
🙏🙏🙏
What a beautiful piece! Munene Joseph from Nairobi feels blessed by the beautiful choral arrangement. Hongereni sana.
Asante sana Munene, Ubarikiwe
Ni baraka sana kuwasikiliza ndugu zangu. Wimbo una nguvu sana. Bwana awabariki sana
@@isaacnicolao5684 🙏🙏🙏 nawe ubarikiwe
Wimbo mzuri ujumbe makini unanibariki kila ninapousikia
@@Herimission 🙏🙏🙏
Sio uimbaji tu, ad mwonekano, uimbaji usio wa biashar ila Mungu atukuzwe
🙏🙏🙏
Wimbo mzuri sana, hakika NITAMJUA BWANA WANGU!., Hongereni sana kwa utunzi mzuri wa viwango vya juu.
Asante sana na Asante sana, Ubarikiwe
Nabarikiwa sanaaa MUNGU azidi kuwaongoza katika nyimbo zenu
🙏🙏🙏🙏
What a blessing to have such men and women with unmatched talents. Thank you for blessing me with heavenly music.
🙏🙏🙏
Nawapenda buree na nimewamic jaman
🙏🙏🙏🙏
Kwa unyenyekevu mkuu naomba nota za huu wimbo mtamuuu.
Sawasawa nitakupatia. Utanitumia namba yako ya whatsup tywasiliane
Mbarikiwe sana SDA Temeke. Nimewapenda.
Asante sana na Amen
Hii ndio kwaya ya Temeke ninayoijua mimi toka enzi na enzi,Mmeimba vizuri sana
Asante sana tena sana, nasi twamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hili.
Great song.nawapenda
🙏🙏🙏🙏
Uimbaji makini sana
@@UpendoMkwizu-u2y 🙏🙏
Jhon Congo mubariwe kabisa watoto wa Mungu
Nawe Ubarikiwe sana
Nimekuwa na hamu ya kupata rekodi za Temeke Kwa muda mrefu sana. Hakika nimefarijika. Utukufu una Mungu hakika mnanibariki. Mbarikiwe pia
Asante sana tena sana, nawe Ubarikiwe sana
Waooh mbarikiwe🙏 sana wimbo mzuri sana . Niliusikia wimbo huu ukiimbwa ki Ghana na kwaya ya kisabato ya huko kilugha Chao. Mmeutafasiri vizuri sana
Hongereni kwa uimbaji mzuri
Karibu na Ubarikiwe sana
Amen ❤
Amen
Amen amen amen wimbo umekamilika kila idara mbarikiwe san
Amen, Amen, Amen nawe Ubarikiwe sana
@@Temekesdachoirtanzania naomba mawasiliano yenu please!
Naomba mawasiliano yenu please 🙏 😢
Mwalimu Mdemu na mwl Odhiambo mbarikiwee
🙏🙏🙏🙏
Temeke mnatisha Mungu awabariki
Amina sana Dada, Ubarikiwe nawe pia
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri
Sauti zimetulia vizuri sana
Asante sana nanyi mbarikiwe sana
Amen 🙏
🙏🙏🙏
True difinition ya kanisa kubwa na kwaya kubwa.
Tunabarikiwa sana hongera Temeke
Asante sana na Amina, nawe Ubarikiwe sana
Asante sana na Amina, nawe Ubarikiwe sana
Aah kimya kingi kishindo mkuu Bwana ametukuzwa
Amina na Amina sana mtumishi wa Baba.
Haleluya,mbarikiwe sana watu wa Mungu
Asante sana nawe ubarikiwe sana
Blessings brethren. I am from Zambia, l am asking for Lyrics and if possible notations to the song. Your music is so uplifting. May God Protect all of you. More grace to the directors !!
🙏🙏🙏🙏
Alooooooooooooo 🔥🔥🙌
Watu Wa Mungu Mmefanya Jioni Iende Poa sana Si ni leo nilipatapo ka bando nikasema wacha nichungulie vitu kipande hiii .... You made it......✊❤️❤️
Naam mtumishi, Ubarikiwe sana kwa jioni yako kwenda poa. Asante sana kwa kuchungulia. 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen Mbarikiwe sana Temeke SDA
Amen tubarikiwe sote pamoja
AMEN AMEN AMEN.. Perfect song
Asante sana Samwel
Hallelujah! A beautiful piece God bless you richly. Mr Odhiambo, I Can see you boss
@@carenmiyienda7811 yes, he is there, thanks
I wish someone would like to post the lyrics of this beautiful song that I can sing long this African choir
othiambo teacher so nice GOD BLESS ALL
Asante sana kwa pongezi kwa Mwl. Odhiambo
Amina
Nakuona Millcent jerry nawe ubarikiwe sana maana umefanya makubwa
I'm blessed
Amen.
mzuri sana
Asante sana
Eiiihhh! Hallelujah 🔥!
Ameeen
Amen. Wonderful singing.
Amina sana, Karibu sana kwetu
MBARIKIWE SANA WIMBO MZURI SAUTI ZIMETULIA MANENO YANASIKIAKA
Ubarikiwe na wewe pia na Amina
Kanisa la mwenyezi Mungu litabakia kuwa na warudi wetu... Mmepata new subscriber.. Mungu atukuzwe.
🙏🙏🙏
🎉🎉🎉
@@FranklineOgot 🙏🙏🙏
Naomba mawasiliano yenu please!
0714043895 Mwl Odhiambo
temekesdachoir@gmail.com
Amina🙏
Amina san
You guys are really blessing me with your sweet melodious songs❤❤❤
Amina
Amen🙏🙏🙏
Amina sana
Comment faire pour être en contact avec vous ?? Waouh
🥰🥰🥰
D my my
I'm
Jk en🎈🎈😢