Nilikopa had nkafikia 60000 nilivyorejesha kabla ya wakati kufika nkajalibu tena kuomba mkopo wananiambia siwez kupata mkopo kwa sasa niendelee kutumia airtelmoney hii imekaaje
Mm mwenyewe Airtel timiza wamenikwaza bora ni hame sijawahi chelewesha mkopo hata siku moja nafanya mihamara mara nyingi nanunua na kuweka vocha wapuuuzi yani ninahama bora Voda
Kama una swali lolote uliza utajibiwa
Mimi nimefikia laki mbili na nusu lakini najaribu kukopa Tena wanasema Sina vigezo wakati nimelipa shida niini ase
@@milliontonne5819 kama ni Tigo wameupdate system so endelea kuwa mvumilivu
mkopo wa kwanza ya timiza uliopata ni nini
Hunaaa akili unificha simu kufanganya watu afuu unafuta menu unasogezaaaa, alafuu huna hata camera unatumia ujanja ujanjaaa mxiuuuuuuu rudi mkoanii
Da nimelipa ila awataki kunikopesha tena kwanini😢
Mm sijawahi kuchelewesha jumamosi nilimelipa mkopo kwa sasa naambiwa sina vigezo wakat nilikuwa na shida kiukweli wamenikwaza
Tuko sawa jamani nilikuwa narejesha kwa wakati amna siku ata moja nimechelewa nikaludisha pesa yao 124000 et nakuja kukopa wanadai sna vigezo😅😢
Mm nimelipa kabla ya mda nakopa Tena naambiwa Sina vigezo lekebisheni hiyo mtu anajua nashida ukikopa unakataliwa
Naomba mkopo
Asant san
Pamoja sana
Je unajitoaje kwenye mkopo
Niwasenge tu mi awataki kunikopea wakati natumia pesa ming kwao
Nilikopa had nkafikia 60000 nilivyorejesha kabla ya wakati kufika nkajalibu tena kuomba mkopo wananiambia siwez kupata mkopo kwa sasa niendelee kutumia airtelmoney hii imekaaje
Ki ukweli hata me ilishanitokea na sijajua huwa inasababishwa na nn ila ni uhakika kuwa watakirejeshea mkopo.
@@techtz4362 walikaa ndani ya masaa 15 ivi ndio wakanirejeshe nashukuru nilipata uvumilivu na mkopo ulipanda kuliko nilivotegemea.
Duuuh kwel wamekukwaz
Mm awanipi mkopo wananiambia sinavigezo
Endelea kutumia utapewa tu
Nita jisajili vp
Mimi nimelipa tu mkopo wangu wananiambia siwezi kopa Tena nafanyaje
Mm mwenyewe Airtel timiza wamenikwaza bora ni hame sijawahi chelewesha mkopo hata siku moja nafanya mihamara mara nyingi nanunua na kuweka vocha wapuuuzi yani ninahama bora Voda
Wapuuzi tuu Aitel
Mimi sijakopa ndio nataka kukopa wananiambia sina vigezo
Endelea kutumia
Unahamishaje pesa kwenda Airtel money
Sijafahamu unamaanisha nn ndugu, Ila ukikopa pesa zinapelekwa direct kwenda kwenye account yako ya Airtel.Natumaini nimeweza kujibu swali lako.
Mbon awaniko pesh
mimi nimepata mkopo mpaka 245,000 nimelipa kabla ya wakati wakanipongeza ila nikiomba tena wanasema sina vigezo tatizo nini
@user-bm1pk2eu4e Sijajua tatizo nn ila ukiendelea kujaribu naimani utarejeshewa tena
Hili ni tatizo kubwa naona hawataki watu waaminifu ukilipa mapema wanakukatia huduma
Haikubal