Tech TZ
Tech TZ
  • Видео 22
  • Просмотров 114 219

Видео

App 5 bora za mkopo Tanzania (Must Watch)
Просмотров 264 месяца назад
Video hii inakwenda kukuonyesha app 5 bora za mkopo. Subscribe, Like, Comment & Share.
Jinsi ya Kuconnect Online na Dream League Soccer ( DLS) 2024
Просмотров 2484 месяца назад
Ukitaka kuconnect Friendly match nicheki 255716263625
Jinsi Ya Kupata Bundle La Bure Halotel,Airtel na Vodacom SME
Просмотров 11 тыс.5 месяцев назад
Video inakwenda kukuonyesha namna gan unaweza kupata bundle la bure na Airtel,Vodacom na Halotel. Ukitaka kujiunga nicheki 0742869487 Asante . Subscribe,Comment Like na share video kama ikikupendeza,Asante.
SME Airtel & Halotel Taarifa Update Jinsi ya Kujiunga Bundle Special
Просмотров 1,9 тыс.Год назад
This video is for Educational Purposes only!!!!! Video hii inakwenda kukupa taarifa juss ya kujiunga bundle la Special Airtel. Vitu vya kuzingatia kwa SME za kawaida ni Cheti cha Tin number Leseni ya biashara Laini ya Airtel Gharama 10,000 Vitu vya kuzingatia kwa SME za Serikalini Tin number Cheti Picha ya kitambulisho cha kazini Laini ya Airtel Gharama 10,000 Kuunganishwa ni dk 5 mpaka 10 syst...
SME Airtel Maswali na Majibu/Jinsi ya Kupata internet kwa bei Rahisi 1000/= Tsh kwa GB1
Просмотров 1,3 тыс.Год назад
Video inakwenda kujibu maswali ninayoulizwa saba kutokana na SME Airtel Tanzania. Whatsapp,text,calls = 255716263625 SUBSCRIBE,LIKE COMMENT,THANKS.
Jinsi Ya Kutengeneza Pesa Mtandaoni / How To Make Money Online(Premise App + Payment proof Attached)
Просмотров 210Год назад
Video inakwenda kukuonyesha namna ya kutengeneza pesa mtandaoni na App ya Premise na pia nimeonyesha ushahidi kuwa nimelipwa na premise App link - Download the Premise app and start earning today! premise.app.link/5xtDdT005Db Number ya simu, Whatsapp na text za kawaida ni 255716263625. Subscribe, Like na Comment chini video gani nifanye next Asante.
Jinsi Ya Kupata Bundle Special Za Internet SME Za Halotel
Просмотров 13 тыс.Год назад
Warning!!! Video hii ni kwaajili ya Educational Purposes Only. Video inakwenda kukuonyesha namna ya kupata Bundle Special ya Internet ya Halotel N:B; Bundle za Special za Airtel SME Zinapatikana. Piga, Text or Whatsapp number - 255716263625 Also subscribe,Like share the video to your friends,Thanks.
Jinsi Ya Kupata GB 1 Ya Internet Ya Halotel Bure Kabisa
Просмотров 443Год назад
Video inakwenda kukuonyesha namna gan unaweza kupata GB 1 ya halotel Bure Kabisa.Kama ukipata BG 1 comment chini na kusema umepata. Whatsapp number - 255716263625 SUBSCRIBE, LIKE & COMMENT Down below inasaidia channel kukua, Thanks.
Pata Bank Account Ya Nje Ya Nchi "GREY APP" ( USD,EURO & POUND)
Просмотров 37Год назад
Video hii inakwenda kukuonyesha namna ya kutengeneza Acxount ya nje ya Nchi na kuweka pesa zako kwa Usalama na Uhakika. Link ya App - Use my code "UC48OF" to sign up and create a free, foreign bank account on Grey. Get the app: greyapp.page.link/jixhVD5wH6mdykEY7 greyapp.page.link/Sv9KvVV7abnCh9yH8 Whatsapp number - 255716263625 SUBSCRIBE,LIKE &COMMENT DOWN BELOW WHAT I SHOULD DO NEXT Thanks.
Jinsi Ya Kupata Bundle Special / Free Internet Tanzania Part 2 ( 2023 )
Просмотров 1,6 тыс.Год назад
Warning!!! This video is for Educational Purpose and this method is Legal Available in all Airtel store Thanks you. Video hii inakwenda kukuonyesha namna ya kupata bundle upgraded kwa ajili ya wafanyabiashara, Thanks. Whatsapp number, Call & Sms ni - 255716263625 Note; Subscribe, Like...Comment down below video gan nifanye next GHARAMA YA HUDUMA NI Tsh 10,000.
Jinsi Ya Kupata Mkopo Kwenye Laini yako ya Airtel (Timiza)
Просмотров 10 тыс.Год назад
#airtel #Mkopo #Fedha Ninakwenda kukuonyesha namna unaweza kupata mkopo kwa kutumia Laini ya Airtel. Subscribe...Like....Comment & Share video kwa marafiki zako.
Jinsi Ya Kupata Loss Report Mtandaoni/How To Get Loss Report Online
Просмотров 2,4 тыс.Год назад
#loss #report #Lossreporttanzania Kiswahili; Video hii inakwenda kukuonyesha namna ya kupata Loss report Mtandaoni. English; This video is going to sho2 you how to get Loss report Online.
Jinsi Ya Kupata Bundle La Bure (Box VPN)
Просмотров 7 тыс.Год назад
#box #tanzania #tanzanianews #tanzaniayetu nakwenda kukuonyesha namna ya kutumia Bundle la bure kutumia Box Vpn
Jinsi Ya Kushinda Mkeka Kila Siku Na Sofascore/How To Win Bets Everytime Using Sofascore
Просмотров 835Год назад
#makemoneyonline #bets #betslip Swahili; Video hii inakwenda kukuonesha namna gani unaweza kushinda mkeka kila siku bila kulose kabisa kwa kutumia Sofascore app. English; This video will show you how to win bets everyday by using Sofascore app, Text me Telegram for any concern,Thanks.
Jinsi Ya Kubadilisha Laini Kupata Special Bundles (SME)
Просмотров 12 тыс.Год назад
Jinsi Ya Kubadilisha Laini Kupata Special Bundles (SME)
Jinsi Ya Kupata GB 2 Za Vodacom Bure Kabisa
Просмотров 23 тыс.Год назад
Jinsi Ya Kupata GB 2 Za Vodacom Bure Kabisa
Jinsi Ya Kupata Pesa Mtandaoni Kwa Kutumia App Ya Premise/How to make money using Premise app
Просмотров 445Год назад
Jinsi Ya Kupata Pesa Mtandaoni Kwa Kutumia App Ya Premise/How to make money using Premise app
Jinsi Ya Kutengeneza Trust Wallet Account/How To Create Trust Wallet Accout
Просмотров 160Год назад
Jinsi Ya Kutengeneza Trust Wallet Account/How To Create Trust Wallet Accout
Jinsi Ya Kupata 100% Bonus kwenye 1xbet/How to get 100%Bonus On 1xbet
Просмотров 4,9 тыс.Год назад
Jinsi Ya Kupata 100% Bonus kwenye 1xbet/How to get 100%Bonus On 1xbet
How To Use Free Internet/Jinsi Ya Kutumia Free Internet (Stark Vpn)
Просмотров 239Год назад
How To Use Free Internet/Jinsi Ya Kutumia Free Internet (Stark Vpn)
Jinsi ya kupata Bundle Special/Free internet Tanzania Airtel
Просмотров 22 тыс.Год назад
Jinsi ya kupata Bundle Special/Free internet Tanzania Airtel

Комментарии

  • @MerydaudmeryDaud-d5o
    @MerydaudmeryDaud-d5o 4 дня назад

    Niwasenge tu mi awataki kunikopea wakati natumia pesa ming kwao

  • @gregorybakuza5796
    @gregorybakuza5796 7 дней назад

    Line zinapatikana bure, unaweka vocha tu na kujiunga

  • @PendoDezidely
    @PendoDezidely 8 дней назад

    Je unajitoaje kwenye mkopo

  • @jacklinembonea904
    @jacklinembonea904 13 дней назад

    Niungee na mm

  • @mwanaashakingo7392
    @mwanaashakingo7392 13 дней назад

    Ungetuonyesha mpaka hatua ya kuprint

  • @ErickiKilasi
    @ErickiKilasi 17 дней назад

    Mhhh mbona kama system Yao ngum San mwez wa tatu mpaka sasa kmy swaelew kabis

  • @samwelkanuth4394
    @samwelkanuth4394 21 день назад

    Welcome

  • @AbilahiNamkalava-r2j
    @AbilahiNamkalava-r2j 29 дней назад

    Ahsant kk umenifunua masna duuh

  • @DaudiMuniro
    @DaudiMuniro Месяц назад

    Acha uongo lain zinapatikana kwenye maduka ya halotel tena bure kabisa we unaweka bando lako tu unalolitaka

  • @husnahassan3025
    @husnahassan3025 Месяц назад

    Lain yangu ilijiblock nilkua najaza vocha nikakosea

  • @MarynessLoveness
    @MarynessLoveness Месяц назад

    Sasa apo umeelezea nn??

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 2 месяца назад

    Duuuu nawazanpesa za watu nora watulishage kama tusilipe kabra ya tarehe husika sasz mboo hawajasema hii imekaaje?

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 2 месяца назад

    Yaaani jaana nimekopa harafu nimeripa kabra ya tarehe sasa hivi nakopa tena wamegoma reo tarehe 2/112024 reo sasa hawa mbona siwaerewi harafu ni pesa ya umeme nimelipa deni nikitegemea napewa tena mnazinguwa

  • @WAKUGUGO
    @WAKUGUGO 2 месяца назад

    Kama Sina t namba je

  • @CulateDanly
    @CulateDanly 2 месяца назад

    Mbona mi aipendi na sms zipo

  • @FredyBlastus
    @FredyBlastus 2 месяца назад

    Halotel mbona hatuoneshi

  • @KidKhan-d2x
    @KidKhan-d2x 2 месяца назад

    Nitumie No

  • @AfrahamMartin
    @AfrahamMartin 2 месяца назад

    Bando

  • @SalmaShabani-u4h
    @SalmaShabani-u4h 2 месяца назад

    Awo wote wenyew waliokomeent kasoro 1 tu😂😂😂

  • @GoodluckJoseph-q7s
    @GoodluckJoseph-q7s 2 месяца назад

    Nimeipenda sana lkn nitumie ili niwe nafatilie zaidi

  • @NellyMponi-i6l
    @NellyMponi-i6l 3 месяца назад

    Lilinikutaga jambo mimi sinahamu

  • @nataliangowi8873
    @nataliangowi8873 3 месяца назад

    Naomba nielekeze jinsi ya kununulia vocha kutoka kwenye mitandao mingine. Namba zake zinachanganya pale mwanzoni

  • @PriscaOduor-os4ip
    @PriscaOduor-os4ip 3 месяца назад

    Nimenyimwa mbona

    • @techtz4362
      @techtz4362 3 месяца назад

      Endelea kutumia utapewa usijali

  • @JoseMoy-p8o
    @JoseMoy-p8o 3 месяца назад

    Tigo unafanyeje?

    • @techtz4362
      @techtz4362 3 месяца назад

      Unaenda kwenye option ya mikopo

  • @NassoroDady
    @NassoroDady 4 месяца назад

    so mbya kaka japo sijaelew

    • @techtz4362
      @techtz4362 4 месяца назад

      @@NassoroDady Pamoja sana

  • @Kahange
    @Kahange 4 месяца назад

    Hey ivi mtuakiunganishwa anaweza kushare bando kwa mtu mwingine?

    • @techtz4362
      @techtz4362 4 месяца назад

      @@Kahange hapana hawezi kushare

  • @Masimba771
    @Masimba771 4 месяца назад

    Niaje brooo

    • @techtz4362
      @techtz4362 4 месяца назад

      @@Masimba771 Fresh mkuu

  • @darlynmash394
    @darlynmash394 4 месяца назад

    M2m namba ndo ipi

  • @daudmligo2964
    @daudmligo2964 4 месяца назад

    Mbona voda hailet

    • @techtz4362
      @techtz4362 4 месяца назад

      Kwasababu haujajiunga na hio huduma

  • @LeilaAlly-c9x
    @LeilaAlly-c9x 5 месяцев назад

    Mm awanipi mkopo wananiambia sinavigezo

    • @techtz4362
      @techtz4362 5 месяцев назад

      Endelea kutumia utapewa tu

  • @tidehmidia
    @tidehmidia 5 месяцев назад

    nothing

    • @techtz4362
      @techtz4362 5 месяцев назад

      Imepita mda Tangu hio video itoke maybe wamesitisha, Subcribe,Like Video kwa video nzuri zijazo

  • @andrewmichael8459
    @andrewmichael8459 6 месяцев назад

    kama unatin number tu

    • @techtz4362
      @techtz4362 5 месяцев назад

      Inafaa njoo Whatsapp kwa maelezo zaidi

  • @FaustusFelix-t6l
    @FaustusFelix-t6l 6 месяцев назад

    Nipo kilwa nitapataje huduma

    • @techtz4362
      @techtz4362 5 месяцев назад

      Nicheki whatsapp +255742869487

  • @FaustusFelix-t6l
    @FaustusFelix-t6l 6 месяцев назад

    Nitapataje huduma nipo kilwa

  • @dezmakompyuta9131
    @dezmakompyuta9131 6 месяцев назад

    boresha huduma zako mi sijaelewa

    • @techtz4362
      @techtz4362 5 месяцев назад

      Subscribe,like & comment kwa uelewa zaidi

  • @BARAKAKILEO-f8q
    @BARAKAKILEO-f8q 6 месяцев назад

    Worked🎉 lkn kwa mtu mwingine 😂

  • @SalomeMamba
    @SalomeMamba 6 месяцев назад

    Huna akili wew

    • @techtz4362
      @techtz4362 4 месяца назад

      Endelea kusubscribe

  • @msafiri0506
    @msafiri0506 7 месяцев назад

    Unatumia hiyo app gami

  • @Dzman_og
    @Dzman_og 7 месяцев назад

    Ksmaunanida niwapatie uduma ya Tinamba

  • @OscarNzoya
    @OscarNzoya 8 месяцев назад

    P

  • @HabakkukMbisse-zu1tp
    @HabakkukMbisse-zu1tp 9 месяцев назад

    ❤ Asante nimepata baada ya masaa mawili❤❤❤

    • @techtz4362
      @techtz4362 8 месяцев назад

      Pamoja sana mkuu

  • @DirasoSter-bp4cp
    @DirasoSter-bp4cp 9 месяцев назад

    Mbon awaniko pesh

  • @clamvevo-kz2et
    @clamvevo-kz2et 9 месяцев назад

    Respect sana bro

    • @techtz4362
      @techtz4362 8 месяцев назад

      Pamoja sana mkuu

  • @teddypeter-mi4ez
    @teddypeter-mi4ez 10 месяцев назад

    Mm sijawahi kuchelewesha jumamosi nilimelipa mkopo kwa sasa naambiwa sina vigezo wakat nilikuwa na shida kiukweli wamenikwaza

    • @ZanishaMunila
      @ZanishaMunila 2 месяца назад

      Tuko sawa jamani nilikuwa narejesha kwa wakati amna siku ata moja nimechelewa nikaludisha pesa yao 124000 et nakuja kukopa wanadai sna vigezo😅😢

  • @azimnikon2232
    @azimnikon2232 10 месяцев назад

    Mbona iyo appqiko na rate ndogo inaonekana haijaaminika san

  • @Jimy_jimytz
    @Jimy_jimytz 10 месяцев назад

    Pamoja sana kaka kwhyo ukishajiunga unatumia kma kawaida tu!?

  • @OmarLameck
    @OmarLameck 10 месяцев назад

    Nakupatàj

  • @ManotaVestina
    @ManotaVestina 10 месяцев назад

    mimi nimepata mkopo mpaka 245,000 nimelipa kabla ya wakati wakanipongeza ila nikiomba tena wanasema sina vigezo tatizo nini

    • @techtz4362
      @techtz4362 10 месяцев назад

      @user-bm1pk2eu4e Sijajua tatizo nn ila ukiendelea kujaribu naimani utarejeshewa tena

    • @paulbunyige1246
      @paulbunyige1246 10 месяцев назад

      Hili ni tatizo kubwa naona hawataki watu waaminifu ukilipa mapema wanakukatia huduma

  • @AyshaSiddiq-l6x
    @AyshaSiddiq-l6x 11 месяцев назад

    Nimepewa double 😅

  • @AyshaSiddiq-l6x
    @AyshaSiddiq-l6x 11 месяцев назад

    Nimepewa double 😅

    • @techtz4362
      @techtz4362 11 месяцев назад

      Hongera sana boss