Baddest 47 - Nikagongee(official music video) SMS SKIZA 7916686 to 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии •

  • @mtaalamwamambo2099
    @mtaalamwamambo2099 5 лет назад +386

    Kwa wale waliotoka kuisikia kweny "amplifaya" Ndio wakaja apa nataka kuona like zenu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    Ngoma Kaliii aseee

  • @jaytheboy2393
    @jaytheboy2393 5 лет назад +44

    Huwezi amini ngoma ina miezi kama 8 lakini sasa hivi ndiyo bonge la nyimbo kitaa #Nikagongeeee

  • @footmobonline
    @footmobonline 5 лет назад +27

    Nilivyoisikia kwa mara ya kwanza nikadhani mwana Mkenya, kumbe mbongo.
    Ngoma kali mzee baba.

  • @gabrielson9182
    @gabrielson9182 5 лет назад +164

    Aisee hii ngoma ni kali sana haijapewa promo za kutosha tuu sahz ingekua na views zaidi ya 1milion

  • @josephatjohn2390
    @josephatjohn2390 5 лет назад +1

    Aisee wimbo huu siuelewagi kabisa

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 5 лет назад +18

    Wangapi tumeijua hii ngoma baada ya remix na shilole ., . Nzur....nimependa mdundo

  • @abduwakilizaidi700
    @abduwakilizaidi700 5 лет назад +88

    Tuliomletea mwana Salamu kutoka kwa Millard Ayo wa amplifayani sasa hivi 23/8/2019…tugonge like zetu hapa👍

    • @theblackhandentertainment7673
      @theblackhandentertainment7673 5 лет назад +3

      Sijaelewa kwann ilitoka muda afu Promo ndo imepata juzi Claudz ndo mi nimekuja huku, huyu mwana namjua si wa kyela mbeya anaitwa Pizzo pia ni producer nk.. Huu wimbo ndo nashtuliwa na clouds hapa juzi kati. Kwanza nikajua ni MOTRA THE FUTURE kapita kwa floo zake

    • @abduwakilizaidi700
      @abduwakilizaidi700 5 лет назад +1

      @@theblackhandentertainment7673 Nahisi connection pia zinamatters …😁😁

    • @samiarajabukiulashalila3737
      @samiarajabukiulashalila3737 5 лет назад +1

      Nc

  • @festomwakatuma3030
    @festomwakatuma3030 6 лет назад +35

    Kali sana nta kusaidia kusambaza japo kua hanifa ham

  • @Adisonblade
    @Adisonblade Год назад +1

    Weeeeeddd 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 5 лет назад +32

    Ngoma Kali Weka like apa twende sawa

  • @Adisonblade
    @Adisonblade Год назад +1

    Umetisha father

  • @inspectornakamula7149
    @inspectornakamula7149 5 лет назад +23

    bravo
    kaz nzr mwamba
    keep moving""""

  • @umojamedia4167
    @umojamedia4167 5 лет назад +118

    Hii nyimbo umeshutia wap mbona kama nje ya nchi

  • @mfaumenachuli429
    @mfaumenachuli429 6 лет назад +20

    Petfect, Ngoma kubwa sana Video Imetishia

  • @e_j1official341
    @e_j1official341 5 лет назад +23

    From amplifaya ya clouds fm #meenaaly $ #millardayo ni mm mr supporter of good music umetisha mzee

  • @zakayomoshi1270
    @zakayomoshi1270 5 лет назад +39

    Mbn ngoma Kali xana bro cjui ka uliipromote xana cz xio watu wte wanaijua

  • @scholaelias2429
    @scholaelias2429 5 лет назад +1

    Yan huyu badest kipind nasikia wimbo wake nilijua anasula mbaya kumbe handsome mmoja fresh tu

  • @coletashirima2193
    @coletashirima2193 3 года назад

    Namkubali badest jmn

  • @binakinanga9015
    @binakinanga9015 Год назад +2

    Once tulipiga sherehe Tanzania... This song was hitting differently 🔥🔥 love from 254🇰🇪🇰🇪

  • @olunguh
    @olunguh Месяц назад

    🎉Ndo nakutana na hii ngoma 2024...cant imagine iko 6yrs old..!😂

  • @charlesased
    @charlesased 6 лет назад +14

    Mwanzo mzuri kijana,keep on doing great stuffs

  • @venansmoses
    @venansmoses Год назад

    Waoh unawakilisha nyakyusa ❤️❤️❤️

  • @thabitmolly6957
    @thabitmolly6957 5 лет назад +1

    Mbeya stand Up.. kijana uko vizuri hii ngoma mimi na mke wangu toka siku ya kwanza tumeisikia imekuwa ndio ngoma yetu.

  • @kharounngavason7930
    @kharounngavason7930 5 лет назад +5

    Safi Sanaa ucshie hapa BAC toa vitu

  • @mariamchikoko5498
    @mariamchikoko5498 5 лет назад +3

    😍😘 napenda iyo lafudhi ya keny bonge la hit

  • @joelymhega9969
    @joelymhega9969 6 лет назад +28

    Ngoma Kali sana ilete wasafi TV breeeee

  • @rebeccaedward6795
    @rebeccaedward6795 5 лет назад

    Anakulaga mashemeji..... Huhuhu we kagongee tu

  • @lizbertydidas4137
    @lizbertydidas4137 5 лет назад +2

    yaani me chakusema sina shd huyu mkaka mzuri adi nyimbo nzr

  • @vancigger5977
    @vancigger5977 5 лет назад

    Hiii ngomaa unaeza jikuta upo geto na Irene uwoya gafla af unagongeaaa nyagiii mamae walaiiiii

  • @alexkapelesylvester1597
    @alexkapelesylvester1597 5 лет назад

    nikangongee nyag heeeee na mwana akachukua namba akabonda,,,,,,,,,,,,like

  • @shamsahmohd3921
    @shamsahmohd3921 5 лет назад +1

    NIMESISIMKA .....UR A SUPERSTAR BILA NGUVU ...LINDA STATUS YAKO

  • @johnmbuge618
    @johnmbuge618 5 лет назад +3

    Aaaaaaah ingomaaaa hatarii ivii wew ni mtanzania

  • @devothachuma6740
    @devothachuma6740 5 лет назад

    Hii ngoma ninoma maana huku kitaan mpaka watoto wanaimba kaz nzur kaka

  • @Rogasiandesmond6
    @Rogasiandesmond6 5 лет назад +7

    Nyagiiiiii
    Nikagongeeeee
    Weeeeeee
    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @irenepreciousy7365
    @irenepreciousy7365 5 лет назад +1

    hongera the baddest

  • @maryamkhamis5213
    @maryamkhamis5213 3 года назад

    Nimeijua kupitia bss Yusufnizar👌👌👌👌👌👌👌🥰🥰😍

  • @damaleo5137
    @damaleo5137 5 лет назад +3

    Huu mzigo sio wa kitoto umezipindua ngoma kali nyingi

  • @gwandumimtuhuru189
    @gwandumimtuhuru189 5 лет назад

    tisha saaana...si kisenge kyela hadi world wide

  • @tillerbizzy2779
    @tillerbizzy2779 6 лет назад +214

    ngoma Kar sana kama unaipenda piga like

  • @Barnizeboy
    @Barnizeboy 6 месяцев назад +1

    Hit song 🔥🔥🔥🔥

  • @salmamohamed5849
    @salmamohamed5849 5 лет назад

    nimgongee nani nimgongee kuzuna yaani naiyangalia Mara kumi.kumi.hamu haiishi ngoma zuri sana

  • @mkapaliberatus3636
    @mkapaliberatus3636 5 лет назад +3

    Mzee baba kali kuliko an noma kwel hii

  • @rudeboyjames5249
    @rudeboyjames5249 5 лет назад

    Asee hii ngoma kali balaaa huyu jamaa kafunika noma

  • @fahmsaidi1010
    @fahmsaidi1010 5 лет назад +1

    Milango ndyo imefunguka hvyo mwanangu hili goma la moto sana

  • @hamisrungu3178
    @hamisrungu3178 5 лет назад

    Bigup badest 47. Umetixhaa xn brother

  • @laulatkhalid3815
    @laulatkhalid3815 4 года назад

    hili ngoma nishidaaa sana hongeraaaa😚😚😚😚

  • @balitazariwiso367
    @balitazariwiso367 5 лет назад +1

    Hiiii kumbeee nawe upooo cjui nikagongee nyagii huwiii sijui nikagongee veve umetsha mzeew

  • @LishaboyTz-sf7fo
    @LishaboyTz-sf7fo 7 месяцев назад

    Ngoma Kari San salut kwa produced baddest 47 nom

  • @denisdismas6864
    @denisdismas6864 5 лет назад +1

    Hii mara ya tatu nairudia hii ngoma ni nzuri kinomaaaaa

  • @godluvmtegajr.6154
    @godluvmtegajr.6154 5 лет назад +1

    nlpoiskiaa tuu ikabd niitafute... 😃😃 ngoma kali kp it up

  • @luganomwakapala6744
    @luganomwakapala6744 6 лет назад +6

    Love it...... Do well my blood.

  • @bintitaibo6638
    @bintitaibo6638 2 года назад

    ngoma nimeikubali sanaaaaaaaaaaa

  • @abdimaimu3748
    @abdimaimu3748 5 лет назад

    Aaah mwanangu we hatr

  • @flaxhdoa5144
    @flaxhdoa5144 5 лет назад +1

    Umekill mwan xhavu kwako nakagongea ucwaze

  • @oswardkamendu6648
    @oswardkamendu6648 6 лет назад +9

    Umetixha xn Mzee baba kaza utafika malengo yako 💪

  • @ipyanaamos7823
    @ipyanaamos7823 6 лет назад +5

    Tishaa sana

  • @saidysaleh7421
    @saidysaleh7421 5 лет назад

    Nyimbo lakiboya sana ila lina mzuka sana aiseeee nimelikubali kusema kweli

  • @irambonaericwamakamba6659
    @irambonaericwamakamba6659 3 года назад +1

    Bad man baddest tz NAKUBALI FROM 🇧🇮🇧🇮🇹🇿

  • @sarahmtewele1899
    @sarahmtewele1899 5 лет назад +1

    mtoto wa mchungaji noma sanaa Ngoma kalii sana

  • @beddahboy7757
    @beddahboy7757 5 лет назад

    Huyu jamaa sijui ana undugu Na Lil ommy au mnasemaje wadau macho yangu 😀😀😀😀

  • @petermsanga1785
    @petermsanga1785 5 лет назад +67

    Bonge fulani la ngoma halafu kama imekosa public attention hivi

  • @malijanihamadi8310
    @malijanihamadi8310 5 лет назад +3

    Bad man on fire wauwe mzeee

  • @emanuelgabriel2134
    @emanuelgabriel2134 5 лет назад

    Ngoma kaliii knoma blooo

  • @tommyflavour9829
    @tommyflavour9829 5 лет назад +16

    Haya mabanger ndo yanatakiwa saiv...em leta yawe mengi mengi na promotion za kutosha .plus juhud na ubunifu ..lzma kieleweke mwamba .wahuni tuko pmj nawe......em twende kwenye usuparstar....

  • @eliaslema5176
    @eliaslema5176 5 лет назад

    Safi sana kijana tupe vitu kama ivyo

  • @paulnyanda9572
    @paulnyanda9572 5 лет назад +2

    An nimeisikia na kuielewa hapo 1000%
    Noma sana

  • @johnzambi8447
    @johnzambi8447 5 лет назад +1

    Ngomaa iko on fireee Tanzania

  • @phestorycharles7644
    @phestorycharles7644 5 лет назад

    Naupenda sana sijui nikangongee nyagi

  • @bafaello2619
    @bafaello2619 5 лет назад

    Aki sawa Tu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💃💃💃💃💃💃

  • @nelsonmwombeki5243
    @nelsonmwombeki5243 5 лет назад +1

    ebwana badman katisha, video kali afu goma linaamsha, 💥💥

  • @johnshayo7926
    @johnshayo7926 3 года назад +3

    This song Melody, brought revolution, the way Tz rappers flows now days has something to do with this Song..

  • @flaviusmwemezi9961
    @flaviusmwemezi9961 5 лет назад +1

    How comes hii ngoma haijahit
    Salute sana wenye akili tumeelewa

  • @charlzstans7987
    @charlzstans7987 6 лет назад +1

    me pia sijui,tisha sana boy.

  • @mbarakaiddbukoba584
    @mbarakaiddbukoba584 5 лет назад

    Nilijua wakenya

  • @legawayz6093
    @legawayz6093 5 лет назад

    Nilijuaga wakenya ndo wameimba aise upo juu bad man🙌🙌🙌🙌🙌💪💪

  • @allanmzomozi3424
    @allanmzomozi3424 5 лет назад +1

    Ngoma kali sana.Big up!

  • @samrankingfire5009
    @samrankingfire5009 6 лет назад +9

    Yamotoo🔥🔥🔥

  • @paschaldaud5597
    @paschaldaud5597 2 месяца назад +8

    2024 like here..😁

  • @matridampeligwa6195
    @matridampeligwa6195 6 лет назад +2

    hatariiiii kazi nzuriiii

  • @josiahyukan8565
    @josiahyukan8565 5 лет назад +1

    ngoma kaliiiii

  • @joshuasulle1882
    @joshuasulle1882 5 лет назад +2

    Ataaaaari nyagiii

  • @richardjoeli1364
    @richardjoeli1364 5 лет назад

    Ya kizaziii sanaaa

  • @suzanaramadhan1141
    @suzanaramadhan1141 5 лет назад +11

    Hii nyimbn namkumbuka mwanangu anaipenda atarii

  • @hadijalukas5959
    @hadijalukas5959 4 года назад

    nikagongee nyagi nimemisi sana kusikia vitu vyako towa moto 🔥🔥🔥🔥🔥 mwingine utulipuwe mashabiki zako uko juu 🙌🙌🙌🙌

  • @fettyomary8907
    @fettyomary8907 5 лет назад +1

    Crazy crazy.... Iyo sound na beat.... Yaan daaaah nice ngoma watch DEC 25 2019

  • @nobmhanga9917
    @nobmhanga9917 4 года назад

    Ngoma kali sana

  • @neemakwanama6886
    @neemakwanama6886 5 лет назад

    Nyimbo kaua pande za tabora Tanzania

  • @Officialkeicy-tz
    @Officialkeicy-tz 5 лет назад

    tisha sana mwana

  • @tusamwangasa3156
    @tusamwangasa3156 6 лет назад +14

    Ngoma Kali video nzuri mungu akubaliki ufike mbali

  • @swaummussa1272
    @swaummussa1272 5 лет назад

    Baddest...hatari

  • @sixbertkigomakwetu7742
    @sixbertkigomakwetu7742 5 лет назад +2

    Ya moto sema cjui imekosa promo 💪💪

  • @ibrahimutvibrahimutv237
    @ibrahimutvibrahimutv237 3 года назад +1

    Nikagongee nyagiiiiiiiiiiiiiiiuuuuiii

  • @pudaboytz4956
    @pudaboytz4956 6 лет назад +4

    Ngoma kaliii brother

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 5 лет назад

    sijui nikagongee wapii!!

  • @zuhuramwambalo1767
    @zuhuramwambalo1767 5 лет назад

    Ngoma kali sana gongea guzuna tuu hahaaa

  • @browndizy8294
    @browndizy8294 6 лет назад +1

    Ngoma kali video kali #nikagongee bless

  • @petersimon2115
    @petersimon2115 5 лет назад

    Hii ngoma mmetishaa hatar huku kitaa now kila inasikilizwa

  • @sizaulomi1478
    @sizaulomi1478 5 лет назад +14

    promote Mzee ngoma nikali ile mbayaaaa watu bado hawajaimanya wote

  • @emmanuelbuyamba9375
    @emmanuelbuyamba9375 6 лет назад

    no noumaaaaaaaa!! mmetusha wazeeee

  • @blessingdeblessious2501
    @blessingdeblessious2501 5 лет назад +1

    shishi hiingoma anaikubal san na mm cwez ikataa aseee