Wawa Salegy Ft. Diamond Platnumz - Moto - Clip officiel

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 июл 2019
  • Moto disponible : backl.ink/30558126
    Abonnez vous à ma chaine RUclips : urlz.fr/bhT0
    Affaire Compliquée disponible : backl.ink/142015696
    Abonnez vous à ma page Facebook : WawaSalegyKonkaOfficiel
    Abonnez vous à ma page Instagram : wawa_salegy?igs...
    Diamond Platnumz apparaît avec l'aimable autorisation de Wasafi Limited
    #swprod #moto #wawasalegy #diamondplatnumz
    © SW Prod 2019
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 2,8 тыс.

  • @majaliwapili2928
    @majaliwapili2928 5 лет назад +63

    🇹🇿🇹🇿Siiiachi kumshabikia diamond platnumz hata wakuseme vibaya. Mbona mazuri wanayaacha muziki wetu sasa umefika mbali kwasababu yako wewe jamaika sasa ukisema Tanzania wanaielewa kwa muziki si jamaika tu hata inchi nyingine za mbali

    • @majaliwapili2928
      @majaliwapili2928 5 лет назад +1

      Simba asilimia 90% kasambaza mziki wetu duniani nzima

    • @jaovao
      @jaovao 4 года назад

      Diamond is a great artist.
      And Wawa as well.
      This rythme is called Salegy.
      It’s from Madagascar.
      The main beat here is from Madagascar.
      The composition is mainly from Wawa.
      And Diamond is featuring on it.
      Check his other song from Wawa then you understand.
      Have a look here:
      ruclips.net/video/AUouq1alg10/видео.html
      Great cooperation between
      Madagascar 🇲🇬
      &
      Tanzania 🇹🇿

    • @chadiadahilou518
      @chadiadahilou518 4 года назад

      Majaliwa Pili j

  • @LLYKEJONNESS
    @LLYKEJONNESS 5 лет назад +33

    Diamond unatupeleka mbio sanaa😊😊😊mara kanyaga mara vumbi sasa hii... Moto..na ni Moto kweli..jamani🔥🔥🔥💥kama wewe mjaluo ukaskia wazee wa chodo kimoko NDI😂😂😂👌🏼👌🏼

    • @majaliwapili2928
      @majaliwapili2928 5 лет назад +3

      Llyke Jonness huyo jamaaaa ana bahati gani ya kuimbaaa na msaniiii mkubwaaa diamond kamtangaza tayari tusha mjua kama kuna msaniiii anaitwa wawa

    • @LLYKEJONNESS
      @LLYKEJONNESS 5 лет назад +1

      @@majaliwapili2928 😁😁😁😁✍🏾✍🏾✍🏾kweli

    • @majaliwapili2928
      @majaliwapili2928 5 лет назад

      Ndio

    • @mbarakamuba1903
      @mbarakamuba1903 5 лет назад

      fire

  • @dosscolonelofisialy5914
    @dosscolonelofisialy5914 5 лет назад +41

    BIG UP TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿,From MADAGASCAR 🇲🇬🇲🇬🇲🇬

  • @oliviairintsoa5134
    @oliviairintsoa5134 3 года назад +59

    Les Malagasy comme moi, vous êtes toujours là?
    Thank you guys, we're proud of you.

  • @haioune
    @haioune 5 лет назад +683

    Tsara b wawa salgy 🇲🇬🇲🇬😍❤️.
    Les 🇾🇹Maoré vous êtes là ? 😁
    Les 🇲🇬malgache vous êtes là ? 😁
    Les 🇰🇲Comorien vous êtes là ? 😁
    Les 🇷🇪réunionnais vous êtes là ? 😁
    Les 🇹🇿Tanzanie vous êtes là ?😁
    Je veux qu’on pete des vu les 1M de vu c possible 😁💕

    • @Archydelmas
      @Archydelmas 5 лет назад +4

      Toujours au rendez-vous on est là même

    • @elvice3262
      @elvice3262 5 лет назад +3

      On est la même, soleil tape 🌞🌞☀️☀️

    • @yasmayacoub8978
      @yasmayacoub8978 5 лет назад +3

      Ewa

    • @mudree5191
      @mudree5191 5 лет назад +2

      😅 if you don't mind me asking what does Moto mean in Madagascar coz in Tanzania it means fire.

    • @sandra292
      @sandra292 5 лет назад +13

      🇾🇹🇾🇹🇾🇹🇾🇹on est là🇾🇹🇾🇹🇾🇹🇾🇹

  • @kinjeathuman2350
    @kinjeathuman2350 5 лет назад +157

    Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo kali Tz.... Nasema hivi hii ni yenyewe kbs 👐

    • @kauzutz
      @kauzutz 5 лет назад +1

      Kinje Athuman 😂😂😂👊

    • @dalmasbarasa5207
      @dalmasbarasa5207 5 лет назад +1

      Simba hana mchazo

    • @soundmale
      @soundmale 5 месяцев назад

      😂😂😂 kweli

  • @anthonyrabemanisa5503
    @anthonyrabemanisa5503 4 года назад +123

    Two great country of Africa represented by two great artiste. Wawa 🇲🇬 and diamond 🇹🇿. Moto ra ty niany eh. Faly fa malagasy.

  • @davidmabeste4867
    @davidmabeste4867 5 лет назад +10

    Weeh hii bia tu moja imemponza kimbelembele kajipeleka mwenyewe ajatongozwa mama yangu we moto moto moto diamond noma like twende sawa nakubal wcb

  • @aliyzanzibar148
    @aliyzanzibar148 5 лет назад +25

    Moto moto atauweza ali kiba mwambiyeni afuate kama hatounguwa simbaaaaaaa noma sana waonyeshe kama ww ndo simbaaaa

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 5 лет назад +16

    ndo mara yng ya kwanza kuona singeli inaenda international,asante sana #Diamond kwa kuipeleka singeli kimataifa msimu ujao imba taarabu nayo uiokoe maana nikama imekufa vile.

  • @emedishebabinbawili4732
    @emedishebabinbawili4732 5 лет назад +480

    Ivi watanzania 🇹🇿 bado wanaendelea kuangalia ngoma ihi siamini hebu gonga like hapa kama mupo +255

  • @aishajasminah9926
    @aishajasminah9926 4 года назад +39

    Wawa Moto Moto 😂👏👏👏👏👏👏 Miboaha ambanja fa mafana rah ty 👏👏
    Pilipily naharo Sakay 😃😃mafana ay😃😃🇲🇬🇲🇬🇲🇬🇲🇬🇲🇬🇲🇬

  • @montythedyke446
    @montythedyke446 5 лет назад +54

    Diamond platnumz ni hatare👏👏👏👏👏

  • @kagoggoalfred2730
    @kagoggoalfred2730 5 лет назад +30

    diamond we ni NOMA style zote za mziki unazipiga duuuuu.lord of bongoflever

  • @alishaddadi6667
    @alishaddadi6667 3 года назад +6

    Nakubali mond toka Congo moto moto hauzimiki🔥🔥🔥🇨🇩;basi watoto wa congomani wote mpooo, like hapa👇👇👇👇

    • @Jasminaodoyi
      @Jasminaodoyi 2 месяца назад

      Salam effaçables effectivement ❤❤❤❤❤👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽

    • @Jasminaodoyi
      @Jasminaodoyi 2 месяца назад

      O 2:00 sddfwa 2:03 w va d’accord

  • @Babudicky-zn1kp
    @Babudicky-zn1kp 9 месяцев назад +3

    Nakubari sana brother simba 🦁🔥🔥🔥🇹🇿

  • @nebuchardchirambo8961
    @nebuchardchirambo8961 5 лет назад +338

    Diamond is de best Artist in Africa if you are agree gonga like.... Team #WCB

  • @davidsamson8292
    @davidsamson8292 5 лет назад +44

    Sasa wewe diamond unachotafuta huu mwaka utakipata maana ni mwendo wa ngoma juu ya ngoma ingawa sielewi kiswahili ila you are now on fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @thetwocousins9835
    @thetwocousins9835 4 года назад +461

    Like si t’es Malgache 🇲🇬

    • @hairatihatim7876
      @hairatihatim7876 4 года назад +7

      J'adore votre chanson c'est magnifiques👍👍👍
      La chanson malgache

    • @jaovao
      @jaovao 4 года назад +2

      Hairati Hatim merci 🙏🏾 vous êtes de quel pays?

    • @marcorazax6196
      @marcorazax6196 4 года назад +1

      Abonnés vous à ma chaîne la famille ♥️😁🇲🇬

    • @maxamudxuseen3801
      @maxamudxuseen3801 4 года назад +1

      @@hairatihatim7876 m

    • @overspace1872
      @overspace1872 4 года назад

      @@jaovao Comores

  • @letionnews310
    @letionnews310 3 года назад +3

    Daimond ni moto wa kuotea mbalii sanaa kama unaamin gonga like hapa 2021🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪❤️❤️❤️

  • @mohamedsiadi8144
    @mohamedsiadi8144 5 лет назад +28

    DAH!!! Diamond mwaka Huu Naona umefoka Yani Moto Ju Ya Moto🔥🔥🔥

    • @omaryhabibu8725
      @omaryhabibu8725 5 лет назад

      Mungu akupe uhai mulefu ili uwendee kuwa dalaja wengi

  • @kingcicero1708
    @kingcicero1708 5 лет назад +26

    Singeli tena duuh!!
    From Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @vianeybizimana2202
    @vianeybizimana2202 3 года назад +6

    Number one mond

  • @aishaothman8638
    @aishaothman8638 7 месяцев назад +1

    Ati ooh mziki wake haifiki mbali nani kasema huyu afurahisha wafrika sio wazungu bana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🍷🍷

  • @skillerman538
    @skillerman538 5 лет назад +76

    LOVE FROM TANZANIA naona mzee simba umeamua kutuletea singeli 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ssaidsarah1850
    @ssaidsarah1850 5 лет назад +17

    Waimbaji wapendwa Wawa salegy konka fo and Simba Diamond platnamuz ❤️❤️ vive l Afrique💝

  • @arnoldmremi1626
    @arnoldmremi1626 3 года назад +8

    Mzuka sio wakawaida paka leo 2020 tunaangalia like zake

  • @wilsonnjoroge8761
    @wilsonnjoroge8761 5 лет назад +13

    Diamond your killing.... 254 wapi likes

  • @lucianjr6807
    @lucianjr6807 5 лет назад +57

    LOVE FROM TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 mamaeeee huyu mond mbn ka mchawi aise kila biti anasepa nalo.... #WCB4LIFE

  • @mapandejr8932
    @mapandejr8932 5 лет назад +314

    diamondi platnumz hatari sna uwashe moto🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @mnenetv8267
    @mnenetv8267 5 лет назад +146

    Eeeh kama umeieleeawa hii ngoma ebu weka like hapo tuuwashe moooooto

  • @kadafiahmad8777
    @kadafiahmad8777 4 года назад +65

    Beste musique good job #wawa_salegy🇲🇬🇲🇬🇲🇬 and daimond

  • @bahatis.mbishi737
    @bahatis.mbishi737 5 лет назад +18

    Simba wewe ni hatari wakuache🙏🏻

  • @kandakourouma7260
    @kandakourouma7260 5 лет назад +235

    Who’s else here for Diamond Platnumz,Shows your love ❤️ 🔥🔥

  • @asanteakimu9297
    @asanteakimu9297 5 лет назад +59

    Afu mond ww Ivi ujui nmelelewa kilokolee Afu Unafanya niupende wimbo yaniii ni 🔥 🔥 fire

  • @roseravelo1068
    @roseravelo1068 5 лет назад +11

    Misaotra anao Wawa, mitondra avo ny Salegy Môtro! Congrats guys, you are the best!

  • @openmindtz
    @openmindtz 5 лет назад +14

    😂😂😂😂😂 modi Msela sanaaa....kimoja ndiii

  • @umaryibnabdullah2852
    @umaryibnabdullah2852 5 лет назад +1029

    Kama umeangalia hii vdeo kwa sababu ya mond kama mm, weka like

    • @majaliwapili2928
      @majaliwapili2928 5 лет назад +6

      Van Kawambwa kwaniii huyu msaniii aliye imba naye ni wawapi

    • @simbawatadale5509
      @simbawatadale5509 5 лет назад +4

      Van Kawambwa kweli nimeangalia hii vedeo because of diamond

    • @umaryibnabdullah2852
      @umaryibnabdullah2852 5 лет назад +2

      @@majaliwapili2928 hii vdeo imeshootiwa hapa bongo lakn msanii cjuw wa wap

    • @umaryibnabdullah2852
      @umaryibnabdullah2852 5 лет назад +1

      @@simbawatadale5509 😂😂😂 ucnchekeshe

    • @congoboymbeyas2440
      @congoboymbeyas2440 5 лет назад +2

      @@majaliwapili2928 Madagascar

  • @Shanel_237
    @Shanel_237 4 года назад +12

    Bonjour à tous, je suis camerounaise et j'aime cette chanson, on dirait un rythme de chez nous( Le bikutsi) avec ce titre je confirme que l'Afrique est la même . Je pourrais arriver à Madagascar et danser le bikutsi. Félicitations très belle chanson

    • @Oli-lk1gp
      @Oli-lk1gp 3 года назад

      A Madagascar certains musique de bikutsi sont même écoutés pour cette raison

  • @mustaphermsopo340
    @mustaphermsopo340 4 года назад +1

    Jamani simba ni hatari .hakuna kama huyu bongo 🦁🦁🦁🦁

  • @stevenmontana1895
    @stevenmontana1895 5 лет назад +5

    Nimecheka sana hiyo nyimbo vibe lake sio la nchi hii #Simba nyimbo zote yumo

  • @wazirihashim5284
    @wazirihashim5284 5 лет назад +97

    Hii ngoma kweli moto, nime msikilizisha mbwa wangu ghafla kageuka simba...

  • @justinerasoarivelo7402
    @justinerasoarivelo7402 Год назад +6

    Quand j 'écoute cette musique même si je ne danse pas j 'ai envie de danser . Kkkkkkkkkk bravo wawa et diamonde. On vous adore ❤ ❤ ❤

  • @asherysamson783
    @asherysamson783 5 лет назад +10

    Kama unaikubal ngoma hii gonga like😁😁😁

  • @dommydee9648
    @dommydee9648 5 лет назад +16

    Balaaaaaa la mjini limeshuka we Mond ni nyokooo

  • @jumambarouk
    @jumambarouk 5 лет назад +1417

    Wangapi wata like baada ya kuona hii bendera 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @majaliwapili2928
      @majaliwapili2928 5 лет назад +9

      Prince Kijay 🚭 mimi hapa

    • @mdl6463
      @mdl6463 5 лет назад +4

      Kwel mond unawenge sana unakuaga na presha na mziki wako jiamini tu unakua unatoa nyimbo kila siku

    • @rusakanyohenry6932
      @rusakanyohenry6932 5 лет назад +6

      @@mdl6463 kwani wimbo wake?

    • @brotherman9750
      @brotherman9750 5 лет назад +3

      #Likelinkifyoubelieve
      ruclips.net/video/6880BVS9I_8/видео.html

    • @mwanaidyibrahimu3207
      @mwanaidyibrahimu3207 5 лет назад +9

      @@mdl6463 acha wivu nyimbo siyake

  • @aminasaid8311
    @aminasaid8311 5 лет назад +31

    Diamond hio swag ya mikoba bana haileti shangwe 😂anyway more 🔥🔥

  • @rufencembala866
    @rufencembala866 5 лет назад +50

    Eishh Diamond is over working...💕💕💕💕 Love from +254 KE.

    • @jaovao
      @jaovao 4 года назад +1

      He is a great artist for sure.
      But the main beat here is from Madagascar.
      The composition is mainly from Wawa.
      And Diamond is featuring on it.
      Check his other song, then you understand.
      This rythme is called Salegy.
      Have a look here:
      ruclips.net/video/AUouq1alg10/видео.html

  • @princenewton
    @princenewton 5 лет назад +152

    Any Kenyan here😂😂😂+254 mnaelewe chochote apart from part ya mondi

  • @kdmforever77261
    @kdmforever77261 5 лет назад +18

    WAWA 🇲🇬 🔥 🔥 🔥 🔥 #salegymafana 👏👏👏👏👏👏👏👏👏
    #Rombo
    Thanks to Diamond 🇹🇿 🙏🙏🙏🙏

  • @salimmkambila3542
    @salimmkambila3542 4 года назад +4

    We Jamaa sio MTU mzuri du simbaaaaaaaaaaaaaaaaa moto moto wanangu wa mbagala motoooooo mondi we wwe... Moto moto

  • @mohamedjumbe9309
    @mohamedjumbe9309 2 года назад +1

    Diamond platnumz is killer 💥💥💥💥💥 simba

  • @reymarlee6417
    @reymarlee6417 5 лет назад +118

    TETEMA, INAMA, KANYAGA, TIMUA VUMBI then WASHA MOTO
    #wcb4life

  • @isacklaurent8948
    @isacklaurent8948 5 лет назад +11

    uuuuuwwww mwaka huu 2nauwa 2
    ya trand inatakiw i adi 5 itoke WCB mamaee,
    mpaka waombe poooh!

  • @lyloualy2338
    @lyloualy2338 4 года назад +5

    Misotra wawa
    Merci diamond succès garantie...
    Dar-es-salam ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @myvisionstudio976officiel7
    @myvisionstudio976officiel7 4 года назад +81

    Si vous kiffé la chanson comme moi laissez moi vos like👍🇨🇩😘

  • @peterkapaya6554
    @peterkapaya6554 5 лет назад +6

    Simbaaaaa
    Ujue Nyie Team WCB mnanifurahisha sanaa..Tupo namba 10 Tuendelee kustream tufike namba 4 Tukamilishe list

  • @chris_jabari
    @chris_jabari 5 лет назад +21

    Diamond mhuni makini😁😁😁😁🔥

  • @gracechiledi7612
    @gracechiledi7612 5 лет назад +1

    naupenda huu wimbo 😍😍😍😍😍

  • @sullehtz9327
    @sullehtz9327 3 года назад +5

    Diamond platnumz 🔥🔥🔥

  • @Joniupdate
    @Joniupdate 5 лет назад +528

    Kama we ni team kiba na unamkubali mondi like twende sawa

  • @lizzymaundo951
    @lizzymaundo951 5 лет назад +30

    Tim pekee ya mtu moja ambayo inafanya vzuri kimataifa kuliwakilisha Taifa la Tanzania... Diamond platinum... Utabaki juu daima..

  • @hamduunmohamed6636
    @hamduunmohamed6636 4 года назад +8

    intii somaliaya like ii sara plz ismujiya

  • @opiumtaavi4966
    @opiumtaavi4966 5 лет назад +119

    Diamond is the best kama ni member wa 255 weka like ya kibabe hapa MOTO TU!! BONGO LAND ni fire

    • @fatmabby1187
      @fatmabby1187 4 года назад

      H

    • @jaovao
      @jaovao 4 года назад +1

      He is a great artist for sure.
      But the main beat here is from Madagascar.
      The composition is mainly from Wawa.
      And Diamond is featuring on it.
      Check his other song, then you understand.
      This rythme is called Salegy.
      Have a look here:
      ruclips.net/video/AUouq1alg10/видео.html

    • @kikikarim1192
      @kikikarim1192 3 года назад

      Il

    • @kikikarim1192
      @kikikarim1192 3 года назад

      Àa988

  • @kibengamarthey5996
    @kibengamarthey5996 5 лет назад +13

    Kama umemuelewa mondi kwenye ngoma hii gongs like twende sawa

  • @mgeyo6464
    @mgeyo6464 5 лет назад +16

    MONDI NI SAYARI NYINGINE🔥🔥

  • @cedricromeo6136
    @cedricromeo6136 4 года назад +92

    Depuis le Cameroun 🇨🇲 c'est validé a 💯c'est l'Afrique qui gagne 👌🏽👌🏽👏🏾👏🏾💪🏽💪🏽

  • @gasygirlmada4598
    @gasygirlmada4598 5 лет назад +1

    GASY🇲🇬🇲🇬🇲🇬🇲🇬 MAFANA,MACHIRO 😋

  • @abdulrazakgwotta5561
    @abdulrazakgwotta5561 5 лет назад +231

    #Kanyaga like kama unamkubali Diamondy Platnumz na Wawa Salegy.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @simbawatadale5509
    @simbawatadale5509 5 лет назад +9

    Platnumz diamond we loves SIMBA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥simba we ni moto wacha tu waunguwe chibu we ndo moto

  • @heiderviveros5952
    @heiderviveros5952 Год назад +18

    soy colombiano y me encanta la musica de mi descendencia africana 🇨🇴

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 4 года назад +1

    Madagasca na Tanzania wawa na daimond wamewasha moto 🎼🙏

  • @mtumishihewa7595
    @mtumishihewa7595 5 лет назад +58

    am here for TZ AND MADAGASCAR, who else???
    💪💪💪💪

  • @nelsonalfred40
    @nelsonalfred40 5 лет назад +60

    diamond anakimbiza africa nzima like kama unakubalianana mimi

  • @karialhadjinassuf8590
    @karialhadjinassuf8590 4 года назад +7

    VALIDE AUX COMORES

  • @nizrarayat3004
    @nizrarayat3004 Год назад +1

    I can say I’m lucky to speak Swahili, French, English , malgache , comorian ans l’ugandan ……

  • @sadickthobias5894
    @sadickthobias5894 5 лет назад +194

    Jamani leo wapili kama unamkubali diamond gonga like hapa

  • @terrieblieyz4818
    @terrieblieyz4818 5 лет назад +57

    diamond apewe ubalozi wa kiswahili,anatuwakilisha vyema

  • @luckacedricratsironkavana2399
    @luckacedricratsironkavana2399 5 лет назад +8

    Konka Konka fogna. Allo WAWA , wlcome to Malagasy rythm Diamond

  • @lurquilvugutsa4212
    @lurquilvugutsa4212 5 лет назад +129

    Wah nimechza kwa nyumba miguu imechoka ukiweka hii nyimbo kwa speaker mzuri unaweza chizi😂😂😂

  • @dullahdulayo4361
    @dullahdulayo4361 5 лет назад +14

    Hii ngoma unaweza ukapandisha hata maruhani kweli motooo🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @omarabdallah7577
    @omarabdallah7577 5 лет назад +8

    Leo ndo nimejua kua Diamond Simba, mzee anaanguka na style zote..

  • @rafandresenaprisca4334
    @rafandresenaprisca4334 5 лет назад

    zay niaro eky gas drek Afrique ay 🇲🇬🇲🇬🇲🇬🇲🇬🇲🇬

  • @thegirlfromafrica5726
    @thegirlfromafrica5726 3 года назад +3

    Kama nawewe umeusikia uuwimbo kwenye campain ukaja kuutafuta gongal like hapa

  • @mgeyo6464
    @mgeyo6464 5 лет назад +79

    TANZANIA& MADASCAR STAND UP #WCB4LIFE

  • @makochizo_official5802
    @makochizo_official5802 5 лет назад +5

    Nic baba la baba mondi 🦁mtoto waTz
    Kama una mkubali kama mm LIKE

  • @gasygasy6758
    @gasygasy6758 4 года назад +6

    30 mai 2020 mbola tsy tapaka mihaino ato❤❤❤

  • @Amir-Muse
    @Amir-Muse 5 лет назад +18

    Wow Nice song and best dance i have not seen before like this especially this song from diamond keep going bro from Somalia 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴💪💪🦁🦁🦁💖❤💖❤💘💘👏👏✊✊

  • @daudyussuf9859
    @daudyussuf9859 5 лет назад +156

    uyu mondi ni sumu kotekote upo big up simba et wawa

  • @stephanemaharavo4681
    @stephanemaharavo4681 5 лет назад +26

    🔥🔥🔥🔥💥💯💯💯👏👏👏 motro motro vous êtes forts Wawa salegy clip c'est très bien avec Diamondy

  • @ramaxmohamed1328
    @ramaxmohamed1328 3 года назад +28

    Il est incroyable Diamond il s'adapte avec tout sort de Music

  • @hassanlastucieux2785
    @hassanlastucieux2785 4 года назад +180

    ils ne parlent pas la même langue et pourtant ils arrivent à composer cette chanson, c'est l'unité dans la diversité africaine !! milay be le hira aa !!

  • @tumuhamadi
    @tumuhamadi 5 лет назад +9

    Hatujamaliza kutetema.. Kukanyaga na kutimua vumbi sasa hivi ni moto.. Dah diamond utatumaliza nguvu😂😂😂WCB for life😍

  • @darvan_tz
    @darvan_tz 5 лет назад +17

    Dudeeeee kama iloooooo kila xk mawe wcb #Moto unamkubali @diamondplatnumz gonga like

  • @hydaiamayah7940
    @hydaiamayah7940 5 лет назад +89

    Où son les malagasy🇲🇬🇲🇬🇲🇬❤

  • @mariahbrina5135
    @mariahbrina5135 5 лет назад +7

    this is how pipo b singn in streets of tanzania commonly known as kisingeli..fun stuff..proud tanzanian.😍😍

  • @amirimasunda8768
    @amirimasunda8768 5 лет назад +104

    mamaee huyu Mondi Hata ukimpatia verse ya injili anaimba maana hii Kma Singeli hahaa Kma nawe umeckia kimoko ndi like

  • @cherrieladen1152
    @cherrieladen1152 5 лет назад +10

    Sipati picha hilo beat uswaz kwenye vigodoro......drop sm likes from uswahilin

  • @PameloNovou
    @PameloNovou 22 дня назад

    C'est mon oncle!!!! Peut etre que tu me connais pas, mais ma grand mere ma beaucoup parler de toi j'écoute t chanson avec toi, ma grand mere dit que elle te connais vous vous etes rencontrer, bien et bah heureux de te rencontrer!❤

  • @baruanijeanpierre8189
    @baruanijeanpierre8189 5 лет назад +5

    Nimecheza sana hii wimbo!!! Nilipo iskia

    • @rehemaponera8160
      @rehemaponera8160 3 года назад

      Hata mimi napendaga san a beat za hivi nimecheza mpaka