FUNGUKA / SAFARI YA MWANASIASA MKONGWE MUDHIR MOHAMED

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025
  • Mwanasiasa Mkongwe Mudhihir Mohammed Mudhihir safari Yake imekaa mambo tele ikiakisi maisha ya familia za maisha ya Watanzania wengi tangu kuuza Karanga hadi kuajiriwa Ikulu na kupata Ubunge na kuwa Naibu Waziri Katika serikali ya awamu ya Nne.
    Je wajua kisa cha Nyoka la Mdimu na Mhe.Mudhihir? Mtangazaji wetu @rashidsalimtz amehoji hilo na mengine kadha wa kadha katika sehemu ya tatu kipindi hiki FUNGUKA

Комментарии •