CHADEMA SIMIYU WACHARUKA VIKAL, KAMBI YA MBOWE YAZIDI KUVUNJIKA, LISSU AZIDI KUPAA, "MBOWE APUMZIKE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 38

  • @JoelKilemile
    @JoelKilemile 13 дней назад +7

    Safi sana tunataka viongozi wenye musimamo dhabiti,tuleteeni Tundu lissu na Heche,Ccm wamezoea kutuonea sana.

  • @yustodonald9772
    @yustodonald9772 13 дней назад +6

    Nawakubali sana makamanda

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 13 дней назад +7

    Pamoja sana nikiwa Bariadi mjini

  • @charlesmtangi9046
    @charlesmtangi9046 13 дней назад +5

    Allah awatangulie makamanda wetu tunawaamini san🎉🎉🎉

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 13 дней назад +4

    Safi sana Simiyu. Love you sana ❤️🙏🏾

  • @mashaurikihute3369
    @mashaurikihute3369 13 дней назад +3

    Chadema mpya inakuja tena ni🔥

  • @mangukasasali7614
    @mangukasasali7614 13 дней назад +2

    Simiyu naiaminia sana. Hongereni sana kuwa upande wa wanachama

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola 13 дней назад +4

    Safi kabisa umesema maneno ya hekima na ya kiongozi kabisa

  • @wiliamkatala
    @wiliamkatala 13 дней назад +1

    Saf sana,nipo GUDUWI-BARIADI

  • @onlythestrong8659
    @onlythestrong8659 13 дней назад +1

    Tundu 🔥🔥🔥

  • @ElihurumaThomas-kz8nq
    @ElihurumaThomas-kz8nq 12 дней назад

    Pamoja sana

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 13 дней назад +4

    Ningekuwa mbowe ningeachia ngazi ili kuendeleza heshima

  • @alexkamba5264
    @alexkamba5264 13 дней назад +2

    Mh! Nguvu ya wajumbe sasa da wajumbeeeeeeee hoyeeeeeeee

  • @evelina9621
    @evelina9621 13 дней назад +3

    Mungu.awabariki.ss.wananchi.tunaliaakati.watu.wanapote.tusaidieniwazee.machungu.yapungue.msaidieni.hata.ìkiwezakanavijana.moto.wenu.nguvu.komboeni.tanzani.msiumizani.ogopa.mungu.mfalme.daudi.yusufu.danieli.meshaki.abinegoli.walisimama.kutetea.nchi.yao.simameni.imara.maiyumbishe.nchi.imechoka.maneno.yanasema.molandie.atawatia.nguvu.harambe

    • @wiliamkatala
      @wiliamkatala 13 дней назад

      Rudi KWA mwl wako wa chekechea😂😂😂😂😂😂😂

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 13 дней назад +2

    LISSUUUUUUUU

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 13 дней назад +1

    Lissuuuuuu

  • @GloryJosephMosiyoka
    @GloryJosephMosiyoka 13 дней назад +2

    Mbowe kutotaka kuachia ngazi kwa amani ili chama kiwe imara ni kwamba ameshaona hatoboi, kwahvo kaona liwalo na liwe kwamba bora chama kife yeye asipoongoza, yaan uroho ni mbaya sana ndg zangu

  • @deusdedithjoseph7588
    @deusdedithjoseph7588 13 дней назад

    Lisuuuuuuu

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni 13 дней назад +2

    Lisu oyee

  • @josephmatiko4805
    @josephmatiko4805 13 дней назад +2

    Kiukweli ukilinganiaha nahali tulionayo kwasasa! @nasiasa zasasa!! Mtuletee Lisu na Heche !!!Moto utawaka, na tutapatanguvu kubwa, na, tunataka siasa zamapambano sio mapambio!! Tupotayarisasa Watanganyika

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 12 дней назад

    Imeisha hiyo

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 12 дней назад

    Huyo Mbowe akitoboa Mwamba kwelikweli kula kwa Boya Kura kwa Mjanja

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 13 дней назад +1

    Kuna jamaa mmoja alikua anampenda Sana Mbowe Leo na yeye kahunga Kwa LISSU kisa watu wamemwambia wanamtaka LISSU

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 13 дней назад +1

    Sisi tunatamtaka LISSU

  • @anyelwisyemwakalinga-iz1ej
    @anyelwisyemwakalinga-iz1ej 13 дней назад

    Mpaka hapo demokrasia imetamalaki ndani cdm maana hakuna kura ya Siri Bali ni uwazi. Ila kikubwa muepuke vurugu kama mlivyotamka.

  • @josephmagige874
    @josephmagige874 12 дней назад

    Hakuna mnyantuzu mjinga umekwisha mbowe pumzika kwa amani

  • @HasanKisome
    @HasanKisome 13 дней назад +1

    Kwani Yeye Mwenyewe Freeman Mbowe Ana semaje?

    • @MansourKabuhaya
      @MansourKabuhaya 13 дней назад

      Kamuulize na kiswaswadu chako... Omba namba yake

  • @onesmomasala-rg2wd
    @onesmomasala-rg2wd 13 дней назад +1

    Uko m/kiti wa mkoa simiyu

  • @jacksonlucas9322
    @jacksonlucas9322 13 дней назад

    Huu Kama sio moto ni baridi kali

  • @halajanyerere3512
    @halajanyerere3512 12 дней назад

    Unaongea uhalisia wa wawanachama asnt san

  • @geofreyjonas4901
    @geofreyjonas4901 13 дней назад +1

    Lissu ana upepo mkubwa, kiimani kwa sisi Wakristo -Lissu ni Nabi Mussa aliyetumiwa na Mwenyezi Mungu Kuwavusha wana Wa Israel kutoka utumwani na kuelekea nchi yao ya asili.
    Wajumbe wa CDM,msifanye upuuzi kuchangua hela au utajiri wa mtu,chagueni mtu atayewavusha na kuwapa hamasa na asiye na makando kando ya rushwa na uchafu mwingine.

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 13 дней назад

    Tunakwenda na lissu

  • @mwasagamwambuli3513
    @mwasagamwambuli3513 13 дней назад

    CCM wanasemaji katika hili?