HOUSE GIRL NA MGANGA WA KIMARA WAIBA WATOTO WAWILI, KAMANDA MULIRO AWAPATA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 70

  • @MengiMeng-fd7sq
    @MengiMeng-fd7sq 12 дней назад +3

    mlilo apewe mauwa yake kabla mungu ajamchukuwa.mabaya yake wekeni pembeni ni binadamu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 13 дней назад +12

    Asante Mungu kwa kapatikana watoto huku wakiwa hai 🙏

  • @LazandaSweety
    @LazandaSweety 13 дней назад +25

    Asikari utawaona kama awafanyi kazi kama awakutafuti wew😂😂

    • @Bilifilmz
      @Bilifilmz 13 дней назад +2

      Kabisa kaka

    • @LazandaSweety
      @LazandaSweety 13 дней назад

      @@Bilifilmz mimi dada🤣🤣

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 13 дней назад

      ​@@LazandaSweety😂😂

    • @LuganhaAnastazia
      @LuganhaAnastazia 13 дней назад +3

      Hawa ukiona wamepotezea jambo! Ujue wameamua TU. Lakini wanauwezo mkubwa sana wa kujua chochote!

    • @Bilifilmz
      @Bilifilmz 13 дней назад +1

      @@LazandaSweety pole dada

  • @suzanejacobo6910
    @suzanejacobo6910 13 дней назад +8

    Mungu abariki jeshi la polisi kwa kazi nzuri

  • @LovenessJames-i2s
    @LovenessJames-i2s 12 дней назад +2

    MUNGU awabariki jeshi letu la Tz 🙏

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 13 дней назад +13

    HII NI HATARI SANAAA HOUSE GIRL NA MGANGA WAFUNGWE MAISHA😢😢😢

  • @linahmacha370
    @linahmacha370 12 дней назад +1

    Eee Mwenyezi Mungu endelea kuwalinda maaskari wetu wanafanya kazi nzuri mno 🤲🤲

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 13 дней назад +2

    Hongera polisi kea juhudi zenu,ahsante mungu kupatikana watoto hao.waarifu washughulikiwe.

  • @Calvin-h9c
    @Calvin-h9c 13 дней назад +2

    Asante,,Mungu kwa kuwafunika na utukufu watoto wetu na kukutwa wazm amen

  • @SheikhAly-v9f
    @SheikhAly-v9f 13 дней назад +7

    Alhamdu lillah kazi njema serekali yetu ya tanzania mungu akupeni afya na umri mreefu

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 13 дней назад +5

    Hongereleni sana jeshi langu la police tz mwenyz mungu awabariki sana hiyo dada na huyo mganga wanyongwe pls

  • @IddiAdamu-y3e
    @IddiAdamu-y3e 12 дней назад

    Alhamdulilah Allah kareem police hongereni kwa kazi nzuri ya kuwapata watoto

  • @abuubaya7614
    @abuubaya7614 13 дней назад +14

    UKITAKA KUJUA HAWA JAMAA WAPO KAZINI FANYA TUKIO HUONE DAR NI KUBWA ILA UTAIYONA NDOGO😂😂😂

  • @MwitaBoy-l5k
    @MwitaBoy-l5k 13 дней назад +8

    Mm naona kunaumhimu waziri atamke neno kama kule congo

  • @elizabethkikoti7265
    @elizabethkikoti7265 12 дней назад +1

    Polisi n wakubali sana salute kwenu nilionaga nyie ni balaa nilivyoibiwaga simu yangu tena ya ofisini nilikujaga hapo oysterbay huwez amini siku tatu tu tulimpta mwizi tena yuko nje anakula ugali na mama ake hapo ndo nilijuaga polisi wako makini kweli wakiamua kukupata wanakupata kweli

  • @sagafrashid
    @sagafrashid 13 дней назад +12

    kama kongo wauliwe tu uyo mganga na housegirl

  • @abdulrahmanmohamed-ky1qc
    @abdulrahmanmohamed-ky1qc 12 дней назад

    Alhamdullillah Allah karim watoto wawili kwa pamoja kweli machungu yalioje kwa baba na mama 😢 poleni kwa mtihani, wazazi wawe makini na madada wakazi wengi wao ni washirikina kuna wanouwawa bila kujulikana, tuwache kuajiri watu tusowafahamu wanatuletea majanga ndani y mjumba, kuna yule mtoto alochinjwa kooni na kutibiwa na ile picha ilo zagaa mitandaoni mdada wa kazi anamlisha kinyesi chake mtoto, imefika wakati tubadilikeni tuu tusiwaajiri kila tusiemjua na kujua historia yake.

  • @UDHIHIRISHODAUDI
    @UDHIHIRISHODAUDI 6 дней назад

    Hongeren keshi lapolis Kwa juhudi zenu kuwapata watoto wakiwa wazima

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 12 дней назад

    Alhamdulillah nimefurah sanaaa Kama wamepatkana!!!

  • @RayChausa-g6m
    @RayChausa-g6m 13 дней назад +1

    Alhamdhulillah Alhamdhulillah...huyo mganga na house girl waaaa. Hatari

  • @AishaIssa-ld8lw
    @AishaIssa-ld8lw 12 дней назад +1

    Huyo mganga alikuwa mtu wake Ndo, maaana .harafu kamuambia kama hujazaa kachukue mtoto wowote ufanikishe kafara yako😢😢😢😢

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 12 дней назад +2

    Waganga ni watu wabaya wanadanganya watu kua

  • @angelinnamkingi2219
    @angelinnamkingi2219 12 дней назад

    Hongereni sana jeshi letu la polisi. Tanzania!!!

  • @MtituLucian
    @MtituLucian 11 дней назад

    ...heshima kwa jeshi letu Kanda maalum..

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 9 дней назад

    Waganga wa. Tanzania wote wasechiwe viungo vya binadamu duu Mungu atunusuru na wabaya hawa

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu 12 дней назад

    Hawa wangefanywa kama kongo to kunyongwa hadi kufa 😏 😏 😭😭 kama mungu hajataka haiwezi kuwa hata sku moja Allah ni muaminifu san tuseme sote allhamdullih 🙏🙏

  • @JustinNjokamtali
    @JustinNjokamtali 13 дней назад +5

    Yani mpaka watu tunaogopa kuwa na wadada wa kazi

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 13 дней назад +1

    Mmefanya kazi nzuri polisi kuwapata watoto. Kina soka je?

  • @buboy-q1j
    @buboy-q1j 13 дней назад +2

    Allah awahifadh watoto wetu wote inshallah

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 12 дней назад

    Wafungwe kifungo cha maisha jela,kwakukusudia kuua..

  • @inocentlema5574
    @inocentlema5574 12 дней назад

    Hongereni police

  • @JumaMaulid-l4z
    @JumaMaulid-l4z 13 дней назад +1

    Tuzidishe maombi ndugu zangu

  • @DorisShangwe
    @DorisShangwe 13 дней назад +3

    Haleluya watoto wamepatikana. Polisi good work

  • @Yana_queen1
    @Yana_queen1 13 дней назад +4

    Mahousegirl wengi wanatumika upande wa giza

    • @Patrickkimaro7863
      @Patrickkimaro7863 13 дней назад +1

      Mimi nilipata housegirl akawa hanisemeshi kabisa yaani haongei kabisa nilimuogopa hadi nikamfukuza

  • @GlorydavidJeremiah
    @GlorydavidJeremiah 13 дней назад +3

    Muwe mnaonyesha waarifu tuwajue nawengine wataogop

  • @MtituLucian
    @MtituLucian 11 дней назад

    ....huyo house girl na mganga wanyonge kama kuluna..

  • @MuqbilGhazaal
    @MuqbilGhazaal 13 дней назад +3

    Serikali mliruhusu waganga wakienyeji nchi hii kwann rudieni upya huo mswaada

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 13 дней назад +1

    Inatakiwa tutekeleze sheria ya kuwanyonga watu kama hawa kama ilivyofanyika kongo maana haya majitu ata ukiyaweka gerezani ndiyo inazidi kujifunza ukatili zaidi

  • @paulmutailuka2417
    @paulmutailuka2417 13 дней назад +2

    Ila waganga aise 😂

  • @AlhajiMswaki-de3kb
    @AlhajiMswaki-de3kb 12 дней назад

    Jmn waganga wanyongwe cwapend waganga ndo wanasababisha mauwaj kuwa mengi waganga wauwawe ndo vyanzo vya mauwaji

  • @JeniAlex-e4v
    @JeniAlex-e4v 13 дней назад

    😮we dada wA Kaz njoo nikutombe uwr na watoto acha wiz

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 13 дней назад +1

    Waonyesheni watuhumiwa

  • @MengiMeng-fd7sq
    @MengiMeng-fd7sq 12 дней назад

    uyo mganga aliwe kiboga tu jamani

  • @edsonkennedy8027
    @edsonkennedy8027 13 дней назад

    jamani wazazi kuweni makini ijalishi ni ndugu au watumishi wenu.

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd 13 дней назад +1

    Na uyo mfanyakaz ata hakutok mkoan usikute duuh ila watu

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 12 дней назад

    Glory To God🙏🙏🥲🥲

  • @zabubamudy126
    @zabubamudy126 12 дней назад

    tuonyesheeni pisha

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 13 дней назад

    Allah akibar

  • @salyali7807
    @salyali7807 13 дней назад +3

    Adhabu yao ni kunyongwa tu

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k 13 дней назад

    Nikushukr mungu kama wamepatikana aisee hongereni polisi kwakz

  • @ngaratzmedia
    @ngaratzmedia 13 дней назад

    Nimekuwa wa kwanza

  • @aminahamadi7198
    @aminahamadi7198 12 дней назад

    Awafanyi kazi kwani nibule simaokoto wakikuona choka mbaya awana mda na wewe era ipo unawalipa

  • @upendommbando9946
    @upendommbando9946 13 дней назад +1

    Dhuu😢😢😢😢😢

  • @aminahamadi7198
    @aminahamadi7198 12 дней назад

    Kwan mtu unabeba mimba ili utegeeme mfanyakazi alafu binadamu amsikii kila siku mnaona matukio kuusu wafanyakaz lakini mmo tu kukaa nao

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 13 дней назад

    Hatari

  • @AishaIssa-ld8lw
    @AishaIssa-ld8lw 12 дней назад

    Nipeni Mimi nimnyonge huyo mdada maaana ninahasira sijala Nina siku yatatu roho inatanga tanga

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 13 дней назад

    Allah amekataza ushirikina madhara ni haya

  • @IsayaRUTEBEZA
    @IsayaRUTEBEZA 13 дней назад

    😂😂😂😂 tanzanian 😂😂😂😂

  • @TZHASHMAN
    @TZHASHMAN 13 дней назад

    Hao waganga ndio chanzo cha matatizo serekali iwapige marufuku

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu 12 дней назад

    Hawa wangefanywa kama kongo to kunyongwa hadi kufa 😏 😏 😭😭 kama mungu hajataka haiwezi kuwa hata sku moja Allah ni muaminifu san tuseme sote allhamdullih 🙏🙏