Angel Magoti (Friday Worship) - Nikufananishe

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 91

  • @ModestaTemba
    @ModestaTemba Месяц назад +3

    Dea hata ukavaa gunia Mungu amekupa kipaji unasauti na unamuimbia na kumsifu alie kupa kipaji kwa kweli neno la mungu halirudi bure keep it up
    MUNGU AKUBARIKI TUNZA MOYO WAKO NA SAUTI YAKO.

  • @twins1365
    @twins1365 Месяц назад +5

    Kweli unaimba vizuri ubarikiwe..unge acha kuvaa suruali ungeinuliwa zaidi suruali zenye kuchora maungo yako hazijanibariki kwakweli

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 2 месяца назад +6

    Kwanza Angel kama TZ wakikuzingua nenda zako Marekan kaishi watakuelewa sana hawa WAGOGO WENZANGU WASUMBUFU SANA WANAANGALIA SANA YAMWILINI WAKATI ROHONI UPO VZR SANA ANGEL...ACHANA NAO HAWA WAGOGO WENZANGU WASIKUVUNJE MOYO....

    • @JohariLozano
      @JohariLozano Месяц назад +1

      Yaujazayo moyo ndio yatokayo nje THE FAITH I LIVE BY. IF SOMEONE ASK YOU WHAT YOU BELIEVE, SHOW ME . Fame is the problem.

  • @ModestaTemba
    @ModestaTemba Месяц назад

    MY DEAR Mungu amekupa kipaji kukubwa sana kitunze na kilinde una sauti ya pekee wonderful, Hara ukavaa gunuia yuor voice is amazing, Umetupa ujumbe wa mungu na unafika pale panapotakiwa.
    BAKI KAMA ULIVYO MUNGU AKUBARIKI NENO LAKE HALIRUDI BURE LINDA MOYO WAKO NA SAUTI YAKO.

  • @willyztv..7743
    @willyztv..7743 Месяц назад

    Daah😢...This blessings 🙌 WOG.❤

  • @meshakimsacky4746
    @meshakimsacky4746 Месяц назад

    This is a medicine...... When this skilled comrades meet they are always very cronicle. Congrats wakuu

  • @MrJosmic
    @MrJosmic Месяц назад +1

    Wimbo huu ukawe baraka kwa watu wote

  • @BeatriceWambua-j9r
    @BeatriceWambua-j9r Месяц назад

    Shemsanga na korg🎉🎉🎉🎉 great together.much love from kenya❤❤❤

  • @gracekrom3300
    @gracekrom3300 Месяц назад +1

    Sitaki kuangalia chochote zaidi ya kumtafakari Muumba wa miisho ya Dunia!!!!

  • @meshakimsacky4746
    @meshakimsacky4746 Месяц назад

    Korg Superb sana, nice work. I like this version.

  • @eveimali1388
    @eveimali1388 Месяц назад +1

    The weight.The glory.i'm in awe. Barikiwa

  • @mussarogers
    @mussarogers 2 месяца назад +4

    Mwenyezi Mungu anajua unchokifanya,na akubariki na kukubariki.

  • @moriahafricantour
    @moriahafricantour 2 месяца назад +2

    Awesome sing Angel; may grace upon grace be multiplied to you sister. AMEN

  • @claude6310
    @claude6310 Месяц назад

    Wooow!! Powerful music,amen

  • @judithh.k3255
    @judithh.k3255 2 месяца назад +2

    ❤Glorious May Lord God through his son Jesus Christ. Continue to fill you with fresh anointing

  • @daudicheyo8536
    @daudicheyo8536 Месяц назад

    Hatimaye nimeupata wimbo niliokuwa nauhitaji

  • @Imooisaacelly-j1s
    @Imooisaacelly-j1s 2 месяца назад +2

    More grace great
    Great Worshipper
    Launch deeper

  • @Imooisaacelly-j1s
    @Imooisaacelly-j1s Месяц назад +1

    I lost my parent's years ago,grown up as atotal orphan😢
    A home wonderor but Emmanuel has been my Father
    Thank you Jesus for being with Us always

  • @Dunamis11
    @Dunamis11 2 месяца назад +1

    My sister Ubarikiwe sana🙌🙌🙌❤️

  • @beautybenson2437
    @beautybenson2437 Месяц назад

    Hakika wewe Mungu ni mtakatifu, hakuna wa kufanana na wewe. Barikiwa cc Angel Magoti

  • @julianajaphet8864
    @julianajaphet8864 Месяц назад

    Wewe u Mtakatifu Muumba wa miisho ya Dunia...❤ hongera sana Minister angelmagoti.

  • @VicentKayagula
    @VicentKayagula 2 месяца назад +2

    Hallelujah hallelujah glory to God

  • @Ondiekirachami
    @Ondiekirachami 2 месяца назад +2

    I love the composition ❤❤❤ glory to God

  • @neemamaduhu3562
    @neemamaduhu3562 Месяц назад

    Amen, be blessed

  • @Clareeihe2
    @Clareeihe2 2 месяца назад +1

    God bless your Ministry Angel 😇

  • @gracekrom3300
    @gracekrom3300 Месяц назад

    Haleluyaaaaaa to the MIGHTY GOD!!

  • @gladnessshola2718
    @gladnessshola2718 2 месяца назад

    Waooow Aunt angel, this is what we call worship 👏👏

  • @EllaBella_Homes
    @EllaBella_Homes 2 месяца назад +1

    Mzuri sana

  • @GraceMutolo
    @GraceMutolo Месяц назад

    wowz more grace to u

  • @FiveMedia2003
    @FiveMedia2003 2 месяца назад +1

    Amen much love sis

  • @PharmBenson
    @PharmBenson 2 месяца назад

    🔥🔥🔥🕊️🕊️nikufananishe na nini Bwana

  • @Bukelebengelela
    @Bukelebengelela 2 месяца назад

    Nikufananishe na nani. Umtakatifu. Amina

  • @prosrm1172
    @prosrm1172 2 месяца назад

    Amazing… do these more… 👍👍👏👏👏

  • @samwelisayi1051
    @samwelisayi1051 2 месяца назад +1

    Amen 🙏🏽

  • @lucemomwihambi5552
    @lucemomwihambi5552 2 месяца назад +1

    Anointing voice

  • @Bukelebengelela
    @Bukelebengelela 2 месяца назад +1

    Amina. Ubarikiwe sana Angle

  • @rhodasamuel8334
    @rhodasamuel8334 15 дней назад

    Dada unajua sana kuimba na una sauti nzuri sana,lkn kwenye madhabahu ya MUNGU wakati mwingine vaa hata gauni 🙏

  • @josephinekawooya
    @josephinekawooya 2 месяца назад +1

    Beautiful ❤️

  • @rebeccacheyo
    @rebeccacheyo 2 месяца назад

    I love love this song🥺

  • @elviskimambo6541
    @elviskimambo6541 2 месяца назад

    Hongera sana sis.

  • @susanalbert8612
    @susanalbert8612 Месяц назад

    wasabato hamkuniamnia kama mnaruhusiwa kuvaa surual na pete na wigi na lipstic

  • @straton37
    @straton37 2 месяца назад

    Mtakatifu Yesu

  • @claude6310
    @claude6310 2 месяца назад

    Such a blessed session! Thank you Angel

  • @danfordswai4483
    @danfordswai4483 2 месяца назад +1

    Amina 👏

  • @mosesmukondya4205
    @mosesmukondya4205 2 месяца назад

    Thank you, be blessed

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 2 месяца назад

    Annointing song, powerful

  • @josephkadeghe4720
    @josephkadeghe4720 2 месяца назад

    Blessings 🙌

  • @barakamichael1487
    @barakamichael1487 2 месяца назад

    Glory to God 💪💪

  • @ShukraniMabula-uw9ks
    @ShukraniMabula-uw9ks 2 месяца назад

    Ameeeeennnn

  • @mcharo255
    @mcharo255 2 месяца назад

    Be blessed

  • @lugano25able
    @lugano25able 2 месяца назад

    Powerful

  • @racheljumbe5614
    @racheljumbe5614 2 месяца назад +1

    ❤❤❤

  • @EllenMatete-ki8kl
    @EllenMatete-ki8kl 2 месяца назад +1

    🎉🎉

  • @gracemasegenya1495
    @gracemasegenya1495 2 месяца назад

    Amen

  • @gordonmurungi4142
    @gordonmurungi4142 2 месяца назад

    Thanks alot Sweetie ❤❤

  • @ATUPELEMWANDENUKA
    @ATUPELEMWANDENUKA 2 месяца назад

  • @iamissaanthon724
    @iamissaanthon724 2 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @esthermakelemo2864
    @esthermakelemo2864 2 месяца назад +6

    We Angel kipenzi,unavaa paka hereni my dear,plz don't let us wasabato all over the world down plz,you are our mirror for God sake

    • @neemampali8623
      @neemampali8623 2 месяца назад +2

      Hajavaaa hereni angalia vizuri

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 месяца назад +10

      Utadhani hereni ndo umpeleka au humzuwia mtu kwenda mbinguni 😂😂😂,Imani hizi,tabu sana😢😂

    • @besteralbert5247
      @besteralbert5247 2 месяца назад +4

      Mmeanza tena daah huwez abudu ukatulia..?
      Muombee basi usimseme

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 месяца назад +2

      @@besteralbert5247 UCHAWI ndugu yangu,uchawi upo

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 2 месяца назад +3

      Wasabato wenzangu mna mambo mnazini hadi na wachungaji wenu na kuiba zaka na sadaka eti hereni ndio mnaonaga dhambi woooiiiyyyy........ Acha upuuzi wako ACHA ANGEL WANGU MSABATO MLOKOLE MWENZANGU AMWABUDU MUNGU ALIYE HAI......

  • @quillianpro
    @quillianpro 2 месяца назад +1

    🔥🔥

  • @paulmwacha9870
    @paulmwacha9870 Месяц назад

    Nyimbo nzuri ila ungeimba na choir (praise team) ingekua nzuri zaidi
    Umekosa back up

  • @elrachum3866
    @elrachum3866 2 месяца назад

    piano type was incorrect .

  • @RebyHarris
    @RebyHarris 2 месяца назад

    Amen ❤

  • @nafikaahadi3380
    @nafikaahadi3380 Месяц назад

    ❤❤❤

  • @oolamedia7256
    @oolamedia7256 2 месяца назад

    Be blessed

  • @barakastephano481
    @barakastephano481 2 месяца назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @anniebarbara7653
    @anniebarbara7653 Месяц назад

    ❤❤