Vizuizi vyawekwa barabarani katika mipaka ya jiji la Nairobi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Kuwekwa kwa vizuizi vya barabarani katika mipaka ya jiji la Nairobi kumesababisha mahangaiko kwa wale ambao walidhani wangekwepa vizuizi hivyo kupitia njia za mkato huku wengi walijaribu kutembea kwa miguu kuona iwapo wangeingia jijini na wengine kujaribu kupitia mashambani.

Комментарии • 209

  • @kensuccii
    @kensuccii 4 года назад +1

    ''Kizuizi ndikyo kile pale'' 🤣🤣🤣🤣mask effects

    • @ciku-ciku7194
      @ciku-ciku7194 4 года назад +1

      😂😂😂. I heard that

    • @kensuccii
      @kensuccii 4 года назад +1

      @@ciku-ciku7194 we heard it live n' direct🤣🤣🤣🤣

    • @ciku-ciku7194
      @ciku-ciku7194 4 года назад +1

      ken_ waqca ngeli manenos

    • @kensuccii
      @kensuccii 4 года назад

      @@ciku-ciku7194 ngeli ya nd-kyo

    • @blessedbee2333
      @blessedbee2333 4 года назад +1

      😂 Amenimaliza nguvu 😂

  • @sophiamohammed3750
    @sophiamohammed3750 4 года назад +1

    Warudi hk hk kwao kakamega hao ndio vichwa vigumu kwani hawakusikia hakuna kwenda popote serikali iwarudishe kakamega mpaka ugonjwa uwishe ndio wasafiri

  • @davisjoash3718
    @davisjoash3718 4 года назад +32

    Please tell that mama ya kwamba the mask inafaa kufunika hadi mapua

    • @faithmemo1
      @faithmemo1 4 года назад +1

      😷

    • @moviehub5395
      @moviehub5395 4 года назад +1

      For real😷😷😷it's like some don't know the importance of it

    • @mlimaMT
      @mlimaMT 4 года назад

      🤣🤣🤣

    • @davisjoash3718
      @davisjoash3718 4 года назад +2

      Some are just putting it on because other people do or because the government said so

    • @sharifaallan2386
      @sharifaallan2386 4 года назад +1

      I thought was the only one who noticed😱

  • @ruthkiruki7333
    @ruthkiruki7333 4 года назад

    Kenyans stay at home. Obedience is key lakini this time hakuna mchezo.... hizi tabia zetu tutakoma. Mombasa mtaenda baadaye.

  • @josphinedarani6203
    @josphinedarani6203 4 года назад +12

    Sì msikize vile serikali unasema huu ungojwa si mchezo

    • @elidanekesa5307
      @elidanekesa5307 4 года назад +2

      Haelewi watakiona chenye tumeona ltaly ni mungu tu then hawafuniki mapua wooi huyo mama ni wa mwambie

  • @alicewambui3979
    @alicewambui3979 4 года назад

    Watu hawasikii maneno nawakigojeka niivo wanakufa kila mutu kiviake, mutu a safe maisha yake mwenyewe c ya serikari Ana safe, alaa

  • @ernestnazareth3951
    @ernestnazareth3951 4 года назад +1

    Nawahurumia abiria hawa waloikwama na kukosa kuendelea na safari yao hadi Mombasa. Mambo wanayopitia ni kinyume cha haki zao za kibinadamu na sababu zangu ni kama zifuatazo....
    1. Ilani iliyotolewa na Rais na kutekelezwa na vitengo vya serikali haikutilia manani wasafiri waliokuwa njiani wakiendelea na safari zao.
    2. Ilani haikupeana muda wa RAIA kujipanga maana kwa kweli maisha ya wananchi hayatasimama sababu ya janga hili,na zaidi tukizingatia hadi sasa biashara na viwanda vingi vimefungwa,wakenya wanapitia changamoto mbalimbali kiuchumi na serikali haijakua na mipango maalum kuwasaidia RAIA isipokua kutoa makataa na maelezo.
    3. Nalaumu vikali kampuni ya usafiri ya COAST BUS kwa kuwadhalilisha wateja wake. Kampuni hiyo ilikua na muda wakutosha kuwapelekea abiria hao basi mbadala isipokua utepetevu wa wahusika wa kampuni hiyo ndiyo haukuzingatia changamoto iwapo masaa ya makataa yatawadia kabla bus kuondoka.
    4. Binafsi naongea kama mteja mwaminifu wa kampuni ya usafiri ya COAST BUS aliyeamua kuihama kampuni hiyo baada ya kukumbwa na visa vya aina hii mara kadhaa.

  • @zaynpdogdhgg8755
    @zaynpdogdhgg8755 4 года назад +1

    Subhanallah mwenyezi mungu tuhurumie ss waja wako

  • @mahmoudmohamed344
    @mahmoudmohamed344 4 года назад +3

    Rudini kwenu mulipotoka kwa usalama wenu na familia zenu coz umetoka homabay huwezi kujua umebeba maradhi au laa

  • @babrambula9367
    @babrambula9367 4 года назад +2

    Tukiongea Kama binadamu wale wenye bus wanafaa kuachiliwa waende.watakaa hapo paka lini?awaezi rundi Nairobi,awaezi enda mombsa jameni tumuongope Mungu tu do hata akaeeze kutusamehe.hai!

  • @cyrus6433
    @cyrus6433 4 года назад

    Eti serikali tusaidie, jameni mmeambiwa mkae nyumbani.Kaeni nyumbani!

  • @Moses-Kuria
    @Moses-Kuria 4 года назад

    Eti tunaendelea kukupashaaa maeeeyee sema tunaendelea kukujuzaaa msenge

  • @mariamnamwa188
    @mariamnamwa188 4 года назад +3

    Mnaenda wapi??wakenya jamani mnapenda kusukumwa kama ng'ombe

  • @puritykathambi1336
    @puritykathambi1336 4 года назад +5

    Na regret kukaa na watu wenye hawana adabu wakenya mutafanyiwa nn ndiyo musikiee mnanibol

  • @fatimaebrahim5256
    @fatimaebrahim5256 4 года назад

    namgebaki hapo mana amsikii sana mnajifanya vichwamaji

  • @NduthiMama
    @NduthiMama 4 года назад +4

    Which part of “STAY HOME” do people don’t understand. The entire country was asked to stay home. Burdening the government with this kind of behavior will only result to a total lockdown.

    • @mwosekisaila
      @mwosekisaila 4 года назад +1

      People have families and they have to provide and feed them .....what part incompetent government don't you understand.....

  • @ygee6904
    @ygee6904 4 года назад

    This is the time we need an authoritative government. Watu wakae kwenye wako. Wenye wanashinda manyumbani hawajakosa mahali pa kwenda. We won't fight this disease with people being so ignorant. Wacha wakae hapo for 21days if need be.

  • @na_shownakshinashville6588
    @na_shownakshinashville6588 4 года назад

    😂😂😂😂😂😂itabidi tucheke mama omba kabisa

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 года назад

    Polen sana

  • @ebbymbao1736
    @ebbymbao1736 4 года назад +2

    hiyo mask imavaliwa aje? mapua yote inje? aki izi vitu ni za wazungu aki.

  • @paulnjuguna1671
    @paulnjuguna1671 4 года назад

    Can the government guide many Kenyans on the right way to put on mask. This woman is still exposed to the virus 😷.

  • @Moses-Kuria
    @Moses-Kuria 4 года назад

    Mnasema county kama ni ya kwenu you own it

  • @deffencemtagwa7977
    @deffencemtagwa7977 4 года назад +2

    Kenya tufwate sheria aki

  • @Moses-Kuria
    @Moses-Kuria 4 года назад

    Tumeteseka ya kutooosaaaa ,tusaidiwaaaa na serikali yetu

  • @esadkulovic6777
    @esadkulovic6777 4 года назад

    For your own safety tulieni penye mko,huy c wakati wa usafiri,hili janga litapita,but jitunze lisipite na wewe,usalama wako unaanza na wewe mwenyewe,jichunge.

  • @johniemarsha1561
    @johniemarsha1561 4 года назад

    Watu hawasikiagi ndio maana Adam kaambiwa asile tunda but bado kichwa ngumu...Adam nkama alikua wa *Kenya*

  • @mariamkitekha9233
    @mariamkitekha9233 4 года назад +9

    Shida ya wanadamu masikio tunayo lakini hatutumii, macho tunayo lakini hatutumii,

  • @wlkmwlkm8486
    @wlkmwlkm8486 4 года назад

    Mkipigwa mwalum pole.wakenya wachen dharau,mwaenda Mombasa kufanya nn rudin bara muishi huko hatuwataki Mombasa.

  • @ngisian
    @ngisian 4 года назад +1

    Senior GOVT OFFICIALS should sort isolated cases.

  • @mosesngatia4407
    @mosesngatia4407 4 года назад

    Let's make counties like states. Boundaries and strict procedures ukitaka kuvuka. Development iwe ndio issues...

  • @musaumutala1271
    @musaumutala1271 4 года назад +10

    Hawa watu jameni watasababisha total lockdown

  • @gladyskamau6108
    @gladyskamau6108 4 года назад

    Wakenya mwataka kupingiwa kingele ama nini...! stay at home na ukivaa mask funika paka mapua

  • @mrsramso7019
    @mrsramso7019 4 года назад +2

    Mlipigwa magongo lakini hamkomi

  • @norymnceri3877
    @norymnceri3877 4 года назад +6

    They can't go back to Kakamega, they can't continue their journey to Mombasa and they can't spend another night on the way!! Such long journeys could be given a day or 2 before such restrictions are made... Not everybody could afford to pay a train ticket from Nairobi to Mombasa.

  • @bakarikandi7606
    @bakarikandi7606 4 года назад +10

    Musijee mombasa please murudii ukoo kwenu president ashasema Jana..

  • @mosesotieno7256
    @mosesotieno7256 4 года назад

    Let them stay there until curfew and lockdown iishe

  • @moviehub5395
    @moviehub5395 4 года назад

    where were they going to and they know about corona virus🤔🤔🤔🤔nini mbaya na wakenya jameni😂this is sad🤐🙄

  • @foreveryoung2854
    @foreveryoung2854 4 года назад

    Ndikyo kile pale. Woi Hassanii

  • @djjeffgee6285
    @djjeffgee6285 4 года назад

    Hapa n noma

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 4 года назад

    Wakenya hata wakatazwe aje hawawez sikia wataka confirmation

  • @Eth_ur_boi
    @Eth_ur_boi 4 года назад +1

    Giving people notice is like the
    Start of a race...Usain bolt would have seen miracles😂😂 records broken,broken limbs...all in a mad dash to shags...prezzo anatujua..wakenya ni wale wale..
    A

  • @jesusyoulovemetoomuchwanji8860
    @jesusyoulovemetoomuchwanji8860 4 года назад +8

    Wakenya ni vichwa ngumu kweri

  • @elizabethnthenge6301
    @elizabethnthenge6301 4 года назад +2

    Mama anataka kukula tu

  • @ruthanaya1225
    @ruthanaya1225 4 года назад +11

    Wakenya tutii sheria mbona hatuskii yawa

    • @njndox7252
      @njndox7252 4 года назад +1

      Wacha wakufe wako na vichwa!

    • @erickjuma7643
      @erickjuma7643 4 года назад +2

      Sio kila mtu anaishi maisha Kama yako brother.

    • @singtorres6049
      @singtorres6049 4 года назад +1

      @@njndox7252 walitoka jana asubuhi. Mmeskiza kweli ama mnarant?

    • @ruthanaya1225
      @ruthanaya1225 4 года назад

      @@erickjuma7643 hakuna mwenye ame mention maisha hapa kaka nikutii sheria tuokoe maisha yako na yangu nayawengine iko nn

    • @erickjuma7643
      @erickjuma7643 4 года назад

      @@ruthanaya1225 jibambe na sheria.

  • @irenekambi4705
    @irenekambi4705 4 года назад +2

    Munaenda kufanya nini mombasa???

    • @haupikikimfupa8322
      @haupikikimfupa8322 4 года назад +1

      Walisikia joho atapena chakula cha msaada

    • @irenekambi4705
      @irenekambi4705 4 года назад +1

      @@haupikikimfupa8322 hahahahahah
      Watakoma na watajua pwani ndo kitovu cha kenya
      Hatakama wanatutharau

  • @johnwairegi4702
    @johnwairegi4702 4 года назад +2

    Kwani unapumua na mdomo

  • @jesusladylady605
    @jesusladylady605 4 года назад

    Oh God people never hear in this country..it's like they aren't educated..where were you going n the government said well you stay at home🙄🙄🙄

  • @kamauwilliamk
    @kamauwilliamk 4 года назад +8

    We said you stay at home...

  • @Msemaukwelikweli
    @Msemaukwelikweli 4 года назад

    To citizen tv reporters please use boom stick in order to keep the required distance

  • @mtotohodari9446
    @mtotohodari9446 4 года назад

    Uhuru angetoa kaa siku tatu jamani

  • @esthermatheka2642
    @esthermatheka2642 4 года назад

    Ningeomba serikali ingepeana warnings ,kwamba Hari zote zitafungwa like kesho yake but not where u fill like closing u lockdown not minding there are some on their way

  • @jamesslkua4609
    @jamesslkua4609 4 года назад +7

    Let those in bus go be human

  • @emilywanje9256
    @emilywanje9256 4 года назад

    Fungueni jamani saudia washa fungua

  • @evallyhood254
    @evallyhood254 4 года назад

    Hujambo It is 'STAY AT HOME' nini haileweki hapo .why are (were) people traveling at the first place . umetoka homabay, ukaenda kisumu sasa unaelekea mombasa corona haina miguu watu ndo wanaisambaza .

  • @devohke8400
    @devohke8400 4 года назад

    Coast bus fake kabisa.. Sitawai sahau

  • @abusaeed9037
    @abusaeed9037 4 года назад

    Warengeshwe kwao hao hatuwataki mombasa

  • @meg-iv1sw
    @meg-iv1sw 4 года назад

    Nawgonjwa wakitumwa nrb 4 specialist care?wakufie kwao?

  • @veronicahwakamu3723
    @veronicahwakamu3723 4 года назад +5

    The problem with my Kenyan's, they don't hear. 'Stay at home'. A'm in UK ad we are lockdown 1mnths now. This virus is very dangerious!!!

  • @EDDY5918
    @EDDY5918 4 года назад

    Hujambo.... Hujambo

  • @madamboss348
    @madamboss348 4 года назад

    Wakenya wanasumbua sana

  • @contemporaryworld8742
    @contemporaryworld8742 4 года назад +1

    Ati kizuizi ndikyo kile🤣

  • @norymnceri3877
    @norymnceri3877 4 года назад +7

    Please understand..
    If the bus they were using got problems, what should i have done? They had started their journey before the law was passed yesterday afternoon. We have to think like human beings...

  • @thechildfreeafricanexplorer
    @thechildfreeafricanexplorer 4 года назад

    Kidogo utaskia boda bodas are banned.

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 года назад

    SASA HUYO MAMA AMEVAA NINI?? KANA PUWA HAJAUFUNIKA DAH NI ANGETOA HIYO MASK HAIMA FAIDA MANA KAMA KUNAMTU MGONJWA KWA HIYO BASI ASHAPATA

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 4 года назад

    Mliambiwa mkae nyumbani na hamskii

  • @marykinuthia6067
    @marykinuthia6067 4 года назад +4

    Maskio watu hawana!

  • @AbdulAbdul-vp2np
    @AbdulAbdul-vp2np 4 года назад +4

    Mbona watu kusikia imekuwa ngumu? Washinde hapo ndio watie akili

    • @mungairhesa
      @mungairhesa 4 года назад +4

      Unaelewa kwamba safari yao ilianza kabla raisi kupeana maagizo haya mapya?

    • @issakawaya8315
      @issakawaya8315 4 года назад

      Poleni

    • @kevinwendo4098
      @kevinwendo4098 4 года назад +2

      Hawa hawana makosa wala Rais hana makosa pia, ni tusaidiane tu. These ones didn't know that there was going to be a lockdown and the president made this sudden decision to avoid careless movements.

    • @marykinuthia6067
      @marykinuthia6067 4 года назад

      Kuna radio na cell phones.

    • @mcenroemusyoki
      @mcenroemusyoki 4 года назад +1

      nivizuri kuwaza jambo kwaundani kabla kuzungumza kaka. safari yao ilianza kwa hali ya kawaida, gari ikaharibikia njiani sasa waonivichwangumu kivipi? hawaezi endelea na safari wala hawaezi ruhusiwa kurudi walikotoka mipaka imefungwa. sasa wana makosa gani. kuwa jambo gumu halijakupata leo usiwembinafsi kiasi yakuto wajali kwa matamshi maanake yakwako injiani msaada utaomba tu.

  • @mercymweru8923
    @mercymweru8923 4 года назад

    How comes news reporter can not advice the lady that her mask its not protecting her.....thats so wrong mind about the public and educate them

  • @LIZZIENABISWA
    @LIZZIENABISWA 4 года назад

    Watu pia waache kua vichwa ngumu rais alisema effective at 7pm sasa si hamjui

    • @tichipsmobile4936
      @tichipsmobile4936 4 года назад +1

      people are trying to survive with no income, stop mockery

  • @shizelhun5734
    @shizelhun5734 4 года назад +1

    Can someone teach this woman on how to where a mask surely cover your nose

    • @thevineyard7149
      @thevineyard7149 4 года назад +1

      😂😂😂😂haoni vile wengine wamevaa? 😂😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @stecykay322
      @stecykay322 4 года назад +1

      🤣🤣

    • @dorcasdee1114
      @dorcasdee1114 4 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣

  • @amerudi111
    @amerudi111 4 года назад +3

    Its Lukenya in Machakos county not Kajiado

    • @musaumutala1271
      @musaumutala1271 4 года назад

      Hawa majournalist huokotwa wapi?

    • @Rapha6056
      @Rapha6056 4 года назад +1

      Machakos county between day star university ad junction chumvi

  • @RashidRashid-nc8hq
    @RashidRashid-nc8hq 4 года назад

    Hakuna kupita rudini kwenu

  • @staceymayar4606
    @staceymayar4606 4 года назад

    Mnatangatanga nini na mliambiwa mkae nyumbani? Some Kenyans have ears but don’t hear. Stay home or near home

  • @davidmasyukimunyalo6980
    @davidmasyukimunyalo6980 4 года назад

    Stay at home hear wot the gvt is saying, watu wanakuaga mang'aa sana

  • @beldynerbeshi8660
    @beldynerbeshi8660 4 года назад

    Jamani mbona hamsikii

  • @njirujnjiru6713
    @njirujnjiru6713 4 года назад

    Wuuuuiiiii teach this lady how to put mask.cover nose also

  • @manmbula2171
    @manmbula2171 4 года назад

    Let those in the bus go

  • @kevinfred2885
    @kevinfred2885 4 года назад

    Polisi lakini

  • @charitynyambura2468
    @charitynyambura2468 4 года назад

    Kenyans Hawawezi sikia, ata Lori ya mafuta ikianguka huvujana wakieda kuchota, wanakufia apo, so colona wa naona not a big deal

  • @Amazonindeed
    @Amazonindeed 4 года назад

    Na si mtakufa? Wacha tu!

  • @joyiezpeter1209
    @joyiezpeter1209 4 года назад

    Wakenya wako pia na ka UJINGA flani but shida pia ni lack of information. Yani hawana habari kamili ni nini inaendelea ITALY🇮🇹 SPAIN 🇪🇸 USA 🇺🇸 IRAN 🇮🇷 na CHINA 🇨🇳. Kama wangekua na habari kamili mtu hata hangeambiwa akae nyumbani yeye mwenyewe angejifungia kwa nyumba

  • @mtotohodari9446
    @mtotohodari9446 4 года назад

    Ndio mko secious wakati huu ugonjwa mshauleta nyie na ndege kuland

  • @generalkago5361
    @generalkago5361 4 года назад

    It's painful but necessary.

  • @elijahwachira5814
    @elijahwachira5814 4 года назад +5

    "NDIKYO KILE"- ndico kile.. 0:35

  • @dennieskipyegon8799
    @dennieskipyegon8799 4 года назад +2

    Kenyans will never listened,, wajinga nyinyi

  • @mishibaron5021
    @mishibaron5021 4 года назад +2

    Siwachape hao bodaboda

  • @lizamumo9231
    @lizamumo9231 4 года назад

    I hope wameachiliwa juu Mombasa lockdown starts tomorrow

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 4 года назад +1

    Wakenya mnakibul sn

  • @jaffarumar5258
    @jaffarumar5258 4 года назад

    Rudini na mkae nyumbani.

  • @teresiawangui272
    @teresiawangui272 4 года назад

    The government should ban all movement from within. Government to put 24 hrs curfew to the lock down counties so that cat and mouse game should stop. People are not serious this is playing games with death. If majority have a challenge in buying protection gears will they afford a ventilator when they get infected in masses?

  • @joe245681
    @joe245681 4 года назад

    Jesus

  • @megkarugi9665
    @megkarugi9665 4 года назад

    Aki kenya inakuanga na drama khai

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 года назад +2

    SASA BASI ZA NINI SI WANGEFUNGA MAGARI YOOOOOOTE MWADANYA MCHEZO NA HUU UGONJWA KAMA ULAYA IMEWASHINDA KENYA MTAUWEZA

  • @eunicewairimu5015
    @eunicewairimu5015 4 года назад

    Wakenya na vichwa ngumu Sasa wanasema hawakuskia prezo akisema

    • @thevineyard7149
      @thevineyard7149 4 года назад

      Wanataka wachapwe waseme polisi ni wabaya

    • @eunicewairimu5015
      @eunicewairimu5015 4 года назад

      @@thevineyard7149 yea and the best thing to do now is to stay at home.... Hawatakufa njaa

    • @angelinpretty3970
      @angelinpretty3970 4 года назад

      Prezo ametangaza kama already wanasafiri kwani Tena nyinyi hamuelewi vp

    • @ernestnazareth3951
      @ernestnazareth3951 4 года назад

      @eunice,purity na wengineo wanaotazama kisa hiki kwa jicho la ubinafsi bila kuzingatia haki za kibinadamu na umbali abiria hawa walikotoka.....nawakumbusha haya,
      1. Serikali haikusitisha safari za ndege ghafula bali ilipeana muda. Kwanini jambo hili halikufanyika ili kuzuia kuwadhalilisha waliokua safarini....
      2. Tuna sheria katika nchi hii na inapaswa kulinda RAIA wote bila ubaguzi.Makataa aliyotoa Rais sio sheria bali muongozo kutusaidia kupambana na hili janga na ni kama kujaribu kushika upepo upitao. Hivyo sio sawa kuwadhalilisha wasafiri kama hawa ambao muongozo huu umewapata wakiwa safarini.

  • @marymutavi5446
    @marymutavi5446 4 года назад +3

    This is without notice,why?The curfew was not planned well.

    • @musyokadavid778
      @musyokadavid778 4 года назад

      The curfew is meant to curb the spread of a virus...will you also give the virus notice to stop spreading?

    • @marymutavi5446
      @marymutavi5446 4 года назад

      @@musyokadavid778 sawa wacha Mungu atupe ufumilifu

    • @musyokadavid778
      @musyokadavid778 4 года назад

      @@marymutavi5446 kwa sasa unafaa kuwa ukimwambia atupe njia ya kupigana na corona

  • @bentabelinda9182
    @bentabelinda9182 4 года назад +2

    Si warudi tu kwenye walitoka 21 day's si mob ztaisha tu

    • @singtorres6049
      @singtorres6049 4 года назад +1

      Si rahisi hivo. Kama job yako iko Nairobi? Watu wanakutegemea.

    • @mcenroemusyoki
      @mcenroemusyoki 4 года назад

      unakusudia watarudi vipi? wakirudi waiyaki road block ipo pia hawata ruhusiwa kupita

    • @bentabelinda9182
      @bentabelinda9182 4 года назад

      @@mcenroemusyoki before watoke kwenye walikua hawakuskia announcement kwani

    • @jerryopondo2290
      @jerryopondo2290 4 года назад

      acha kiherehere

    • @georgenyasudi4060
      @georgenyasudi4060 4 года назад

      Madam, from Homa Bay to Nairobi is not like from Machakos to Nairobi. It takes more than 8 hours by bus. Remember, the bus broke down just before crossing Nairobi, otherwise they were on course.

  • @bellabellabella7266
    @bellabellabella7266 4 года назад +4

    WHY ARE THEY TRAVELLING??? HAMUNA MASKIO😡😡😡😡

    • @joshmullah439
      @joshmullah439 4 года назад

      maybe they're travelling for business...plus the ban was announced while they were already travelling..i think its fare if there are just released,maybe they're starving

  • @Amazonindeed
    @Amazonindeed 4 года назад

    Go home or stay home

  • @wesmaelijah8460
    @wesmaelijah8460 4 года назад

    Plz go back

  • @salmasaid7058
    @salmasaid7058 4 года назад

    Nyinyi wabara lazima mje pwan

    • @thevineyard7149
      @thevineyard7149 4 года назад

      Nashangaa

    • @haupikikimfupa8322
      @haupikikimfupa8322 4 года назад

      @@thevineyard7149 washanga naona hujuwi wale ni wakenya na wako na shida,ukona Roho ngumu tuwaombe mungu awatole njia ya kufika majumbani,,mungu awasaidie