ALIKIBA LIVE : SAFARI YA MAISHA NA MZIKI PART 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
    Follow us on Social Media Platforms
    Instagram:
    Crown FM - / crownfmtz
    Crown TV - / crowntvtz
    Twitter (X):
    CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
    CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
    Facebook:
    CROWN MEDIA: www.facebook.c...
    TIKTOK:
    www.tiktok.com...
    SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Комментарии •

  • @EmidiMitenga
    @EmidiMitenga 4 месяца назад +7

    Mimi uwa napenda unavyo ishi wewe ni mfano wangu mkubwa toka bado mtoto 👑 Kiba nakupenda sana

  • @kinjekitilew
    @kinjekitilew 4 месяца назад +8

    Asante alikiba asante crownmedia asante salim kikeke. Ila wekeni kila mwezi wiki ya bongo flavor hii itsaidia sana kurudisha mziki wetu wa bongo flavor

  • @NilaFleva-mn8ql
    @NilaFleva-mn8ql Месяц назад +1

    👑 king

  • @ayobow56
    @ayobow56 4 месяца назад +3

    Sawa King 🤴 mimi nakupenda toka 2005

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 4 месяца назад +2

    King kibaa nakuelewaa sanaa

  • @sixmelody4349
    @sixmelody4349 4 месяца назад +2

    Nakukubali sana kaka kiba 🔥

  • @auntbongendoile-uh3sk
    @auntbongendoile-uh3sk 4 месяца назад +1

    kirongaya Sec pale jirani na Kwa sedudu primary ❤❤❤ home kabisa

  • @FredrickLuvalamo
    @FredrickLuvalamo 4 дня назад

    Kwel kabisa brother Big up much

  • @zachariadeus
    @zachariadeus 4 месяца назад +4

    Naomba like zangu from kigoma

  • @OmanOman-c9d
    @OmanOman-c9d 4 месяца назад +2

    ❤❤❤❤❤❤ king kiba

  • @InalcidiaxavitoXavito
    @InalcidiaxavitoXavito 4 месяца назад +2

    Mfalme ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AlanKimaro
    @AlanKimaro 2 месяца назад

    Msanii wangu pendwa bongo flava. Yaani hata nlipokua shuleni na chuoni nlikua naperform sana nyimbo zako alikiba. Mpaka watu walikua wananiita Alikiba......

  • @BarakaMugisha-g2m
    @BarakaMugisha-g2m 4 месяца назад +2

    🔥🔥🔥🙌🏻🙌🏻

  • @YowelBenedicto
    @YowelBenedicto 4 месяца назад +1

    Am respect u brother

  • @Aziza-z4f
    @Aziza-z4f 4 месяца назад

    Kabisa kiba 🎉🎉

  • @mohamednindi7497
    @mohamednindi7497 4 месяца назад +2

    there z only one king

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 4 месяца назад +1

    Mzikii wa alikiba wa zaman ulikuwaaa hachujiii

  • @mamoniniyoyishura3289
    @mamoniniyoyishura3289 4 месяца назад

    Mimi nakipenda kila unacho kifanya king kama wivu wakimapenzi pia mimi kama wewe 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @zachariadeus
    @zachariadeus 4 месяца назад +1

    😢wa Kwanza kigoma

  • @laj1699
    @laj1699 4 месяца назад +1

    Mfalme

  • @RafaelyMlimba
    @RafaelyMlimba Месяц назад

    Niajili kaka Mimi niwe mlizi tu getini nime maliza mafuzo ya jeshi LA akiba nipo to nakuomba kka