MZEE YUSUPH ALINITAKA MWENYEWE, Kuto kulipwa ndio tatizo - FATMA NYORO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 92

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 7 лет назад +28

    Jamani ivi waislamu tumepatwa na laana gani? Yaani miimbaji taarabu, mipiga guitar na mipiga piano yote miislamu. Kweli mnatuaibishia dini yetu. Tunaskia hayaaa

    • @patriciamassawe6496
      @patriciamassawe6496 7 лет назад +1

      Seif Abdullah 😁😁😁

    • @naimasaid5604
      @naimasaid5604 7 лет назад +2

      Innalillah wainaillehi rajoon......

    • @sweetmama3242
      @sweetmama3242 7 лет назад +3

      Seif Abdullah Minaona ni biashara tuu jamani. Acheni dini pembeni. Watu wakale wapi? Wakale msikitini? Acheni zenu. Kila mtu na IMAN yake.

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 7 лет назад +1

      Sweet Mama sijakataa kama kila mtu na imani yake. Basi na wao kama wana imani isiyokua ya uislamu wabadilishe hayo majina matukufu. Me kama wengekuwa sio waislamu hao unadhani ningefungua mdomo wangu?

    • @ramadhaniselemani1857
      @ramadhaniselemani1857 7 лет назад +9

      sasa wewe unanalalamika waislamu ndo waimbaji ..n.k..swali ,wewe unatafuta nini ytube kwenye channel kama hizi? because muislamu was kweli hastahiki hata kuangalia issue kama hizi.

  • @ahmedtaribo6352
    @ahmedtaribo6352 2 года назад +1

    Sawa mamiii Fatma Nyoro

  • @nellyrema5546
    @nellyrema5546 2 года назад

    I love Fatma Nyoro, sending you lots of love 😍 😍

  • @salhamm742
    @salhamm742 7 лет назад +6

    Alaa mungu awafanyie wepes muweze kujielewa shabab ni yeye humuongowa ampendaee

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 7 лет назад +3

    Shukran Ng'ari Ng'ari pia Shukran mkubwa fella hongera sana.Hongera pia kwa Timu nzima ya Yah Tmk.Kikosi hatareeee kina mangwinji wa uhakika.

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 7 лет назад +1

    Bi sakina nakupenda bure mamy😍😘😍

  • @zakiaurebo3055
    @zakiaurebo3055 7 лет назад +1

    namkubali sana fatuma nyoro big up

  • @jumamzonge1750
    @jumamzonge1750 5 лет назад +2

    daaaah, uyu mama mwanahawa mpumzisheni jamani

  • @dr.abdinassir6807
    @dr.abdinassir6807 7 лет назад +1

    Mlisho Mndolwa ndgu yng ayo mambo mjuzi zaidi Mungu mi nimefurah kuona ivo

  • @mwaminimusa2628
    @mwaminimusa2628 7 лет назад

    jembe gumu bwana.....kumbe hajabaki nyuma hahahaha mpaka kwa fela. all the best mama

  • @ramadhuwezjua3656
    @ramadhuwezjua3656 6 лет назад

    maisha magum baadeunamuomba mungu akusamehe Rama dig huwez jua

  • @aishamnemo9524
    @aishamnemo9524 4 года назад

    hehhee nimependa hio shemegi ndo uzima wangu

  • @mwajaambetapandu2734
    @mwajaambetapandu2734 Год назад

    Mpigaji kibod❤

  • @dr.abdinassir6807
    @dr.abdinassir6807 7 лет назад +8

    nashkuru kuskia *Jahazi* imekufa yani dua za mzee Yusuph zimepokelewa xx uko mlipo enda laana zenu wenyew # Alhamdulillah

    • @mlishomndolwa1222
      @mlishomndolwa1222 7 лет назад +2

      Dr. Abdi Nassir .nae mzee yusufu naemnafiki.. ameshiba ndiomana ameacha taarab mbona hakuacha alipokua Ninjaa?

    • @nadiamajaliwa1564
      @nadiamajaliwa1564 7 лет назад +1

      Mlisho Mndolwa hujasema vizuri ukiwa kama muislam kwasababu hata enzi za manabii watu walifanya mambo makubwa lakinwisho walitubia

    • @alima7862
      @alima7862 7 лет назад

      +Mlisho Mndolwa wumekose ya muze kashiba jomana. kaca. sivo wako wenye shibe ila wana liya wulafi. hawawokopi mungu

  • @reemiiomar9386
    @reemiiomar9386 7 лет назад +6

    subhanaAllah anatoa rizik n Allah ukimtengemea yy huko rizk yk ila sio kung'ang'ania hy iblis Mzee yusu sai haimbii anakula n familia yk ama hali , tumcheni mola dunia mapito tuu

    • @mlishomndolwa1222
      @mlishomndolwa1222 7 лет назад

      Reemii Omar .tambua Hakuna riziki Kitako. Mzee Yusufu anakula lakin anachokila alikikusanya hukohuko kwenye taarab tusidangayane

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 7 лет назад +2

    Wow huyo mpiga kinanda anajua sana

  • @dotodoto4232
    @dotodoto4232 5 лет назад

    nawakubaliiiiii sana pigeon kazi

  • @aishaeliaslocalmusic8496
    @aishaeliaslocalmusic8496 7 лет назад +1

    Mtangazaji uko professional

  • @ummusamira3518
    @ummusamira3518 7 лет назад +14

    Innalilahi wainnailaihi rajiuni eti nitakula nini nawanao mtihani huu yarabi tustiri waja wako wasiomuogopa allah na adhabu yake kwani kazi za kujituma hakuna mpaka kharamu kuifanya halali?? Muogopeni allah mzee yussuf ndio mfano mtizameni kwa macho mawili Na akili tafakarini kiundani

    • @ukhtyzainab7254
      @ukhtyzainab7254 7 лет назад

      Kweli unayo yazema natatizo wengiwetu niwaislamu majina hatujuwi lengo lakuletwa hapaduniani ndiomaana tunafanya mabaya walahatujali,allah atuonhoze

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 5 лет назад

    Ina lilah waina ilahi rajiu yarabi tunusuru na balaa za dunia inshaallah

  • @saedbare8733
    @saedbare8733 5 лет назад +1

    Mwanahawa kaaa ulete istikfari

  • @ndzimwengarizik2335
    @ndzimwengarizik2335 7 лет назад +1

    Uyu mtangazaji bwana sikidogoo😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 5 лет назад

    Mungu awasamee

  • @salamakadzo240
    @salamakadzo240 7 лет назад +2

    Mashallah waislamu mna vipaji Sana kuliko ss wakristo tunavipigia kanisani hivyo vyombo mungu awalinde kwenye mziki wenu

    • @sakinandoile9439
      @sakinandoile9439 7 лет назад +1

      Salama Kadzo subhanallah

    • @MaryamMaryam-ij3uw
      @MaryamMaryam-ij3uw 6 лет назад

      Salama Kadzo kipaji gani wanatuaribia dini yetu tu mwenye kipaji anahifadhi qur ani na kuitangaza co kuimba ni upuuzi na mungu anachukia

  • @ummusamira3518
    @ummusamira3518 7 лет назад +5

    Wee bibi mwanahawa muogope mungu wako umri,sura imekataa sura imekuchupa

    • @neemajilo4012
      @neemajilo4012 7 лет назад

      Ummu Samira 😂😂😂😂😂😂😂

    • @kibibiseif7930
      @kibibiseif7930 7 лет назад

      Ummu Samira '''kweli' huyu mwanahawa si bure anaumwa'' umri huu mashavu yesha''''''''''
      dah mtihaniiiiii'''''' mrudie mungu bibi yangu

    • @fbhj443
      @fbhj443 6 лет назад

      Ummu Samira hahahaha kweli

    • @bahatedson971
      @bahatedson971 6 лет назад

      neema jilo j

  • @mdsattar9211
    @mdsattar9211 5 лет назад

    Jaman tumuogope mungu

  • @berthanzowa6147
    @berthanzowa6147 4 года назад

    Namkubal sana fatma nyoro

  • @abdallahmwanyende66
    @abdallahmwanyende66 6 лет назад

    Dada fatma nakuomba upunguze mwili, fanya zoezi angalau upunguze mwili sauti itapoteae hio please

  • @hawawezidianakukushusha756
    @hawawezidianakukushusha756 7 лет назад +1

    atar sana hii band

  • @softena1007
    @softena1007 7 лет назад

    mwanahawa mama Mungu akuweke mi shabiki yako milele

  • @georgemartinmambogeorge1822
    @georgemartinmambogeorge1822 7 лет назад +1

    mmmmh nomaaa

  • @bintlola3127
    @bintlola3127 5 лет назад

    Yaan kosa moja mnasahau wema wte...

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 6 лет назад

    Nawapenda sana hawa watu

  • @abdallahmwanyende66
    @abdallahmwanyende66 6 лет назад +1

    Mama mwanahali ndani ya tmk, team kali

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 6 лет назад

    Mkubwa fella Mungu akubariki

  • @annuarygrace2926
    @annuarygrace2926 7 лет назад

    safi sana tunasubili kwahamu

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 лет назад +1

    😂😂😂 ni nomaaa

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 7 лет назад +2

    Hapana kitu hapo mziki alikuwa nao mzee Yusuf

  • @ayshamahariq8126
    @ayshamahariq8126 7 лет назад

    kweli mamaetu vyote nivituvyadonia

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 5 лет назад

    Mtihani mkubwa sana muogopeni Allah

  • @ashahaji4936
    @ashahaji4936 7 лет назад +3

    mmmmh Jahazi limezama Mitumbwi mingi 😂😂😂😂😂😂

  • @stanleymwangi2344
    @stanleymwangi2344 7 лет назад +1

    ok its yusuf

  • @softena1007
    @softena1007 7 лет назад

    si mchezo😎

  • @khalidvova6601
    @khalidvova6601 7 лет назад +4

    mkishamaliza vurugu zenu hapa duniani" makaburi yanawasubir... ( mmeelewa???..

  • @salimshengwaliko6961
    @salimshengwaliko6961 7 лет назад +1

    je yamoto ndio imekufaa au

  • @mkamimatha2692
    @mkamimatha2692 7 лет назад +1

    mwanahawa hua namkubali

  • @salmamohamed6347
    @salmamohamed6347 7 лет назад +2

    jahazi kwisha mambo yake

  • @najmaomari8127
    @najmaomari8127 5 лет назад

    Mama mwanahawa

  • @MJESHIMSTAAFU
    @MJESHIMSTAAFU 6 лет назад

    intavyuu kuntu hiyo

  • @newasddong5865
    @newasddong5865 7 лет назад +2

    ALLAH Atuongeze maana nimtihani

  • @magrethmaritini198
    @magrethmaritini198 7 лет назад

    na mm nakuja kujiunga

  • @blandinermsafili6935
    @blandinermsafili6935 5 лет назад

    Fatuma du umenenepa mno fanya mazoezi

  • @saadsalum3253
    @saadsalum3253 6 лет назад

    ww mtangazaji wa clouse ngar ngar uwo mzg ulofungasha vip umeolewa manake mhhhhh

  • @aminakshamoona6900
    @aminakshamoona6900 7 лет назад

    Huyu mwanahawa Ali mm ni shabiki wako ila umri huu nenda hajj mama please

  • @fadhilikiduba3894
    @fadhilikiduba3894 5 лет назад

    Bi mkubwa anatishaa

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 7 лет назад +2

    msiba mkubwa

  • @alima7862
    @alima7862 7 лет назад

    wamama. watuwazima bado munatinda nyusi nawuyo wimbo wako wunakuelekeya. murudi kwamolawa.wenu.

  • @christinahaule9726
    @christinahaule9726 7 лет назад

    Saf

  • @husnamarandu8380
    @husnamarandu8380 7 лет назад

    hatariii!!

    • @saudashabani9100
      @saudashabani9100 7 лет назад +3

      kwa kweli ni mtihani mkumbwa ebu rejeeni kwa Allah ndugu zangu kabla mauti hayajakufikeni nyinyi ni waislamu nanadhani dini munaijua ninawakumbusha jamani

  • @ahmedtaribo6352
    @ahmedtaribo6352 2 года назад

    Nyoro

  • @aishamnemo9524
    @aishamnemo9524 4 года назад

    hehhee nimependa hio shemegi ndo uzima wangu