Dear sister, this is true sister. Nina gawuni kama hii kwenye rangi ya nyeusi na nyeupe lakini pia ina mwili mwepesi, kila nikiwa nimeva hiyo nguo, nakuwa sina raha kabisa, siwezi kutembea vizuri, nakuwa makini sana kwenye kutembea, inanisababisha nitembea pole sanaaaaa. Nimegundua pia kwamba hizo nguo zina kua na mpasuo kwasababu kuna dada mwengini nili ona ana gawuni kama hiyo lakini pia ina mpasuo. Rohi mtakatufu ali anza kunifungua macho na nikajua tuu rohoni kwamba hiyo gauni sio nzuri nika amuwa sivai tena. Asante sana dada kwakufikisha huu ujumbe, Tunamushukuru Mungu kwakutufungua macho. Asante Yesu, Amen.
Naomba niulize ndio nimepata huu ujumbe saa hii... Hizi vikoi za wa maasai tunanunua tunajifunika hata kama ni wakati wa baridi ama tukisafiri safari ya usiku vipi.. tutupe ama asante
Dear sister, this is true sister.
Nina gawuni kama hii kwenye rangi ya nyeusi na nyeupe lakini pia ina mwili mwepesi, kila nikiwa nimeva hiyo nguo, nakuwa sina raha kabisa, siwezi kutembea vizuri, nakuwa makini sana kwenye kutembea, inanisababisha nitembea pole sanaaaaa. Nimegundua pia kwamba hizo nguo zina kua na mpasuo kwasababu kuna dada mwengini nili ona ana gawuni kama hiyo lakini pia ina mpasuo.
Rohi mtakatufu ali anza kunifungua macho na nikajua tuu rohoni kwamba hiyo gauni sio nzuri nika amuwa sivai tena. Asante sana dada kwakufikisha huu ujumbe, Tunamushukuru Mungu kwakutufungua macho. Asante Yesu, Amen.
Amen Amen...Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe sana
Asanteee kwa ujumbe mzuri sanaaaaaa ubarikiwe sanaaaaa mtumishi wa Mungu ameeeen
Amen...
Naomba niulize ndio nimepata huu ujumbe saa hii... Hizi vikoi za wa maasai tunanunua tunajifunika hata kama ni wakati wa baridi ama tukisafiri safari ya usiku vipi.. tutupe ama asante
TUPA HAVIFAI ..NUNUA PLAIN na Roho Mtakatifu atakuthibitishia
Na hivyo plain vimetengenezwa na wakina nani?Mungu baba atusaidie
@Dianamwansasu kama ulivyosema plain ikimaanisha hazina alama...shida ni alama za kutaabisha ndizo za kuepuka na huwezi kuzitakasa
@@mjakazieunicelucas Mungu atusaidie tu.maana labda tuvae majani na magome ya miti ya zamani.maana hata miti ya sasa mi ya kisasa
Amen amen
Amen
MUNGU akubariki Sana Dada yetu maana haya mafunuo unatusaidia wengi tunapona
Amen...Sifa na utukufu kwa Bwana wetu Yesu Kristo
Ubarikiwe Mtumishi.
Amen
Asante sana kwa neno Mtumishi wa Mungu
Amen
Amina dada.barikiwa
Amina
Ubarikiwe mtumishi
Amen
Barikiwa sana
Amen
Ubarikiwe sana dada Vero du.
Amen
Barikiwa mtumishi napenda kazi yako
Amen..Sifa heshima na utukufu kwa Bwana wetu Yesu Kristo
Amen
Amen
thanks dada
Amen
Bwana YESU asifiwe Mtumishi.. naomba kufaham vip kuhuc Masai Shuka maana pia zina draft, haziruhusiwi pia? Asante
Hazitakiwi
Barikiwa sana
Amen
Amen Amen 🙏
Amen