BIBI WA MIAKA 50 AMGANDA KIJANA WAMIAKA 23 LAZIMA ANIOE ALINITONGOZA FACEBOOK
HTML-код
- Опубликовано: 11 фев 2025
- #foxetv #hardmovement Bonyeza alama ya Subscribe kisha weka notification on ili kupata matukio yote kwa wepesi zaidi Asante.#FoxeTv Ni Bora Zaidi
.
.
.
.
.
.
.
.
©Instagram @FoxeTvTanzania tufollow sasa kwenye mtandao wetu wa kijamii
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Tag;
#video #bongomovie #truestory #majanga #mikasa #msaada #update #trendingvideo #trending #trendingnews #oman #omannews #omanchannel #omannewstoday #kenya #kenyanews #kenyadigitalnews #kenyanewsmedia #usa #usanews #america #american #amerika #tanzania #tanzaniasafari #tanzaniayetu #uganda #ugandanewsupdates #rwanda #rwandanmovies #burundi #burundinews #uchawi #mikasa #udakutz #udaku254 #ngono #VideoChafu #VideoXxx #Xxx #xxl #uchib #tikitv #tikitvkiakilizaidi #zanzibarbeach #maximumtvonline #maximumtv #DavistarMatal #mtoto #watoto #Ubakaji #diamondplatnumz #harmonize #comedy #comedyvideo #film #movie #movie #ayo #millardayo #millardayoupdates #GroblaUpdates #global #AingiliwaKinyume
Jaman duuu pole sana kimbia muache😢😢😢
Na sura zao sasa
Pole sana kijana huruma ndio iimekuponza maana siku hiyohiyo ungemwacha stendi lakini huruma inaua
uchawi upo ndugu zangu kwa mishangazi jauuu unaliona ilo li bibi jau wananguuu ila Pole sn ndugu yetu kwa kupata piskal tena uyoo aitaji ata mahaliii bulee kabisa❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Aaaa😅
🤣🤣🤣🤣NaonaAibu mie huku SubhanaAllah
Huu mama mwanga kuwa makini atakula nyama wewe ungeingiza nyuma akome
😂😂😂😂 utaju hujui utakoma kupanda magari yawatu
😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮@@RenediRd
Uko sawa mama komesha vijana Kama hawa wapo wengi
Jamn dhambi et
Pole mdg wangu kwa hilo pepo
Kijana ulikosea sana ungemwacha solemba pale pale stendi ukatokomea aisome namba. Sasa usiwe naye karibu atakuroga utaoa nwenyewe bila kujijua.
Hongera ndg yangu umepata wa kkulea.
😊 huyo mmama anatia aibu wazee wapo kibao na kijana oa kijana mwenzio atakuacha aende zake huko
Aibuu kubwaa 😢 angemuacha mtoto wawatu jaman
Sio kweli hiyo
Naomba namba za huyo kijana nimsaidie
Hi movie gani
😂😂😂😂😂 Nami Ninaye wangu hapo Arusha ni kijana mdogo Sana namzidi Kwa miaka
Inaitwa mshagazi
Jamani pole kijana Mtafute Mungu akisaidie huyo mwanga inaonekana
1:44 jh
Hivo hivo😂😂😂
😂😂😂😂
Wamezidi kutongoza ovyo, acha aendelee kuchungulia alikotoka. Lkn ikiwa alihadaika na picha tofauti na huyo mama, basi tumwombee kwa Mungu atamnusuru
Jaman we mama uoni huyo ni Mtoto,je unaweza mtolea suruali,aah mamaa usiroge kijana jaman we uko na heshima
I can’t believe
Kweli bongo kuna raha sn stress free, na sihami ng'oo😂😂😂😂
Mungu akusaidie
Ghai Mungu akupiganie
interesting 😅😅
Hi part 1 bado 2
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Mmh 😢 hapana😊
Huyu kijana awe makini sana na huyu mama.
Huyu mama ana dalili zote za uchawi. Huo ujasiri wa kusema huyu kijana ni lazima atanioa na ndoa itafungwa. Ujasiri huo na kujiamini huko. Kuna kitu anajivunia, na anajua kabisa kuwa huyu kijana hachomoki. HIVYO USHAURI WANGU KWA KIJANA, AKIMBILIE KWA YESU, PEKEE . yaani aokoke indeep kabisa, na aache dhambi zote. Vinginevyo anaweza kupata matatizo zaidi
Dj±ď³1i80😊q
Bro nitafute nikusaidie iyo uchawi itaisha 2😢😢
Oyaaaa ishakuwa noma kwa lishangazi dawa yake lipe mimba😅😅😅
Duuuuuh
Pole sana mdogo etui
😂😂😂😂😂Bongo Hufi kwa stress utakufa kwa muda wako kufika tu
😂😂😂
Ahahaaaaaa
Vp si ushakula mzigo au???
Wallah😂😂😂
😂😂😂😂
Movie acheni jamani aibu hamna jamani
Hyu mama achinjwe christmas🤣anyway any kenyan here
🙋🏽♀️😂😂😂
Haifai
Ampe aki ake
Here we're 😂😂😅😅
Sema
Pole sana dogo
Jmn hii move inauzunisha na ninacheka mm ila ww bibi mungu anakuona achen kuweka picha za wajukuu wenu
Duuu!!! mwanangu pole sana mungu yupo nawe
Naja Arusha kumtafuta Mama mkubwa, Bibi ya Killian Kingi Mramba from Kenya...Mombasa ,...where are you Mum ..😢😢???....God take control of this situation...Mum am looking for you ..
Hello maajabu
@@josephlalaur8972 Yes , Hello.. hujambo,...Kaka
Anani dedee
@@paulmwadzame8261 Nikumjulia hali pamoja na watoto wake.....
Pole sana kaka
😂😂Bibi shikilia huyo kijana hakuna kumuacha.
salaam toka KE KE
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
anipe mm uyo bibi
😂😂😂😂
Pole kijana
Wewe umeyakanyaga
Muachane na mambo ya mitandao young Z😂😂😊
pole sana
Ukweli vijana ndo mjifunze kwa hili.
Pole
Ni igizo hili
Mama usimuachie huyo😂😂😂😂mpka kieleweke😂😂😂😂kijana ameyakanyaga😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😢😢😢😮😅
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bi mdashi anakwambia hajapata shooo😂😂😂
Ni sawa
Ee iyo atari
This old woman what is disturbing her is menopause,plz leave the young boy in peace,let her go and find her age mate,
😢😢😢dunia ni ndogo aibu naona mie jamani
Jmn huyu bibi ashirafu😢😢😢😢 jmn kha
Hii movie inaitwaje
Ubaya Ubwela
Wamchongo bibi
😂😂😂😂@@abumuneerkayma2762
Ubaya ubwela😂
Pole Sana nenda kwa kuhani mussa ukaombewe
Hiyo movie imeandaa msitudanganje
HIYO KIKI KAMA ULIVYOSEMA NATAKA ATOKE TU HUYO KAKA
Love ❤🎉
Funzo kwa Sisi vijana hili
😂😂😂😂😂😂😂😂si mnapenda filters na sagar kitawaramba
Hatri sana
Duh Mzee mwenzamgu tulizana
😂😂😂
Wew Mama muogope Allah 😢
Nhatari dogo pole sana komaa arud
Ohoo kumbe ni mtu wa kwetu jamani pole kaka yangu
Ahaaaa mwandishiii! Et Dar unaipendaeeee😂😂🏃🏃🏃 uuuwiiii
Inalilahi waina ilahi rajiunii bibi wacha kuxihirisha zinaaa weeeeee muogope Allah
Wewe bibi muogope mungu jamani uyo ni kama mwanao tu musamee
Tena mjukuuu😂
😂😂😂😂 Binadamu mugumu
Owa kaka mungu amekupa neema
Jamani acha nimcheke mm niingeze siku zakuishi
Pole Kaka Niko Moçambique
La kufanya ba mdogo ni kutubu dhambi na kumrudia Mungu
kijana ameelezea vizuri, lakini huyo bibi arudi nyumbani
Iyo ni Sanaa ila wabongo bwana
Eh mungu wangu we mam wew
Waongo hao trending za mtandaon chefu
Mmmmh!!😢😢pole sana kaka angu😢😢😢
Hebu ionyeshe picha yake mama tapering apelekwe polici kwanini usimuche hapo hapo standing sasa umemchukua mpaka kwako huoni kama ni hatari ukimwingiza nyumbani kwako
Ndio mambo yamtandaoni hayo
😂😂😂😂
Mama unge Kua na hela kijana hange pata tabu kukuondoa mjengoni tatizo mna zeeka na mikoba ya uchawi hela hamna.
Kwani hii dar ni mpya miaka 50 hujawai kufika mtoto kazaliwa juzi ndio kakuleta dar jamani kweli hata aibu huoni Bibi ama mchawi Una mipango yako
Mama mchawi huyu alikuja fuli dogo Una oa upende usipende Bibi mwanga huyo😂😂😂😂😂
I can't believe🤦🤦
Kijana oa usipige nae picha tu
Pole san😢😢 inaudhunisha mtoloke kwani anapajua kwen acha kucheka na adui
Pole sana kijana ndoiwe fundisho kwavijana wenzio 😂
Hatari kweli😂😂😂
Huyu mama mzinifu anapenda kazini hujafunganae ndoa utasemaje hujafanya chochote tangu uje unatoka kote huko kufuata kuzini mungu waadabishe wazinifu kama hawa wanatuabisha
Selikali nani?
Hyo mama mchawi walai sio kweli ety hataki kurudi
Jamaa ana taka trend bana hii kali kama moive inatoka lin maana naona bado ina shoot wa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hakuna bibi wa miaka 50, umri uzee unaanzia miaka 60
Meaning
Sisemi kitu mm wacha nehema itoshe😢😢😢
Njaa sana tz kiki hii
We nyanya ebu kwenda 😮😮😮😮
😂😂😂😂😂😂😂bongo kuna viroja
Bibi m.bishi huyoo aendelee au mchawiiiiiiiii mhmh .mungu asaidie kijana huyoooo !
Alooo hiii ni sinema tu. Sio kweli 😂😂😂😂. Bongo bana. Stress free.
Hii ni sawa na ile ya yule bibi wa wakati ule mwishowe wakasema walikuwa wamekubaliana na Sasa wamedhulumiana
Huyo mama aludi alipotoka amusche mtotowa mwenzake wanaumewapowengi hata aibu haoni huyo alimtumia picha yamtu mwengine🤭🤭🤔🤔
Mama anajidhalisha sana na umri wake
Duuu pole sana Kaka so ungekimbia tu Kaka ungemwacha tu jau hilo
Duuu hatari sana Mambo ya kupenda mtandaoni ni shida
Shida alikuwa anamwangilia kwenye simu huku amevaa hiyo miwani
Broo aaa nngekua mimi nnge ondoka pale home nanikamuachia geto nisimuhudumie chochote na asinione geto nimuone kama atakaa
Shemeji km shem❤❤❤...waoooooo!!! Mmeee chichiiii lakini🎉😂
Ivi jamani kweli unalala na kijana unavua nguo kweli au mnataniya
Shida nini😂😂😂
😅😅😅
Channel ina mambo yakufikirisha.sana hii. Tafuteni taaifa za kufundisha, hivi hii story kuna jambo gani la kusaidia Jamii.
Shekh wew cyo mtoto, miaka 23 mkubwa kapambane na hari yko ili iwe fundisho kwa wengine kama nyie🤣🤣🤣🤣😂😂😂😅😅
😂😂😂😂Kbsa hawa wote ni wazeee😂
Jaman mama anajiamin
Salam alekum
Waaleykum Salaam.hii ni aibu gani huyu mama kaleta???
Waleykum msalam warahamathullah wabarakathu kheir Insha Allah
Msimjadge huyu bibi mpelekeni kwa masheikh kufanyiwa ruqya ama kwa mapastor kuombewa huenda ana jinn limemtunuka huyo kijana sio yeye anae ongea hivyo na sikupenda kwake mengi zaid Allahu aa'lam 😢😢😢
@AhmedHImran it could be, and I just had a second thought that mental illness could be playing part here.
Eee kweli akina mama mmmm
😊
😅😅😅😅😅 safi sana safi kabsa siuchawi huo mfanye ivo usimuhudumie chochote
Umeyakanyaga kijana mwenzangu kwa kibibi cha Roliondoo 😂😂😂 hicho kishafika mpaka Gamboshi ujue 😅😅 umelowa mdogo wangu😂😂😂😂🤣🤣🤣 hapo nduki nduki mzeee baba 🏃🏃🏃🏃🏃
Kijana aniachie huyo mama she is my former girl friend
pole mdg wangu ila mungu ata muondoa2
Au alikua anaangalia picha huku amevaa hiyo miwan 😂😂😂😂
😂😂😂
Walai umenivuja mbavu eti labda aliangalia hizo picha na miwani hio alivalia 😂😂😂😢
Akili ilikua kwa zuchu wa mchongo
Wamchongo kayatimba kwenye mchongoma😂😂😂
Safiii sana bimkubwaa