ANKO ZUMO ATOA SIRI YA KUOA MKE WA PILI/NILISAHAU KIKULACHO KINGUONI MWAKO.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 ноя 2024

Комментарии • 67

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 3 года назад +19

    Kweli mdogo wng Habiba. Kikulacho kinguoni mwako. Uncle Zumo, umenikera sana. Habiba nakuombea ALLAH akupe subra

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 года назад +23

    yani Hawa wanaume vigeugeu wakipata hela kidogo wanawaza kuoa duu 😳😳

  • @olphamoraa6683
    @olphamoraa6683 3 года назад +1

    Kweli anko zumo umenikera sana kuongeza mke ni kukaribusha shaitani kwa familia,hila dadangu mama zumo fumilia tu kikuracho ki kuoni mwako😭

  • @aishaaboud4406
    @aishaaboud4406 3 года назад

    Salha jamani uadui sana
    Habiba Mungu akupe wepesi
    Uncle Zumo congraz🇰🇪🤔

  • @cephasmubanga7308
    @cephasmubanga7308 3 года назад +10

    Brother uncle Zu unajitia umasikini sasa

    • @sweetmeena5970
      @sweetmeena5970 3 года назад +5

      Yee mwenyewe kufanikiwa ni zao la habiba ambae ni mai sijui ujasiri wa kuoa ameupata wapi

    • @asdasdg3142
      @asdasdg3142 3 года назад +1

      Kweli kabisa asha anza kujitia mikosi

  • @happinnesspius9854
    @happinnesspius9854 3 года назад +6

    Likaka linafiki kwanza libaya alafu linajifanya linachekacheka Kama limwendawazimu pesa kidogo tu lishaoa duh!!

  • @eliekaemmanuel5738
    @eliekaemmanuel5738 3 года назад +1

    Mbona Mke mdogo ndo mkubwa kwa Mke mkubwa ,duh hatariii hii!Bora angeoa katoto kabichiii tungesema kashawishika,wanaume jamani hatari sana.

  • @asnakudra13
    @asnakudra13 3 года назад +2

    Jamani siyo vizurii kwa MTU wake wakaribu huoo huuwaji

  • @UmJarra7
    @UmJarra7 3 года назад

    Mm napenda mmke Mia vumiliya dadangu mamke Mia maisha yaawa wanaume yako ivo

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 года назад +8

    Mke Mkubwa awe na apuuze tuu yy ni Mzuri sana kuliko huyo wa pili a chezea tu part yake na ajiamini basi ni Suna ya Mtume

  • @khalfanjuma7678
    @khalfanjuma7678 3 года назад +1

    Uncle mhhhh tuone ssa, mai atiwe maneno na mama ssa, umaskini unakunyemelea maana hela unazpata kupitia mai

  • @rukiaamadadi3582
    @rukiaamadadi3582 3 года назад +9

    Wanaume ndo mlivyo mkipata visenti na majina ndo mnakumbuka kuoa sio poa arafu marafiki huja fanya poa

    • @sweetmeena5970
      @sweetmeena5970 3 года назад

      Wallahi mke mzuri kama habiba wanaendana kabsaa ameona akajibandike majaaliwa mengine na nilikuwa nikimshuku huyu Salha tu anakaa kinafki hata ukimuangalia wallahi sijui kwann mashoga wengi hivi ndo walivyo mi yupo rafki yngu alikuwa hatoki kwangu baadae akasafiri nje ya nchi akiwa huko nje akaanza kumchat mme wangu akijitongozesha uzuri mme wangu hakumpenda akaja akanionyesha hizo message hivi mpaka sasa anaogopa hata kuongea na mimi coz anajua nimejua..asilimia kubwa ya mashoga ni wanafki ila hakuna kitu kizuri kama nia safi habiba tulia tu uwaangalie watafikapi

    • @delistakanjanja1286
      @delistakanjanja1286 3 года назад

      Mmhh!!

  • @mariaernest9324
    @mariaernest9324 3 года назад +3

    Kupata vpesa kidogo nakuongeza mke makubwa umenikera sana

  • @sweetmeena5970
    @sweetmeena5970 3 года назад +2

    Huyo Salha amfikia wapi habiba yani wanaume sijui wapoje limenikera hili libaba si bora angeoa mtu mwengine asiyekuwa na ukaribu na habiba alaf alivombaya anataja watu wengi ili habiba awachukie wote mshenzi sana huyu mwanamke

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 3 года назад +2

    Wataelewana si mashoga hawa wake, mungu awape maskizano swalha ana tabia nzuri nampenda mungu awape maskizano, wivu lazima lakini bora kuoa kuliko kuzini

  • @ayoubmtulia793
    @ayoubmtulia793 3 года назад

    Daaaah

  • @angelmasa2224
    @angelmasa2224 3 года назад +1

    Chaa...kisa umarufu tu yani umend ukaoa Zeee...limekongroka surambaya lajishaua lenyewe lilvy libaya br mke w kwanza mrembo nyooo wanaume mjuege kuchagua

  • @dizobaba4681
    @dizobaba4681 3 года назад

    Bora kuoa tena kuliko kuchati kwanza ametimiza sana

  • @ayoubmtulia793
    @ayoubmtulia793 3 года назад

    Mhhh wanaume

  • @cephasmubanga7308
    @cephasmubanga7308 3 года назад +2

    Kama ni kweli Natumaini mahusiano yenu ayata athri kipaji cha maya

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 3 года назад +3

    Hhaha video ya wimbo wa salha inaitwa kuolewa wee msituchangaje bhn

  • @bintihassan6534
    @bintihassan6534 3 года назад +4

    Japokua ni sunna jmn wanaume punguzeni looh yn tena kwa mtu wke wa karbu bora ata ungeoa mtu mwengine lkn cio kwa hyo imekua km ndugu maan ushogaa wao ulikua umepitiliza😏😏😏😏

    • @tatuhongeranurushaus485
      @tatuhongeranurushaus485 3 года назад +2

      Yaan mamy wanaume wanajali suna ya kuongeza wake tu hamna suna zingne wanazotekeleza

    • @bintihassan6534
      @bintihassan6534 3 года назад

      @@tatuhongeranurushaus485 ni huzuni kwakwl toka wajue hyo sunna ya kuongeza mke wanatunyanyasa sna wallah

  • @hanifandungutu3739
    @hanifandungutu3739 3 года назад

    Watangazaji wanafiki na wachonganishi sana mengine ayawausu

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 3 года назад +3

    Kwani sunna ni hiyo tuu ya wake 4...mbona kuna mambo mengi mazuri alifanya Mtume hamyaongelei kutwa ni wanawake tu..shaurienu mamen mkija vaa diaper ndo.mtajijua sie twatesa tu kwa raha zetu

    • @UmJarra7
      @UmJarra7 3 года назад

      Ugekuwa karibu na mm ni gekuzawadi umeogeya maneno mazur Ata nakupenda bila kukuona sura yako

  • @khadijakheir9323
    @khadijakheir9323 3 года назад +3

    Wah

  • @maryamhaidar931
    @maryamhaidar931 3 года назад +9

    Nitafurah ikiwa kiki Ila km kwel daaah🤦

  • @sylviaquentin9724
    @sylviaquentin9724 3 года назад +1

    Habiba tulia ....

  • @happynesbaemuhappynes8813
    @happynesbaemuhappynes8813 3 года назад +2

    Pesa shikamoo

  • @mamazalafymama5825
    @mamazalafymama5825 3 года назад +3

    Wanaume bana Bora umuombe awe masikin Tu ukiomba awe Tajil na akapata hiyo Mihela utajuta

    • @florakabadoelkana6764
      @florakabadoelkana6764 3 года назад

      Kweli kabisa

    • @mamazalafymama5825
      @mamazalafymama5825 3 года назад

      Ki ukwel inauma we mke Kila kukicha unamuombea dua mimeo mungu amjalie kipato akipata Tu we muombaji unalia alafu hivo marafiki Kwa sasa siyo wa kumaamin maan kuna video nimeaangalia wameigiza wote doo inauma lait angejuwa Khaa

  • @ziadasalim1459
    @ziadasalim1459 3 года назад +3

    Kwanin umuoe rafiki jamani . Kuoa sawa lakin sio rafiki

  • @jumaibrahim3873
    @jumaibrahim3873 3 года назад +4

    Yan kaalibu kila k2

  • @hamisaabdulhamid529
    @hamisaabdulhamid529 3 года назад +2

    Ukiwa mke wa mtu jitahidi rafiki yako awe mke wa mtu

  • @rachelmliwa9830
    @rachelmliwa9830 3 года назад +1

    Pole mama Mai inakela

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 года назад +1

    Daah kama ni kweli basi kumbe vile akijidai anampenda mkewe ulikuwa uongo tu? Ama kweli binaadam hawana wema kikulacho hicho. Naomba iwe kiki tu.

  • @aishaathman7340
    @aishaathman7340 3 года назад

    Salha una roho mbaya sana! Mnafki mkubwa. Umemtendea mwenzio kitu kibaya. Habiba kakukosea nini umchukulie mume!

  • @maryammarham2862
    @maryammarham2862 3 года назад +1

    Aho

  • @rahmssalum3163
    @rahmssalum3163 3 года назад +1

    Ila wanaume sio wakuaminiwa

  • @zainababdullsadik1247
    @zainababdullsadik1247 3 года назад +3

    Looo kwa vipesa gani mshenzii tu daaa

  • @khalfanjuma7678
    @khalfanjuma7678 3 года назад

    We mdada humpat habiba ata uzikiri uchi

  • @nasralema7400
    @nasralema7400 3 года назад

    Pesa kidogo kaongeza mke, mai mchambe mamaako wa ufugizi, kwanza kipato kingine cha mtoto wewe wenda kuolea, yetu macho.

  • @dorotheadomician3835
    @dorotheadomician3835 3 года назад +1

    😭😭😭😭😭

  • @fatmasaid7093
    @fatmasaid7093 3 года назад

    Duuuh like seriously 🤔🤔🤔

  • @aisaviron6079
    @aisaviron6079 3 года назад

    Sio siri naogopa hata kumsapot mtu wangu kwaajili ya upuuzi km huu

    • @ishaomari2232
      @ishaomari2232 3 года назад

      Yaan inatia uoga kabisa we acha tu dear mana mtu unaweza kumsaidia mwisho wa siku ndo km haya yanatokea

    • @mwanajumasaid1983
      @mwanajumasaid1983 3 года назад

      Hahaha jmn

  • @aishasaluom681
    @aishasaluom681 3 года назад

    Duuh wanaumee nyoko pole abiba Ata mm yalinikuta ayo Rafik yng kipenz akaja kuwa mkemwenzang

    • @gracejoseph6467
      @gracejoseph6467 3 года назад

      Dah pole San ndo maan Mimi sitaki marafiki maaan wakati sijaolewa yalikuta saaaaan

  • @khayratnassor9552
    @khayratnassor9552 3 года назад

    Loooh zumo weee 😡😟!!!

  • @OmanOman-zc5dt
    @OmanOman-zc5dt 3 года назад +1

    Kikubwakuwa nasubla mana dini yetu imeruusu mpaka4 ukiwa muadilifu

  • @bettysidi2892
    @bettysidi2892 3 года назад

    Siku zote marafiki ndio wasaliti