MUNGU AZIDI KUFANYA NJIA MAHALI PASPO NA NJIA KWAKO KWA KUWA NAJUA UNA MAADUI WENGI SANA WEWW SONGA MBELE TUPO AMBAO TUNAFUNGA NA KUOMBA KWA AJILI YAKO
filbert chaser hebu ongeeni kitu kinachoeleweka! Tuta ni tuta (la barabara) na daraja ni daraja. Ukisema madaraja yamechukua km 25 unamaanisha nini? Kwahiyo madaraja yameungana linapoishia hili na lingine linaanzia hapo hapo na yanaenda hivyo kwa urefu wa km25? Hebu kuweni makini basi na fani za wenzenu
Hongera kwa Kazi nzuri. Rais. Wangu.
Nakuombea sana Raisi wangu
Hongera sana my President,kweli wewe ni Rais bora kuwahi kutokea,
Mpo vzr millardayotv
Nakukubali mh magu, umrrudisha heshima ya nchi
Duuu Leo nimekaa kiti cha Mbele karibu na Rais.
Ataniacha salama kweli.
(First to reply)
Thobias Mabuku mumewaguairaviyu
Usijali kabisa utaachwa salama tuu
Mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kumuongoz vyem raisi wetu
Big up president Magufuli
Je hili daraja limeisha?
Eneo la mbuga inapopita barabara ndiyo km25, yapo madaraja 73 hayo yote yakiwekwa pamoja unapata daraja la mita 85. Siyo daraja lenye urefu wa km 25
MUNGU AZIDI KUFANYA NJIA MAHALI PASPO NA NJIA KWAKO
KWA KUWA NAJUA UNA MAADUI WENGI SANA
WEWW SONGA MBELE TUPO AMBAO TUNAFUNGA NA KUOMBA KWA AJILI YAKO
25 kilometers? Au anamaanisha 25 meters;;
vzur xana
Marko Sirikwa
Anko mbona unaenda age rapidly ?
Huyu mwandishi wa habar ananishangaza kidogo anaposema kilometa 25 hivi ni kweliii????
KM ngapi vile?
Jamani km 25 au m25
Reticia Karia et
Km25 tuta, huwezi jenga barabara au Reli bila kujenga tuta. Daraja lina meta 82.
mbona kama anko anazeeka kwa kasi
Hamady Gwajes sure
Weee lazima azeeke tyu hii nchi matatizo ni mengi
hata obama alizeeka kwa kasi naye
Anapiga kazi balaa
popularity!..
Labda mita 25 na sio km 25 ndugu mtangazaji
Km 25? Yaani ni refu kuliko la kigamboni? Yaani nauliza mnazungumzia mita 25 au km 25? Natamani kupita hapo nijionee
Asilimia kubwa ya hao wanaoshabikia hapo wakirudi majumbani mwao wanashindia maji ya kunywa!
Dovico Christopher wewe mwenyewe unashindia nini?
ulitaka rais kwenye ziara zake agawe ubwabwa
kwa hiyo unasugest nn ww!!kudadeq sana
Ww dogo shule yako ni changamoto, unasema daraja lina urefu wa kilomita 25 real......?? U can't be serious aisee
Richard Damas I was like does he know 25 kilometers?
ndo naona miujizz yani ata la kigamboni likasome
Tuta la km 25,madaraja 75,upana wa daraja 10.5m,huwezi jenga barabara au reli bila kujenga tuta kwanza.
Richard Damas ndo hivyo mkali Mi shahidi, yaan hayo mdaraja ni mengi yalio chukua urefu wa klmta 25,kisha daraja moja lina urefu wa mita 8 kwenda juu
filbert chaser hebu ongeeni kitu kinachoeleweka! Tuta ni tuta (la barabara) na daraja ni daraja. Ukisema madaraja yamechukua km 25 unamaanisha nini? Kwahiyo madaraja yameungana linapoishia hili na lingine linaanzia hapo hapo na yanaenda hivyo kwa urefu wa km25? Hebu kuweni makini basi na fani za wenzenu