It was painful witnessing this marriage breaking into bucket of tears 😭😭😭😭

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025

Комментарии • 213

  • @comradesflavour
    @comradesflavour  12 дней назад

    ruclips.net/video/4BzqhrXptxU/видео.htmlsi=WVST1OAX2Dw0rDR9

  • @Kemunto-c7f
    @Kemunto-c7f 15 дней назад +105

    Kama umebarikiwa n unaamini Yesu ni Bwana piga like tukisonga❤❤tusijikute hapa

  • @edwardkemboi6140
    @edwardkemboi6140 14 дней назад +65

    Kama unaamini mungu yupo na mafanikio ii mwaka gonga like tukisonga amen

  • @joansmith3436
    @joansmith3436 14 дней назад +51

    Big man Stevo, to be honest, you have the most difficult job on the planet. It's not easy convincing human beings every day. 😂😂😂

    • @gerrytushh
      @gerrytushh 14 дней назад +4

      Very difficult job, true. But Stevo has mastered the psychological tricks for seamlessly eliciting the truth from Nairobi City's cheating couples😅 Fan in Kampala 🇺🇬✌🏽

    • @joansmith3436
      @joansmith3436 14 дней назад +1

      @gerrytushh very true

  • @warigialifestyle
    @warigialifestyle 14 дней назад +24

    2025 imeamua kusema wenye tuko single we made the right decision😊....nipewe likes kumi nitie sheria mkononi wakuu😋🤭

    • @georgekymany2719
      @georgekymany2719 11 дней назад

      Everyone got his or her skeletons stashed in their closet. Siku yako itafika tu mamaa.you cannot tell the world uko single so, hupigangwi kuni.😂

    • @warigialifestyle
      @warigialifestyle 10 дней назад

      @georgekymany2719 mtu ni yeye anajijua....ama watu tuko gulf unatupiganga kuni😂😂😂

  • @traceeytracie6811
    @traceeytracie6811 14 дней назад +20

    Huyo nayo hapendi huyu dem ata kusupport kwa matanga your own man.

  • @jimwafula4733
    @jimwafula4733 14 дней назад +10

    Remember this!
    IN LIFE NEVER EXPECT SOMEONE TO BE SAD OR STRESSED JUST CZ YOU ARE? Watatwanga sherehe na maisha iendelee

  • @Spurs97-spurs
    @Spurs97-spurs 14 дней назад +39

    Huyu jamaa anakaa mpole kumbe ni fisi 😅😅😂

  • @uwemattiss880
    @uwemattiss880 14 дней назад +23

    Finally a man represents us in the cheating Olympics,tulikua nyuma sana!😁

    • @berylakinyi6211
      @berylakinyi6211 12 дней назад

      Hawa ni vijana wadogo ni utoto wako nayo. Wanaume badoi hawajacheat🤣🤣🤣🤣

  • @CoCo-ol6mu
    @CoCo-ol6mu 14 дней назад +2

    Kikulacho ki nguoni mwako. Trust no friend..huyo ndio atageuka adui akugongee. You trusted your hubby with your friend na they ended up kimoja! Run girl

  • @jimwafula4733
    @jimwafula4733 14 дней назад +6

    Haki pombe kweli....! Mbona unadanganyiwa sana, wameachana shetani sasa wamekuingilia kweli....? Kweli vane!

  • @beatybabez2669
    @beatybabez2669 14 дней назад +14

    Uyo ni mwanaume wa kwanza this year kucheat madame tulikua tumeumia tangu Jan ianze😂😂😂

  • @Bosibori5104
    @Bosibori5104 14 дней назад +23

    For once baby gal hajatuangusha 👏

    • @GladyKalekye
      @GladyKalekye 14 дней назад +1

      At least Leo tupewe 🎉tumejaribu ..madem oyeeeee🎉🎉

    • @PccerealsShop-s4l
      @PccerealsShop-s4l 14 дней назад +1

      Shameless Man..
      Baby girl you deserve better

  • @beatricebrownie
    @beatricebrownie 14 дней назад +2

    😂😂😂 Sophie alipewa passport ya haraka haraka ,, you guys can understand.

  • @VeraAwino-mr8ky
    @VeraAwino-mr8ky 16 дней назад +9

    people are hurtles ,ule inampenda anapenda mwingine mwenye pia hampendi

  • @kennedymwangi7843
    @kennedymwangi7843 14 дней назад +8

    Musinipite bila like....moyo ni mzito natafuta wa kubeba moyo wangu naye😢😅

    • @MaryWanjiru-p7y
      @MaryWanjiru-p7y 14 дней назад

      Kwani unalia na jcho moja naingine inacheka

  • @SonduRiver
    @SonduRiver 14 дней назад +8

    This lady must have shared with Sophie how his man is blessed with good cassava 😅😅😅😅. So this is the result.

  • @samsonrotich4428
    @samsonrotich4428 16 дней назад +3

    Hey....stevo hiyo nayo ni noma...just waiting 😢

  • @jenniferEdith1190
    @jenniferEdith1190 14 дней назад +18

    Nani ako na pombe aniletee kwangu nko na stress, 🫣🫣

  • @filandote9025
    @filandote9025 13 дней назад +1

    I just like the part tunamaliziana hapa hakuna Cha nyumbani

  • @Seranjoroge9244
    @Seranjoroge9244 14 дней назад +2

    Small youtubers, tupitianeni hapa pia Sisi tugrow pamoja❤❤❤

  • @Vymo-lv9cu
    @Vymo-lv9cu 14 дней назад +7

    Najua haiwahusu but pia mm niko nacheat na mtu wa wenyewe leo😂😂

    • @conniekerubo8325
      @conniekerubo8325 День назад

      Tuko pamoja kucheat ni lazma hatuwezi kukaa na kitu moja miaka yote

  • @rosemaryrose6272
    @rosemaryrose6272 14 дней назад

    The word *and the way i trust u* mnatoanga guts za kuisema wapi surely, ladies pls

  • @maxinebr3396
    @maxinebr3396 14 дней назад

    Big Stivo, hiyo beard haikupendezi hata, but still nakupenda❤

  • @ironlady254theone2
    @ironlady254theone2 14 дней назад +4

    Nimejaribu kusoma hiyo caption adi nikàumwa na kichwa😢

  • @MinahMjeni
    @MinahMjeni 14 дней назад +3

    Msijifanye hamuoni mkono ya dem.sofi akishikwa atakula ngumi😅😅😅😅

    • @faumash6734
      @faumash6734 14 дней назад

      body shaming is not allowed huku kwa hii channel nkt

    • @MinahMjeni
      @MinahMjeni 14 дней назад

      @faumash6734 niyako??narudia tena.sofi akishikwa atakula ngumi.sinikweli amevimba kama jamaa..

  • @langatgeofry4688
    @langatgeofry4688 11 дней назад

    wanawake wanapenda mrija kubwa!!

  • @deekiki1924
    @deekiki1924 12 дней назад

    Tuombee wakenya wetu bila karatathis majuu US 😢

  • @faumash6734
    @faumash6734 14 дней назад +1

    na mnamatch manguo hadi BMS, happy valentine's guys😂😂leo ni 25th ebu nikimbie nikaone cartoon the comedian amefikishana wapi na oga wake😂😂😂😂😂

    • @justusgwaromagangi7373
      @justusgwaromagangi7373 14 дней назад

      Usilete stress za valentine

    • @faumash6734
      @faumash6734 14 дней назад

      @justusgwaromagangi7373 🤣🤣🤣hutaki kununulia bae zawadi

  • @danielmulamba5648
    @danielmulamba5648 14 дней назад

    Congratulations madm

  • @Adilialovekenya
    @Adilialovekenya 14 дней назад +12

    Stivo umesahau leo ni satoo ama mambo ilichange😂😂

  • @lenitygakii9570
    @lenitygakii9570 15 дней назад +3

    Unapenda mtu kumbe anapenda mwingine 🤣 weh n kunoma hapa inje

  • @AbednegoOwino
    @AbednegoOwino 14 дней назад

    Mimi sina mambo mengi ,,,,poleni sana kwa kuwasumbua

  • @speechlesnoisemaker6341
    @speechlesnoisemaker6341 14 дней назад +5

    Apologize makwapa ya nyoka 😢😢

    • @MaryWanjiru-p7y
      @MaryWanjiru-p7y 14 дней назад

      😂😂😂😂makwapa ya nyoka go me

    • @AbigaelKhamalishi
      @AbigaelKhamalishi 13 дней назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂waaaa makwapa ya nyoka ilikuwa imetulia then boom

  • @faithhenry5369
    @faithhenry5369 13 дней назад

    Thumbs up kuleta show hadi weekend

  • @ericgathii1387
    @ericgathii1387 14 дней назад

    Ladies acheni kuleta young female friends or relatives near your home. Most men have no self control na hakuna kitu tamu kama ya kupewa bure. Alifanya ivo out of tamaa, but im sure he still loves you. Anyway acha tu iishe, tulisema cheating is cheating no forgiveness

  • @franciskimemia621
    @franciskimemia621 14 дней назад

    Big up BMS 2025 it's banger after bangers tulikua tunamboeka sna weekends,,

  • @londoamos501
    @londoamos501 14 дней назад +1

    Si Kwa ubaya, but atleast boy child ametuwakilisha hii 2025.

  • @AgnesKamau-h6j
    @AgnesKamau-h6j 14 дней назад +6

    If your husband cannot accompany you to your grandparent burial not participating nor contributing instead he find your best friend to celebrate in your martiriomony bed that's is a devi run run away 4ur life your family is his family his family is you family

  • @ivywangari-tr2qz
    @ivywangari-tr2qz 14 дней назад +3

    watu wa nakuru si we welcome BMS akuje a expose usherati

  • @Theblessed-v9y
    @Theblessed-v9y 14 дней назад

    The man anatumia huyu mama bure kamama jitoe

  • @DorcasBosuben
    @DorcasBosuben 14 дней назад

    Kwani stevo mlikosania wapi na belt 😂😂😂

  • @GladyKalekye
    @GladyKalekye 14 дней назад +1

    Pombe ilikuwa imetulia tu ikipiga plans zake then boom!!

  • @crazykids5779
    @crazykids5779 14 дней назад

    Beb tulia ni nini mbaya ,bebz tunaeza eda kuogelelea hii story kwa nyumba,atlist leo shetani ajaekelea,leo ni pombe

  • @franciskimemia621
    @franciskimemia621 14 дней назад +1

    This man doesn't love her 😢ata hakumpeleka matanga but anasmash sofiii best friend ya wife 😢 nonsense mbwa www

  • @nyokskinyah8246
    @nyokskinyah8246 13 дней назад

    Waaaa wuuuiyee poor galchild

  • @gideonkiprotich8029
    @gideonkiprotich8029 14 дней назад +2

    Bro revenge inakucha kwa fucho xaxa heeeee,polite girl ni moto kuliko basi kwa revenge kaa hii 🎤🎤📌🎙️

    • @esthermuringo4097
      @esthermuringo4097 7 дней назад

      𝑴𝒆 𝒓𝒆𝒗𝒆𝒏𝒈𝒊𝒏𝒈 𝒔𝒍𝒐𝒘𝒍𝒚

    • @gideonkiprotich8029
      @gideonkiprotich8029 7 дней назад

      @esthermuringo4097 but sometimes revenge haileti shangwe coz ni wee 🍆🍆

  • @irenendunge4891
    @irenendunge4891 13 дней назад

    Steve tupatane lini univunjie hii 😂

  • @sunguh_jnr
    @sunguh_jnr 14 дней назад +2

    Big man! Please be going through your postings before you post. Anyway good content bro

  • @WhitneyGatwiri-j3o
    @WhitneyGatwiri-j3o 14 дней назад

    Kwani akuna couple hujua stevo kweli

  • @Papapapah
    @Papapapah 14 дней назад +4

    Boyz tumejaribu Leo points 3 tho mademu wanaongoza LIGI... 😂😂 Mademu wako 16 points na Boyz tuko 3 points 😂😂😂

  • @judymuiruri3613
    @judymuiruri3613 14 дней назад +2

    Hii mkono ya dame yawa!!! Iko na squabbe Wacha tu😊

  • @duncanNjuguna-k8d
    @duncanNjuguna-k8d 14 дней назад

    Vile watu wanakulana huku nje weeeh😮

  • @MaryMerie
    @MaryMerie 14 дней назад +1

    Even a friend i cant trust someone with my man weeh😮

  • @Jojongonda-j5c
    @Jojongonda-j5c 14 дней назад +2

    Stivo usishindane na Couples wakisema ni wife n husband. Hio ni bad manners. Accept and go on with your sanitisation

    • @essy2023
      @essy2023 14 дней назад

      Adultery is a sin ,sanitisation ni muhimu kuna magonjwa pia

  • @aselyne5631
    @aselyne5631 14 дней назад

    Girl hakupendi 😅

  • @EXC2413
    @EXC2413 14 дней назад +1

    Woii the guy was sure ... The girl will 😭😭 cry

  • @Zuuh107
    @Zuuh107 14 дней назад +9

    Watu hawaogopi ukedy kaswende kisonon u.t.i gonolia 😂😂😂ni mwendo wa miguu juu

  • @cynthiaambenje9131
    @cynthiaambenje9131 14 дней назад

    Wewe oa kwanza tujue kama uko loyal

  • @georgekymany2719
    @georgekymany2719 11 дней назад

    Work without play made Jack a dull boi😅😅😅😂

  • @Faustinnash
    @Faustinnash 12 дней назад

    Bestie Bestie😂😂😂

  • @phanicemochama6574
    @phanicemochama6574 14 дней назад

    😅😅😅😅 mulisema ety heri mwanaume akulane uko inje kuliko bibi kukuliwa 😅😅😅😅 mapenzi shikamoo 🤣🤣🤣

  • @Marbikani544
    @Marbikani544 14 дней назад

    Bora Niko single na enjoy

  • @janewaithes5183
    @janewaithes5183 13 дней назад

    Huyu dame amejaa jaa ki konje

  • @lenitygakii9570
    @lenitygakii9570 14 дней назад

    Niko ndani wakuu round hii the other side 😅😅 at least tumpumue kidgo

  • @danielmulamba5648
    @danielmulamba5648 14 дней назад

    Hyo mwanaume ni malaya kias gan unapnua mguu ya mwnamke mwngne kwa memorial bed

  • @roserono4542
    @roserono4542 14 дней назад

    Ati shida ni wewe kutembea na watu walevi 😢

  • @speechlesnoisemaker6341
    @speechlesnoisemaker6341 14 дней назад +3

    2025 hope nitapata MTU amechoka Na mapenzi anataka NDOA ya kumaliza life imebaki

  • @marylinebarasa1764
    @marylinebarasa1764 14 дней назад

    Trust a man at your own risk

  • @nicholasodhiambo2962
    @nicholasodhiambo2962 13 дней назад

    comrade sasa hii ndio kazi ulisomea?

  • @raphaelkitwii
    @raphaelkitwii 14 дней назад +2

    Once you cheat trust is broken and without trust no family

  • @gregoryyegon5044
    @gregoryyegon5044 9 дней назад

    Stevo ati apologize tuu atakuskia

  • @OdindoIrene
    @OdindoIrene 12 дней назад

    Mwanaume ni kuruka kila kitu sasa ako tu si ni wewe ulimutuma😂😂😂 bab beste wako alikuja na pombe sasa makosa ni ya pombe 😂😂😂😂

  • @georgemacharia5410
    @georgemacharia5410 14 дней назад

    Man BMS vaa mshipii wacha ufala

  • @Gladdiejay
    @Gladdiejay 14 дней назад

    Kila mtu akipatikana anasema twende tuongelee hii kitu kwa nyumba😂

  • @TruthSeekerAfrica
    @TruthSeekerAfrica 8 дней назад

    Mwanamke anatuma mwanamke mwingine kwa nyumba yake? That's not wise.

  • @fanmuthura4844
    @fanmuthura4844 14 дней назад +3

    Hypocrisy in marriage ......pthooo

  • @Danmwaura-x2h
    @Danmwaura-x2h 14 дней назад +2

    Iyo kizungu imeandikwa na mlevi?

    • @Roxana-q5j
      @Roxana-q5j 14 дней назад

      Just typing error unaguza o inatype i hio ingine iko sawa

  • @PenneyW
    @PenneyW 14 дней назад

    First of all, the fact that he didn't go into mourning with his wife says alot. Not him blaming the lady for his infidelity. Ati "wewe ndio unatembea na marafiki wanalewa" 😅 wah, also him blaming Sophie ,"alikuja na pombe" 😂😂😂 so what?! Maahn. He's a joke!

  • @EstherKim-c7b
    @EstherKim-c7b 14 дней назад

    Nowadayz singleness is better than fake marriage 😢😢

  • @Roxana-q5j
    @Roxana-q5j 14 дней назад +1

    Wale wa headline hamuweziona hio ni typing error aliguza o inatype i juu hizo letters mbili ziko pamoja kwa simu nani haoni hivo

  • @bedicaambani4741
    @bedicaambani4741 15 дней назад +2

    Kwani Who was your English teacher .. The heading is Englishing

  • @carolinelyimo4452
    @carolinelyimo4452 13 дней назад

    Huyu chalii ni fala

  • @Officialmark-8k
    @Officialmark-8k 15 дней назад +8

    Guys nani atanipea job ya caretaker🤔🤔🤔🤔

    • @urejeshoblessings4633
      @urejeshoblessings4633 14 дней назад +2

      I hope ukipata hutakula wake za wenyewe kwa plot😢

    • @Zuuh107
      @Zuuh107 14 дней назад +1

      We usione wanafaidi but utaambulia ukedi 😂😂😂

    • @Officialmark-8k
      @Officialmark-8k 14 дней назад

      @@urejeshoblessings4633 😂😂😂😂😂😂😂

    • @aishaazia2559
      @aishaazia2559 14 дней назад

      Wataka kunyandua bibi za watu ama😂

    • @erickik254
      @erickik254 14 дней назад

      Housewives watakudinya upoteze kazi

  • @tonykodes2252
    @tonykodes2252 14 дней назад

    Bro wewe ni mwanaume kama mimi muelezee, BMS be like 😮

  • @muthokagregory6478
    @muthokagregory6478 14 дней назад +1

    ATI ako na dik nono na long yiwee kasonge kasongete

  • @Tinnie-shii
    @Tinnie-shii 15 дней назад +19

    Fake love in 2025 😢😢 I don't trust anyone

    • @Saidyaa
      @Saidyaa 14 дней назад

      Just trust me 😂

    • @joejoseph1228
      @joejoseph1228 14 дней назад

      Whaaaat

    • @raphaelnjenga3423
      @raphaelnjenga3423 14 дней назад

      Trust me

    • @augustusokaga9365
      @augustusokaga9365 14 дней назад

      I don’t trust myself either, I have been heart broken twice too many times

    • @Tinnie-shii
      @Tinnie-shii 14 дней назад +1

      @@Saidyaa I don't trust myself even 😏😂😂

  • @peterwamanchester.5166
    @peterwamanchester.5166 14 дней назад

    Wewe ndo upiletea bwanako bibi mwingine kwa hao ña unajua hauko home,please ladies never trust your female frieñd

    • @berylakinyi6211
      @berylakinyi6211 12 дней назад

      I will chose a husband of high value who respects himself . Even if you don't bring a frie d men with low value with sleep with your neighbour. At least women find men who think with their brains have some principles at least.

  • @JimmyJoker-g7f
    @JimmyJoker-g7f 14 дней назад +2

    najua kuna mtu anawatch na bado anacheza mtu wake

    • @esthermuringo4097
      @esthermuringo4097 7 дней назад

      𝑷𝒍𝒂𝒏𝒏𝒊𝒏𝒈 𝒕𝒐 𝒅𝒐 𝒔𝒐

  • @sarahnyawira3855
    @sarahnyawira3855 14 дней назад

    Big man belt iko wapi?

  • @HawletOkilu
    @HawletOkilu 14 дней назад +1

    Unatoa wapi nguvu ya kucheat Mali safi hivi

  • @fanmuthura4844
    @fanmuthura4844 14 дней назад +2

    Hiyo tittle/headline iliandikwa na sudi😅😅😅😅

    • @Roxana-q5j
      @Roxana-q5j 14 дней назад

      Sudi hawezijua kati ya mourn na moan its only i aliguza instead of o

  • @peninahkanja8029
    @peninahkanja8029 5 дней назад

    I'm happy no Peace.

  • @atemaeclai6822
    @atemaeclai6822 14 дней назад +1

    This is the top most DISRESPECT !! You are neither important to this man nor to the so called friend. They have been sleeping together for a very long time. If someone does not RECOGNIZE the most momentous time in your life like the death and burial of your closest relative , it means he doesn’t VALUE you. He even didn’t suppose you with cash!!!!
    Then, to add salt to injury, both HE and your SO CALLED FRIEND planned to have a good time because they knew you could catch them!
    But who is GOD!!!
    FLEE and don’t be persuaded otherwise. May you meet an honest person along the way!!!

  • @chesibrian3755
    @chesibrian3755 14 дней назад

    Mimi hizi story za watu kunicheat inanikasirisha sana. Ile siku nitapata mtu mwainifu nitashukuru Mungu

    • @GivenVelemuseni-u7o
      @GivenVelemuseni-u7o 14 дней назад

      Waaminifu niwachache sana Yule unadhani ni mzuri ndio worse but mungu akusaidie

  • @aomealaome4933
    @aomealaome4933 14 дней назад

    Huyu dem ako na mkono 😂😂 kubwaa anaeza kupiga ngumi ufaint

  • @johnodegindege6056
    @johnodegindege6056 14 дней назад +2

    Can the headline be simplified? I beg ooh

  • @isaackkibetkwambai8932
    @isaackkibetkwambai8932 14 дней назад

    Kumbe hata wanaume wasema twende tuongee kwa nyumba😂😂..this man is fake and heartless

  • @GregoryIsaac-h2j
    @GregoryIsaac-h2j 13 дней назад

    wueeeh😢

  • @hopetumaini1058
    @hopetumaini1058 14 дней назад +1

    captions getting really mixed/messed up lately