Bado nawapenda kwa jina la yesu, niliokoka kupitia kusikiza wimbo huu mwaka wa 2002 na bado naendelea na wokovu, hivi leo mimi ni mcheza viombo kanisa.
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana siku niliyopata ajali nilikua nasikuliza huu wimbo nikiwa kwenye gari mungu alivyo waajabu hakuna aliyeumia wala kuchubuka ila gari ilikua hatamaniki mpaka watu waliokuja kutuokoa walishangaa wakasema hakika mungu sio mwanadamu
Wooow! Wimbo huu kwa hakika mmeupanga vizuri saaaana. Napenda mziki wenu saaana. Huwa nahudumiwa kikamilifu. Nafanya kazi na watoto kanisani Maweu PEFA na mimi huwafunza nyimbo zenu ila sina ujuzi sana wa kupanga muziki. Huwa nawapa nyimbo zenu twasikiza kisha twajaribu kuziimba...twaomba Mungu atujaalie tuje tuwatembelee tukajifunze muziki kutoka kwenu. Nimewasikiza tangu miaka ya 2000...mmbarikiwe sana. Lakini mbona huu wimbo unaonekana haukuwa umekamilika!? Hapo mwisho umekatika ghafla!!
Bado nawapenda kwa jina la yesu, niliokoka kupitia kusikiza wimbo huu mwaka wa 2002 na bado naendelea na wokovu, hivi leo mimi ni mcheza viombo kanisa.
Hongera mwanake Mungu..
Wangap wanabarikiwa Kama Mimi na nyimbo zao Kijitonyama jamani😘😘😘
Sasa uyu ni ule mama alikuwa naimbazamani ???ama niwamupya?
Mimi binafsi haipiti siku sijaingia You Tube na kuacha kusikiliza nyimbo hizi!
Can't believe this are the same people especially the lady soloist
ama ni tofauti? yenyewe technology husaidia. alikuwa amechapa ile mbaya
Daaaah hi nyimbo inanikumbusha 2005 Kama cjakosea enzi hizooooo 😍😭 daaaah ...naliaa kwa furahaaa hi nyimbo was so blessed..!!!....
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana siku niliyopata ajali nilikua nasikuliza huu wimbo nikiwa kwenye gari mungu alivyo waajabu hakuna aliyeumia wala kuchubuka ila gari ilikua hatamaniki mpaka watu waliokuja kutuokoa walishangaa wakasema hakika mungu sio mwanadamu
AAAAIIII Morgan hapa umeweza....Mungu akuinue kaka
Nyimbo zinazoishi🎉🎉🎉
Bonge ya nyimbo sichoki kusikiliza Mungu awaweke
Jamani huyu baba kitambo sana,na sauti haijachuja
Wooow! Wimbo huu kwa hakika mmeupanga vizuri saaaana. Napenda mziki wenu saaana. Huwa nahudumiwa kikamilifu. Nafanya kazi na watoto kanisani Maweu PEFA na mimi huwafunza nyimbo zenu ila sina ujuzi sana wa kupanga muziki. Huwa nawapa nyimbo zenu twasikiza kisha twajaribu kuziimba...twaomba Mungu atujaalie tuje tuwatembelee tukajifunze muziki kutoka kwenu. Nimewasikiza tangu miaka ya 2000...mmbarikiwe sana.
Lakini mbona huu wimbo unaonekana haukuwa umekamilika!? Hapo mwisho umekatika ghafla!!
Napata sana hiyo mitaa
Hi mimi na penda na nikwa na warasta twa penda sana Jah Bless your work 🎉
Yaani nilimuelewa Yesu zaidi kupitia hii kwaya in2000
Ibibintu.bifitegu.amena
Ata nicheze huu wimbo Mara million I moja sitatosheka,umenibariki sana
2025 with you and the classic music
Msalaba wa Yesu hakika umeniokoa dhambi. Uncle Modest Mungu aendelee kukutumia.
Hakika Kuna kitu ndani yako
Mungu awabariki sana Kwa uimbaji wenu
Ndombolo ya yesu👂🏾💃🕺🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 mubarikiwe sana . Halluhya
Old is Gold!
Waasisi wakumbukwe kwa Alama yao!
Na wengine bado wapo, wakongwe jamanii
Mungu aendelee kuwatunza na awabariki nyie watu.... Nawapenda bila gharama
Nyimbo nzuri pamoja tu me pata ekima
Barikiweni wapendwa kwa kazi nzuri ya kutia moyo
nimefurahi kuwaona tena watumishi,miaka 19 sasa.
Mziki umetulia live imekaa poa wapigaji wamefanya kazi nzuri ma backupes wameimba vizuri sauti zimebalance Mungu awabariki sana
We're nabarikiwa Mimi I miss you man of God nilikuona kitale from Tanzania redeemed gospel taito nakumbuka sana 👍
S
4errfffp
Am from Uganda but I love this song the introduction vocolist it's mavalus God bless Africa
Thanks am also Ugandan from bunagana kisoro district
Napenda sana
Hongereni Sana tunabarikiwa
11th viewer😅. I love this song all the time
Wimbo huu mmeuimba vizuri na wapigaji vyombo mkosawa.God bless you.
Modest Morgan we n mjoli kweli kwel
Huu wimbo unanibariki saaana jamani
Wimbo umetoka vzur sanaa tupieni basi full
Nabarikiwa sana kwa nyimbo hii
Jesus saved me from premature death. I'll Live for him forever.
He's God Nobody or nothing can be compared to his Love 💞
Tþ5556
I like this choir
Hatari sana
MUNGU azidi kuwainua viwango na viwango nabarikiwa sana na huduma yenu. 🙏🙏🙏🙏
💥💥💥💥 hawa jamaa ni hatari sana
Msalaba wa Yesu msalaba umeniokoa dhambi eeh haleluya,nawapenda bure sauti zenu hazichuji
Jina la Bwana wetu Yesu kristo liinuliwe milele , Amina
I don't understand this language but this song does it for me.. I really love this group
this song for kiswahili,
Its swahili
At the cross of Jesus christ i have found forgiveness sin
This is the Swahili language in East Africa, my sister, may God bless you
Msalaba wa Yesu umenikoa mimiii
Haleluya.
Umetisha
Msalaba wa yesu umeniokoa dhambi 🙇🙇
Moja ya Hit za Kijito nazo zipenda Muno.
Huyu Bro wa Bass kwenye intro...duu,"WEKA MBALI NA WATOTO"...
Daaa jamani Mungu awabariki sana....msalaba wa Yesu haleluya.....
Yaanni mavazi ya wanawake wanaomjua MUNGU. Yaani wamevaa wakasitiraka.
Please come to ZIMBABWE before you retire
Amen msalaba wa yesu umeniokoa dhambi hallelujah
Ilov this song msalaba
God blues yo
This soloist man is talented
I was looking for someone who commented on the instrumentation 🎸 the bassist has feels too
I'm from kasese Uganda I like that mwimbo
Sifa kwa Buana
More Grace
Napenda sana nyimbo zenu. Mungu awe mwema kwenu milele!
HALELU Y A H BARUCH HASHEM HALELUYA
My best kwaya nawapenda sana❤️❤️❤️❤️
Eeiiiish Kazi safi jamani..the legendary kijito nyama napenda jamani
wonderful beautiful song
From Uganda but l love kiswhili
May the Lord bless you to serve God working in you
Aaaammmeeennnn.
Hallelujah Amen
Waw wimbo mzuri sana
Umejaaa nguvu za ajabu
Hapo Sawa God bless you All
Nilikuwa n'a umri 8 leo Nina 22 ans nawapenda sana
Bado ww yuda remix jmni
Feel 🙏
God bless you guys...Mungu azidi kuwatia nguvu ili muzidi kulibariki jina lake na kulitukuza jina lake.
Turakomeye kubyindirimbo nziza
Mnakuja lini kenya jamani..nikipata show kama hii nitabarikiwa sana
Good praise
Fresh like the old days.
Am loving this glory be to the almighty
Safi sssaaana
We love u all Kenyans
Nzuri
Kwani wamecheza wakiwa uchi mbona vichwa vyenu wengi wenu vimejaa ugoro😂
Nyimbo zao zimenilea hizi
Mungu awabariki wote wote wote
Ha!!
The transformation is just magnificent..
And the dresses are just splendid..
Kenya is well represented..
This choir is not from Kenya though 😊😊 they're from Tanzania
@@furahanicholaus6387 What I mean is, my comment is representing Kenya.
Hallelujah
Hallelujah
Hallelujah
this is powerful , I can feel his presence just by listening
Hii concert ilipendeza...
amen sana
The only shahili songs
I fill God s presence with this song.
Good song.. Happy to see you people
How beautiful song it's. Kitu tamu kabisa
Amen
Msalaba ulio alama ya ukombozi qangu
GLORY be to him 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌💪💪💪💪💪💪💯💯💯💯💯💯💯
Waoh!!
Mmenikumbusha mbli san mmbarikiwe
UIMBAJI WENU KIJITONYAMA NI DAWA YA MAGONJWA
Huku kufaidiii
Shalom.barikiweni saaana
These songs are historically and spiritually connecting.. Do you have the old version for this album and the other ones before or after.??
Wimbo mzuri ila umeishia njiani