Presenter Kai - Watakupenda Ukifa (Official Music Video) sms "Skiza 5021653" send it to "811"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 окт 2024

Комментарии • 789

  • @PeshyMwengei
    @PeshyMwengei 7 месяцев назад +21

    If someone likes this I'll be coming back to watch this ,,,,so touching

  • @MwalimuHillary_001.
    @MwalimuHillary_001. 7 месяцев назад +142

    I leave this comment so as whoever touches, I'll come back to listen to this song.

  • @mrbf2kenyaofficial
    @mrbf2kenyaofficial 3 месяца назад +4

    Wenye inakumbusha wakati chira alikufa 😭😭😭,tupite na likes

  • @ChegveraenerstMagufuli-wl5nc
    @ChegveraenerstMagufuli-wl5nc 7 месяцев назад +7

    kabisa, wakwanza leo naombeni 💯 likes zangu kwenye wimbo wa Presenter kai 🙏🙏🏼📖📖🔥

    • @youtubepolls126
      @youtubepolls126 7 месяцев назад

      mbona mko obsessed hivi na likes???

  • @arwezgiftsman
    @arwezgiftsman 7 месяцев назад +7

    Can someone like my comment,,, Nataka kurudi huku with an immediately effect
    Congrats 🎉 Kai

    • @youtubepolls126
      @youtubepolls126 7 месяцев назад

      why are y'all obsessed with likes?

  • @justusmyelloofficial2773
    @justusmyelloofficial2773 7 месяцев назад +4

    Kali sana. Hio ni moto. You are very talented.

  • @raystarkimpictures
    @raystarkimpictures 7 месяцев назад +6

    I was waiting for this song for decades 😢😢 how can I like twice

  • @fearful254
    @fearful254 7 месяцев назад +7

    Ukweli bro uoni sai wakijitokeza kusimamia mazishi ya chira 😢😢

  • @jeanjeankisangi
    @jeanjeankisangi 7 месяцев назад +9

    A massage stated,,,to whoever loves me turn up before my last breath

  • @fredchibindo6935
    @fredchibindo6935 7 месяцев назад +5

    Kazi saaaafi sana....we can relate to Chiras story....wangapi wananipenda saa hii,nione likes tafadhali

  • @tmwaura5842
    @tmwaura5842 5 месяцев назад +4

    Surely, Kai, you have the talent and passion. That song is a hit.

  • @Cyluskenya
    @Cyluskenya 6 месяцев назад +3

    Hapo ni ukwel kai umeshasema broo God bless you

  • @faithe4063
    @faithe4063 7 месяцев назад +4

    Share guys by kesho awe 1m views Mungu atende aki tu support kiroho safi, ni nyimbo nzuri ❤

  • @Johanna-A452
    @Johanna-A452 7 месяцев назад +8

    1:49 apa ndio inaniguzaa😔😔 it's emotional for real 😢 , someone like this and I'll be back to listen again😮

  • @chemutaijaneth568
    @chemutaijaneth568 7 месяцев назад +6

    I'm crying my uncles wako very rich ,niliongoza kcpe nikakosa fee wakiwa,nimestruggle all my life sai niko na tsc no inalala kwa nyumba, my uncle ako na connection but hawezi nisaidia,sai nikifa atakuwa wa kwanza kutoa msaada,binadamu ni wanafiki!

    • @PresenterKai
      @PresenterKai  7 месяцев назад +3

      Nisaidie na number yako, Mungu atakufungulia mlango uwe ushuhuda. Pole sana kwa yote

    • @PresenterKai
      @PresenterKai  7 месяцев назад

      Chemutai kindly call me on 0788862997

    • @miriammariam4496
      @miriammariam4496 7 месяцев назад

      ​@@PresenterKaiGod bless you😢🙏🙏

  • @Cecilianganga-ss6jb
    @Cecilianganga-ss6jb 7 месяцев назад +4

    Hii song ikue special kwa burial ya brian chira ,its true marafiki ni wanafiki😭😭😭

  • @youtubepolls126
    @youtubepolls126 7 месяцев назад +4

    This song video is literally A vivid description of Brian Chira's Life here on earth. We laughed at him and criticized his lifestyle choices. When he needed our help, we said he was clout chasing and whatnot. When he couldn't pay rent and he admitted he was going through depression we still blamed clout. We saw the condition of the house he was living in and we laughed. Now that he's dead, we are organizing a "State Burial" for him but akiwa alive we couldn't even raise 5K rent. People who weren't f**king with him are now claiming they will pay for his burial and whatever. Give people their flowers when they are alive and kicking. Let this song be an eye opener for everybody. Thank you Kai for this, great message right here.

  • @sammy_g_ke
    @sammy_g_ke 7 месяцев назад +3

    This is Pure Truth.
    Human beings will love you when you're no more

  • @justinambaabu1625
    @justinambaabu1625 7 месяцев назад +5

    The song is relating with the reality. Kama sahii Internet is blazing with Brian Chira n very few cared abt him when he was alive.

  • @wilberforcemwongera
    @wilberforcemwongera 7 месяцев назад +4

    Niliposikiliza huu wimbo ahk nimedodokwa na machozi sana,,,, nimekumbuka jinsi nyanyangu anateseka hosipitalini juu ya pressure, na kuishiwa na maji kila mara,,, familia yake yote haishughuliki nayeye ata kindogo, watoto wake yaani( auntie na uncle zangu) wote wamemwacha,,, ata kwenda kumtembelea hosipitalini hawawezi,,,kwa familia ikona watu zaidi ya 10 ,mamangu mzazi na uncle yangu mkubwa do wanashughulikia,,,,,hadi familia imegawanyika sasa juu ya hayo😭😭😭😭,,,,,,,,,, saizi hachangii chochote ila siku atakufa wengine wao watalia😭,kwa matanga pia watafurika ,,,,, KWELI BINADAMU WATAKUPENDA UKIFA😢😢,,,,,, presenter kai mungu akubariki sana

  • @franciskanyoi9541
    @franciskanyoi9541 7 месяцев назад +3

    Very true, give your flowers while the person receiving them can still appreciate & value them.

  • @marangalydia4049
    @marangalydia4049 7 месяцев назад +3

    Kweli kabisa. God strengthen us

  • @SelineKwamboka-h5h
    @SelineKwamboka-h5h 7 месяцев назад +3

    Very true nice song 🎵 bro and nice guitalis 🎸🎸🎸🎸🎸🎸

  • @bettymkacharo1257
    @bettymkacharo1257 7 месяцев назад +3

    Well stated💯💯📌📌pure truth😢😢😢

  • @felixmwangale4731
    @felixmwangale4731 6 месяцев назад +2

    very true I lost my Dad Chenye niliona Ni God tu Anajua tu 😭😭

  • @Dirawandesiymran
    @Dirawandesiymran 7 месяцев назад +4

    Sammy G angekuwa ndaniii .... Sammy g Sammy g ...

  • @IreneGachanja-li6bu
    @IreneGachanja-li6bu 7 месяцев назад +4

    Absolutely, yaani watu wameamua kutambua chira time ameenda na akiwa hai hawakuona shida zake ,atleast nyako and baba t did their best

  • @ojazi321
    @ojazi321 6 месяцев назад +2

    I just feel this song...may we help those who can say thank you.

  • @reginaphoziaebusa-np2hr
    @reginaphoziaebusa-np2hr 7 месяцев назад +4

    🎉🎉very True kai😢😢😢 nakusema vile ulikuwa mzuri kwao wapi wanafiki hao jamani

  • @berylvall723
    @berylvall723 7 месяцев назад +3

    Qweli kabisa watu upendà marehemu Sana 🤔

  • @JaneWanjiku-fu9lm
    @JaneWanjiku-fu9lm 7 месяцев назад +5

    Walai this song inaendana na Brian chira,,,that young man alikuwa na shinda...but Sasa amekufa yaani anaonekana anapedwa

    • @umfarooqjumbe1702
      @umfarooqjumbe1702 7 месяцев назад

      Kwakweli mie ata nilikua simjui alivyofarik ndo nilimjua nikafuatilia intavyu zake nikajua alinitia huruma alaf alikua anajitambua t vizur sema alionekana n mtu mmoja mwenye kuhitaj msaada wa ukaribu sana

  • @makinduhealthcare
    @makinduhealthcare 7 месяцев назад +3

    Guy tucheckiane, mtu akiitaji help let's reach out with anything small we can mengine tuachie Mungu na pia ukiwa na shida usinyamaze talk usijiue hii dunia sio yetu, live while trusting in God ❤❤❤❤

    • @FAITHJEPTUM-x4x
      @FAITHJEPTUM-x4x 7 месяцев назад

      No one will help when ur alive now my hubby recorded a vedeo requesting fo any one with job no one answered bt they wait when ur dead aky si ni wanadamu nothing to do

  • @paulineminayo7397
    @paulineminayo7397 7 месяцев назад +3

    May we pray that God may connect us to our destiny connctors before it's too late

  • @mcstevosticomedian5345
    @mcstevosticomedian5345 7 месяцев назад +5

    This is for everyone typing R.I.P
    chira and when he was still alive no one cared about him....watakupenda ukifa pretenders😢

  • @bonfacesdream
    @bonfacesdream 7 месяцев назад +2

    Ukweli kabisa,Mimi kama hunipendi kama Niko hai ,Mtu asijipendekeze eti unanipenda Wakati nimekufa.

  • @mercy-oy9yc
    @mercy-oy9yc 7 месяцев назад +3

    Cursed is a man who depend on another man...the world does not owe us anything,our friends,relatives,children dont owe us anything..who lied to us that is why we depress ourselves to death cz we think the world owe us anything..The God who through our mother brought us to this earth is our creator,provider it is us who choose not to walk with God with fear and trembling..many have been in poverty but through patience now they speak of great success..the day i realised that i have come to appreciate that nobody owe me anything..

  • @Maggiechosen
    @Maggiechosen 7 месяцев назад +4

    Hii ikue special song on chiras' burial day😢

  • @hilahpeters2823
    @hilahpeters2823 7 месяцев назад +4

    Sad truth 😢😢😢.
    Do good to people while they're still alive.
    Kindness is like a seed that when cultivated can grow and grow and grow.

  • @theyve9309
    @theyve9309 7 месяцев назад +14

    Bro 🙏🙏nice song and nice guitalis🎸🎸🎸🎸🎸🔥🔥🔥🔥👌👌🔥🔥Huo msee bana

  • @danielmitto8565
    @danielmitto8565 7 месяцев назад +3

    But si ni life.We just have to hit the road while still breathing.Tusitegemee binadamu sana.Ndiposa wakasema tujikaze tuu kimwili lakini mazishi baada ya ya kufa tuwaachie.Aisee

  • @lensonke
    @lensonke 7 месяцев назад +2

    Kama mwanipenda please love me when am still a live , wale mna pretend kunipenda nikifa mnieke stutus I'll view your stutus ❤❤❤ thank youuuuuu Kai ❤️❤️❤️song is a real facts

  • @carolinenafula9414
    @carolinenafula9414 7 месяцев назад +4

    Wimbo huu umebeba ujumbe mzito saana ...❤❤❤❤

  • @its_nanah
    @its_nanah 7 месяцев назад +3

    Presenter kai you just gained a new subscriber,the song so touching 😢😢

  • @NifferBenson-ud3df
    @NifferBenson-ud3df 6 месяцев назад +2

    😭😭necked truth....ukifa watakumbuka lile jema moja ulilowafanyia ila saii wakusema vibaya

  • @marybonareri6832
    @marybonareri6832 7 месяцев назад +3

    Perfect 🎉🎉

  • @winnietitus230
    @winnietitus230 7 месяцев назад +2

    Eeeeee nipe maua yangu nikiwa hai😊

  • @Phyllis-iz1gr
    @Phyllis-iz1gr 7 месяцев назад +3

    It's true ata wale waliokuchukia ,watasimama wakisema walikua wakupenda

  • @TONEXONYANGO
    @TONEXONYANGO 3 месяца назад +1

    Ameni wacha tupambane bora tusife moyo tukumbuke Mungu yuko

  • @selinakwekwe9483
    @selinakwekwe9483 7 месяцев назад +3

    Very true 💯 wanasema maisha ni yako msiba ni wao😢

  • @sircharisma1595
    @sircharisma1595 6 месяцев назад +3

    Kasah4 records to the world

  • @NancyMwango-j8d
    @NancyMwango-j8d 7 месяцев назад +5

    Chira alikuwa na shida ni vile wengi awakumwelewa

  • @Winleizerabdy
    @Winleizerabdy 7 месяцев назад +2

    Usifikilie kila mtu anaye kuzunguka anakupenda hata familiar yako inaeza ikakuruka lakini mungu awezi ❤❤

  • @RehemaKaingu-c1z
    @RehemaKaingu-c1z 6 месяцев назад +2

    Ubinadamu kazi😢 watakupenda siku ukizaliwa na ukifa!But hapo katikati ya maisha pambana na hali yako

  • @chrisigizeneza4066
    @chrisigizeneza4066 4 месяца назад +1

    I like you brother am from Rwanda 🇷🇼

  • @moztachproducer4683
    @moztachproducer4683 7 месяцев назад +2

    I like your songs brother. Hii inafunza kiukweli

  • @giftehk5897
    @giftehk5897 7 месяцев назад +3

    It's Giftehk here, so NYC music details bro, keep going

  • @QueenTasha-fp2jk
    @QueenTasha-fp2jk 6 месяцев назад +2

    True aki binadamu ni wale tu.....ukiwa hai ata ulie aje akuna mtu atakuonea huruma lakini ukifa waaah unazikwa kama king💯

  • @winstonaluzimbi8965
    @winstonaluzimbi8965 6 месяцев назад +4

    If anyone understand this message, I will b back on the comment session.

  • @stellahkerubonyangaresi103
    @stellahkerubonyangaresi103 7 месяцев назад +3

    Ndo binadamu hao...👏👏🔥🔥🔥

  • @lubs590
    @lubs590 7 месяцев назад +1

    Presenter Kai kazi safi ujumbe nimeupokea 🙏🙏

  • @HON.WEREMBA7055
    @HON.WEREMBA7055 7 месяцев назад +2

    That very nice....for those who think he released the song for chira,,then you will find yourself singing this song after....This song will he sung even after chira burial

  • @MoraaQueen
    @MoraaQueen 7 месяцев назад +3

    Chira huko wapi huone watu vile wanajifanya ati walikupenda na kuna wakati hulikuwa na shida hawakukusaindia lakini binadamu muko aje 😭😭😭😭😭😭

  • @NancyMwango-j8d
    @NancyMwango-j8d 7 месяцев назад +3

    Nakumbuka Kuna siku alikula mkate kavu akicheza game aky, alikuwa anasema aky Sina kitu na walikuwa wanacheza na Hannah benta, sahii wanajifanya marafiki ya chira

  • @Tinahcmx
    @Tinahcmx 7 месяцев назад +4

    Great Message

  • @EdithMuhonja-oz1xm
    @EdithMuhonja-oz1xm 6 месяцев назад +3

    Yes ukweli kai

  • @Mieye788
    @Mieye788 7 месяцев назад +2

    This is very true kila mtu saa hii ni rafiki ya Brian Chira juu ashakufa but alikuwa anaongea matatizo yake hakuna alimsaidia😢😢 may that young soul rest in peace

  • @fridahmurugi1903
    @fridahmurugi1903 7 месяцев назад +2

    Wanadamu ni waongo,wanafiki hao

  • @chibodee447
    @chibodee447 7 месяцев назад +2

    KAZI kubwa Sana ,,yani hii wimbo yanitoa machozi,Kai your the best

  • @TumainiSonje-bw4bw
    @TumainiSonje-bw4bw 7 месяцев назад +1

    Wale walkua hawakuonglesh sku ukifa watajdsha Kwa familiar Yako michango mikubwa ,watasongwa wapige pamba Kali 😢😢Yani biro apa huuu wimbo Basi umeongea ukwel wote💯💯💯 Mungu azid kukueka 🙏🙏

  • @KagasaAgy
    @KagasaAgy 7 месяцев назад +2

    Mungu zaidi ya yote good song bro

  • @BrianObonyo-ox6uw
    @BrianObonyo-ox6uw 7 месяцев назад +1

    Very true 💯 percent brother Kai hii nayo umefikiria ka watu mia moja

  • @janemuthoni723
    @janemuthoni723 7 месяцев назад +2

    Kumbe utaeza imba pia ❤❤❤❤❤wimbo mzuri

  • @sherinemutheu9298
    @sherinemutheu9298 7 месяцев назад +2

    It's true... I struggled with my mum alone until she rested.... Watu walimpenda after amekufa😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @princesssharks7820
    @princesssharks7820 7 месяцев назад +2

    Very true RIP Brian Chira 😭😭😭

  • @chrissm.7269
    @chrissm.7269 7 месяцев назад +3

    Message on top notch👌
    Am not perfect but for sure we need to change. God bless you Bro 🙏

  • @ElidahKerubo
    @ElidahKerubo 7 месяцев назад +2

    Its true ...this song reminds me alot mum and dad died when 1was 10 and am 26 me and my younger brother we. Have gone through alot 💔💔 bt i thank God 🙏🙏

  • @Maggy-nr4un
    @Maggy-nr4un 7 месяцев назад +2

    Very True💯💯
    When you are alive they can't assist nor support but once you are dead 💔💔😢🙁they are there contributing for your burial and just crying crocodile tears😢😭😭😭💔

  • @winniematheka6808
    @winniematheka6808 7 месяцев назад +2

    Ukweli kbsaaaaa ukiwa hai hakuna mtu atakupenda

  • @harietmijenga3316
    @harietmijenga3316 7 месяцев назад +3

    Congrats kai❤🎉

  • @mnice170
    @mnice170 7 месяцев назад +1

    Mnice was here mpende mungu wako na mtegemee yeye tu,alisema tusiwai weka tegemeo letu kwa watu,he knew they will always fail us

  • @afreekid2807
    @afreekid2807 7 месяцев назад +2

    Kazi safi saana bro

  • @OfficialBanga
    @OfficialBanga 7 месяцев назад +5

    Dedicated to Brian Chira ,,,R.I.P ..

    • @OfficialBanga
      @OfficialBanga 7 месяцев назад

      If you agree with me ,,, give it a like..

  • @DominicMulwa-fd5hv
    @DominicMulwa-fd5hv 7 месяцев назад +3

    ❤❤❤ In love with this trueth

  • @jacksonmwangi7156
    @jacksonmwangi7156 7 месяцев назад +2

    this song seem to be touching chiras life

  • @m.junior254.k
    @m.junior254.k 7 месяцев назад +2

    Bro hatukujui bt tunakupenda na uko hai kai barikiwa 🎉

  • @sharonelumboga160
    @sharonelumboga160 7 месяцев назад +1

    hao ndio binadamu ukiwa hai awakusaidi ukishakufa ww ni mzuri hata kwa wale wakua wanakupenda💔.RIP Chira💔💔

  • @kibetkoech2143
    @kibetkoech2143 7 месяцев назад +2

    Pure truth our son human beings will never appreciate your hard work when alive only to recognize you when in mortuary receive greetings from navais massive nakuru

  • @PeterLoporos
    @PeterLoporos 7 месяцев назад +2

    That's very true coz currently am struggling with life but my family are somehow rich ,,,none of my family calls me to know how am moving on with life,,,but when I will die they will be saying how much they love me😭😭😭😭😭🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MunenewambuiStephen
    @MunenewambuiStephen 7 месяцев назад +3

    sure rip chira

  • @Ferricks
    @Ferricks 7 месяцев назад +7

    Dedicated to our Buddy 😭 Brian Chira, Rest easy bro

  • @naomnyariki7997
    @naomnyariki7997 7 месяцев назад +2

    Very true you can take chira's example if you ñeed one

  • @EssyMash
    @EssyMash 4 месяца назад +1

    It's true they will you ❤ when you are no more 🙏🙏🙏

  • @patriciachege2572
    @patriciachege2572 7 месяцев назад +1

    Najua mtanipenda nikifa bt haithuru😢😢😢

  • @everlinemchen11
    @everlinemchen11 7 месяцев назад +2

    Mm huyoo ndo kutoka whatsup
    🔥🔥🔥🔥🔥🙌 kudos mkuuu

  • @felixmwangale4731
    @felixmwangale4731 6 месяцев назад +2

    the song is touching

  • @silasmsilosilo711
    @silasmsilosilo711 7 месяцев назад +3

    Ukweli mtupu

  • @-omondiandnimo
    @-omondiandnimo 7 месяцев назад +3

    Nipieni team kai❤

  • @peterochieng1565
    @peterochieng1565 7 месяцев назад +3

    Like my uncle he as money but as never help me but the day I will kufa nitazikwa na jeneza ya bei kali

    • @martinkipkoech7362
      @martinkipkoech7362 7 месяцев назад

      Tafuta pesa zako, nobody cares about you. Ukijua hiyo mapema utakuwa sawa.

  • @shobsmunga1050
    @shobsmunga1050 7 месяцев назад +2

    Big tune.. wapenda sana ...kama kelvin kept.. alijengewa nyumba

  • @sarahdalidi3527
    @sarahdalidi3527 7 месяцев назад +2

    True....just in time ...ona Chira sasa