Ndugu ubarikiwe sana kwa huduma nayo hifanya, lakini ingekua niliona hiyo vidéo kabla hauja hi post, ninge kuambia uvute sehemu ambayo hiyo ndugu wa Comedy alipo tukana( fyoto ) mara mbili,, sababu huo ni wimbo wa Mungu na isingekua vizuri maneno hayo kusikika ndani ya wimbo.
Ubarikiwe sana ndugu rafiki yangu kwa burudisho tamu wa wimbo huo wa yesu kristo full mkonga wa kwetu wabembe mumejaliwa vipaji vingi vya kuimba aina zote zile za nyimbo
Naisi nitabarikiwa zaidi #joshuapromise, acha nione
ELENGI
Baba
Amen mtumishi wa Bwana
Merci sana ndugu yangu kwakuwa hâta nimekuja kuona nyuma ila wewe ni muibaji mzuri sana Wa nyimbo za msifu Bwana aksati sana mungu awe nawa
Amen
Amina Amina kubwa mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana na Mungu kweli 🙌👏🙏🙌👏🙏
Napenda sana nyimbo zako Kaka mungu azindi kukubariki
Good song brethren. But we we only know one King. 1 Timothy 6:15
🙏
Ubarikiwe sana Kaka .
Mungu ahendelee kukubariki mtumishi 🙌🙌🙌
Uhu wimbo unabariki moyo 🙌🙌😭😭😭
Amen amen 🙏
Washi mmuma wate wanajuwanga kuhimba
🙏
Amen I what a wonderful message God bless y’all
Kali ya mwaka
Amen 🙏
Amen amen wimbo mzur Sana Kaka Mungu azidi kuwainua Zaid na zaid ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Ubarikiwe!!
The cameraman/director is sooo creative the fact that the video has great quality has improved through his work that’s amazing
Thanks
Thank you so much
Glory to the lord
Barikiwa na Bwana
Amen
🔥🔥🙏🙏🔥🔥
🙌ubarikiwe sana kaka wataifa, ka song katamu aka 🥺😭🙌
Asante sana sister wa taifa
Mwakolé weto muana ò Aci angèné
Kinyumbani zaidi, Mungu akubariki🙌
Ame
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 buraazaaaaa
Amen
Wamitume walitembeya wote kwa umoja na sisi tuta tembea sote kwa umoja AMENA!!
Amen
Hongera sana kwa kazi kk Joshua
Amen Amen
Ndugu ubarikiwe sana kwa huduma nayo hifanya, lakini ingekua niliona hiyo vidéo kabla hauja hi post, ninge kuambia uvute sehemu ambayo hiyo ndugu wa Comedy alipo tukana( fyoto ) mara mbili,, sababu huo ni wimbo wa Mungu na isingekua vizuri maneno hayo kusikika ndani ya wimbo.
Asante
wangu kweli nakubali kazi yako weninoma kwakweli
Amen
i can't wait for this blessed
Amen
Mungu akubari sana Mtumishi Joshua Promise Na azidi kukupa maarifa na hekima kuweza kuitenda kazi yake kwa umairi wajuu kabisa!! 🙏🙏🙏
Ame baba
Nawaona wazee wakijiji
Kamboja and kazadi
Good job kaka mkubwa ❤️
Amen
Unajuwa sana uncle ubarikiwe sana you blessed me 🥲 you deserve the all love ❤️ UBARIKIWE MTUMISHI
Amen
Umetumiya ubunifu mzuri sana kumshirikisha uyo mwamba
Asante tume kusikia
Tuna isubiri kwa hamu
Amen
Ubarikiwe sana petit yangu,
Ubarikiwe sana ndugu rafiki yangu kwa burudisho tamu wa wimbo huo wa yesu kristo full mkonga wa kwetu wabembe mumejaliwa vipaji vingi vya kuimba aina zote zile za nyimbo
Amen
Jama anujuwa sana the king himself ajifunze kupitia uyu jama the nigga is another level 🔥🔥🔥🔥🔥
Thanks
Naona mambo ni moto kwa THE KING JOSHUA PROMESE.
Amen 🙏
Injili ya wakati wa kalivari 😭😭😭 ubarikiwe mtumishi
Amen
Mungu azidi kukutiya nguvu na ujasiri ktk kazi yake, tunabatikiwa kupitiya nyimbo zako
Amen
nimebarikiwa na wimbo huu 😭🥺Mungu akubari brotha Josh kwa kazi njema!🩸❤️
Amen kubwa
Great work #iteya
Thanks
KTG= king of the gospel 🔥📌
Thanks 🙏
Barikiwa kwa kazi mtumishi
Amen
Hongera sana mtoto wa neema
Amen
The king 🔥🤩
Thanks 😊
Hongera sana Kijana.... Mungu akubariki kwa wimbo Mzuri huu.
Amen
Uzidi kubarikiwa baba
Nime pokea Amen
Mmuma kingdom 🙏Amen
Amen
Amen 🙏🏽
Amen
Nimebarikiwa na wimbo uhu kabisa Mungu ahendeleye kukupa nguvu yakumtumikiya 🥺🥰🥰🙏🙏🙏
Amen
Akika tumebarikiwa kipindi hichi cha pasaka 🙏😘😘
Amen 🙏 mama tecome
I love it 😻 😂 my favorite Jackson 😉😂
Amen 🙏👐🏽
Hizo ndo nyimbo zitakazoimbiwa mbinguni kwa lugha chaguliwa hiyo ya kibembe
Amen
Kazi njema
Josh you made it brother big up.
Thanks glory to the lord
Brother Joshua never disappoints 🔥🔥❤️
Amen
Amen kubwa ubarikiwe sana tena sana 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Amen
Very nice 👌
Mungu akubariki bro 🥰🥰🙏
Amen
Nice job 👍
Amina brother, hivi ndivyo vitu vya watu wenye utu usiyo na kutu.
Glory to the lord
😁😁😁 eti visivyo na kutu
🔥🔥😃
Amen
Love from Burundi 🇧🇮
#WeGotThat👁
Amen
Vizuri sana
Amen
TheKing
Amen papa
Barikiwa sana wimbo Umenibariki
Amen 🙏
Wimbo huu unagusa sana moyo wangu, asante. Ubarikiwe sana! 🙏🏿
Ame Amen
I knew it
Amen 🙏🧎🏿
J'aime beaucoup cette chanson que Dieu vous bénisse abondamment qu'il te protège frère 🙏🙏
Merci
Good job bro my favorite song 2022 🔥
Amen
Tunabarikiwa Kupitia Uhuwimbo
Amen
We waiting for you King 🤴 sasa the only King 🤴✊
Thanks
KAZI 🎸 KAZI 🎸
Amen 🙏
Amen amen kaka mungu azidi kukubariki
Nime pokea
We’re so proud of you brother 🇰🇪🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Amen amen
ELENGI YA NZAMBE
Amen
@@joshuapromise94 nimepewa off siku mbili kazini ili nisikilize huo mziki vizuri 🤣🤣🤣🔥🔥🔥
@@nelsonbilombele9362 ubarikiwe mpendwa
Amen
Amen ubarikiwe wimbo nzuri sana, good job
Washimuma wote wanajuwanga kuhimba
Thanks
Niatari sana.
Na nusu
Jackson laugh 😂 me love ❤️ the song 🎵
Thanks mama seben
King for real 😮 🔥🔥🔥
Thanks
Amen 🙏
Amen
Praise the lord 🙌 🙏
Amen
Akii unajuwa xana
Asante
Ubarikiwe Sana
Amen
Ubarikiwe kaka
Amen
Mungu akubari kwakazi zako
Amen
Ubarikiwe sana 🔥🔥
Amen
Kiumweli Jackson umeuwa sana kwenye video 🤣🤣🤣🤣 courage sana bro
Glory to the lord
❤️❤️🔥
Amen
🔥🔥Mtoto wa neema
Yes baba yangu
You'll never disappointed me
Keep fighting 🔥🔥🔥🔥🔥
Amen
🔥 🔥 🔥 🔥
Thanks
Omg this guy never disappointed us such a great song feel so blessed ❤️❤️❤️❤️
Thanks
Amen ❤️❤️👌👌
Amen
Ongera kaka joshua, Huu wimbo Naomba original name please
Wow wow wow
Amen kubwa
Nice song 🏆🏆
Amen
Fan now 😩❤️
Thanks
Fvt song for the year ❤❤🥺🙏🏽
Thanks
Izenembufu Pro Max 😂🔥🔥🔥
Amen
Ubarikiwe
Amen
Amen 💓
Amen
Felicitation
Merci