Sheikh Nurdin Kishki TUSIDHARAULIANE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 35

  • @alimatambwe8864
    @alimatambwe8864 6 лет назад +3

    Hasbinallahu wa Neemal Wakhil Allah awajaze Nuru na awakitanishe na Mtume wetu Muhammad S.W.W.

  • @user412
    @user412 6 лет назад +5

    Nakupenda sana sheikh wangu namuomba Allah subhanahuu akujaalie kila la kher katika maisha yako na akufungulie milango ya kheri inshallah.
    Amiin

  • @ZainabJolie
    @ZainabJolie 12 лет назад +5

    mashallah we love you sh wetu Nurdin kishki Allah akupe maisha marefu na yenye baraka amina

  • @HusseinsalimHusseinsalim
    @HusseinsalimHusseinsalim 6 лет назад +1

    Mashallah mashallah mashallah Allah akujaze kheir na baada ya kheir akujalie jannatul firdaus akuzidishie taqwa na uchamungu wako uzidi kutuelimisha na sisi umati Mohamad s.w

  • @elizabethfares4650
    @elizabethfares4650 6 лет назад +3

    Mashallah sh NURDUNI KISHKI kwa ku2pa dawa amdulilai wabllamin

  • @aminakibwana3388
    @aminakibwana3388 10 лет назад +4

    Alhamdulillah thumma Alhamdulillah. Kwa kweli nimenufaika. Allah akujaze kheir na wingi wa subra. Siku zote mti wenye matunda ndio hupigwa mawe. Vumilia lolote lile wala usichoke kuwalingania watu.

  • @RoyalClassic001
    @RoyalClassic001 12 лет назад +2

    Allah yasatir, Islamic is the Only way of life wallah rahaaa nkiskiza da'waa za Sheikh Nurdin Kishki Mungu akujaazi kila la kheir IN SHA ALLAH.

    • @ashakizyanga23
      @ashakizyanga23 4 года назад

      Mashallahh allah akujaalie kila la kher na azidi kukuongoza ktk njia iliyonyooka na nakuombea mwisho mwema amina

  • @choloiddy8357
    @choloiddy8357 11 лет назад +2

    Masha Allah.....Hii ndo Elimu yenye Manufaa....MUNGU ajaalie tuwe wenye kuyafata yaliyoongelewa na sheikh wetu...

  • @asiamatitu6456
    @asiamatitu6456 9 лет назад +2

    Mwenyezimungu akuongezee umri ili uendelee kuelimisha umatin muhammad (SAW) In shaa Allah

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 6 лет назад +1

    MashaAllah. ALLAH akuzidishie kil la. KHERI.. InshaAllah

  • @aminamziray5616
    @aminamziray5616 7 лет назад +2

    Mashallah mungu awazidishie allahuma Amina

  • @dahirowsheikh2798
    @dahirowsheikh2798 9 лет назад +2

    mashaallah....Allah akuzidishe zaidi

  • @faridahfaa8856
    @faridahfaa8856 9 лет назад +1

    Masha allah sheikh, allah akulipe heri hap duniani na ahera ameen, haki nimefahidika na mawaidha yako keep up wala ucjali kwani allah u pamoja nawe

    • @aliali189
      @aliali189 8 лет назад

      nkiskia mawaidha ya shehe kishiki ananpa laha kla sku

  • @salmud721
    @salmud721 11 лет назад +2

    Mashallah Tabarakallah!

  • @hassannuru3779
    @hassannuru3779 10 лет назад +2

    Allah akuzidishie elimu

  • @aminaabdi8078
    @aminaabdi8078 6 лет назад +1

    Mashaallah sheikhe kishki

  • @tameemashaa5234
    @tameemashaa5234 6 лет назад

    Jazakallahu kheir

  • @rukiyamohamed3732
    @rukiyamohamed3732 12 лет назад +1

    SHUKRAN KWA DAAWA

  • @neykweyamba9843
    @neykweyamba9843 2 года назад

    Maishallah♥️♥️♥️

  • @TheAbdalaka
    @TheAbdalaka 13 лет назад +1

    it really has teachings concerning the high and low in the society mashaallah

  • @ashuramustafa2058
    @ashuramustafa2058 7 лет назад +2

    Mashaallaah

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 лет назад

    Kweli kabisa shekh

  • @Mfarati
    @Mfarati 12 лет назад +1

    MashaAllah

  • @nadiahas
    @nadiahas 12 лет назад +1

    Mashaallah

  • @Rich-cb6gp
    @Rich-cb6gp 8 лет назад +2

    Masha Allah

  • @rukiyamohamed3732
    @rukiyamohamed3732 12 лет назад +1

    amin

  • @haulatabuubakariabuu9048
    @haulatabuubakariabuu9048 7 лет назад +2

    mashallah

  • @hadijakabona955
    @hadijakabona955 4 года назад

    Na jee mtu kakutapeli pesa nyigi ap ukanyamaza 2 inakuwaje ap

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 года назад

    Mashaallah