Hello guys, hope you're are doing good. I know you're tired of watching the same things from us and advicing us and we seem not to take in your advice. Our mom is an aged lady she believed she has found a home for us and even a place where she would be, BURIED. Now seeing how she believed in our so called father and the marriage ,it hasn't been an easy decision but in our next video we will update you on where we are. We ask for you understanding and not judgement at the moment. To all of us who love our moms, thank you for your advices.
@@TruekTVNetwork Tunawapenda but mom akubalitu sababu hiyo boma awajawakubali na kukatalia hapo ni kungojea mupotezwe wuote mukiona musipuuze mama MTU upata once
Pastor Nancy aliacha nyumba na magari atafute peace. Peace is very important kuliko kila kitu hiyo boma sioni chenye hiko inatuma mkatalie tokeni hapo na God will give u plan B.
Peace of mind na life yenu is very important than hiyo shamba mnafuata hapo wengi tuko kwa rental juu ya vitu kama hizi , mchawi ni mchawi heri mwizi kuliko mchawi coz atakuangamiza na huwezi endelea, ondokeeni wachawi na waganga nikama mnafurahia kubishana na nao huko😢😭shamba n nn ss kwani mko na kasoro yeyote eti hamuwezi tafuta mali yenu, 😢kwenu hakuna kilemavu u cn mk it 💪tokeni huko na msahau kabisa 🙌
😭😭😭😭 mpaka nimelia jamani utu ulienda wapi,, unatoa mtu kwake kama nyoka 😭😭😭 Mungu anaona kila kitu,,mtalipia nyinyi amuendi mbali ,,, ila cha ajabu mama jay na watoto wako ndo mwanzo wa kubarikiwa,, wanaona wamewamaliza lakini ndo wamefungua baraka zenu,,, maombi yenu sasa ndo Mungu anayaskia na atajibu very soon 😊,,,nipo nyuma yenu kwa msaada wa Dua 🤲and I believe everything shall be well insha Allah
The bitter cry of the child stood out before God. The Lord will judge this man and his witches for their evil. Jay, stand firm, it's the beginning of greatness
It's okay jay nakuewea kabisa sometimes convincing our old mums takes time but ishafika so all the best jay❤ and your family God will open more doors for you guys
Jay my brother, God is coming to bless you more 💓 you aren't a failure you are going to succeed soon, make sure the case is reported immediately and be sure of whoever doing it, wapelekwe kotini
Everything happened fora good reason,just trust in good,soon you will see what God will bless this family.this man will come soon looking for forgiveness.God is so faithful
Jay's mother take heart. That is not the end of your life and you're children. Don't blame yourself 😢 i am a young lady got married by a foreigner, gave me three beautiful kids. After i left my motherland kenya 🇰🇪 😢 in few months i saw his true colours 😢. I took a heart as a mother and left his home to save 💔 my kids and i.all i wanted is peace ✌ nothing else i had enough i couldn't tske ot anymore 😢. Believe me or not right now am happy with my kids because we needed peace. Kila njambo hutendeka kwa wema wa mungu. Stop crying show your kids strength 💪 and focuses God will do the rest ❤
Pastor Nancy and Jay,know that all things works together for good.Know that God has a reason for everything in this life.stand still and see the goodness of God.
Mungu alituma Musa misri kuokoa wana waisraeli sababu walikua watumwa wa pharao,sasa msijali tokeni kwa hii mji imechaa matabau ya uchawi muenda inchi ya amani.Jay dod worry God will open a good way
Ondokeni Jay kwa hiyo familia kabisa mungu anakusudi na maisha yenu so long as your he's not your biological father na hiyo sio land yenyu ondokeni roho safii God have a purpose mutapata mahali pa kuishi InshaAllah
Woi Ngai,😢😢 pole Pastor Nancy, God is watching and he will avenge for Jay's family! They should have moved out before all this happened, why wait till the end😮🤷
No comment my heart is breeding seeing this ..sooo heartbreaking 🙄💔💔💔🤔 I wished they listened pastor nancy where she left everything behide for her peace
Nimekua bikicoment hapa jey achukue mamake amnunulie shamba ata ruai kadogotu kakuweka nyumba na nikama amusomangi coments hapo huyo mama kuishi ni kuuliwa watamuuwa na waroge watoto wake hiyo ni boma ya uchawi tupu
MUNGU tawala maisha ya hii families ndukamaruithie na marakara notondu ninjui wikuo na wamuoyo ruirira family's ino mukuihoki nduri wamutiganiria,ninjui wigithima kia ma na kia muoyo mutemi njira kuria gutari.weru uyu ninjui ndukureka mathii meiki mabararie tondu wi NgAi Wa ihinda ringi. Mahoya turahoera hii families si yabure MuNGu atayanjibu #Nothingbutprayers #powerofprayes #Ngai niaroka kumucenjeria muturire Maandui watahaimbika
Jay, katika kitabu kitakatifu cha bibilia kinasema mali yote ya dunia hii ni ya mungu na warithi ni sisi so ata usiwe na hofu, mungu amekupangia mema mbele yako, na kila jambo hutokea na sababu, mahali unasema umefika mwisho hapo mungu ndio atakapo anzia kukumiminia baraka zake, vumilia na ujipe moyo yote.uta shinda, ju hakuna urefu usio na mwisho, Baraka zako zakungoja jay, utabarikìwa na mungu hadi ushangae
Ghaii hii video imeni touch sana nikikumbuka babangu aliuliwa juu ya shamba last year May na hajawahi zikwa juu kesi iko kotini oooh my God may you intervene 😢😢😢
Mliambiwa kitambo muhame mlikuwa mnagoja nini surely kuku wameuliwa nyinyi mnagoja nini huo sio mwisho wa maisha Jay ukitoka hapo na family yako jia zako ztafunguka xote madui wataaibika😢😢
Good house n peaceful home is coming trust the process....ata bella n jay i prophecy huu mwaka you will own your own house in jesus name promotion is coming no renting again you will be landlord in Jesus name
Mama jay achana na hyo familia kabisa wamesahau kama kuna mungu juu mbinguni na ndiye anapeana vyote tulivyo navyo mungu atapa vingine shikiria watoto wako kwa maombi na ujue majozi yako mungu anayaona na atakupaguza yote akutengenezee njia pana mpaka madui wako washangae usilie tena mungu atapanikisha kila kitu yeye ndiye mwanza na mwisho
Poleni sana but never giver up continue praying amani muhimu shamba watu ununua Wacha hiyo shamba mpate amani Mimi my mom amepitia haya mama jay anapitia but nimenunulia mummy shamba
Hello guys, hope you're are doing good. I know you're tired of watching the same things from us and advicing us and we seem not to take in your advice. Our mom is an aged lady she believed she has found a home for us and even a place where she would be, BURIED. Now seeing how she believed in our so called father and the marriage ,it hasn't been an easy decision but in our next video we will update you on where we are. We ask for you understanding and not judgement at the moment. To all of us who love our moms, thank you for your advices.
@@TruekTVNetwork Tunawapenda but mom akubalitu sababu hiyo boma awajawakubali na kukatalia hapo ni kungojea mupotezwe wuote mukiona musipuuze mama MTU upata once
Maisha ya mama yenu ni muhimu kuliko shamba,jay chukua mom na utakosa rent yake kwa muda,
@paulinenkirote1975 kabisaa maisha muhimu
Truek....take courage we are with you ...and mum Will settle somewhere with peace of mind and heart.
Mungu hashindwi kamwe...
Jay never worry,this is the begining of your success,God is with you.
Peace is very important than that land, better mum have peace than anything else
True
True
True
There is God in heaven. The one who did it for DCI Fred will do it for you. Ooh my God have mercy
Mwisho wa maisha ya mwanadamu ndio mwanzo wa mungu God will make a way and find for your home of peace
Very true
Kwani hawa sio brothers wa Jay?
God has good plans for this family .
100 percent
Pastor Nancy aliacha nyumba na magari atafute peace. Peace is very important kuliko kila kitu hiyo boma sioni chenye hiko inatuma mkatalie tokeni hapo na God will give u plan B.
Sure
Imergin awakuchukua funzo kwa mama Deric, mbona aliwacha kila kitu 😢😢😢
Hiyo kilio ya uyo mtoi definitely itawarudia ata awana huruma ata na watoto mungu awaone
Akk
Jay mungu aliye kupa gari ndiye atakupea shamba
Peace of mind na life yenu is very important than hiyo shamba mnafuata hapo wengi tuko kwa rental juu ya vitu kama hizi , mchawi ni mchawi heri mwizi kuliko mchawi coz atakuangamiza na huwezi endelea, ondokeeni wachawi na waganga nikama mnafurahia kubishana na nao huko😢😭shamba n nn ss kwani mko na kasoro yeyote eti hamuwezi tafuta mali yenu, 😢kwenu hakuna kilemavu u cn mk it 💪tokeni huko na msahau kabisa 🙌
Mungu tenda jambo kwahii family 😢😢😢😢😢
Amiin so sad.
Aki hii family ime pitia mungu I would like one of the family to rich me please I may help
Reach you
Some situations r too hard 😢may God take control and pay this men according to the works of their hands😭 so sad but peace for the whole family 🙏
😢😢😢😢😢realy sad
Inauma
Hii ni baraka mama Jay. Sai ni kilio baadaye mtacheka. Mungu wachangi watu wake.
Vile jay umetoa tumaini lalo hapo sasa ndio Mungu atakupigania akubariki.
😭😭😭😭 mpaka nimelia jamani utu ulienda wapi,, unatoa mtu kwake kama nyoka 😭😭😭 Mungu anaona kila kitu,,mtalipia nyinyi amuendi mbali ,,, ila cha ajabu mama jay na watoto wako ndo mwanzo wa kubarikiwa,, wanaona wamewamaliza lakini ndo wamefungua baraka zenu,,, maombi yenu sasa ndo Mungu anayaskia na atajibu very soon 😊,,,nipo nyuma yenu kwa msaada wa Dua 🤲and I believe everything shall be well insha Allah
Zamu yake itafika ngoja tuone mungu halali wala hasinzii
@aminahassanali1190 Amin yarraby 🤲 Allah akabal Dua zetu 🙏
Victory is yours in the end. Hii ni mtihani tu! To God be the glory ❤
The bitter cry of the child stood out before God. The Lord will judge this man and his witches for their evil. Jay, stand firm, it's the beginning of greatness
Thanks speaking my mind
Ni feel so bad aki mtoi mdogo hatawai sahau
Sure
Weee God take control of everything. Jay you will succeed Their is always Hod of another chance
Pst Nancy you are a strong woman. Thank you for standing with the family of Jay all thru. God bless you 🙏
It's okay jay nakuewea kabisa sometimes convincing our old mums takes time but ishafika so all the best jay❤ and your family God will open more doors for you guys
Nyinyi mjue mtalipia hamuendi mbali,mungu siku hizi hakai
Kabsaaa 😢😢dear
Great blessing is underway trust God ..lets glorify God in this
Mungu anawaona wenye wamebomoa nyumba awatapata amani kwa maisha yao Jay mungu yupo nanyi
Mungu sasa anza kubariki jay and let this man sever the rest of his life
Jealous is worse than murderer. Jay, God's taking you far🙏🙏
Jay my brother, God is coming to bless you more 💓 you aren't a failure you are going to succeed soon, make sure the case is reported immediately and be sure of whoever doing it, wapelekwe kotini
Everything happened fora good reason,just trust in good,soon you will see what God will bless this family.this man will come soon looking for forgiveness.God is so faithful
May God restore everything you lost to ashame that evil family.
Akk poleni xana naamini Mungu atafungua njia Inshallah.
Jay's mother take heart. That is not the end of your life and you're children. Don't blame yourself 😢 i am a young lady got married by a foreigner, gave me three beautiful kids. After i left my motherland kenya 🇰🇪 😢 in few months i saw his true colours 😢. I took a heart as a mother and left his home to save 💔 my kids and i.all i wanted is peace ✌ nothing else i had enough i couldn't tske ot anymore 😢. Believe me or not right now am happy with my kids because we needed peace. Kila njambo hutendeka kwa wema wa mungu. Stop crying show your kids strength 💪 and focuses God will do the rest ❤
Na hizo n baraka umepewa na mikono yote Jaÿ,,hayo machozi n laana kwao😢😢
The way those kids have cried, God is watching. Their tears can't go in vain
Kunasababu yakufukuzwa hapo mungu atawapeleka kiwango kingine hayo na mapito tu sio lazima muishi hapo maisha popote
Pastor Nancy and Jay,know that all things works together for good.Know that God has a reason for everything in this life.stand still and see the goodness of God.
Poleni sana. God will provide for you a new home.
This is too much, very sorry for what you're going through. So painful.
Wah! I can't imagine binadamu anakuwa so heartless kiasi hii,
Oooh my God imefikia apa aki mbona mungu aki😢😢
Pasipo na njia mungu hutoa njia jay mungu Ako na nyinyi hadi mwisho
It’s like a movie 😢, God remember this family, Jay God’s timing is the best. Just let them be.
Muliambiwa hamkusikia
Imagine..nkama mama Jay ndie hakua anatak kutoka hapo.Na Jay hangemuacha.Mama Jay n kifo alikua anagoja ju hasikii
@@DianaDiana-w2pakua wanataka hili ss alikua mshindani sana kutoka ona ss kinacho mkuta
Ooooh father lord have mercy to them
Kwani hawa ni akina nani tena?wapy baba Jay 😢😢😢😢😢
Najua governor anafurahia sasa 😢 jay mungu awe nanyi mtaeda mbali in jesus name
Mungu alituma Musa misri kuokoa wana waisraeli sababu walikua watumwa wa pharao,sasa msijali tokeni kwa hii mji imechaa matabau ya uchawi muenda inchi ya amani.Jay dod worry God will open a good way
Ondokeni Jay kwa hiyo familia kabisa mungu anakusudi na maisha yenu so long as your he's not your biological father na hiyo sio land yenyu ondokeni roho safii God have a purpose mutapata mahali pa kuishi InshaAllah
jay and mum mungu alie juu awaongoze 😢😢😢😢na awainue mpaka maadui zenu washangae God help them in Jesus holy name amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Humanity ilienda wapi??yaani they are doing it at night
Mungu atawalipa kitu na kingine just a matter of time our God will never leave you.
So heartbreaking 💔💔😭😭 our heavenly father have mercy upon our mummy 😭😭😭🙌🙏
Aki msilie be strong mungu anaanda mahali pa kuishi mtakuwa na Boma kubwa Sana mateso ni ya mudatu tho ni machungu lakini mungu yuko nanyi.
Mboa furedi hakua mbishi hivo ondokeni Mungu atawapa pakukaa kwenye amani achenii mashamba mnamuona mama deriki aliacha utajiri mwingi
Pastor Nancy thank you for being with this family.
God will see you through. He wont forsake Jays family
Mungu awakumbuke akh n awatangulie akh Jay fungua live tuchange ata kama mtu atatoa 200 itasaidia
Jay take heart this the beginning of new blessings just trust God, the process is painful but God has a good plan.
Mungu apiganie hii family aki na uyu mzee atakuja kuligret badae
This is beyond repair,may God make the way.
Woi Ngai,😢😢 pole Pastor Nancy, God is watching and he will avenge for Jay's family! They should have moved out before all this happened, why wait till the end😮🤷
Pole pastor nancy, jay and your family kwa yite mumepitia mungu yupo na hatawaacha
Nahuyu nibaba yenu ama ni baba wakambo 😊😊
Baba kambo
Ngai mm nilidhani ni baba mzazi jay tokeni huko kabisa na msahau@@faithndunda7214
Waaah mbone jamani akibara kumbe kunakazi jamani mungu saidia😩😩😩
Pole sana familia ya mama Jay, Mungu ata wasaidia.
Poleni poleni, poleni sana..mungu atafungua njia..huyo mtoto anajifanya nalia hata mimi
Kuna mazuri yatakuja hii sio mwisho WA Maisha..kama mama huwa tunavumilia Mambo mengi Sana.. God be with you.
No comment my heart is breeding seeing this ..sooo heartbreaking 🙄💔💔💔🤔
I wished they listened pastor nancy where she left everything behide for her peace
Nimekua bikicoment hapa jey achukue mamake amnunulie shamba ata ruai kadogotu kakuweka nyumba na nikama amusomangi coments hapo huyo mama kuishi ni kuuliwa watamuuwa na waroge watoto wake hiyo ni boma ya uchawi tupu
Ruai ni pesa ngapi
@marydavid9635 maybe MTU akijiendea mwenyewe ajiulizie
😢😢😢 mtoi analia hadi mimi waaa mungu ingilia kati
Tuliwaambia mapema tu sana 😢😢😢mungesikia yasingewakuta haya ona ss nn hii surely 😢😢😢😢
Try to be fair to them pliz wame-explain hapo juu😢
@fedeliamueni8973 to late
MUNGU tawala maisha ya hii families ndukamaruithie na marakara notondu ninjui wikuo na wamuoyo ruirira family's ino mukuihoki nduri wamutiganiria,ninjui wigithima kia ma na kia muoyo mutemi njira kuria gutari.weru uyu ninjui ndukureka mathii meiki mabararie tondu wi NgAi Wa ihinda ringi.
Mahoya turahoera hii families si yabure MuNGu atayanjibu
#Nothingbutprayers
#powerofprayes
#Ngai niaroka kumucenjeria muturire
Maandui watahaimbika
Jay and family, Mungu amewaadhalia a better place. This the beginning of peaceful life. Read Psalms 23.
We love y’all.
Jay, katika kitabu kitakatifu cha bibilia kinasema mali yote ya dunia hii ni ya mungu na warithi ni sisi so ata usiwe na hofu, mungu amekupangia mema mbele yako, na kila jambo hutokea na sababu, mahali unasema umefika mwisho hapo mungu ndio atakapo anzia kukumiminia baraka zake, vumilia na ujipe moyo yote.uta shinda, ju hakuna urefu usio na mwisho, Baraka zako zakungoja jay, utabarikìwa na mungu hadi ushangae
Ghaii hii video imeni touch sana nikikumbuka babangu aliuliwa juu ya shamba last year May na hajawahi zikwa juu kesi iko kotini oooh my God may you intervene 😢😢😢
Hugs dear 😢😢😢
@JulietImujaro thanks dear
🫂😭
Mliambiwa kitambo muhame mlikuwa mnagoja nini surely kuku wameuliwa nyinyi mnagoja nini huo sio mwisho wa maisha Jay ukitoka hapo na family yako jia zako ztafunguka xote madui wataaibika😢😢
Jay our son be strong n courageus coz God never fail,,,coz the battles is not yours God will fight for you very very soon just 🫷🫷🫷
Be strong Jay don't give up god knows how you pass. God we bless you and your family hawa wangiga washangae
God your faithful usiwache hii family ya jay
Mungu anataka kukuvusha bila hao maandui dio maana wamejutokeza dio ufanikiwe sema amen
Soo heartbreaking 💔 😢 😞 it not good to that small baby cry like that God will answer your prayer be strong
Jay uza gari nunua Kashamba kadogo tengeneza nyumba ya mabati,,,God is there....my advice thou
Apeleke mama kwa rental kama anajipanga hata gari atauzia nani sahii?
your life is important don't lose hope God knows
God is good all the time huyu Mzee one day will come asking forgiveness
Mama Jay be strong to your kids that's not end of live in fact is the start of success
Ma dogs wamelipwaaa shenziiiii😢😢😢
May God remember this family all Will be well in Jesus name 🙏🙏
Good house n peaceful home is coming trust the process....ata bella n jay i prophecy huu mwaka you will own your own house in jesus name promotion is coming no renting again you will be landlord in Jesus name
Jay your going far in Jesus name Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏🙏🙏
Shukuru mungu kwa kila jambo inaonyeshe mtu angekufa kwa hiyo boma lakini mungu awesi waja watu wake wangamie
Mama jay achana na hyo familia kabisa wamesahau kama kuna mungu juu mbinguni na ndiye anapeana vyote tulivyo navyo mungu atapa vingine shikiria watoto wako kwa maombi na ujue majozi yako mungu anayaona na atakupaguza yote akutengenezee njia pana mpaka madui wako washangae usilie tena mungu atapanikisha kila kitu yeye ndiye mwanza na mwisho
Poleni sana but never giver up continue praying amani muhimu shamba watu ununua Wacha hiyo shamba mpate amani Mimi my mom amepitia haya mama jay anapitia but nimenunulia mummy shamba
So heartbreaking 💔 nmeshidwa kuwatch
Jay be strong end of u is the beginning of God,s blessings which doesn't follow with tears be strong as a man we are with u Jay
Niulize huyu wa kubomoa na kuleta kuku ni nani akye😢😢😢
Bora muko wazima musijali,sikama muuliwe.Njia itapatikana tuu mungu yuko
Mama Jay, wachana na hawa watu. Mungu amewaona na Mungu ndiye atawabaliki. Just pray to God
Mungu anaona kila kitu kinacho endelea😢 na hii itakuwa ushuhuda hizo miaka zinakam🙏
Uuuuuuuuuuuuuiiii mbona huyu ukatili😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mama J, DONT WORRY THESE IS A NEW BEGGINING OF NEW LIFE , NEW THINGS.
May God bring everything youve lost double double
Mm hata sina la kusema hapa 😢😢😢