Wauguzi waandamana Nakuru wakilalamikia mauaji ya daktari

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 45

  • @pamelaofulla7417
    @pamelaofulla7417 10 месяцев назад +7

    Imagine,imagine such a young, bright man. He has not even enjoyed the fruits of his hard work
    .

  • @decoloniz_afro
    @decoloniz_afro 10 месяцев назад +10

    Dear human beings If you want money sooo bad...just understand u came on earth without money.....if you are Soo jealous of your fellow human ..just know everyone came to play their small part on earth and leave for others.....also everylife that breath even plants has spirit..human has soul..just respect

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 10 месяцев назад

      You do know that there's plenty of people who are born rich... Right? Unajua hivyo sindio? And no plants do not have spirits wtf

  • @LizMwangi.
    @LizMwangi. 10 месяцев назад +5

    Having worked in this facility for close to 6 years and 2 years at the Mother Baby Wing, I am SADDENNED by the heinous act. May those responsible NEVER KNOW PEACE!!! Oh, Daktari, May GOD Almighty comfort your family as well as your friends and colleagues. POLE SANA Baba na Mama Laban and The Hospital at large.

  • @silentlessons8275
    @silentlessons8275 10 месяцев назад +3

    Mwenye ameua daktari... siku moja atafute daktar na akose.

    • @dickensojiambo275
      @dickensojiambo275 10 месяцев назад

      Amen akufe na bullets akitamani daktari amtole

  • @elizabethnganga
    @elizabethnganga 10 месяцев назад +4

    My heart is broken for the parents, family, and the colleagues. Such a loss! But how? Within the hospital? Who, when, motive?

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 10 месяцев назад +3

    Our hearts are bleeding, mbona mbona waue Daktari?😢😢

  • @anastanciakerubo9016
    @anastanciakerubo9016 10 месяцев назад

    Ah 😢 too bad!! After the struggles ukidhani ndo umepata kazi uenjoy matunda ya jasho lako..unakufa😢

  • @omodesigner
    @omodesigner 10 месяцев назад +1

    Polee 😢😢 Justice ⚖

  • @bernardkorir
    @bernardkorir 10 месяцев назад

    Justice must be done, rest in peace doctor langat

  • @eunicmuriithi7957
    @eunicmuriithi7957 10 месяцев назад +1

    Poleni Kwa familia,hii hospitali Haina CCTV, watchmen😢😢😢😢😢

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 10 месяцев назад

    Kenya Kenya Kenya Jamani vip I Kila Kona mauaji mnauwa vijana waawatu wewe unaeua unadhani utaishi salama? Mwisho wenu utakuwabaya mno

  • @Kemuntopalmer.
    @Kemuntopalmer. 10 месяцев назад +4

    I worked with Laban may justice be found😢😢...Io Margaret Kenyatta the taxi guys hapo juu watolewe

  • @jakee2041
    @jakee2041 10 месяцев назад +3

    Hata madaktari ambao wanatutibu??

  • @susankaranjamusic1596
    @susankaranjamusic1596 10 месяцев назад +2

    How come hakuna cctv

  • @peterkariuki9073
    @peterkariuki9073 10 месяцев назад +1

    It can also be that " Kikulacho ki nguoni mwako" It might be hatred from his co workers. Wachunguzwe sana walio kuwa wanafanya kazi naye wanaweza kuwa na majibu. Hatred breeds tragedy and it can be that one of those doctors who used to work with him planned a way to eliminate their rival. Could be Lang'at was competitive and they never liked it. people are so evil.

  • @aseweelizabeth1305
    @aseweelizabeth1305 10 месяцев назад

    Sad, may God comfort the family

  • @jakee2041
    @jakee2041 10 месяцев назад

    😢😢😢 poleni sanaa.

  • @miliantaka7773
    @miliantaka7773 10 месяцев назад +1

    Hata pengine muuaji yuko miongoni mwenu hapo _hapo .

  • @estherbellmakokha3970
    @estherbellmakokha3970 10 месяцев назад

    Washikwe😢😢😢😢

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 10 месяцев назад +1

    Oh my God, sasa hii ni maneno gani jameni wooiyie huruma zilienda wapi wooiyie 😭😭😭

  • @karanjagladys1827
    @karanjagladys1827 10 месяцев назад

    Akuna cctv

  • @mamuomar5749
    @mamuomar5749 10 месяцев назад

    Serakali ya ruto walai Ina mitihani kwa kila kona

  • @miriamchebet6118
    @miriamchebet6118 10 месяцев назад +2

    Kenya inaenda wapi wanadamu wamekua wabaya kushinda ata wanyama,sikuizi news aikosi kifo

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 10 месяцев назад

      Kenya inaenda kwa hard economic times sababu ya ruto. Wanadamu wamekuwa wabaya tangu kitambo hii sio kitu mpya. Na kifo imekuwa kwa news tangu kitambo pia labda ulikuwa mtoto bado na haukuwa unajua kitu

    • @miriamchebet6118
      @miriamchebet6118 10 месяцев назад

      @@itsTheTruthTeller waaauh lkn mungu ako tu na sisi economic tutabambana nayo bora tumeamka wazima

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 10 месяцев назад

      @@miriamchebet6118 hapana hapo nakataa kabisa. Nipatie example ya god amelipa rent ya mtu ama amelisha slum yoyote kwa hii dunia. We have ourselves as human beings meaning it won't be god who will help you out when you're in trouble itakuwa binadamu mwingine ka wewe mwenye atakuokoa

  • @pamelaofulla7417
    @pamelaofulla7417 10 месяцев назад +2

    For sure, it is soooo sad. Please, people, respect others' lives. No human created another human. Please,please stop this inhuman character.

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 10 месяцев назад

      Mur*er won't stop because you're demanding for it to stop in the RUclips comment section 😂

  • @nashma742
    @nashma742 10 месяцев назад

    justice to dr langat

  • @HadijaFakhi-ss3bu
    @HadijaFakhi-ss3bu 10 месяцев назад +2

    Unyama umetoka wanyama na binadamu wamakuwa killers

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 10 месяцев назад

      Unasemanga ivo Al Shabab wakilipuwa watu?

  • @MyAfricathis
    @MyAfricathis 10 месяцев назад

    So sad 😢

  • @AbcdEfgh-wd1wu
    @AbcdEfgh-wd1wu 10 месяцев назад

    Police please work out quickly.
    We want to know the thungs.
    Wanjinga hao.
    We want justice.
    Haraka sana

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 10 месяцев назад

    Haki Kenya yetu iko kwa mikono mbya, 😭😭

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 10 месяцев назад

      Na ni wewe ndio ulituweka kwa hizo mikono mbaya

  • @annwanjiku4802
    @annwanjiku4802 10 месяцев назад

    Its soo sad why now 😂😂

  • @samiahsamihah8047
    @samiahsamihah8047 10 месяцев назад

    May be he was a threat to his senior colleague,you can't outshine your master.Hapa mkono wa kushoto uligonga wa kulia. My neighbor adoctor in certain referral hospital his head was chopped by hired thugs , only because he used to go home with mortuary keys ,his untimely demise shocked the entire district.

    • @peterkariuki9073
      @peterkariuki9073 10 месяцев назад

      Whaaat? Where was that really? Expose the devil!

  • @RAJ-R64
    @RAJ-R64 10 месяцев назад +1

    mnadhani kenya ni majuu.... hyo pengine ata alikuwa na beef zake na watu wa nje..... sahi kilakitu justice for so and so... fanyeni kazi muombe roho yake ipumzike .... kama hakuna cctv around hyo area muuaji anapatikana aje... hatuna intelligence ya arial view ama ata pengne mmoja wenyu alimuua wakipigana bahati mbaya.... so wacheni maneno mingi