RAYVANNY amlipua WILLY PAUL kwa kejeli baada ya kumletea Dharau

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 194

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 2 дня назад +19

    Diamond forever

  • @NduwimanavovobiVovobi
    @NduwimanavovobiVovobi 2 дня назад +13

    Nimewapenda wallah mbarikiwe🙏🙏

  • @maryannemwangi168
    @maryannemwangi168 2 дня назад +9

    Rayvanny maturity level is wow

  • @ErickzoSzhize
    @ErickzoSzhize 2 дня назад +18

    Napenda uchambuzi Ila mondi nijina kubwa

  • @kinasaba
    @kinasaba 2 дня назад +3

    Thank you very much for this clear narration. Salute and much appreciated!

  • @almasinillan
    @almasinillan 2 дня назад +6

    Umesema Ukweli Kabisa, Mimi ni msanii kutoka Kenya na Napata wakati Mgumu kutoka Kimuziki huku Kenya kwasababu ya Chuki ya Wakenya Wenzangu 🇰🇪 #AlmasiNillan

  • @Otibla
    @Otibla 2 дня назад +10

    WILLY PAUL amekuwa akichukia Diamond kutoka kitambo, hata kuna wakati alikuwa akikejeli kizungu ya Diamond. So msiweke wakenya kwa hii upuzi, semeni Willy Paul, msitaje Kenya ama Wakenya, semeni Mkenya mmoja Willy Paul

    • @Mina.15
      @Mina.15 2 дня назад

      You’re right 😊

    • @DanielLukumay-h7c
      @DanielLukumay-h7c 2 дня назад

      Apan siyo but wakenya ndo wanasema watanzania ndo wabaya

    • @makaoyafutaa1302
      @makaoyafutaa1302 День назад +1

      Absolutely 💯

    • @farahali6041
      @farahali6041 День назад

      Msiseme wakenya semani Paul mwenyewe sio wato upuzi wao sio chakungombani au wanagombania ddy😂😂😂

  • @KiboChacha
    @KiboChacha 2 дня назад +14

    Simba baba lao huyo dogo akae Kwa kutulia anatafuta kiki 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @bbcwrld
    @bbcwrld 2 дня назад +12

    Munamaanisha nini kuhusu Diamond vs Willy acheni ku disrespecting diamond’s name like that

  • @NaziruIddy
    @NaziruIddy 2 дня назад +5

    Daah wakenya wana shida sana me naona hawafai hata kuwa nao kwenye jumuiya moja

    • @sylviaforest3001
      @sylviaforest3001 2 дня назад +1

      Juu nyinyi ndio akina nani diamond anadhani kenya ni kwake😂😂hamwezi kuja kenya kupiga Willy Paul na tunyamaze nyinyi si mumishi kumtusi diamond akina mwijaku,H baba, diva na wengi wenu wameishi kumtusi diamond!!

    • @Thatgurl-l8n
      @Thatgurl-l8n День назад

      ​@@sylviaforest3001😂😢unajua mastaa na mastor yetu an we know nothing about Kenya

  • @kimah9855
    @kimah9855 2 дня назад +2

    I’m Kenyan, lakini the truth to be told wakenya wa ⭐️ Wetu hawata wafika, because wanachuki na ni wahasidi na hio ndo inawabakisha😂Acheni Diamond, Ray, Ali na Harmo sidhani hata hawata fika Zuchu na Nandy😂😂😂😂😂Mimi Najua songs ya Willy paul only those that he did with Tanzanian artists period much ❤Happy Independence Day 🇹🇿 Nawapenda na nawakubali

    • @sylviaforest3001
      @sylviaforest3001 2 дня назад +1

      Eti Mkenya wewe sio mkenya😂😂😂 Loool eti hatafika mbali kwani wewe ni Mungu wasani wetu ni hardworking hawajaenda kwa p diddy kutafuta umarufu siku moja wasani wetu watafika believe that!!

  • @HamisiAmani220
    @HamisiAmani220 2 дня назад +12

    Wa kwanza Leo like100 tu zinatosha😂😂😂

  • @kimbongo5747
    @kimbongo5747 2 дня назад +7

    2 years ago Harmonize alikamatwa na polisi Kenya kwa false accusations na Erick Omondi alihusika katika mipango yote hiyo. Sema Tz hatujajua chuki inayotengenezwa taratibu

    • @juniorog205
      @juniorog205 2 дня назад +1

      Ndo apo man harmonize walisema ni bange ata ivi angekua konde wangesema ni bange pia ila kisa ni mond mmmh!

    • @kitururuelisa830
      @kitururuelisa830 2 дня назад

      Tatizo na sisi watz tunajisahau sana, hawa watu inabidi tuwaangalie vizuri hii ishu ya kusema wanatusupport sana sio kweli sana ni kwasababu hawana cha kuringia ndio maana inabidi wafanye hivyo wakikipata ndio utawajua vizuri.

  • @aishaahmed1883
    @aishaahmed1883 2 дня назад +4

    Y’all need to remember that some of your listeners are Kenyans therefore impartiality and less bias is needed.Many things can be true at the same time but Diamond not performing is a bad look regardless of everything that took place. People paid to see him, he should have respected his fans. Also, msichukulie serious sana Kenyans are easy to please diamond just needs to extend an olive branch towards his fans in Kenya and all will be well. Mambo ya Willy Paul ni separate issue.

    • @flavourboyke
      @flavourboyke 2 дня назад

      After that incidence it wasn't safe for him at all,, not performing was the best thing

    • @Mina.15
      @Mina.15 2 дня назад

      wakenya ni majangili that is why he didn’t perform 😂😂😂

  • @MonicahAkware
    @MonicahAkware День назад

    Maturity level of Rayvanny is above 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @TanzaniteInAmerica
    @TanzaniteInAmerica 2 дня назад +3

    Nimefanya Research marafiki waliokuwepo (WillyPole) alikataa kuingia mapema kabla ya Meja alitaka afunge show then aka change akataka aingie kabla ya Zuchu akakataliwa akaambiwa muda wake umepita akaanza Fujo Diamond has nothing to do with him

  • @digitexcreatives8173
    @digitexcreatives8173 2 дня назад +2

    Willy Paul alianzisha furugu wakati Rayvanny alipokuwa akiimba wimbo wao. Alitaka kuingia jukwani akazuiliwa na mabouncer. Akatulia na baadaye kulazimisha kuingia kabla ya Chibu. Nilishihudia furugu la kwanza. Willy Paul alitumia mitandao kuwahamakisha Wakenya na kuibua mazingira duni ya Chibu kuendelea na show. Nilihisi kuwa alikuwa amepanga kuzua rabsha kwa minajili ya kiki.

  • @andrewkamanga5208
    @andrewkamanga5208 День назад +1

    Ukweli niati bila Kenya Mziki wa Tanzania haunhekuwepo. Itabidi mueshimu pozee 🇰🇪

  • @JumaMordecai-b2f
    @JumaMordecai-b2f 2 дня назад +2

    Mkifanya hii upuzi yenu ifanye ka wanahabari si kama fans

  • @animalx8346
    @animalx8346 2 дня назад +2

    Huu ndo wakati sahihi kuwapunguza wakenya, undugu ufe asee, watatuletea shida mbwa hawa

  • @Chekibobu
    @Chekibobu 2 дня назад +1

    Nitashangaa Artist kutoka hapa home, atafanya tena Collabo na this willy Paul guy, itakuwa nikukosa heshima kwa watanzania.

  • @CalvinWanyonyi
    @CalvinWanyonyi 2 дня назад +1

    Pozee is super star🌟

  • @AshsomikeHendricks
    @AshsomikeHendricks 2 дня назад +1

    Wa bongo big fizzo from Burundi ametowa ngoma na profesa j Tid konde boy bona hanjawahi kusema nyiye mnaroho mbaya wa bongo

  • @FestoIdani
    @FestoIdani 17 часов назад

    Mmeongea point kubwa sana

  • @TwigaFashions
    @TwigaFashions 2 дня назад +1

    Diamond is a hero

  • @official_kingnabiryOg
    @official_kingnabiryOg 2 дня назад +1

    Salute kwa pozeee maana me uwa sipendi kumuona Simba wa Instagram 🤣😂🤣

  • @fredymando
    @fredymando 2 дня назад

    Waooow this is tanzania 🇹🇿 😍 ❤❤❤🎉

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 2 дня назад +5

    Ponze anataka aachie wimbo mpya naskia

  • @edwardokumu8453
    @edwardokumu8453 День назад

    Kenya is a very unique country with very versatile cultures including very many foreigners who reside in Nairobi that's why its very easy for foreign artists to come and fill up events. The education system and exposure to the internet has made people have different opinions about everything that's why local talents are struggling.I can tell you for a fact in the coming years even east Africa artists will struggle getting audience in Kenya coz this kids are listening to different things altogether considering most of them are not even speaking Swahili.

  • @slumking3238
    @slumking3238 2 дня назад +2

    Kujeni niwaambie app itawapea pesa free acheni izo mambo

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 2 дня назад +3

    Nime penda tu alivyo pigwa kibao uyo kurukuta wa kenya😂😂😂

  • @hakizimanamoosa1157
    @hakizimanamoosa1157 2 дня назад +2

    Tulimjua wily pole kwamgoma na rayvany

  • @esterkimath1214
    @esterkimath1214 2 дня назад +1

    Kweli watengeneze brand zao wao hukaa wakora masuti kaa uniform ushamba tuu

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 2 дня назад +1

    Kama unaamn diamond kawalipa hawa gonga like 😂😂😂 haiwezekan wote wawe positive tu

  • @liberty4405
    @liberty4405 2 дня назад +5

    Willy paul has the biggest song Kenya right now

    • @cathbetsolomon3151
      @cathbetsolomon3151 2 дня назад +2

      Afu wewe bhanaa😂😂...yule ni underground huku bongo angefaa kuimba singeli

    • @cathbetsolomon3151
      @cathbetsolomon3151 2 дня назад +1

      Afu wewe bhanaa😂😂...yule ni underground huku bongo angefaa kuimba singeli

    • @kaditomaker
      @kaditomaker 2 дня назад +1

      Singeli kenya ni yangu huo upande wa singeli usiniletee kenge wasiokuwa na adabu​@@cathbetsolomon3151

    • @amonniyonkuru9487
      @amonniyonkuru9487 2 дня назад

      Gani ?

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 дня назад +2

    😂😂jmn mimi simjui huyo wlly p

  • @captainzelifilms2964
    @captainzelifilms2964 2 дня назад +7

    Hata mseme nini Pozee still remains to be the king and Diamond should have some respect Kwa mashabiki,huwezi kuwadharau mashabiki zako bana

    • @cathbetsolomon3151
      @cathbetsolomon3151 2 дня назад +2

      Bora hata ungesema nyanshiski, bien au kaligraph...mchz wakawaida sanaaa

    • @Mina.15
      @Mina.15 2 дня назад

      Nyoo wakenya Umaskini umewatawala sura mbayaa mmpauka sura midomo mekubwa Kama ngamia wa Saudi Arabia 😂😂😂 eww 💩 kuanzia kichwani mpaka vidole vya Miguu kama vichaa walio toroka malembe

    • @filskischannel9737
      @filskischannel9737 2 дня назад

      King of what or of who ? Are u mad or something

    • @sylviaforest3001
      @sylviaforest3001 2 дня назад +1

      ⁠@@Mina.15 wasani wetu Hawajiuzi kwa p diddy upo😏😏na mbona mnakuja Kenya na chuki zenu Wacheni kukuja Kenya na nyimbo zenu mzitoe Kenya nkt sisi hamtuoni huko kwenu!!!

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 2 дня назад +2

    Winny Paul ndy nan😂😂😂😂😂😂

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 2 дня назад +1

    Huyo jacob anaongea sanaa kahaaa😂

  • @mwanakitenge
    @mwanakitenge День назад

    Mmeongea ukweli kabisa bila upendeleo willpower katutia aibu wakenya

  • @FatmasaidhamesaHamesa
    @FatmasaidhamesaHamesa 2 дня назад

    Huyu n mshamba sana huyu wellpau

  • @digitexcreatives8173
    @digitexcreatives8173 2 дня назад +1

    Kilichotendeka ni kuwa Willy Paul akuwepo jukwani wakati wa Wakenya walipopewa nafasi yao kulingana na ratiba. Alitaka kuingia mida ya saa saba ilihali tamasha lilipangiwa kuisha saa nane ya usiku. Willy alikawia jukwani muda mrefu.

  • @ryder8274
    @ryder8274 2 дня назад +32

    Kenya wapumbavu tu, hawana kila kitu😁😁😆😆😆

    • @CROWNMEDIAKE
      @CROWNMEDIAKE 2 дня назад +6

      Nyinyi ndo wapumbavu

    • @ChireGriffin
      @ChireGriffin 2 дня назад +6

      Acha ujinga ww sio kila mkenya,ni wajinga wachache tu......will Paul anatafutaa sympathy kwa mashabiki...

    • @NduwimanavovobiVovobi
      @NduwimanavovobiVovobi 2 дня назад

      ​@@CROWNMEDIAKEhakiii nyinyi kumbe ni wajinga sikuwa najuwa 😂😂😂😂😂

    • @Laughfun48
      @Laughfun48 2 дня назад +5

      Hatuna Kila kitu😂😂😂 thamani ya Ksh against Tsh ndio wasanii wenu walikujia Stoopid man

    • @ryder8274
      @ryder8274 2 дня назад +2

      Tunawapita kila sekta awam hii hamtoboi wakenya😅🤣🤣🤣, uchumi, michezo, burudani, mpk mseme😂😂😂

  • @shanzuagencyshanzuagency3845
    @shanzuagencyshanzuagency3845 День назад

    Cheki kaa ukijua diamond hamfiki willy poul

  • @JosephAlakonya
    @JosephAlakonya День назад

    Bila Kenya Tanzania mtatoa wapi VIEWS... MOE KENYA HESHIMA YAKE

  • @almasinillan
    @almasinillan 2 дня назад +1

    15:39
    Nisiende Sumbawanga 🥲
    ruclips.net/video/_96C3bK_tfI/видео.html

  • @SulePonda
    @SulePonda День назад

    Huyu jamaa mwenye kofia hapendi🎉wakenya kabisa

  • @Beckycitizentv768
    @Beckycitizentv768 2 дня назад +3

    Mnataka kujifanya ni kama hamkusikia mashabiki wakiitaka Willy pozee aperfom? DIAMOND Ni Simba Huko TZ, Ila Huku kenya Ni Paka Tu,,, nyi Endeleeni kumuinamia, kumbafu zenu mabibi za P Diddy 😅

    • @DalaliMsafi-ct4rm
      @DalaliMsafi-ct4rm 2 дня назад

      Huna akili wewe Acha kutukana wasanii wetu puuuuuu.....

    • @DalaliMsafi-ct4rm
      @DalaliMsafi-ct4rm 2 дня назад

      Afu wewe mdada unasura mbaya

    • @ManirambonaBashiri
      @ManirambonaBashiri 2 дня назад

      Ni simba kweli kweli, bongo adi Kenya, nandio maana akawazalisha😂😂😂

    • @joh6916
      @joh6916 2 дня назад

      Ugly Becky, sura kama matako hamtuwezi Tz, sisi ni Giant, nyie endeleeni kulia brand ni zero bure kabisa😂

  • @ogdosho93
    @ogdosho93 2 дня назад +5

    Hizi story zinatrending harmonize azitaki kuziskia zinamtoa nje ya reli😅😅😅

  • @anoldrichard8885
    @anoldrichard8885 День назад

    Alicho kifanya rey imenesha ni namna gan nimkomavu wa akili naicho kinafanya nawapenda wasanii wa Tz wanakitu cha ziada ambacho wengine hawana

  • @collinsulomi1008
    @collinsulomi1008 2 дня назад +1

    Who is willy paul,hana wimbo wenye mashiko,akatumbuize tu kwenye vilabu vya pombe za Kienyeji

  • @JackMart-l9p
    @JackMart-l9p 2 дня назад +3

    🎉

  • @pizojumanne5942
    @pizojumanne5942 2 дня назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 2 дня назад +1

    💯🔥

  • @katengspmke1001
    @katengspmke1001 День назад

    Alipo kosea rayvanny nikupiga wimbo wake na Willy Paul bila kumuhusisha wakati alikuwepo. Naona kama ma shabiki walifikiri vesi ya Paul ikiingiya watamuona, ila haikuwa hivo.

  • @alidyaya4512
    @alidyaya4512 День назад

    Kumamake leo SNS mlikunywa maji ya bendera kabla ya podcast safi sana😂😂

  • @Dalaman10
    @Dalaman10 День назад

    Wakenya wana roho mbaya, ni asili yao. Watanzania peke etu tuna roho nzuri wengi wetu. Wakenya chuki na choyo zimewajaa

  • @MfalmeWazanzibar
    @MfalmeWazanzibar День назад

    Apo Kuna ktu wanaficha wakisema kwamba ulikua wakat Wa zuchu uongo kwa sababu ata Mc alitangaza kwamba Nxt artist anakuja n Mond lkn mashabiki wakawa wanashangilia pozee

  • @kevo_da_clever
    @kevo_da_clever День назад

    Me as a Kenyan poze alicreate that attention tunamjua huyo

  • @liberty4405
    @liberty4405 2 дня назад +1

    Hello sns mkuwe seriously

  • @mrdocta3106
    @mrdocta3106 2 дня назад

    Hello Recap team, kwanza nianze kwakusema Chris, Esco na Jacob mnafanya kazi Poa sana! Mimi nishabiki wa SNS since enzi za simulizi ya Handaki la kifo. Nimepeana hii storia fupi kuusu SNS Kwaivo Mimi sio mgeni hapa… now come back on the topic, when it comes to Nasib J Abdul is our African icon but we need to know even Nasib is human being too. Do not tell me kila kilicho tokea pale autanambia kama team ya Nasib haijafanya chochote. Go chech 10 over 10 Aziza alisema Kenya imewabeba Wasafi in all means when it comes to views and shows in Kenya Wasafi wanapewagwa amazing treatment poa sana. Kenya inadai same treatment as external Artist. Tusisema kua ni chuki tukiiweka ivo is not good. Alafu kuhusu nyimbo kali za will Poul zipo nyingi sema Tz mnafatilia nyimbo kama imeenda vairo. Even Willy has a lot of hit out there🎉 Kuku, Willy fr miss P, Willy and Alaine 3 songs and zote ni hit. I am saying si kwasababu mi si pendi Bomgo apana. It’s good to be neutral..

  • @bravinloka8959
    @bravinloka8959 2 дня назад +3

    SnS nawapenda bt very soon nitawadrop,nmeona mnapendelea side moja...Kenya all the way 🎉

  • @Economically-Growth-Musicians
    @Economically-Growth-Musicians 2 дня назад

    From #EconomicallyGrowthMusicians huyu Dogo aje tumsaini #EconomicallyGrowthMusicians aache kuharibu taswira ya Muziki apambane maana kapooza sana sio kupoa au ndo ameanza upya kuji-brand😂😂😂 njoo #EGM bado tuna nafasi 3 tu za usajili kwa Mwaka Mpya Kijana.

  • @dancansaka5004
    @dancansaka5004 2 дня назад +1

    😢😢

  • @mtoshauri9183
    @mtoshauri9183 День назад

    Tanzania 🇹🇿 hakuna msani hapo Bila kiki mziki wenu hauwedi

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw 9 часов назад

    Daah hogereni watangazaji kwa kuliona hilo mbarikuwe xn

  • @lswai6777
    @lswai6777 2 дня назад

    Hii inanukia kuwa mazingaombwe tu. Cheap Netflix.

  • @tabaclassic
    @tabaclassic 2 дня назад

    Wabongo wanatuchukia wacheni ushebeduuu uku tunaburuza ata prezo diamond ni nani nyinyi

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 2 дня назад +1

    Rayvanny alikua jukuani alipo imba wimbo walio shilikiana na Willy paul ndio willy paul alitaka apande wakaimbenae rayvanny ndio wakamkatalia😂😂😂ndio chanzo cha chuki

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 2 дня назад

    Wasanii wa Kenya sasa hivi wanakifafa!! Embu warudisheni NONINI na JUAKALI!! Haya Manyang’au Kama Eric omondi na Bi Willy wanahitaji mental health facility

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 дня назад +1

    Kenya ni nchi iko in panic mode kila jambo dogo nchi nzima ina panic. Imagine big Pastor kama Pastor T ameingia kanisani Sermon yake ni kulia na Wakenya wasikilize Ngoma za Wakenya waache kusikiliza ngoma za Tanzanians. So Nigerians wasikilizwe, South Africans wasikilizwe but Watanzania wasisikilizwe na Wakenya.
    Mtajuta maana Tanzania inapiga Kenya angle zote mpaka their president ametii. So walie iwatoke but reality itabaki pale pale.

    • @kitururuelisa830
      @kitururuelisa830 2 дня назад +1

      Bro, ni chuki tuu tena hii sio kwa Willy Paul tuu na kwa wengine wengi ila wapo chini chini! Wakishapata kitu cha kujivunia utaona kama hii wanayosema support itakuwepo.

    • @digitexcreatives8173
      @digitexcreatives8173 2 дня назад +1

      Kawaida ya Gen Zs. Makelele sana mitandaoni. Wengi wetu tulikosewa na utundu wake Willy Paul.

    • @sylviaforest3001
      @sylviaforest3001 2 дня назад +2

      Pastor T alikuwa msani kitambo alikuwa rapper so anajua kenye anasema kuna umuhimu wa nyimbo za Kenya kusikizwa zaidi mbona nyinyi wa Tanzania huwa hamsikizi nyimbo za Kenya hamtuoni tukilalamika hamtuoni huko kwenu lakini nyinyi kila siku mko kenya Loool!!!

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe День назад

      @sylviaforest3001 Umeanza kuongea points then ukaishia kuongea ujinga, eti wasanii wetu wanakuja kwenu kila siku, kwani wanajileta au wanaletwa na your organizers? Kama hamtaki wasanii wa Tz sasa mnakuja kwa shows zao kwa nini?
      Msanii hasikilizwi kwa sababu anaimba... Msanii anasapotiwa kwa kutoa hits kali, Kenya ni msanii gani ametoa hit song ambayo iko na level ya kuwa consumed by outsiders?
      Tanzanians wakiimba Afro-beat na Amapiano to reach more fans all over Africa nyinyi mnaimba Gengetone za kusilikilizwa ni fan base ya Kayole and you expect Tanzania wasikilize Gengetone?
      Wewe unasikilizaga Singeli ambayo ni kama Gengetone ya Tanzania?
      Pastor T hawezi fanya wakenya Wasikilize ngoma za Wakenya kwa Maombi 🤣🤣🤣🤣 Toeni international hits tuwasikilize, bila hivyo lieni iwatoke Tz Music itaendelea ku dominate.

    • @sylviaforest3001
      @sylviaforest3001 День назад +1

      @@BigZhumbe hahaha kuja huku wasani wenu kila siku wako kenya na mashow huku hata babalevo yuko Kenya sasa hivi,marlaw pia yuko Kenya,Christina shusho na Joel lwaga wanakuja Dec 31 unadhani sijui naongea nini…sisi hamtuoni huko kwenu!!

  • @KarisBaya
    @KarisBaya 2 дня назад

    Wapumbavu nyinyi sns, kulikuwa na haja gani muongele hivyo, nyinyi sns haswa Frederick bundala aliwahi kusema kuwa anatamani radio na vilabu vipigwe marufu kucheza nyimbo za naigeria ,wakati wizkid ,tecnomiles,patoranking,Davido walikuwa ndiyo kila kitu.

  • @AshsomikeHendricks
    @AshsomikeHendricks 2 дня назад

    Ndugu zangu wa bongo tusimlahumu poze kwasababu yeye kafikiriwa sasa kwanini diamond ampitiliye tuwe wakweli nani wakulaumiwa kama siyo promot

  • @shanzuagencyshanzuagency3845
    @shanzuagencyshanzuagency3845 День назад

    Hakuna biff wala nini

  • @m-jay2840
    @m-jay2840 2 дня назад

    If care is not taken the government might make Tanzania music illegally in Kenya and Tanzanian artists will go broke

  • @HusseinAbdul-r1v
    @HusseinAbdul-r1v 2 дня назад

    Wakenya hawanzishe mashindano ya watu wenye sura mbaya duniani watachukua tuzo ya Dunia for sure 😂

  • @tinamalia7466
    @tinamalia7466 2 дня назад

    Hao ni watu walilipwa

  • @NduwimanavovobiVovobi
    @NduwimanavovobiVovobi 2 дня назад +8

    Wakenya hawana Akili yani waoo daimond daimond wakati mond mwenyew kaenda inchi nyingine kupiga show nani mujinga 😂😂😂😂

    • @farahali6041
      @farahali6041 День назад

      Usiseme wakenya Sema hao hao wanao imba

  • @MejackPaul
    @MejackPaul День назад

    Story za mond zinavumaga

  • @remyChannel1
    @remyChannel1 2 дня назад

    Eti nimeona wamemtia kofi 😅

  • @ninamapesa5885
    @ninamapesa5885 2 дня назад +2

    I have always followed you guys for a long time but with this issue you have been very biased with your comments and I have observed as you are sided and your reasoning is very one sided 😮

  • @kasoa2271
    @kasoa2271 2 дня назад

    Simulizi mnatafuta views?

  • @liberty4405
    @liberty4405 2 дня назад +1

    Sns you are biased not factual, willy paul followed the timetable diamond did not

  • @ModrickDominick
    @ModrickDominick 2 дня назад

    kwanini kenya isiitwe kunya na c kenya wapumbavu hawa

  • @philkendriwandera5931
    @philkendriwandera5931 2 дня назад

    kwani I do kafanya na mtanzania

  • @sophieburcham3399
    @sophieburcham3399 2 дня назад

    Jamani muwege mnamwambia awape wenzie mda wa kuongea pia uwiiiiii

  • @sophieburcham3399
    @sophieburcham3399 2 дня назад

    Yaani mpaka @esko skio linamuuma hahahahaha😂 jokes

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 2 дня назад +1

    2ongee sana lkn wakenya wakilifunga soko la mziki kuna wasananii kitawaramba trust me, cz wanasapoti kubwa adi diaspora

  • @philkendriwandera5931
    @philkendriwandera5931 2 дня назад

    Alaine ain't Tanzanian

  • @mikenafro9393
    @mikenafro9393 2 дня назад +1

    W.paul shenzi sana bangi ndio inamsumbua...maaana kiukweli nlikua na tizama show live ..hamu yangu kuu ilikua nione show ya Mond.......ilibidi nilale saa kumi asubuhi...bila kimona kijana wa nyumbani.

  • @feiawadhahmed1342
    @feiawadhahmed1342 2 дня назад

    Hyo kazi ya alikiba pia ilitolewa RUclips kwa time flani kwasababu ya chuki zake 😂🤣

  • @DM_15
    @DM_15 2 дня назад

    Mondi nae kazingua, kama yeye ndio mkubwa kwanini asiwe wamwisho na will pol anasema alitaka apande kabla ya simba . Hapo wote mizinguotuu

    • @DouglasMassop
      @DouglasMassop 2 дня назад

      Wasanii wakubwa wanapanda stejini kwa mda ambao umepangwa. Sio uje umvurugie Diamond program yake wakati aliitwa mapema akakataa kupanda kweny steji

    • @KarisBaya
      @KarisBaya 2 дня назад +1

      ​@@DouglasMassopDiamond platinumz alikuwa ni msanii kinara au headliner,na alipaswa yeye ndiyo afunge show, sijui kama unaelewa mziki au ni upuzi tu

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 2 дня назад

    Wili pusy unalia Lia kama demu😅😅

  • @sylviaforest3001
    @sylviaforest3001 2 дня назад

    Diamond hakukuja Kenya kuperform alikuwa kuharibu show ya Etana mbona hamuongei kuhusu Etana alilalamika sana kuhusu diamond kwa twitter juu kama issue ni promoter mbona Zuchu kaperform 🤔🤔sisi sio wajinga tatizo ni diamond ana beef ya chini chini na Etana

  • @AshsomikeHendricks
    @AshsomikeHendricks 2 дня назад +1

    Nakama wamempa eshima daimond apafom mwisho amekata kupafom kwanini bwana daimond amefanya makosa

  • @KayBishop-n8q
    @KayBishop-n8q 2 дня назад +2

    Tumemona mose yobo yuko kwenye stage siyo zuchu

    • @KayBishop-n8q
      @KayBishop-n8q 2 дня назад

      Maana yake diamond ndo alikuwa anatakiwa afanye show ndomana mose yobo yuko kwenye walikuwa wote madensa wa diamond sns Kama Mtaendelea kusema uongo kama wcb ni kweli diamond kamkimbia will paul

  • @bamdogomusic
    @bamdogomusic 2 дня назад +4

    Munatetea watu wenyu sawa ila ukweli ni kuwa Diamon ana chuki na roho chafu

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 2 дня назад +1

      Na ww pia una roho mbaya

    • @bamdogomusic
      @bamdogomusic 2 дня назад

      @MashaMbwana waoga nyinyi. Kenya hatumsikii huyo mchawi diddy anymore. To hell

    • @HalimaMichael-x6x
      @HalimaMichael-x6x 2 дня назад

      ​@@MashaMbwana😂😂😂

    • @khamisahmda2156
      @khamisahmda2156 2 дня назад

      Hamna ila munamuharbia msanii wenu n trust me mutampotez willy katika music

    • @bamdogomusic
      @bamdogomusic 2 дня назад

      @@khamisahmda2156 tushampoteza Diemon achana na wetu tutadeal naye

  • @nilufaallyhussein7678
    @nilufaallyhussein7678 2 дня назад

    You guys are so bias it’s obvious

  • @majicwalter-lp8vg
    @majicwalter-lp8vg День назад

    wajinga watatu wanazungumza ujinga wao iwatoke

  • @sportsworldwide6489
    @sportsworldwide6489 День назад

    Mwanzoni mlianza vizuri laking mwishoni mkawa wajinga akili ikawa ya kondoo. Total bullshit ata nimeregret kusubscribe.