Niliota nipo naoga kwenye bafu la watu na sijui nilifikaje wenyeji wakanikuta ni vijana wawili tunalingana umri, wakaninyang'anya shati na pesa zangu za noti Kwny wallet yangu wakaanza kukimbia ghafla wakatokea wamasai wawili na wengine wakaanza kuwakimbiza na hatimae wale wezi wakawakamata na wakanirudishia vitu vyangu
@@Qs3557 ni kuludishiwa hali yako kimanikio uliopoteza wakati unafanya kazi kwa watu au eneo la watu hapo kwanza ndipo uliponyang,anywa hali yako kimafanikio, masai wahusu mambo mabaya ya uganga,na jadi,yalikufyatilia pia. Vazi ni heshima na pesa ni mafanikio uliopoteza wakati huo.
Amen
Vizur mkuu
Nimeota nimeibiwa vitu za ndukani,kisha hapo kwa mlango nikapata mfuko umejaa pesa nyingi sana,nikaupeleka kwa nyumba
@@estherndunge4709 jambo litakalo kujia ghafla kimafanikio wakati moja ulikuwa umepoteza mafanikio.
Niliota nipo naoga kwenye bafu la watu na sijui nilifikaje wenyeji wakanikuta ni vijana wawili tunalingana umri, wakaninyang'anya shati na pesa zangu za noti Kwny wallet yangu wakaanza kukimbia ghafla wakatokea wamasai wawili na wengine wakaanza kuwakimbiza na hatimae wale wezi wakawakamata na wakanirudishia vitu vyangu
@@Qs3557 ni kuludishiwa hali yako kimanikio uliopoteza wakati unafanya kazi kwa watu au eneo la watu hapo kwanza ndipo uliponyang,anywa hali yako kimafanikio, masai wahusu mambo mabaya ya uganga,na jadi,yalikufyatilia pia. Vazi ni heshima na pesa ni mafanikio uliopoteza wakati huo.
@@GodfreyMwalongo-yg7tq asant mtumish