UTAPENDA: MUSONDA NA AZIZ KI WAKICHEZA MUZIKI NA KUELEZA VITU AMBAVYO HAWAWEZI KUACHA WAKISAFIRI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2023
  • #yangatunisia #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi #azizki #kennedymusonda
  • СпортСпорт

Комментарии • 240

  • @mysaramohamed4832
    @mysaramohamed4832 Год назад +167

    Naipenda Yanga 🔰🔰💛💛💚💚kuliko timu yoyote km unaipenda Yanga dondosha likes yako hapa💚💛🔰

  • @hansonjosephat8344
    @hansonjosephat8344 Год назад +134

    YANGA AMESHAFUZU NIPENI LIKES ZANGU

    • @jannathasnani3548
      @jannathasnani3548 Год назад

      InshaAllah Aaamiin Aaamiin thumma Aaamiin 🤲🤲🤲

    • @hamisuuhamadi1663
      @hamisuuhamadi1663 Год назад

      𝑫𝒖𝒂 𝒚𝒂𝒌𝒐 𝒊𝒘𝒆 𝒚𝒂 𝒉𝒆𝒓𝒊

    • @menad255
      @menad255 Год назад

      FUZU YA NYOKOOO

    • @hansonjosephat8344
      @hansonjosephat8344 Год назад +1

      @@menad255 na kesho unakufa 3

    • @menad255
      @menad255 Год назад

      @@hansonjosephat8344 VISIT TANZANIA HAIJAWAI KUCHAFULIWA NA WEHU 😂😂

  • @elinagideon6259
    @elinagideon6259 Год назад +61

    Nimependa hapo Musonda aliposema hawezi kusafiri bila kuwa na BIBLE hii ni nzuri sana 🙌

  • @chingimaganga8081
    @chingimaganga8081 Год назад +44

    Nmekuwa wa kwanza naomba likes zangu

  • @scopy0428
    @scopy0428 Год назад +52

    Waliyemleta Abdulaziz Kipanduka waliona mbal sana sasaiv Yanga imechangamka kwenye kila idara. Mungu wabariki wadau wa Yanga ulimwengun kote

    • @jacoboyusuph1378
      @jacoboyusuph1378 Год назад +4

      Muhusika mkuu ni Ally kamwe kwaiyo Ally kamwe pia apewe pongezi

    • @maliadii4829
      @maliadii4829 Год назад +3

      Vijana wote kwenye idara ya habari Big Up wanafanya kazi nzuri

    • @wilsongeorge1353
      @wilsongeorge1353 Год назад +1

      Mtapigwa mpaka mchanganyikiwe

  • @francepaul7711
    @francepaul7711 Год назад +28

    Hiii Ni Yanga Ya Tanzania inayoishii Maishaa Flanii iv kama Mbelee 💚💛👏👌👌

  • @gracegofrey4677
    @gracegofrey4677 Год назад +33

    Yes musonda hapo ndo nakupenda bible is everything 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 Год назад +14

    Mm Islamic ila Kennedy umenifunza kitu 🙏💛💚tunashinda mmoja

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i Год назад +45

    Nmeota tumefunga goli moja kwa ziro inshalillah ndoto yangu itimie🤲🤲🙏

  • @tarikasaa1396
    @tarikasaa1396 Год назад +38

    Azizi anaipenda nyimbo ya yanga

    • @elisha63
      @elisha63 Год назад +1

      Nyimbo yanan kwali ulkua inapgwa

    • @fainanyakwaka
      @fainanyakwaka Год назад

      Japo haelewi lkn anaipenda hivyo hivyo

  • @eliuderasto7720
    @eliuderasto7720 Год назад +34

    I like the fact that the first thing Musonda carry in his trips is the bibble.... May God be with him and with the whole team......
    God bless Yanga

  • @gracegofrey4677
    @gracegofrey4677 Год назад +14

    Natamani ningekuwa hapo kati,,, all the best my team 🙏🙏🙏🔰

  • @gracetepilit4585
    @gracetepilit4585 Год назад +18

    Kumbe Kennedy ameoa na amsemi😔nampenda tu hivohvo💌💕😁

    • @dainangei6608
      @dainangei6608 Год назад +5

      Grace Toka pepo 🤣🤣🤣tuachie mchezaji wetu wabongo watu wabaya 🤣🤣🤣👏

    • @siraibrahim2925
      @siraibrahim2925 Год назад +5

      Pepo la kumtaka mchezaji wetu likutoke🤣🤣🤣🤣🤣

    • @gracetepilit4585
      @gracetepilit4585 Год назад +3

      @@dainangei6608 niachie my wangu jaman🤣🤣😅

    • @gracetepilit4585
      @gracetepilit4585 Год назад +5

      @@siraibrahim2925 hahaaa Tena nampenda yeye na familia yake💕💕😂

    • @user-nn5sq8ol4g
      @user-nn5sq8ol4g Год назад +2

      😂😂😂

  • @charsjoseph9506
    @charsjoseph9506 Год назад +17

    Napenda Sana kuona timu yangu pendwa Yanga Africa ikiwa na furaha Kama ivi pia wachezaj wakiwa nafuraha Kama iv

  • @dannylinguist15
    @dannylinguist15 Год назад +21

    When Musonda said "THIS IS MY WEAPON" I felt that. His accent is also top notch. Very humble and relatable as well.

  • @salahtv5591
    @salahtv5591 Год назад +10

    Wallah yanga sasa imekua na level za kimataifa

  • @elinagideon6259
    @elinagideon6259 Год назад +41

    Maamaaaa hiyo perfume ya Dior hapo anayotumia Aziz Ki thamani yake ni mshahara wa Kibu na Phiri 😂

    • @masumbukomaganga438
      @masumbukomaganga438 Год назад +9

      umesema kweli kabisa mwamba halafu kwanini hawajakudondoshea likes za kutosha wananchi dondosha likes hapa kwa coment hii ya Elina Gideon

    • @elinagideon6259
      @elinagideon6259 Год назад

      @@masumbukomaganga438 liko wazi na huo ndio ukweli 👏

    • @elinagideon6259
      @elinagideon6259 Год назад

      @@masumbukomaganga438 Asante kaka 🙏

    • @mariamnestory5218
      @mariamnestory5218 Год назад +1

      Haha haha ha

    • @saidhamid3033
      @saidhamid3033 Год назад +1

      😂😂😂

  • @owenmutale8686
    @owenmutale8686 Год назад +8

    Musonda ana enjoy km yupo Madrid vile

  • @tinabapemacho8650
    @tinabapemacho8650 Год назад +14

    Nilikua nisha miss yanga tv hakika nakushkru aliwantani kwa kazi nzuri usikawihi kutrush vidéo kweny yanga tv

  • @angelnkiza7602
    @angelnkiza7602 Год назад +16

    Yanga media you are doing a lot. Congratulations, and keep it up

  • @ibrahimmatumla231
    @ibrahimmatumla231 Год назад +10

    Tanzania 🇹🇿 tuna haki kabisa ligi Yetu kushika nafac ya Tano kutokana na ubora na mazingira ya vilabu vyetu hongera YANGA Africa

  • @abdulkareemmbena1300
    @abdulkareemmbena1300 Год назад +32

    When Musonda said "Because we want to conquer Africa" I felt it....this is huge bro......💪💪💪

    • @lumistarboy8499
      @lumistarboy8499 Год назад +1

      This boys are doing well.... very good for de team we have to Conquer Africa...

    • @yohannekangajaka1703
      @yohannekangajaka1703 Год назад

      May God equipped you @@lumistarboy8499

  • @husseinjohn8404
    @husseinjohn8404 Год назад +13

    All the best my team pigeni hao waarabu goal nyingi

  • @BiasharaZetuPoint
    @BiasharaZetuPoint Месяц назад

    Musonda Mungu ndo Kila kitu Hongera kwake🥰🥰💚💛💚

  • @merickshadrack4509
    @merickshadrack4509 Год назад +9

    Musondaa ni mlokolee naonaa

  • @winfridantandu2870
    @winfridantandu2870 Год назад +4

    Nimependa kwa msonda biblia kwake ndo siraha 👌

  • @aishasuleman1136
    @aishasuleman1136 Год назад +10

    Mungu afanye wepesi inshallh

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 Год назад +5

    Yanga wana mtangazaji mahiri sana ,tangu yupo mpenja tv uyu dogo alikua anafanya vizuri sana.

  • @newtonkihongole4473
    @newtonkihongole4473 Год назад +10

    Mmetisha wananchi 💪💪❤❤

  • @jayotv4682
    @jayotv4682 Год назад +8

    Hiyo starting sio nzuri bhana msiwe mnaiweka mtu unasubilia mpk unachoka ukiwa na haraka huwez subil mpk dakika mbili zifike ndo uangalie ko hiyo ya kucount ndo uangalie wastage of timee liondoeni bhana

  • @MTUMZIMADAWA
    @MTUMZIMADAWA 2 месяца назад

    Yanga tamu nyinyi 💪💪💪💚💚💚💚💚💚💚

  • @imanueliharry1279
    @imanueliharry1279 Год назад +3

    Musonda & Aziz ki 💚💚

  • @flomenastephen2226
    @flomenastephen2226 Год назад +2

    Yanga team yangu naipenda mpaka kufa nawaombea mupate matokeo jpili msiwe bize sana na comedy wanayanga tunataka ushindi punguzeni show off daima mbele nyuma mwiko kira hatua Dua

  • @tumainimalulu7708
    @tumainimalulu7708 Год назад +14

    This is Young Africans, am very excited with this team

  • @ibrahimabdallah8076
    @ibrahimabdallah8076 Год назад +6

    Kitengo cha digital cha yanga kipewe heshima yake

  • @bujabestonlinetv
    @bujabestonlinetv 6 месяцев назад +1

    Musonda; put God first

  • @sadashabani9445
    @sadashabani9445 Год назад +7

    Yanga n Raha jmn cyo Siri 💛💚

  • @ceciliamkenda1107
    @ceciliamkenda1107 Год назад +20

    With God everthing is possible🙏🙏

  • @flova7022
    @flova7022 Год назад +1

    Simba fan, but in love with Kennedy from today...Bible or Qur'an must lead our life. Amen, insha'Allah

  • @silvernayzer4107
    @silvernayzer4107 Год назад +3

    Mnaenda kuwa master wa dunia ored win

  • @user-ju7kb4xn5q
    @user-ju7kb4xn5q 2 часа назад

    Mungu atusimamie tupate ushindi mnono

  • @azizasaif5670
    @azizasaif5670 Год назад +4

    Mimi ni yanga

  • @dannylinguist15
    @dannylinguist15 Год назад +5

    Hizo perfume za Aziz 🙌🙌

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 Год назад +3

    🙏💛💚💛basi kunawatu wamenuna

  • @mariamphilipo5789
    @mariamphilipo5789 Год назад

    Nimempenda munda kusafili nabibilia pia nimempenda aziziki ni mwanaume simati napenda sana usafi

  • @mysaramohamed4832
    @mysaramohamed4832 Год назад +10

    Cpati picha chumba cha Job na Kibwana 😂😂😂

  • @emmykassim4132
    @emmykassim4132 10 месяцев назад

    Yess mwanangu Msonda Bible is weapon to every thing, keep on praying you will succeed in peace in the every match inshaallah

  • @dicksound3395
    @dicksound3395 Год назад +17

    Eeh mungu iongoze team yetu iweze kurudi na ushindi kama unaamin mungu atajibu maombi yetu gonga like hapo

  • @neythorickys5945
    @neythorickys5945 Год назад +4

    I'm so impressed with this interview...Good lucky men

  • @rezicky
    @rezicky Год назад +1

    Kila lakher ITimu pendwa tunategemea furaha itapatika IN SHAA ALLAH 💛💚💛💚

  • @graceanyungu2774
    @graceanyungu2774 Год назад +4

    Wow guyz @ Zizki and @Musonda

  • @elizerbethmichael2435
    @elizerbethmichael2435 Год назад

    Hahahhhaa Azizi anapenda wimbo wa Yanga 💚💛💚💛😋😋😋 halaf Kennedy anauliza jina lake liko wapii anahitaji Remix ya wimbo haraka sana ili nayeye jina lake liwepo 😂😂😂😂👍👍

  • @kondomuhunzi2199
    @kondomuhunzi2199 Год назад +2

    Kazi nzuri vijana wangu mnafanya hongereni alwatan pamoja na ali kamwe

  • @thabitibauna1150
    @thabitibauna1150 Год назад +3

    My team god bless young Africans sc

  • @makobaathumani6473
    @makobaathumani6473 Год назад +7

    Azizi is matatizo 😂😂pendeza Sana ila tunawaamini Sana wapambanaji wetu hakika Tutaondoka na points zetu huko Kwa uwezo wake Mungu

  • @sicaliusmwombecki5740
    @sicaliusmwombecki5740 Год назад +2

    Jamani uchawi asingerogwa kijana wetu fei angekuwa hku na wenzake anakula bata

  • @zainabuhussein
    @zainabuhussein Год назад +1

    Wanayanga tunaraha Sana jamn makolo wanaumiaje🤪 mi nawapend Hawa wakak hasa huyu mpy huyu jamn ni HB🤣huwa namuangalia san kwenye mech nakupend San musonda❤️😍🙈 Ila nahitaj uwezo wako jamn tunataka magoli ili tuwanyamazishe madunduka🙈 mungu akubarik ufunge magoli mengi 7b unainjoi kuwa na wananchiiiii🔥💚💛

  • @elizerbethmichael2435
    @elizerbethmichael2435 Год назад

    Safi sanaaa hongeren vijana Musonda hutembei bila Biblia 🙏🙏 Barikiwa sana MUNGU Kwanza

  • @elizerbethmichael2435
    @elizerbethmichael2435 Год назад

    Nawapendaa sana jamanii nyie wa2 mna2patia furaha sanaasanaaaa cc Wananchiii 💛💚💛💚💛💚🙏

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 Год назад +2

    Haya mambo yanapatikana kwa waasisi wa kandanda Tanzania tu basi, Wananchi tunapata fursa ya kuwajua wanachezaji wetu vyema.

  • @imanicollegetz5930
    @imanicollegetz5930 3 месяца назад

    ❤❤ nomàaaaa!!!!

  • @1000Brain
    @1000Brain Год назад +1

    Safi sana kijana. Good content

  • @sarahsaimon4095
    @sarahsaimon4095 Год назад +2

    Nawapenda sana💛🔰💚 azizi ivyo viatu uje navyo dar usije ukavisahau huko😂

  • @mishikombowato1457
    @mishikombowato1457 Год назад +3

    Aziz qna vitu vipendwavyo na wanwake atavamiwa tz huyo na warembo hahahaa ametisha sana

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 10 месяцев назад

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @fatumamzumeni3495
    @fatumamzumeni3495 Год назад

    MaashaaA LLAH

  • @lightnesscharlse2281
    @lightnesscharlse2281 Год назад

    My best team Mungu wasaidie wacheze washinde

  • @khanbigeats9291
    @khanbigeats9291 Год назад +1

    Song of kennedy musonda plzzz🙏🙏

  • @happynesmkwizu3023
    @happynesmkwizu3023 Год назад +5

    Hawa jamaa wana mambo musonda is matatzo hahaha

  • @pachatztz4060
    @pachatztz4060 Год назад +1

    Yanga raha San

  • @isacklyanga1250
    @isacklyanga1250 Год назад +5

    Watu kufika Dubai tu imekuwa wimbo, sasa kila kitu utasikia pira dubai, cheki watu wanakula Life, hawa ndio wananchiii.

  • @aminahjumanne7953
    @aminahjumanne7953 Год назад +3

    My yangaaa

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 Год назад +1

    Kiukweli uongoz umefanya kila kitu kilichobaki wachezaji kujitoa na kutupa matokeo uwanjan

  • @abdallahomar5868
    @abdallahomar5868 Год назад +1

    Kila la kheri insha allah

  • @paulmichael9345
    @paulmichael9345 Год назад +7

    ⚽⚽⚽⚽⚽

  • @habibahmuhammed3534
    @habibahmuhammed3534 Год назад +6

    😂😂 musonda kachukua nafasi ya morisson kwa Aziz

  • @user-zg9sw8ji2l
    @user-zg9sw8ji2l 27 дней назад

    Le Nom de parf😊

  • @morningstarartproduction8436
    @morningstarartproduction8436 Год назад +1

    Wananchiiiiiiiiiiiii 💛💚💪

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 Год назад +2

    Team yangu pendwa

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 Год назад +2

    MUNGU awatangulie

  • @elisha63
    @elisha63 Год назад

    I like it your weapon musonda

  • @gooleserviceyoutubescandar3450

    Good football life young African sports club oyeeeee.

  • @ruqayaruqayq
    @ruqayaruqayq Год назад

    Mbn ipo kwenye trending

  • @kapelotz9967
    @kapelotz9967 Год назад

    Hahahaha am very very happy to see our plys i hope we will win our game there tunusi

  • @shafiiluunje5043
    @shafiiluunje5043 Год назад +1

    Yanga raha

  • @ramzanurdini5474
    @ramzanurdini5474 Год назад

    Wachezaj wana morale,,no stress yanga n kubwa sanaaa

  • @JumaadamFerniture
    @JumaadamFerniture Месяц назад

    Nice

  • @imanueliharry1279
    @imanueliharry1279 Год назад

    I love this guys💚💚

  • @cynthiamaduhu8173
    @cynthiamaduhu8173 Год назад +2

    Nataman next video niwaone wanang kibwana na job majamaa wananifuraishaga

  • @djmafk
    @djmafk Год назад

    Kazi mzuri sana 👏👏👏👏👏

  • @menshichristopher5811
    @menshichristopher5811 Год назад

    YANGA ni moja tu🔥🔥🔥

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 Год назад

    Unyama sana 🙏🙏💚💛

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si Год назад

    In Sha Allah kila la kher kwenu

  • @yonasytitusy337
    @yonasytitusy337 Год назад +1

    Aziz anashinda goli 2 nipe like zangu

  • @sebastianmrope7988
    @sebastianmrope7988 Год назад

    0:41 ❤❤❤❤❤

  • @mariamjumanne6711
    @mariamjumanne6711 Год назад +1

    Musinda anacheza vzuri sana huo mdundo

  • @amanafi1288
    @amanafi1288 Год назад

    Yaaan Babu Onyango ndio alikuwa analazimisha alale vijitanda aina hiyo na Mzungu duu... Ilikuwa nii nnoomaa... Makollo bhaanaa.

  • @vincentmbaga7668
    @vincentmbaga7668 Год назад +2

    Yanga raha aise😂

  • @nasirkilapo6041
    @nasirkilapo6041 Год назад

    Yote9 kumi 2ludi naushind walama 3 au 2toe sana mungu 2saidie🙏🙏

  • @kinglee6777
    @kinglee6777 Год назад +4

    My fellow Yanga fans, what we need is to motivate and give time to new players, many good things are coming, let's wait and see inshallah