Hongera jeshi la Polisi mmefanikiwa kujua hadi godoro alilokuwa akilalia ,,,, wakati yeye wakati wote alifungwa kitambaa usoni....kazi nzurii sana kwa jeshi letu
Nalipongeza jeshi letu la polisi Kwa kazi Nzuri Sana iliyofanya na kumkamata muhusika mkuu. Na hiyo ni njaa ya kijinga Kabisa ya Kuuza nnchi yake pamoja na watanzania wote. Hongera Sana Mh. Rais wa Tanzania jp magufuli kwa kazi Nzuri. Na tunampongeza iGp kwa kazi Nzuri pamoja na wanausalama wote
Huyo Twalib Mussa kwa kweli ana roho ngumu sana muda wote huo hakujali chochote yeye alikuwa anajapiga pesa tu mpaka anaamua kuwatorosha amakweli ana uzalendo kama angetoa taharifa makosa yangepungua sasa faida anatuona asiachiwe leo kamtendea mo kesho atamfanyia mwingine unadiriki hata kuwatorosha maadui iliwakajipange upya
Haya kazi kwenu wazee WA kupakazia serikali kubwa inafanya mambo ya kihuni,sasa majibu mnayo AWALI NILIANDIKA SANA NA KUSEMA SERIKALI HAIWEZI KUFANYA MATENDO HAYO YA KIHUNI WAKATI INA DOLA,hamkuelewa sasa mmepata majibu
Nicholaus Nchimbi hivi ndugu kwa akili yako ya kawaida mtu kama huyo angeiacha bilioni moja ipite hivihivi?? jibu ni haiwezekani. polisi wanatulisha matango pori live
Tutaliamini jeshi letu tukufu endapo litategua vitendawili vya Azori, Ben na Lissu. Hatuwataji akina Ulimboka, Shibanda na wengineo. Mkiweza hayo tutajivunia sana kuwa na jeshi makini.
yaani wabongo aise kama vile hatunaga akili MTU anahoji eti walisema niwazungu arafu REO niwa Africa kusini swali dogo sanaaa afrika kusini hamna wazungu? au hamjui kama Africa kusini imetawaliwa na wazungu?
Wazungu au ni weusi wenzetu?? Kama sio wazungu je wale mashahidi wa siku ile ya tukio waliosema walikuwa wazungu walipata wapi?? Tukumbuke hata RC wa mkoa pamoja na kamanda hapo mlisema walikuwa wazungu.. !!!
vizr sana! lkn msichaguechague, na kuficha ukweli, wekeni mambo wazi kwa wahanga wote, hapo tutaamini! bila hivyo hiyo ni mdanganya Toto! kwann mchaguechague!
Hamna ma forensics wachunguzi wa finger print foot print na menginevyo nywele au uhahidi wowote. Watu wanaingia kwenye ushahidi kama sokini. Fix Kali tu ujanja ujanja tu hii case
Duh, alikuwa anawekewa na neti??? lol bilionea bilionea tu kwa hiyo hiko chumba hata mo hakijui kwasababu alikuwa kafungwa macho.. Na kwann twalib asiulizwe maswali na waandishi? just thinking loud
Hapo bado kun mkanganyo, anasema anapaki white sands kama ni Taxi bubu itabidi hicho kituo cha whatsands inabidi wahojiwe kama wanamfahamu, yawezekana atakua amefanya na matukio mengine
Swali ni je waliwezaje kutimkia nje ya nchi bila kutiliwa mashaka airport kama mfanyavyo kwenye misako mingine hii nayo ni kali wapange Nyumba kisha wateke mtu bila hata majirani kutilia shaka mishe mishe za hiyo gari na hao watu kweli jamani
Binafsi bado sijaamini kama ni kweli ila endapo huyo mtanzania alieshiriki katika tukio zima atapewa hukumu ya kunyogwa hadharani mpaka kufa na hukumu hiyo itekelezwe mubashara hapo nitaamini.
Kinacho nikela mh. kamanda ni kumsemehea maneno mengi mtuhumiwa, kwan yeye ni bubu? maelezo yote atoe yeye Mara dola 1300 mara pesa inayozidi... si aseme yeye ??? au nikosa kisheria mm sijui
achen uongo mnadhan watanzania ni wa kudanganya kiasi hicho mipaka ilifungwa ulinzi ukaimalika mji mzima mabaa na guest pamoja na hotel vili pekuliwa sasa mnadanganya danganya. achien hao mlio wakamata asi hojiwe kwasababu za kiupelez ujinga mtupu
Yani uyu kashindwa kutoa taarifa akala BILION anaishia mahakamani, ujinga ni ujinga tu, Kamanda fyekelea mbali hawa wapumbavu, walitufanya tukakosa usingizi kwasababu ya MO, jinga kabisa hao.
Huyo jamaa alikuwa baharia kachacha sasa ngaingia kufanya mambo maba ya afungwe ikiwezekana akafie huko huu mchezo wa kutekwa Watu haifai hata kidogo apewe adhabu ok ajutie alichokifanya
Watu wa madhehebu mbalimbali walikua wanaomba vyombo vya dola vinahangaika usiku na mchana na vyombo vya habari anasikiliza magazeti anasoma na kijiweni wazungumzia hata hajapata woga alikuwa anajipa moyo na maneno ya hao waliokuwa wanabeza vyombo vya dola Mambosasa usimwachie anaweza kufanya makubwa dhidi ya hayo tena bedui mkubwa
Pesa sio Kila kitu ubinadam kwanza pesa haimalizi matatizo ila matatizo inamaliza pesa kaa ukijua utakosa imani kwa sababu ya pesa bwana Twalibu Mussa jinsi alivyo utadhani mtu wa busara Kumbe sio
kutetemeka sio kitu kwa cx wachezaji tunapokua na mechi lazma mtu atetemeke hata. ku ya kuoa tukiololote kubwa ni lazma mtu awe na khofu kiubinadam kama ni uongo fanyeni ninyi kazi
Though video hyo nyumba iko makaazi ya watu inamaana tangu mo amepatikana picha za gar ziliwekwa wazi kwann hawakutoa taarifa Za kuwa walikuwa wanaona gari Kama lile mtaani kwao
sasa mm hata sielewi mwanzo ilisemekana watekaji walikuwa ni wazungu leo inaonekana ni raia wa Afrika kusini mm hata sijaambulia chochote na hata majina yanayotajwa na huyo dreva tax ni kama ya watu weusi Du mm sipati picha hivi
Hii serikali inastahili tuzo za uigizaji wa tamthilia. Tz majanga tu. Tusubiri kesho pia tuone movie ya korosho na majeshi. Rais kichaa na raia wehu(ccm). Sasa tunahitaji tufanye toba kama alofanya Makonda kanisani.
Acheni kudanganya watu Marekani inajua kila kitu. Serekali ya Tanzania haiaminiki tena yaweza tumika kuteka watu watu zaidi ya 50 wamepotea ni vipi?. Mheshimiwa amekuwa Daniel Arap Moi.
Hongera sana Jeshi la polisi kwa kazi nzuri sana
MMMMMM,,,,,,,HII MOVIE TAMUUU
Created
Hongera jeshi la Polisi mmefanikiwa kujua hadi godoro alilokuwa akilalia ,,,, wakati yeye wakati wote alifungwa kitambaa usoni....kazi nzurii sana kwa jeshi letu
serikali ina mkono mrefu, sinaga shaka na serikali kwenye utendaji wake, ahsante serikali
Nalipongeza jeshi letu la polisi Kwa kazi Nzuri Sana iliyofanya na kumkamata muhusika mkuu. Na hiyo ni njaa ya kijinga Kabisa ya Kuuza nnchi yake pamoja na watanzania wote. Hongera Sana Mh. Rais wa Tanzania jp magufuli kwa kazi Nzuri. Na tunampongeza iGp kwa kazi Nzuri pamoja na wanausalama wote
Asante mungu, wale wote wanaohusika wabebe msalaba.
ivi we ramadhani unaakili dereva TeX kawatafutia nyumba yeye hapangi umo
hongera sana sana Jeshi la polisi
Huyo Twalib Mussa kwa kweli ana roho ngumu sana muda wote huo hakujali chochote yeye alikuwa anajapiga pesa tu mpaka anaamua kuwatorosha amakweli ana uzalendo kama angetoa taharifa makosa yangepungua sasa faida anatuona asiachiwe leo kamtendea mo kesho atamfanyia mwingine unadiriki hata kuwatorosha maadui iliwakajipange upya
Haya kazi kwenu wazee WA kupakazia serikali kubwa inafanya mambo ya kihuni,sasa majibu mnayo AWALI NILIANDIKA SANA NA KUSEMA SERIKALI HAIWEZI KUFANYA MATENDO HAYO YA KIHUNI WAKATI INA DOLA,hamkuelewa sasa mmepata majibu
Yame washuka
Nicholaus Nchimbi hivi ndugu kwa akili yako ya kawaida mtu kama huyo angeiacha bilioni moja ipite hivihivi?? jibu ni haiwezekani. polisi wanatulisha matango pori live
@@ibrahimmkanda6358 BORA HATA WW UMEELEWA MAANA WATANZANIA WENGI AKILI ZAO HAZIJAKUWA
thanx jeshi LA polisi mko vzr,but shida yangu kamanda ni polisi usalama barabarani rushwa sana please mkuu hebu lifanyie kazi nalo
Tutaliamini jeshi letu tukufu endapo litategua vitendawili vya Azori, Ben na Lissu. Hatuwataji akina Ulimboka, Shibanda na wengineo. Mkiweza hayo tutajivunia sana kuwa na jeshi makini.
Congratulates police of Tanzania your very firm!
Sasa huyo devera taxii alishindwa kuwageuka achukue bilioni moja ...duu ndo maana nasemaga wabongo akili zetu mbovu sana. Atakufa masikini huyu kama nikweli lakini..
Asante jeshi tufanye ivoivo na walio piga lisasi kwa Lisu na alie mtolea pistol Nape
Tungeendelelea tu na biashara yetu ya koro show😅😅😅
Ikaguen vizuri watu walio potea huenda wathaudh wana tekea hapo Mungu atawakomesha wote mbarikiwe
yaani wabongo aise kama vile hatunaga akili MTU anahoji eti walisema niwazungu arafu REO niwa Africa kusini swali dogo sanaaa afrika kusini hamna wazungu? au hamjui kama Africa kusini imetawaliwa na wazungu?
Waandishi wetu jaman mkipata nafasi ya kuuliza uliza kisomi kwelikweli , vip mikataba ya nyumba waliyopanga , je picha sehem ya mkataba kama zipo
lucas salvatory wewe unaakili
lucas salvatory
mambo sasa kumbe ni mpelelezi mzuri sana ndio mana hakuwepo kituoni yupo kikazi zaidi ubalikiwe sana mambo sasa
akili yangu inakata kabisa kufunguka.
Hii camera ni ya Tekno au?
waandishi wetu hawajui hata kuhoji maswali
Watanzania tuna roho mbaya Sana huyo dereva cku zote mpaka watu wametangaza billion haya Leo kakamatwa hao watekaji walimpa Sh ngapi Sasa
Hata kama alipewa hela zitamsaidia nini anaenda jela
Mungu yupo watapatikana tuu
Hiii mov kwann asiruhus wandishi wamhoji tujue zaid
Tumesikia mkuu, tunaamani na nyingi asilimia zote
Jamaa kweli amekubali kuveshwa bomu
Wazungu au ni weusi wenzetu?? Kama sio wazungu je wale mashahidi wa siku ile ya tukio waliosema walikuwa wazungu walipata wapi?? Tukumbuke hata RC wa mkoa pamoja na kamanda hapo mlisema walikuwa wazungu.. !!!
Na yule alie kajifanya ametabir mo alikua kwenye nyumba mbovu vp hiyo ndio nyumba mbovu eeeeh
Hii move bado inaendelea kumbee?
Mko vzr watapatikana tu mafala hawa wanafkr Tz ni ya kuchezea
Huyo alishindwa kutoa taarifa kwa baba yake mo akalamba b1
Mhmh nimovu2
vizr sana! lkn msichaguechague, na kuficha ukweli, wekeni mambo wazi kwa wahanga wote, hapo tutaamini! bila hivyo hiyo ni mdanganya Toto! kwann mchaguechague!
January Lugasio Nimesomanae meseji yako inaonekana wewe ni Tahiti mtarajiwa
Hamna ma forensics wachunguzi wa finger print foot print na menginevyo nywele au uhahidi wowote. Watu wanaingia kwenye ushahidi kama sokini. Fix Kali tu ujanja ujanja tu hii case
Mungj yupo watapatikana
Duh, alikuwa anawekewa na neti??? lol bilionea bilionea tu
kwa hiyo hiko chumba hata mo hakijui kwasababu alikuwa kafungwa macho..
Na kwann twalib asiulizwe maswali na waandishi? just thinking loud
Hapo bado kun mkanganyo, anasema anapaki white sands kama ni Taxi bubu itabidi hicho kituo cha whatsands inabidi wahojiwe kama wanamfahamu, yawezekana atakua amefanya na matukio mengine
Swali ni je waliwezaje kutimkia nje ya nchi bila kutiliwa mashaka airport kama mfanyavyo kwenye misako mingine hii nayo ni kali wapange Nyumba kisha wateke mtu bila hata majirani kutilia shaka mishe mishe za hiyo gari na hao watu kweli jamani
Binafsi bado sijaamini kama ni kweli ila endapo huyo mtanzania alieshiriki katika tukio zima atapewa hukumu ya kunyogwa hadharani mpaka kufa na hukumu hiyo itekelezwe mubashara hapo nitaamini.
Mi huwa ninajiuliza kwa nini serikali ikisema hiki watu wengine ni kupinga tu. Mi naomba nyie ndio muwe wapelelezi sasa.
Kinacho nikela mh. kamanda ni kumsemehea maneno mengi mtuhumiwa, kwan yeye ni bubu? maelezo yote atoe yeye
Mara dola 1300 mara pesa inayozidi... si aseme yeye ??? au nikosa kisheria mm sijui
Hii ni part two au season 2??? Kunavitu ukijipaka harufu haiwezi isha hata ufanye nini.
achen uongo mnadhan watanzania ni wa kudanganya kiasi hicho mipaka ilifungwa ulinzi ukaimalika mji mzima mabaa na guest pamoja na hotel vili pekuliwa sasa mnadanganya danganya. achien hao mlio wakamata asi hojiwe kwasababu za kiupelez ujinga mtupu
Uongo mweusi kabisaaaaaaaaaa jamani
Waongo ,,,
mbna ya lisu mlishindwa kubaini wahusika
Good job.
Acha nikae kimya kwanza.
Yani uyu kashindwa kutoa taarifa akala BILION anaishia mahakamani, ujinga ni ujinga tu, Kamanda fyekelea mbali hawa wapumbavu, walitufanya tukakosa usingizi kwasababu ya MO, jinga kabisa hao.
Mh kwer tz viwanda
Part 2, nasubiri part 3
Gd jb👏
Hivi inaingia akilini dereva wa taxi apange kwenye nyumba kama hii si kweli hi I movie2
kumamayo
Ramadhan Kibwana hahahahaha
Juma Suleiman unatukana mini? acha ufala
Duu asilimia kubwa watanzania bado no wajingaa kama huyu
+ibrahim mkanda .ww fala namba moja .pumbavu ww
Huyo ajuwa mengi yani siku hizo zote hatoi report Mmmh.
Shilingi ngapi walimlamba ?? Mbona hiyo hamtuambii??
Kama vile inafanana hii move na ile story ya alichotakiwa kufanya Nondo kwa DCI. Very intelligence👀
This is what we call... 6th Sense 👌
Hahahahahahahha yangu macho na masiko tu hahahahahahhaha move bado inaendelea
mungu nifundishe kunyamaza maana mwanangu anantegemea na pia Nina ndoto meme
Ben je? asante jeshi letu
Tuliambiwa waliomteka mo ni wazungu leo waweje wabongo?
Huwo sio ukweli,uongo mtupu.
Tamthilia inaeendelea kumbe nilikua nishaisahau iyo okey wacha tuangalie basi
hahahahahahaha
Hahahahaaaa 😂😂😂
mbna kamera mbaya sana
waandishi wahabali mnapoteza taluma yenu mbona michezo na mziki mnahoji na kudadisi alafu kwenye siasa na uhai wa wawatu mnakuwa mbumbumbu achen wawaue inaonekana hamjielewi elewi
Du! Yaani hapa ndo tunathibitisha! Jzmani jamaniiii
Si tuliambiwa ni wazungu ama nilisikia vibaya?
Kwani Sauzi wote ni weusi?!
Huku nae buyu
Changa la macho
buyu kwelikweli ndio ujue watanzania wengi hawajui kitu ila midomo tu
Chief Martin mm mwenyewe nilisikia wazungu au masikio yangu
yani mm cichangii chochote mana sielew bado cjui hii nyumba IPO wapi na walikuwa na ujasir gan kukaa cku zote apo majiran akuna mhhh acha ninyamaze mm
Sombi Mussa kwahiyo ulitaka wakakae msituni ndio uamin ??
na ile picha ya gar ya blue ilikuajee
kwanza kabisa hamjui kuuliza maswali nyie waandish cjui mmesoma nn huko vyuoni
Mbona hujaenda kuuliza maswali wewe hapo
Jmn samahanini movie yetu ina skrach kdg saw ila mmeifaham vzr
mnatuchangaya kama niwageni walimtekea nn?tunata mo atuambue mwenyewe mbona hajasema chochote mpaka sasa
Huyo jamaa alikuwa baharia kachacha sasa ngaingia kufanya mambo maba ya afungwe ikiwezekana akafie huko huu mchezo wa kutekwa Watu haifai hata kidogo apewe adhabu ok ajutie alichokifanya
Watu wa madhehebu mbalimbali walikua wanaomba vyombo vya dola vinahangaika usiku na mchana na vyombo vya habari anasikiliza magazeti anasoma na kijiweni wazungumzia hata hajapata woga alikuwa anajipa moyo na maneno ya hao waliokuwa wanabeza vyombo vya dola Mambosasa usimwachie anaweza kufanya makubwa dhidi ya hayo tena bedui mkubwa
Pesa sio Kila kitu ubinadam kwanza pesa haimalizi matatizo ila matatizo inamaliza pesa kaa ukijua utakosa imani kwa sababu ya pesa bwana Twalibu Mussa jinsi alivyo utadhani mtu wa busara Kumbe sio
kutetemeka sio kitu kwa cx wachezaji tunapokua na mechi lazma mtu atetemeke hata. ku ya kuoa tukiololote kubwa ni lazma mtu awe na khofu kiubinadam kama ni uongo fanyeni ninyi kazi
Na wale waliokamatwa mwanzoni inakuwaje ? waliwekwa rumande wasio na kosa kumbe muhusika ni huyo.huyu mtanga .ana dhambi kubwa.
Mbona MO hajaongea mpaka Leo?
Edkingson Daniel unataka aongezewe nini Mo?
Huyu dereva mtu mbaya sana alikula njama na yeye apate hela sasa wamemuachia manyoa tamaa mbaya
Usiamini kila ukisikiacho ujanja ujanja tu. Hujui serekali wana Njia nyingi za kubadili mambo. Wameingiaje nchini kama hawana visa. Ujanja ujanja
Though video hyo nyumba iko makaazi ya watu inamaana tangu mo amepatikana picha za gar ziliwekwa wazi kwann hawakutoa taarifa Za kuwa walikuwa wanaona gari Kama lile mtaani kwao
Huyo dereva tax anajuwa ishu ya mwanzo mpaka mwisho tamaa imeponza?
sasa mm hata sielewi mwanzo ilisemekana watekaji walikuwa ni wazungu leo inaonekana ni raia wa Afrika kusini mm hata sijaambulia chochote na hata majina yanayotajwa na huyo dreva tax ni kama ya watu weusi Du mm sipati picha hivi
Ndio shida za uelewa mdogo Africa kusini kunawazungu ,wahindi ,wachina, hata history kua wazungu walifanya unyasaji huko hujui daa unaboa
Africa kusin kuna wazungu tena wazawa sio wahamiaji
waandishi mnapiga kelele
Sasa na tundu lissu vip uchunguzi wake miaka inakatika
Abdul Salim swali zuri hill na lissu jamani
Hizi drama zenu zitaishia wapi? Mnatengeneza drama ili kuzima ishu ya korosho
Wewe naye Kumbe Mbumbu
Silas Nnko wewe nichadema pia inaonekana unajua ukwel ndio maana unasema ni maigizo
Wewe nae korosho na hili vina uhusiano gani,,
Majina yao kamili ni kina nani?
Yatakusaidia nini
Afu wandishi wa habari sometimes maswali yenu yako tenge
Hadi wenye ki walioshiriki way apatikana tu
sio kweli unatetemeka huo ni uongo
Uyo Jamala nyuma mbona anasura mbaya hajausika uyo na mo lkn.?
Mnataka watu wasahau korosho
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA NIJICHEKEE MIE
Vipi lissu?
Zacharia Ndorho tunamashaka na wewe au utajua chadema
Muulize lisu mwenyewe,,
Labda Mo athibitishe kama ndio nyumba aliyokuwemo
Joyce Kokunula kwani alikua anaona??
Iyo ni muve tu
what language is dat?
puchipachi ko tona tuna
Wenyeji tutawapata tu walioshirikiana nao kuteka
Piga kazi
Yupo WAP azol
Unamdanganya nani
Hahaha! Eeeeeeeh...... Mbona mhusika number moja anaulizwa maswali kidogo na kuachiwa?? Mmmmmh.
Kwani ameachiwa?
Deal
Hii serikali inastahili tuzo za uigizaji wa tamthilia. Tz majanga tu. Tusubiri kesho pia tuone movie ya korosho na majeshi. Rais kichaa na raia wehu(ccm). Sasa tunahitaji tufanye toba kama alofanya Makonda kanisani.
Hama tu nchi dogo
@@kiyabonjemu9885 duh umechelewa hio advice. Long time nishasepa mbona.
masshaka wewe unafaham ukwel I kwanini hujasema Nani alimteka mo?. B ilitangazwa kama unajua mbona huku chukua?.unabisha kazi ya police
Kosa liko wapi mbona sielewi hawa walijuaje ?!!!
Ernest Johanes
Ernest Johanes upelelez manake nini
Allah aturide nawatekaji kwenye nchi yetu
Je wariyo kuwa wakimushitumu raisi na makonda apo amujui kuwa maneno mengine niupotoshaji
Mupo vizuri sana
Acheni kudanganya watu Marekani inajua kila kitu. Serekali ya Tanzania haiaminiki tena yaweza tumika kuteka watu watu zaidi ya 50 wamepotea ni vipi?. Mheshimiwa amekuwa Daniel Arap Moi.