SOKA KIJIWENI | Mdamu na Mkewe waeleza ajali Polisi Tanzania ilivyobadili maisha yao (Part 1)
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Wasikie Mchezaji wa Polisi Tanzania, Gerald Mdamu na Mkewe wakizungumzia ajali ya basi la timu hiyo iliyopelekea kuvunjika miguu kwa mchezaji huyo, hapa wanazungumzia maisha yao yalivyorudi nyuma kutokana na ajali hiyo.
Soka Kijiweni huruka kila Jumatatu saa 1:00 usiku kupitia chaneli ya #AzamSports1HD
Pole Sana kaka , mwenyezi mungu atakupa fursa nyingine
Daaa pole sana ndugu yetu Mungu ni Mwema.
Pole sana kkangu m.mungu akuafu inshaallah
Pole sana bro mungu atakuonyesha guess nyingne
hongera yake!
Pole sana kaka
Pole sana, Adamu
Ila Mungu mwema sana Amini hivyo.
Watangazaji hamjatuliaa mmechangamka Sanaa
tz kupona haiwezekan mguu huo bd umepinda ila pole sana ndugu
Pongez zote ziende kwa Azam TV 📺 ambao wanatufanya tufurahie maisha ya Soka
Pore sana
Mungu awasaidie
Hawa watangazaji mbona wana kiherehere hivyo 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 issue ni serious hlfu wanaleta ufala kheee🚮🚮😏😏
Stori nzur ila dodi umeboa kufuatana na huyo jamaa imekua kama kipindi cha umbea
Halafu dodi acha kumsogelea sogelea mke wa mwenzio kuwa na adabu
😂😂
Mdada yuko poa sana
Ingekuwa katibiwa inje huyu angerudi kucheza tena mpira
Mke wa mtu unamshikashika hovyo hvyo au unampango nae nini.
Dh mambo ya muhim hatukoment
Mama mcharuko wayangazaji mcharuko tabu tupu
Unamaana gani