Mukwenze ngai aiye thayu wake vandu nganga na ngulu itavika.....anywa kasolo napenda hiyo roho yako vile uliishi na mukwenze ngai nowe wisi ithye tuyelesya be blessed
May mukwenze's soul rest in peace .. May your mum and siz rest in peace.. and yes unaeza build .. and since hauwezi jua ya your mum imeaza wapi ikaishia wapi.. unaeza zishikanisha but ueke msalaba with their names.. u can do memorial ceremony for them ..
If you are capable of making a better Graves for your mom and siz you can do so.,., Labda they buried them locally coz of financial challenges,. Hiyo ya dad kindly forget and forgive them
Haungeenda back to bible.Theres no connection between live and death,the moment tunazika wapendwa as Christians tunasahau till we meet again in heave. It's hard to forget but inabidi kulingana na maandiko.nigependa kujua which church you belong to Kasolo.God bless you young man
Kasolo mwanaamwaitu the way ulitunza mukwenze i must confirm u r blessed and you r rich kwoou kwa ndaia onaetha kikuli ndwi mwikia ngua nzeo make sure ena muka ni meuvuna miii yoo t nzeo kuma mukwenze athi but also i must appreciate you for the much u do to them bro .🙏🙏🙏
Take it easy solo🙏🙏🙏🙏🙏 nakumbuka mukwenze nkitoka shuleni katulani,akining'oa meno ananiita mwa susu naitika mwa ndugu 😭😭😭 continue dancing with angles mukwenze
Mtumishi wa Mungu aliyehai Stephano Kasolo jengea kaburi la mama na sisita yako, ndio tunawajengea watu wetu sasa hivi, zamani watu walikuwa hawana uwezo kama sasa kwa hiyo tusiwalaumu,
I like how this Yomba is expressing himself. He might have been a bright guy. Speaking fluent English and you live in Ukambani, mashinani is not that easy. NISI NESA
Ukiwa masikini hakunanga mtu anakupeanga heshima lakini ukifanikiwa kila mtu anakuitanga mutongoi so bro juu mungu amekubariki jengea mamako na siz yako poa wakitaka kuongea waongee
I was to laugh when you said nduuka but nikakubuka hayo niliyapata wakati uncle yangu aliuliwa😢😢😢,,, kasolo umeogea ukweli na kusema watu wa nyumbani ni wabaya which it's true,, let us allow their souls rest in eternal peace 🙏🙏
Yote utendeka kwa wema!!! Steve it's good to keep on that spirit of remembering your loved shush..we love you as well as your family..jitie Nguvu we love you ❤❤❤
May shosho of your heart 💕 continue rest in peace bro together with brayo😢 I have been watching the two vedios that you usedto sang to shosh nd brayo for their last minutes,,, cjui mbona nalia nikiskia io song ya brayo,, anyway nobody knows the plans of God
Siezi imgn vile mlikam na mukwenze kwa church yetu na vile alikua anaimba nyimbo zako na kudance,rest in peace shosh❤
Mukwenze ngai aiye thayu wake vandu nganga na ngulu itavika.....anywa kasolo napenda hiyo roho yako vile uliishi na mukwenze ngai nowe wisi ithye tuyelesya be blessed
May mukwenze's soul rest in peace .. May your mum and siz rest in peace.. and yes unaeza build .. and since hauwezi jua ya your mum imeaza wapi ikaishia wapi.. unaeza zishikanisha but ueke msalaba with their names.. u can do memorial ceremony for them ..
If you are capable of making a better Graves for your mom and siz you can do so.,.,
Labda they buried them locally coz of financial challenges,.
Hiyo ya dad kindly forget and forgive them
Hii kasolo imeguza moyo wangu Sana nivizuri kujegea mama Pia mama ajue unampenda
Haungeenda back to bible.Theres no connection between live and death,the moment tunazika wapendwa as Christians tunasahau till we meet again in heave. It's hard to forget but inabidi kulingana na maandiko.nigependa kujua which church you belong to Kasolo.God bless you young man
Which Bible say's that and which vers
Neema ikubebe na ivunje Sheria kwa jina la YESU mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏 naombea roho ya mukwenze iendelee kupumzika kwa amani
Jana nimeshinda kueka wimbo wa mkweze ,nililia sana ,we remember mkweze sana ,a good hrt woman
Kasolo mwanaamwaitu the way ulitunza mukwenze i must confirm u r blessed and you r rich kwoou kwa ndaia onaetha kikuli ndwi mwikia ngua nzeo make sure ena muka ni meuvuna miii yoo t nzeo kuma mukwenze athi but also i must appreciate you for the much u do to them bro .🙏🙏🙏
@Stephen kasolo hio ni step nzuri umefanya.pls support that guy.usiwe una pesa nyiiingi and your uncle's wanateseka.
Take it easy solo🙏🙏🙏🙏🙏 nakumbuka mukwenze nkitoka shuleni katulani,akining'oa meno ananiita mwa susu naitika mwa ndugu 😭😭😭 continue dancing with angles mukwenze
Mambo tumishi mungu akubariki neema iwatoshe na familia yako Mimi nitasema weka ukuta bt wewe uwa unanitia moyo Sanaa
Aki kifo ni baya saaana,😢😢😢😢😢😢😢😢yaani nimekaa hyo miaka yote mbila kuona wazazi wangu.akie😢😢😢
Woooi pole sana kasolo
Solo you make me to cry surely. Mtu anasikwa aje kama umbwa
Dad na mum walizikwa kama mbwa my mum alizikwa na sheet…babangu nae jeneza yake waliokota mbao wakaunganisha na misumari
Mtumishi wa Mungu aliyehai Stephano Kasolo jengea kaburi la mama na sisita yako, ndio tunawajengea watu wetu sasa hivi, zamani watu walikuwa hawana uwezo kama sasa kwa hiyo tusiwalaumu,
Mukweze was my good friend ❤❤❤❤❤❤❤nyie mukweze nimwendete munoo,,,
Keep resting darling
I like how this Yomba is expressing himself. He might have been a bright guy. Speaking fluent English and you live in Ukambani, mashinani is not that easy. NISI NESA
Hata mm nashangaa aki,,anaongea tu visawa sawa
Umaskini ni kitu mbaya ,babangu alizikwa kama umbwa hivo hivo na hiyo kitu huniumiza sana moyoni ,is so painful bt God is good 🙏
Ata my mum na dad..ata hapakupandwa makonge…but sep nliwajengea kaburi na tiles
Ukiwa masikini hakunanga mtu anakupeanga heshima lakini ukifanikiwa kila mtu anakuitanga mutongoi so bro juu mungu amekubariki jengea mamako na siz yako poa wakitaka kuongea waongee
Pole sana,,,,may she continue resting in peace
weka ukuta something like balcony
Shush Mukwenze endelea kupumzika salama, Mwa! Ndukambula aky!
Bibilia inasema wafu wakae na wafu wezao. Na pia Mungu ni Mungu wa walio hai sio wa wafu.
Mukwenze continue to rest in peace 🙏🙏 I thank God to love kasolo too much ❤❤❤❤ Mungu akubariki sana ukiwa uko🙏🙏
Woow Amazing Congratulations Stephen for remembering your loved grandma Mukwenze
Pole sana kaka
Wah nimelia its well kasolo
Man of God please Jengea hizo kaburi . It's good
I was to laugh when you said nduuka but nikakubuka hayo niliyapata wakati uncle yangu aliuliwa😢😢😢,,, kasolo umeogea ukweli na kusema watu wa nyumbani ni wabaya which it's true,, let us allow their souls rest in eternal peace 🙏🙏
pole she was my friend naumia sana bro but tuko safarini bro
Oky wajengee grave yard bazi its good kwa kumbukumbu
Woooh so thoughtful..i miss my late GRAMA 😢😢soon i will be visiting her
Wooooi huruka uhoro shosho ,
Eka susu athumue na muuo.
We shall meet our beloved one's in that resurrection morning. Kasolo Ngai akwike nesa.
Tuning from Asia 🌏
Yote utendeka kwa wema!!! Steve it's good to keep on that spirit of remembering your loved shush..we love you as well as your family..jitie Nguvu we love you ❤❤❤
Mjengee ju damu ni nzito kuliko maji mr kasolo
Forgive whoever buried you father and mum solo let them continue resting in peace then hapo kwa your mom na siz unawezaeka fence ya ukuta
Pole sana bt waweza mtengenezea mum yako God above all🙌🙏
Pole solo andu na thuku muno viu
its very right to build a good grave to her mjengee hiyo ndo nyumba yake sasa
May their souls rest in peace,,,, solo you have a big God and you are not alone God is your father and mother he loves you so much take heart ❤️
Woooii may she rest in peace ✌️
May shosho of your heart 💕 continue rest in peace bro together with brayo😢 I have been watching the two vedios that you usedto sang to shosh nd brayo for their last minutes,,, cjui mbona nalia nikiskia io song ya brayo,, anyway nobody knows the plans of God
solo mungu akuinue
Rip to theeem nmesoma kituu hucwai dharau mtu anezaa 🙏
Why am i cutting onions at this hour of the night 😢😢😢😢😢😢
Aki huyo mtu umjukulie siku moja sawadi ju ni mtu aliyekaribu na shosh
Tengeneza hta kwetu nitatengenezea wazazi wangu.nakumbuka vizuri hta kama nilikuwa class 2
Eniway nyiyi ni wakisto ,mimi ni wa YESU HATA YESU ANAWASHANGAAA mko na drama wakisto weeeeh 😢😢😢😢😢😢
Mungu amekuweka hai jengea hizo kaburi wajukuu wako na vitukuu watakuwa wanaona
Neema ya yesu ikubebe bro Steve
Continue resting in peace mukweze😢....i can't imagine on Saturday we're going to burry our angoo😢😢... rest in peace angoo😢😢
Mukwenze continue resting in peace I thank God u blessed me before u went after kutumia solo thao akununulie leso pray for me all is not well
Woiye aki kasolo.pole
Usiongee sana juu wao ndio utaona leo na kesho wako hapo always
Umefanya nilie akie😭😭😭
May her soul continue resting peace,,,I enjoyed her shows na the dances you had,,,take heart Solo
Na shamba yako iko Na magugu Sana. Nipee kibarua ya kulima. Anyway, may shosh continue resting in peace
May our grandmaa mukwenze continue praising with eagles,till we meet again,
Is soo painful baba kuzikwa mombasa but take heart bro. Wacha mungu hawatuma wakamfufue was wenyewe
Pole sana kaka ❤
Jengea ukuta kasolo plz
Continue resting in peace my friend Shosh, Steve tengenezea ur mum siz grave build a fence area
Niweeka nesa kumulilikana, mbarikiwa sana 👏
May their souls continue Resting in Eternity 🙏 Be strong Kitole
May the souls of our departed rest and find peace in heaven
Naomba tu ujenge tu ukuta kwa iyo place,juu unaeza Shiba iyo place...alafu nduuka syambe utulia
Pole kasolo
It's so painful bt kasolo ucworr God is with u
Kasolo, Pole nimelia sana
Continue resting in peace mukwenze 😭😭😭😭😭Leo nmekubuka my shush pia nalia tu sina amani Leo 😭😭😭
Yes, weka ukuta
Tulia nawe about umaskini that time not all can afford to build the kaburi understand the situation that time
Baba shine naeza sema jengea your mum kaburi classic hata waseme nini usijali ebu fanya hiyo kitu
May she Rip..yes its good you can build a grave for your mum n siz
Build Tombstones. You can get some good ones at Makadara Nairobi. Tombstones have names and dates like wazungu.
May her beautiful soul continue resting in perfect peace
Mukwenze continue resting in peace
Wajengee to show them ur love to them even in the next world 😢😢
The last part😢😢😢😢anyway be strong and i thank God you forgave them
May mukwenze rest in peace.Kasolo may God bless you so much for taking care of her.
First to comment, may mukwenze rest in paradise
ITS GOOD UJENGE MAKABURI YAO TO SHOW THEM LOVE ❤️ 😍 💖
Wasame kbisa
soo touching my son @Stephenkasolo let her soul rest in peace
It is very right baba shine
Build ata babangu alizikwa nikiwa young,na nilimjengea last year,rip dad ireally miss my father,my friend my hero dad iwill love you forever 😢
Si vibaya kujengea mzazi wako bora kue na prayers tu na msifanye mambo ya mila
The first one today nipewe likes kindly
May his soul rest in peace
Kumbe kumenyesha kabsa
Haki pole soloo,,,, 🙏🙏🙏🙏🙏
May God bless you Stephen and let her continue resting in peace
Ever smart shosh continue resting in peace
May she Continue resting in peace she used to nice us kwa channoo yko aky😢
Wajengee grave
My she rest in peace,but apo kwa kuje weka ukuta ama nyumba kubwa broo
yeah unafaa uwajengee ju ni watu wako na pia usipowajengea itakudai sana
Pole sana baba king and shine,may her soul rest in eternal peace
Umesahau prince
Continue resting in peace shush