OLE SENDEKA AMKALIA KOONI WAZIRI MHAGAMA KISA AJIRA ZA KUJUANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 20

  • @msafirikilongo7429
    @msafirikilongo7429 Год назад +1

    Sendeka baba uko na nyundo moja kwa moja kwenye ubongo

  • @omaryiddimonna4236
    @omaryiddimonna4236 Год назад

    Mh Sendeka MUNGU AKUBARIKI SANA ulilolisemea ni kweli tupu

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 Год назад +3

    Toka zamani ajira zetu tanzania tunapeana kwa kujuana undugu mtoto wa mjomba na urafiki haswa kwenye jeshi ndokumezidi baba alikuwa mjeda na mtoto mjeda

  • @aminimushi6945
    @aminimushi6945 Год назад

    Kwanini serikali haikuajiri kwa kipindi chote hicho,kuna watu wanaostaafu,wanakufa,kuna vyeti feki walitolewa makazini,hizo nafasi hazilingani na ajira mnazotoa,nchi inakwenda wapi,kazi kubwa mnayofanya ni kusifiana tu.

  • @emmanuelsitayo1977
    @emmanuelsitayo1977 Год назад

    La Sendeka ni kweli kabisa tunayaona huku vijijini.

  • @abdallahkikungulu9141
    @abdallahkikungulu9141 Год назад

    Nikweli kabisa

  • @devidkipaipai
    @devidkipaipai Год назад

    hatujui ni lini Tanzania itaacha ukabila ajira wengine wanapeana kwa kujuana wengine tunasoma ili tujiajiri lakini sio kuajiriwa tumechoka kusubiri ajira za ubaguzi

  • @sanduulemo
    @sanduulemo Год назад +2

    Duuuuh sendeka,umepiga,kwenye, mshono,aibu!

  • @lazaroeliphas8353
    @lazaroeliphas8353 Год назад +3

    Ole sendeka umesema ukweli kujuana na ukabila umezidi kila secta za serekali Kuna kujuanaa

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Год назад +1

    Ukweli ndio huo ajira ni kwa kujuana

  • @nadothobias2459
    @nadothobias2459 Год назад

    Alizifunga nani

  • @emmanuelbonaventura4258
    @emmanuelbonaventura4258 Год назад

    Ole sendeka kasema ukweli. Upuuzi wa connection ndo umetawala. Tuko pabaya sana kwenye suala la fairness kwenye uajiri

  • @zakeyoasapia8764
    @zakeyoasapia8764 Год назад

    Ccm amfai kwanzia raise mbaka wenyekiti wa ma Vito ngoji

  • @georgehape5298
    @georgehape5298 Год назад

    serikali haijui kuhusu upendeleo wakati imeenda mbele zaidi bandwidth ya nafasi zinauzwa ili update uwe tayar kulipa

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 Год назад

    Acheni janjajanja ajirini walimu

  • @gaspercharles4242
    @gaspercharles4242 Год назад +1

    Ukabila au ukanda.uliishatafuna mataifamengi hapaduniani julius Nyerere alikuwa mwanafalisafa ndiyomaana alituachianchi shwali apumuzikekwa amani.

    • @phoncephea7111
      @phoncephea7111 Год назад

      nyerere alikuwa lofa2 tena mpuuzi mkubwa

  • @fintanmkesha1077
    @fintanmkesha1077 Год назад

    Alcho kiongea ole nikwel

  • @kilimohub580
    @kilimohub580 Год назад

    KISA au SABABU ?.., unaposema KISA kuna maana nyingine kabisa unaitengeneza